Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uliporudia rudia swali la kutaka upate jibu iwapo gazeti lilichomwa mwaka 1988 nilidhani una jibu kubwa kukanusha.
Kwa bahati Mohammed kakujibu kwa kujiamini.Naona sasa umeingia mitini.
Angalia Jibu ulilotaka
Hakuna jibu hapo na hata alipojaribu hakutoa jibu.
Mayanja Kiwanuka hakuwa mtu wa serikali alikuwa mtu wa chama.

Swali ni kuwa nani aliamuru kuchomwa gazeti na kwasababu zipi.

Nimekujibu kwasababu unaonekana huelewi kinachoendelea. Soma majibu ya Mohamed utagundua kitu.
Sitakujibu tena ili nikupe nafasi ukabidili nepi na pengine kupata chupa ya maziwa.
Nahangaika na mwalimu wako na hapo alipo jasho, anajua amesimama kwenye kona gani anachotaka ni kuchomoka.

Kwa taarifa yako tayari jibu watu wanalo kinachosubiri ni upper cut kama ile ya tawkimu! teh teh teh
 
Zisema mbali.
Zitenda mbali.
 
Baada ya jibu hilo angalia ulivyobabaika

Hili swali lako hata ukienda ofisi ya Kanumba hawawezi kukupa jibu.Ikiwa kweli lilikusanywa na kuteketezwa inatosha kuwa kuna kitu serikali imekwepa kisisomwe.

Ami,

Usipate tabu na huyu mtu.
Mwache kama alivyo.

Shughulika na wasikilizaji 100,000+.

Hawa ndiyo wasomaji wa historia hii
ambayo hawakupata kuisikia popote.

Mtego na Chui.
 
Attachments

Kwahiyo Mohamed huna majibu bali tuhuma usizoweza kuthibitisha. OK

Nguruvi,

Abdulwahid Sykes kapewa medali na nchi hii miaka 50 baada ya uhuru mwaka 2011.
Sasa unataka mimi nikuulize wewe ni nani alimnyima medali miaka hiyo yote na kwa nini?

Au kwa nini wameamua kumpa medali?

Mimi nikuulize wewe kwa nini hawakumataja katika kitabu cha Kivukoni.

Maswali hilo nikuulize wewe kwani wewe ndiyo Mwenyekiti wa CCM au una
mamlaka ya kutoa medali?

Niulize swali linalonihusu.
Aliyekasirishwa na makala zangu ie nitamjuaje?

Nimesoma tu vitisho kutoka Idara ya CCM ya Uhamasishaji Umma na barua kaandika
Dk. Kiwanuka.

Akaniita ''mbilikimo.''

Sasa wewe hapo unashindwaje kuona nani alikuwa anapaliwa na povu?
Nguruvi achana na mimi ipo kalamu hapa usifanye mchezo rafiki yangu.

Mie nimeanza alif na aeiou sijenda chuoni wala shule tena ananifundisha
mama yangu binti Sheikh jikoni.

Yeye mwenyewe Kiingereza hajui ananunua vitabu vya Kizungu ananipa
kusoma mie naishia kuangalia picha.
 
Ami,

Usipate tabu na huyu mtu.
Mwache kama alivyo.

Shughulika na wasikilizaji 100,000+.

Hawa ndiyo wasomaji wa historia hii
ambayo hawakupata kuisikia popote.

Mtego na Chui.
Mohamed unajua wazi kuwa watu 100K wanatufuatilia tunaowasaidia kuona kile kilicho katikati ya mistari yako. Unajua namna gani umma umeelewa nini dhamira na nia yako.

Hili la wewe kusema gazeti limechomwa moto, mimi nimekuambia mchana kweupe kuwa wewe ni muongo.
Mkasema nimehamaki ninywe maji, nimekunywa maji na wasomaji hadi sasa wametambua kuwa si kweli na kwamba ulichokusudia kukisema hakilingani na hadithi uliyotunga.

Ulichokusudia kusema kuhusu gazeti la AE ni kuonyesha jinsi gani makala zako zilivyokuwa moto hadi Nyerere akachoma magazeti moto. Ni kuonyesha jinsi Nyerere alivyomchukia Abdul Sykes.
Kwasisi wenye akili zetu, makala zako hazikuwa sababu kabisa na hilo umeliweka kujifaragua tu.

Nimekuuliza swali kuhusu mwaka 1988 kwasababu wakati nakala zako zinachomwa moto Nyerere alishaondoka madarakani. Umegundua hilo ndiyo maana umekuwa unakwepa kwepa, unakimbia hovyo bila majibu.

Umeamua kumtaja Mayanja ambaye hakuwa serikalini wakati huo huo unaaminisha umma kuwa serikali ilichoma magazeti moto. Umetafuta mahali pa kujitficha chini ya mwamvuli wa CCM

Kwasababu hadithi ni ya kutunga umesahau kuwa wakati huo mwenyekiti wa CCM alikuwa Ali Hassan Mwinyi.
Kama ingekuwa kweli basi serikali iliyochoma moto magazeti kwa makala zako ni ya Mwinyi kwa maagizo ya CCM iliyokuwa chini ya Mwinyi.

Hadi hapo Nyerere hana mkono wake katika kazi zako na umemtetea bila kukusudia ingawa ulikusudia kumhukumu bila mashtaka.

Kama huna majibu ya kwanini serikali ya Mwinyi au chama kilichoma magazeti moto huna moral authority ya kusema hivyo kwasababu hujui! kutoa tuhuma kwa kitu usicho na ushahidi nacho ni uongo na uzandiki usiovumilika kwa mtu mwenye akili sawa sawa na anyezitumia ispokuwa wale walioamua kufunga tela.

Kijana wako kwakusoma bila tafakari amekimbilia kutuhumu kuwa aliyechoma magazeti (tumethibitisha ni hadithi) ni Nyerere. Hapa ndipo tunasema Mohamed unapata tija gani unapozua uongo na kuulaghai umma.
Hivi kitabu hakiuziki hadi utie hoja zisizo na majibu, mashiko au maana!

Kwa wasomaji naomba wafuatilie kwa umakini kuhusu swali la je,serikali alichoma moto magazeti ya AE 1988 kutokana na makala za Mo? na majibu yake ili kuelewa wapi alikwama kama ilivyo kawaida anapopelekwa katika ''kona''

Majibu ya Mohamed hayaonyeshi hilo kutokea na kama lilitokea basi Nyerere hakuhusika.
Uongozi wote wa juu wa CCM haukuhusisha mfumokristo.

Kwa uhakika na usahihi naweza kusema hili la magazeti kuchomwa moto ni;
1. Kujifaragua ili aonekane kama mtu aliyeisumbua serikali
2. Halina ukweli kama alivyoshindwa kulielezea achilia mbali kuthibitisha
3.Kumtuhumu Nyerere na mfumo kristo ili kujenga dhana ya chuki kwa jambo lisilowahusu

Kwa uhakika na uyakinifu nasema Mo hili la magazeti ni uzushi tu.
 
Nguruvi,

Abdulwahid Sykes kapewa medali na nchi hii miaka 50 baada ya uhuru mwaka 2011.
Sasa unataka mimi nikuulize wewe ni nani alimnyima medali miaka hiyo yote na kwa nini?

Au kwa nini wameamua kumpa medali?

Mimi nikuulize wewe kwa nini hawakumataja katika kitabu cha Kivukoni.

Maswali hilo nikuulize wewe kwani wewe ndiyo Mwenyekiti wa CCM au una
mamlaka ya kutoa medali?

Niulize swali linalonihusu.
Aliyekasirishwa na makala zangu ie nitamjuaje?

Nimesoma tu vitisho kutoka Idara ya CCM ya Uhamasishaji Umma na barua kaandika
Dk. Kiwanuka.

Akaniita ''mbilikimo.''

Sasa wewe hapo unashindwaje kuona nani alikuwa anapaliwa na povu?
Nguruvi achana na mimi ipo kalamu hapa usifanye mchezo rafiki yangu.

Mie nimeanza alif na aeiou sijenda chuoni wala shule tena ananifundisha
mama yangu binti Sheikh jikoni.

Yeye mwenyewe Kiingereza hajui ananunua vitabu vya Kizungu ananipa
kusoma mie naishia kuangalia picha.
Sijapaliwa na povu ndio maana nimekufikisha hapa ambapo unakubali kuwa huna majibu ya mambo uliyoyasema. Lakini pia kuwa na povu yaweza kuwa ni kutokana na upotoshaji wa mchana usiohitaji hata kibatali kuuona.

Mohamed, swali linajibiwa kwa jibu hakuna kitu kinanchoitwa swali na swali. Mitaani yes katika intellectual discourse it is anachronism! Kama ulikuwa na maswali hayo ungeuliza kwanza na si kuyafanya yawe majibu ya maswali.
 
Nguruvi,

Abdulwahid Sykes kapewa medali na nchi hii miaka 50 baada ya uhuru mwaka 2011.
Sasa unataka mimi nikuulize wewe ni nani alimnyima medali miaka hiyo yote na kwa nini?

Au kwa nini wameamua kumpa medali?

Mimi nikuulize wewe kwa nini hawakumataja katika kitabu cha Kivukoni.

Maswali hilo nikuulize wewe kwani wewe ndiyo Mwenyekiti wa CCM au una
mamlaka ya kutoa medali?

Niulize swali linalonihusu.
Aliyekasirishwa na makala zangu ie nitamjuaje?

Nimesoma tu vitisho kutoka Idara ya CCM ya Uhamasishaji Umma na barua kaandika
Dk. Kiwanuka.

Akaniita ''mbilikimo.''

Sasa wewe hapo unashindwaje kuona nani alikuwa anapaliwa na povu?
Nguruvi achana na mimi ipo kalamu hapa usifanye mchezo rafiki yangu.

Mie nimeanza alif na aeiou sijenda chuoni wala shule tena ananifundisha
mama yangu binti Sheikh jikoni.

Yeye mwenyewe Kiingereza hajui ananunua vitabu vya Kizungu ananipa
kusoma mie naishia kuangalia picha.

Kiwanuka alikuita "mbilikimo?" Ngoja nicheke. Hivi kapotelea wapi jamaa huyu? Last time I met him alikuwa akisoma Syracuse.
 
Anadai gazeti lilikusanya na dola kisha likachomwa moto, chini ya amri ya nyerere, ukweli nikuwa mwaka 1988 huo rais alikuwa ni Mwinyi, Nyerere hakuwa na cheo chochote nchini zaidi ya cheo cha familia yake tu.

Na zaidi kuthibitisha uongo wake ni kuwa hakukuwahi kutokea msako wa nyumba hadi nyumba katika historia ya nchi hii mpaka leo hi wakusaka magazeti yoyote achilia mbali hilo gazeti analolisema hapa.

Huu ni uzandiki wa wazi, uzushi huu ni hatari kwa taifa.

Huo ni uongo wa wazi kabisa (RED)! Nyerere alistaafu uenyekiti wa CCM mwaka 1990! chama kilikuwa kimeshika hatamu hivyo Mwenyekiti wa CCM ndie aliekuwa na kauli ya mwisho ktk maamuzi yote nchini! na hata Mwinyi alikiri hilo wakati anaapishwa kuwa Rais mwaka 1985 kuwa ana deko sababu Nyerere bado ni Mwenyekiti wa CCM na zawadi toka Mbinguni!

Sahihisha uongo wako na wacha kukanusha historia kwani wewe unaonekana bado mtoto sana!
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Sasa kama Mohamed Said ni muongo andikeni basi huo ukweli wenu tuusome.

Umesikia tamko la maaskofu wanalalamika na mfumo wanataka kuchinja.

Sasa hivi hakuna tena kuhudhuria misiba wala sherehe wala kualikana Wakirsto na Waislam chakula kila mtu ale chakula chake na kuanzia sasa Wakirsto wawe na bucha zao na Waislam wawe na bucha zao.

Waislam hawewezi kula nyamafu na nguruwe.

Hapa ndiyo Maaskofu walipotufikisha kutokana na mfumo Kirsto.
Muongo mkubwa. Hapa tumefikishwa na uzandiki na uchochezi wa Mohamed Said na kundi lake ukiwamo wewe.
 
Hakuna jibu hapo na hata alipojaribu hakutoa jibu.
Mayanja Kiwanuka hakuwa mtu wa serikali alikuwa mtu wa chama.

Swali ni kuwa nani aliamuru kuchomwa gazeti na kwasababu zipi.

Nimekujibu kwasababu unaonekana huelewi kinachoendelea. Soma majibu ya Mohamed utagundua kitu.
Sitakujibu tena ili nikupe nafasi ukabidili nepi na pengine kupata chupa ya maziwa.
Nahangaika na mwalimu wako na hapo alipo jasho, anajua amesimama kwenye kona gani anachotaka ni kuchomoka.

Kwa taarifa yako tayari jibu watu wanalo kinachosubiri ni upper cut kama ile ya tawkimu! teh teh teh
Mkuu Nguruvi3, achana na Ami, huyo na Ritz ni washereheshaji tu, wapo hapa kumnusuru mzee wao Mohamed anapokuwa amebanwa wao huja na porojo za kitoto.
 
Zisema mbali.
Zitenda mbali.
Inafamika wazi kuwa huu ndio mtindo wako wa kitoto kukwepa hoja na maswali mazito!swali la Nguruvi3 bado hujalijibu, labda tukukumbushe, ninani serikalini aliamuru magazeti ya African Events ya kusanywe na kuchomwa moto?
 
Ameruka kimanga anasema ni Mayanja wa CCM! Tumemuuliza Mayanja ndiye alitoa amri ansema hapana ni CCM. Kwamba CCM inaweza kutoa maagizo tu Polisi wakusanye.

Hanajibu kwasababu hesabu zake zilikuwa kwa Nyerere, kwa bahati mbaya sana anaongozwa na chuki bila ukweli mara zote anajikuta akitaja mwaka ambao Nyerere au mtu mwingine hakuhusika.

Ni huyu huyu Mohamed alituambia kuwa makamu wa kwanza wa rais mwaka 1988 kwenye maulidi Tabora alikuwa ni Kawawa. Aliongozwa na fikra tu na wala si ukweli na sidhani kama alijua nani alihudhuria! highly doubt

Hili la kukusanywa magazeti na kuchomwa moto si kweli eti ni kwasababu ya Mohamed Said! Ney uzushi tu kama ule wa Kawawa kuwa makamu wa rais mwaka 1988! Ni uzushi kama namba za mitihani. Ni uzushi kama Nyerere kuja Dar mwaka 1950, ni uzushi kama AA kuanzishwa na Sykes n.k. orodha inajaza kurasa 47.53 kwa kutaja tu.

Mohamed kama una lingine leta hili la AE limeshadhihirika kuwa ni uzushi tu.
Umeshindwa kulielezea na kudai Mayanja ndiye alichoma magazeti ya Africa Events moto!
please stop this Mo ! too low Mzee Said.
 
Samahani wanajamvi nilikuwa naweka rekodi vema.
Je, magazeti anayosema Mohamed yamechomwa moto, hiyo ilitokea mwaka 1988 kama alivyodai.Mkishanijibu hayo kwa kuunganisha nguvu na Mohamed, nitawaeleze habari msioijua.Nijibuni kwanza.
Nguruvi3: Mohamed kwanza nikuambie kuwa acha kudanganya watoto na vijana.
Hili la African event unalisema sana. Umesahau kuwa kulikuwa na Africa Now na magazeti mengine.
Magazeti hayo yalikuwa yanazuiliwa si kwasababu ya Habari zako muongo mkubwa wewe!Mzee Said, hivi huwa unapata tija gani unapokuwa muongo! Muogope mwenyezi mungu.Narudia Mohamed, stop this cheap popularity!
You erode the little respect as a great story teller of our times
Nguruvi,
Umehamaki.Mimi sitafuti umaarufu kwa yoyote kwa kuwa sina shida ya umaarufu.

Umeandika Africa Now la Peter Enahoro.
Hili letu lilikuwa Africa Events la Mohamed Mlamali Adam.
Sera za magazeti yao zilikuwa tofauti kama mbingu na ardhi.
Watazamaji ndiyo waamuzi kama mie nawavunga ama nawapa khabari za kweli.
Nguruvi3: Mohamed, hujajibu swali, swali ni kuwa gazeti la Africa lilikusanywa na serikali mwaka 1988?
Ritz,Umesahau kitu.
Umesahau kumwelekeza namna ya kunywa maji.Kwanza akae kitako.Kisha anywe maji funda tatu.
Hiyo ilikuwa mwaka 1988?
Ritz,Allahamnusuru.Unajua akili yake inakataa kuamini.Akinidhania mie jinga lao.
Mtego wa Yericko umenasa mamba.
Mohamed, usikwepe swali muhimu sana, je hiyo ya kuchoma magazeti ilitokea mwaka 1988. Msilete habari nyingine twendeni hoja kwa hoja.
Hiyo nini?
Mohamed anadai magazeti ya AE yalichomwa moto na serikali kutokana na makala zake.Ninachotaka kujua ni kuwa magazeti hayo yaliyochomwa moto mwaka 1988?
Msaada wenu tafadhwali
Nguruvi,Usidhani nafanya maskhara.AE March/April 1988 makala yangu ''In Praise of Ancestors.''Ilimtaja Abdu Sykes kama ''brains behind founding of TANU.''Gazeti likikusanywa kutoka ''news stand.''Unadhani mie nina uwezo wa kutunga visa kama hivi?Ningekuwa Ernest Hemingway ingawa wewe unataka kunitiakundi la JHC crude author
Kwanza umeweka sawa kuwa lilikusanywa kutoka ''news stand'' kama ilitokea hivyo na sikuwa lilikusanywa kila mahali kwa msako maalumu kama ulivyotaka kuulaghai umma.Nashukuru kwamba record imekaa sawa na wanajamvi wame note hilo.Tuendelee, kwahiyo gazeti ''lilikusanywa'' kwasababu lilimuudhi nani kwa makala hiyo!
Hii dramatisation sijui ya nini...Ona hapa:''In Praise of Ancestors'' Africa Events, London, March/April 1988, uk. 37-41.Ahmed Rashad Ali ndiye alikuwa mwakilishiwa Library of Congress, Tanzania aliwapelekea''cutting'' ya makala hii.
Hakuna drama, tayari umeshajibu kuwa gazeti lilichomwa moto mwaka 1988 baada ya kukusanywa kutoka katika ''news stand'' na si kukusanywa nchini na majumbani kote kama ulivyodai mara nyingi.
Hilo limeshapatiwa jibu.Swali linalotokana na jibu hilo ni kuwa makala yako ilimuudhi au kumkerehesha nani hadi kuamua serikali ikusanye na kuchoma moto?
Nguruvi,Hilo swali unataka nilijibu mie?Lakini majibu makali dhidi ya makala yangu yalitoka CCM Dodoma na aliandika Dk Kataroge Mayanja Kiwanuka.Africa Events, May 1988 barua ya Dr K. Mayanja Kiwanuka.Wakati ule alikuwa katika Idara ya Uhasishaji Umma.Unalo?
Mohamed, gazeti lilichomwa kwa amri ya serikali wala si Kiwanuka.Swali ni nani aliamuru hilo kutokea na kwasababu gani.
Zisema mbali.Zitenda mbali.
Ami,Usipate tabu na huyu mtu.Mwache kama alivyo.Shughulika na wasikilizaji 100,000+.Hawa ndiyo wasomaji wa historia hiiambayo hawakupata kuisikia popote.Mtego na
Chui
Nguruvi,Swali hilo unatafuta jibu kwangu?Umelielekeza sipo.
Nguruvi3: Mohamed unajua wazi kuwa watu 100K wanatufuatilia tunaowasaidia kuona kile kilicho katikati ya mistari yako. Unajua namna gani umma umeelewa nini dhamira na nia yako.

Hili la wewe kusema gazeti limechomwa moto, mimi nimekuambia mchana kweupe kuwa wewe ni muongo.
Mkasema nimehamaki ninywe maji, nimekunywa maji na wasomaji hadi sasa wametambua kuwa si kweli na kwamba ulichokusudia kukisema hakilingani na hadithi uliyotunga.

Ulichokusudia kusema kuhusu gazeti la AE ni kuonyesha jinsi gani makala zako zilivyokuwa moto hadi Nyerere akachoma magazeti moto. Ni kuonyesha jinsi Nyerere alivyomchukia Abdul Sykes.
Kwasisi wenye akili zetu, makala zako hazikuwa sababu kabisa na hilo umeliweka kujifaragua tu.

Nimekuuliza swali kuhusu mwaka 1988 kwasababu wakati nakala zako zinachomwa moto Nyerere alishaondoka madarakani. Umegundua hilo ndiyo maana umekuwa unakwepa kwepa, unakimbia hovyo bila majibu.

Umeamua kumtaja Mayanja ambaye hakuwa serikalini wakati huo huo unaaminisha umma kuwa serikali ilichoma magazeti moto. Umetafuta mahali pa kujitficha chini ya mwamvuli wa CCM

Kwasababu hadithi ni ya kutunga umesahau kuwa wakati huo mwenyekiti wa CCM alikuwa Ali Hassan Mwinyi.
Kama ingekuwa kweli basi serikali iliyochoma moto magazeti kwa makala zako ni ya Mwinyi kwa maagizo ya CCM iliyokuwa chini ya Mwinyi.

Hadi hapo Nyerere hana mkono wake katika kazi zako na umemtetea bila kukusudia ingawa ulikusudia kumhukumu bila mashtaka.

Kama huna majibu ya kwanini serikali ya Mwinyi au chama kilichoma magazeti moto huna moral authority ya kusema hivyo kwasababu hujui! kutoa tuhuma kwa kitu usicho na ushahidi nacho ni uongo na uzandiki usiovumilika kwa mtu mwenye akili sawa sawa na anyezitumia ispokuwa wale walioamua kufunga tela.

Kijana wako kwakusoma bila tafakari amekimbilia kutuhumu kuwa aliyechoma magazeti (tumethibitisha ni hadithi) ni Nyerere. Hapa ndipo tunasema Mohamed unapata tija gani unapozua uongo na kuulaghai umma.
Hivi kitabu hakiuziki hadi utie hoja zisizo na majibu, mashiko au maana!

Kwa wasomaji naomba wafuatilie kwa umakini kuhusu swali la je,serikali alichoma moto magazeti ya AE 1988 kutokana na makala za Mo? na majibu yake ili kuelewa wapi alikwama kama ilivyo kawaida anapopelekwa katika ''kona''

Majibu ya Mohamed hayaonyeshi hilo kutokea na kama lilitokea basi Nyerere hakuhusika.
Uongozi wote wa juu wa CCM haukuhusisha mfumokristo.

Kwa uhakika na usahihi naweza kusema hili la magazeti kuchomwa moto ni;
1. Kujifaragua ili aonekane kama mtu aliyeisumbua serikali
2. Halina ukweli kama alivyoshindwa kulielezea achilia mbali kuthibitisha
3.Kumtuhumu Nyerere na mfumo kristo ili kujenga dhana ya chuki kwa jambo lisilowahusu

Kwa uhakika na uyakinifu nasema Mo hili la magazeti ni uzushi tu.
 
Mohamed unajua wazi kuwa watu 100K wanatufuatilia tunaowasaidia kuona kile kilicho katikati ya mistari yako. Unajua namna gani umma umeelewa nini dhamira na nia yako.

Hili la wewe kusema gazeti limechomwa moto, mimi nimekuambia mchana kweupe kuwa wewe ni muongo.
Mkasema nimehamaki ninywe maji, nimekunywa maji na wasomaji hadi sasa wametambua kuwa si kweli na kwamba ulichokusudia kukisema hakilingani na hadithi uliyotunga.

Ulichokusudia kusema kuhusu gazeti la AE ni kuonyesha jinsi gani makala zako zilivyokuwa moto hadi Nyerere akachoma magazeti moto. Ni kuonyesha jinsi Nyerere alivyomchukia Abdul Sykes.
Kwasisi wenye akili zetu, makala zako hazikuwa sababu kabisa na hilo umeliweka kujifaragua tu.

Nimekuuliza swali kuhusu mwaka 1988 kwasababu wakati nakala zako zinachomwa moto Nyerere alishaondoka madarakani. Umegundua hilo ndiyo maana umekuwa unakwepa kwepa, unakimbia hovyo bila majibu.

Umeamua kumtaja Mayanja ambaye hakuwa serikalini wakati huo huo unaaminisha umma kuwa serikali ilichoma magazeti moto. Umetafuta mahali pa kujitficha chini ya mwamvuli wa CCM

Kwasababu hadithi ni ya kutunga umesahau kuwa wakati huo mwenyekiti wa CCM alikuwa Ali Hassan Mwinyi.
Kama ingekuwa kweli basi serikali iliyochoma moto magazeti kwa makala zako ni ya Mwinyi kwa maagizo ya CCM iliyokuwa chini ya Mwinyi.

Hadi hapo Nyerere hana mkono wake katika kazi zako na umemtetea bila kukusudia ingawa ulikusudia kumhukumu bila mashtaka.

Kama huna majibu ya kwanini serikali ya Mwinyi au chama kilichoma magazeti moto huna moral authority ya kusema hivyo kwasababu hujui! kutoa tuhuma kwa kitu usicho na ushahidi nacho ni uongo na uzandiki usiovumilika kwa mtu mwenye akili sawa sawa na anyezitumia ispokuwa wale walioamua kufunga tela.

Kijana wako kwakusoma bila tafakari amekimbilia kutuhumu kuwa aliyechoma magazeti (tumethibitisha ni hadithi) ni Nyerere. Hapa ndipo tunasema Mohamed unapata tija gani unapozua uongo na kuulaghai umma.
Hivi kitabu hakiuziki hadi utie hoja zisizo na majibu, mashiko au maana!

Kwa wasomaji naomba wafuatilie kwa umakini kuhusu swali la je,serikali alichoma moto magazeti ya AE 1988 kutokana na makala za Mo? na majibu yake ili kuelewa wapi alikwama kama ilivyo kawaida anapopelekwa katika ''kona''

Majibu ya Mohamed hayaonyeshi hilo kutokea na kama lilitokea basi Nyerere hakuhusika.
Uongozi wote wa juu wa CCM haukuhusisha mfumokristo.

Kwa uhakika na usahihi naweza kusema hili la magazeti kuchomwa moto ni;
1. Kujifaragua ili aonekane kama mtu aliyeisumbua serikali
2. Halina ukweli kama alivyoshindwa kulielezea achilia mbali kuthibitisha
3.Kumtuhumu Nyerere na mfumo kristo ili kujenga dhana ya chuki kwa jambo lisilowahusu

Kwa uhakika na uyakinifu nasema Mo hili la magazeti ni uzushi tu.

Nyie mnatumia kauli zenu muongo mkubwa.

Hivi mwaka 1988 Nyerere alikuwa hana cheo chochote.

Leo unaandika kuwa CCM haina uhusiano na serikali.

Kumbe uwa mnajisumbua kuwapa lawama CCM kutokana kinachofanywa na serikali.
 
Ameruka kimanga anasema ni Mayanja wa CCM! Tumemuuliza Mayanja ndiye alitoa amri ansema hapana ni CCM. Kwamba CCM inaweza kutoa maagizo tu Polisi wakusanye.

Hanajibu kwasababu hesabu zake zilikuwa kwa Nyerere, kwa bahati mbaya sana anaongozwa na chuki bila ukweli mara zote anajikuta akitaja mwaka ambao Nyerere au mtu mwingine hakuhusika.

Ni huyu huyu Mohamed alituambia kuwa makamu wa kwanza wa rais mwaka 1988 kwenye maulidi Tabora alikuwa ni Kawawa. Aliongozwa na fikra tu na wala si ukweli na sidhani kama alijua nani alihudhuria! highly doubt

Hili la kukusanywa magazeti na kuchomwa moto si kweli eti ni kwasababu ya Mohamed Said! Ney uzushi tu kama ule wa Kawawa kuwa makamu wa rais mwaka 1988! Ni uzushi kama namba za mitihani. Ni uzushi kama Nyerere kuja Dar mwaka 1950, ni uzushi kama AA kuanzishwa na Sykes n.k. orodha inajaza kurasa 47.53 kwa kutaja tu.

Mohamed kama una lingine leta hili la AE limeshadhihirika kuwa ni uzushi tu.
Umeshindwa kulielezea na kudai Mayanja ndiye alichoma magazeti ya Africa Events moto!
please stop this Mo ! too low Mzee Said.

Hebu waweke wazi wanajamvi CCM haina nguvu ndani ya serikali ya Tanzania.
 
Anadai gazeti lilikusanya na dola kisha likachomwa moto, chini ya amri ya nyerere, ukweli nikuwa mwaka 1988 huo rais alikuwa ni Mwinyi, Nyerere hakuwa na cheo chochote nchini zaidi ya cheo cha familia yake tu.

Na zaidi kuthibitisha uongo wake ni kuwa hakukuwahi kutokea msako wa nyumba hadi nyumba katika historia ya nchi hii mpaka leo hi wakusaka magazeti yoyote achilia mbali hilo gazeti analolisema hapa.

Huu ni uzandiki wa wazi, uzushi huu ni hatari kwa taifa.

Julius Kambarage Nyerere angelikuwa baba kweli wala usingeandika hivi wenzako wangekuita muongo mkubwa au wangekuambia chutuma.

Kama Kambarage baba yako nenda kamuulize mama hivi eti mwaka 1988 baba alikuwa hana cheo chochote.

Mama akikupa jibu njoo nalo jamvini.
 
Ritz,

Hebu muuliza huyu ndugu yetu wapi nilipoandika
kuwa msako wa gazeti ulikuwa nyumba kwa nyumba?

Gazeti unalisaka nyumba kwa nyumba au unayanunua
kutoka kwa wauzaji?

Wameelemewa.
 
Nyie mnatumia kauli zenu muongo mkubwa.

Hivi mwaka 1988 Nyerere alikuwa hana cheo chochote.

Leo unaandika kuwa CCM haina uhusiano na serikali.

Kumbe uwa mnajisumbua kuwapa lawama CCM kutokana kinachofanywa na serikali.

Aliyekuwa RAis mwaka 1988 ni Mzee Ally Hassan Mwinyi - Muislamu. Aliyekuwa Waziri wa Habari (ambaye angekuwa ndiye aliyetoa agizo la kuzuia gazeti hilo) unakumbuka alikuwa nani?
 
Back
Top Bottom