Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

GombeSugu, nakushukuru kwa majibu,

Kuna mahali hujapembuka sawasawa,

Kwanza inaonyesha wazi kitabu cha mohamed Said tunachokinga hapa hujakisoma,

Pili historia ya uhuru huijui na hutaki kuruhusu akili yako iijue.

Jitulize kisha ruhusu fikra mpya kichwani na moyoni ndugu yangu
 
Mohamed Said unawaona main players hao

"One of the biggest challenges came to Nyerere from members of TANU. At the end of 1957 TANU was invited to participate in the first general election. TANU delegates gathered inTabora to discus various proposals that the government was advocating. The most contentiousagenda was the system of tripartite voting that the government was proposing for the comingelection to Legco. The debate became hot and furious. Many delegates under the leadership of Bhoke Munanka were advocating a boycott of the elections. They were calling for a generalstrike and mass demonstration against the elections. After four days of furious debate BhokeMunanka and Julius Nyerere both stood up to talk. Nyerere ended the debate with his wisdomand common sense. He gave forth a simple example. He told everyone: There is a large and beautiful house before us. But in front of it there is a mud puddle. For us to get into that beautiful house we must walk through the mud puddle. Are you willing not to walk through alittle mud to get into this house? This ended the argument"
 
Last edited by a moderator:
"One of the founding members of TANU, Abbas Sykes said, “He came at the right time. Usuallyif a man went away to university when he came back he would not be one with us; he would bevery sophisticated. But here was a man who had the same kind of education -- higher in fact, because he had an M.A. instead of a B.A. -- who was willing to be with his people. Thishumility--- ‘I’m willing to serve you’--- made everyone forget that he was from up-country andthat he wasn’t a Muslim.”

Kama mwalimu alikuwa na chuki na familia/ukoo wa akina Sykes basi huyu Abbas Sykes asingekuwapo kwenye serikali yake
 
Alaafu leo hii,hawa wafia dini wa gerezani wanataka kutuambia otherwise,labda wangefanikiwa iwapo hii world wide web isingekuwepo-its just a matter of thumping the keyboard and history unfolds
Angalia pia na ushuhuda huu hapa chini;

Arthur Wille. M.M. said:
Within three months of returning to Dar es Salaam Julius joined the Tanganyikan African Association. He had been a member of this organization when he was at Makerere. A much respected British Governor, Sir Donald Cameron, had originally allowed the establishment of the African Associationin 1929 as a social club for civil servants.

Julius quickly gained leadership and was elected president of TAA. He began by educating his followers to think about independence. Chief Patrick Kunambi who knew him well said that his leadership was not based on what Julius promised "because Julius practically never promised anything."

Another associate of his, Abdul Sykes, once said, "Nyerere made us start to think: all we wanted was independence." Because of this goal of independence Nyerere and his colleagues reorganized TAA as a political party, the Tanganyika African National Union, on July 7, 1954. It became better known as TANU and the date of it founding, the seventh day of the seventh month became Saba Saba (in Swahili "seven-seven").

His colleagues unanimously elected Julius as president of TANU. He was 32 years old at the time.
Kwamba huyo Abdul Sykes anayenukuliwa akimpa sifa Mwalimu Nyerere kwa kuleta mapinduzi ya fikra ndani ta TAA baada ya kuutwaa uongozi, ndiye huyo huyo Abdulwahid Sykes ambaye Mohamed Said anampa sifa zote za kuaasisi chama cha siasa, TANU, kilichopigania uhuru...makes one wonder!
 
Mohamed Said unawaona main players hao

"One of the biggest challenges came to Nyerere from members of TANU. At the end of 1957 TANU was invited to participate in the first general election. TANU delegates gathered inTabora to discus various proposals that the government was advocating. The most contentiousagenda was the system of tripartite voting that the government was proposing for the comingelection to Legco. The debate became hot and furious. Many delegates under the leadership of Bhoke Munanka were advocating a boycott of the elections. They were calling for a generalstrike and mass demonstration against the elections. After four days of furious debate BhokeMunanka and Julius Nyerere both stood up to talk. Nyerere ended the debate with his wisdomand common sense. He gave forth a simple example. He told everyone: There is a large and beautiful house before us. But in front of it there is a mud puddle. For us to get into that beautiful house we must walk through the mud puddle. Are you willing not to walk through alittle mud to get into this house? This ended the argument"
 
Last edited by a moderator:
Son of Alaska,

..huyu ni Balozi Abas Sykes.

..alikuwa balozi wetu Italy, na mara nyingi balozi wa Italy anatuwakilisha Vatican.

..sasa sijui kwanini Abas Sykes aliteuliwa serikalini, lakini Adulwahid hakuteuliwa mahali popote.

..naomba Mohamed Said atufafanulie hapa kidogo, maana huyu lazima ni mtu wake wa karibu.

..pia naomba kujua kama Abas Sykes alipewa nishani na Mwalimu mwaka 1985.

cc😡Jasusi, Ritz, Mag3

tunaomba ilm hapo Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi,
Hao hapo chini ndiyo waliohudhuria mkutano wa kwanza wa TANU.

Hebu yasome majina hayo na nipe uwezekano wa watu hao kumjua Nyerere:

TANU as a political movement had always existed in Abdulwahid's mind and he persistently and constantly worked for its realisation.

How do you know this? how do you know it "always existed" in someone's mind except by mere speculation?

A party to unite allthe people of Tanganyika irrespective of their ethnic identity or religious affiliation was now a reality.
Abdulwahid and the TAA leadership had plantedthe seeds of unity in Tanzania.

That is further from the truth; ingekuwa ni hivyo yasingetokea ya chuki dhidi ya Nyerere mwaka 1958. Na kama ingekuwa kweli leo wajukuu wa wazee wale wadini wasingekuwa wanaendeleza udini ule ule na utengano wa kijamii baina ya watu wetu.

If thatunity was to be destroyed soon after independence the founding fathers are not to blame.

But you are blaming one of the founding fathers - unless of course - he is not among the 'founding fathers'!!

The TANU inaugural meeting was attended by a small crowd of about twenty people, among them Julius Nyerere,Abdulwahid and Ally Sykes, Dossa Aziz, Rupia, Mshume Kiyate, Makisi Mbwana,Jumbe Tambaza, Juma Waziri, Clement Mtamila, Rajab Diwani, Schneider Plantan, MarshaBilali, Rashidi Ally Meli, Frederick Njiliwa Idd Faiz Mafongo, Idd Tulio, DenisPhombeah and others. Abdulwahid, Ally,Dossa Aziz and Rupia were the main financiers of the movement in Dar es Salaam.

Ungekuwa na uwezo kutotaja jina la Rupia kwa kweli usingelitaja; anaharibu dhana kuwa ni Waislamu peke yao ndio walikuwa wafadhili wa harakati hizo! Bahati nzuri historia haibadiliki. Japo Rupia alikuwa miongoni mwa wazee wa kuheshimiwa Dar humchukulii kwa heshima ya kuwa ni mmoja wa wazee 'wako' kwa sababu ya Ukristu wake. Sivyo?
 
Mohamed Said unawaona main players hao

"One of the biggest challenges came to Nyerere from members of TANU. At the end of 1957 TANU was invited to participate in the first general election. TANU delegates gathered inTabora to discus various proposals that the government was advocating. The most contentiousagenda was the system of tripartite voting that the government was proposing for the comingelection to Legco. The debate became hot and furious. Many delegates under the leadership of Bhoke Munanka were advocating a boycott of the elections. They were calling for a generalstrike and mass demonstration against the elections. After four days of furious debate BhokeMunanka and Julius Nyerere both stood up to talk. Nyerere ended the debate with his wisdomand common sense. He gave forth a simple example. He told everyone: There is a large and beautiful house before us. But in front of it there is a mud puddle. For us to get into that beautiful house we must walk through the mud puddle. Are you willing not to walk through alittle mud to get into this house? This ended the argument"
Hapa ndipo mtu anaweza akamfahamu Mwalimu Nyerere alikuwa ni mtu wa namna gani. Ninavyojua Mwalimu Nyerere na Bhoke Munanka wote walitoka eneo moja lakini ilipofika wakati wa kupambana kwa hoja, Mwalimu hakuangalia sura...hakuangalia undugu, hakuangalia ukabila, kuangalia rangi, hakuangalia ujinsia na hakuangalia udini, alipambana nawe kwa hoja kama ilivyotokea siku moja kwenye mkahawa wa Cosy Cafe;
Randal Sadleir, then Assistant Secretary for Legal Affairs, asked Fraser Murray who had told his friends about Nyerere, predicting that he would one day become Prime Minister of Tanganyika, if he could meet him. This was arranged to take place at the Cosy Café in Dar-es-salaam, where the three argued until 2 am...over brandy for which Murray paid. Sadleir was greatly impressed by Nyerere.
That was Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!
 
Son of Alaska,

..nadhani gombesugu hajui kwamba kuna watu wamezaliwa na kukulia mzizima, yet they never consider themselves to be from the city.

Mohamed Said,

..mimi kuna machache yananitatiza kuhusu Prof.Malima.

..kwanza inasemekana wakati wa Mwalimu Nyerere aliandika waraka kwa raisi akidai wale waliokuwa wakipendekeza marekebisho ya uchumi ni wasaliti. Je, unao waraka huo, au una habari ni kina nao hao ambao Prof aliwalenga??

..pili, kuna hii habari ya Mzee Mwinyi kukabidhiwa madaraka huku hazina ikiwa hoi bin taabani. sasa mimi nimeangalia record nikakuta waziri wa fedha aliyekuwa in-charge mpaka hazina ikawa tupu alikuwa Prof.Malima. Je, kama mtu unayemfahamu vizuri Prof una utetezi wowote ule kuhusu suala hilo??

Huwezi kusema una record halafu huutoi! Profesa Malima alikuwa Waziri wa mipango ya uchumi awamu ya Mwalimu kabla ya Mwinyi! aliyekuwa Waziri wa Fedha mtafute sio tukutafunie kila kitu!
 
Kama MS angekuwa mdini kama waandishi wa Kivukoni, basi asingemtaja Rupia ktk vitabu vyake!
Wewe nawe! huu mjadala unakuzidi kimo...kwa nini usibakie tu msomaji? Ni waandishi gani hao wa kivukoni unaowaongelea? Je umesoma hicho kitabu? Isiwe kazi yako ni kuitikia tu wimbo wa Mohamed Said...kasome mwenyewe hicho kitabu. Huyo mzee wako amewahi kuthubutu kujaribu kuudanganya umma wa JF kuwa Mwalimu hakumtaja mzee wake Abdulwahid Sykes katika hotuba yake alipowaaga Wazee wa Dar es Salaam. Kama kawaida alipigwa stop hapo hapo.
 
Hiyo hotuba imekuwa bidhaa adimu? au Yericko bado yuko njiani kufuatilia TBC? hata na RITZ alishajitolea kulipia gharama ili Yericko akaichukue lakini kaishia mitini!
 
Kwa ufupi inastaajabisha kama Serikali imekiona na kukiachia kitabu au vitabu vya Mohammed Said vitambe takribani miaka kadhaa na hata Bwana Nyerere mwenyewe nae hakuona haja ya kujibu,sasa huo uchochezi unatokea wapi!? Maana nafahamu kuwa vitabu vilivyoonekana hatari kama cha Prof. Njozi The Killings of Mwembechai, si tuliona havikuchua hata duru vikafungiwa!? Serikali za awamu kadhaa wamekikuta na kukiacha hiki kitabu ni kweli hwakuona au hawauoni huo uchochezi wa kuhatarisha amani ya nchi kama alivyodai Bwana Yericko Nyerere alipoanzusha mada!?

Mjomba ni hapa ndipo wengi mlipotekwa kimawazo, na ndiyo maana Mzee Saidi bila kujua anaongea na hadhira ya namna gani alishawahi kuja hapa na tambo "Mtaniambia nini nyie, mimi vitabu vyangu vinasomwa mpaka library of congress". Hiyo ni tambo katika mijadala aliyoizoea ilikuwa tosha kufanya mtu asiyefikiri kabla ya kumeza kuamini kuwa basi haya aliyoandika Mzee Saidi ni ya kweli. Tatizo alileta hiyo hoja hapa JF, wrong place. Tukamweleza kuwa na kitabu library of congress sio ujuvi wa ujuzi na haaimaanishi chochote kuhusu ukweli wa kilichoandikwa ndani ya hicho kitabu. Tukamletea live catalog ya the library of congress na kumuonyesha kuwa si mtanzania pekee aliyekuwa na kitabu kule hata Shigongo, Hammie Rajab na Musiba wanavyo. (Hii ilikuwa ni baada ya kijana wake kusema, ingekuwaje kama kuna "mgala" angekuwa na kitabu ndani ya the library of congress).

Mzee Saidi akasema tunamlinganisha na waandishi wa riwaya. Tukamwambia hapana kule kwenye hiyo maktaba kuna vitabu vingi tu vya kipuuzi na ambavyo si riwaya na tukaviorodhesha. Mojawapo ni kile cha Dinesh Disouza anachodai mama yake Obama (a sitting presidaa) alikuwa lijimalaya (Yes size was mentioned) aliyependa ku-fantasize na wanaume wa third world na kwamba ana mpango wa kuiangamiza Marekani kama kulipiza kisasi dhidi ya wakoloni wa Kenya.

Toka wakati huo ukawa mwisho wa tambo hiyo humu JF.
 
Kama MS angekuwa mdini kama waandishi wa Kivukoni, basi asingemtaja Rupia ktk vitabu vyake!

Muulize kwanini hamuiti Rupia ni mmoja wazee wake..wakati mchango wake kwenye harakati za Uhuru uko sawa kabisa na ule wa Abdulwahid Sykes..?
 
Mjomba ni hapa ndipo wengi mlipotekwa kimawazo, na ndiyo maana Mzee Saidi bila kujua anaongea na hadhira ya namna gani alishawahi kuja hapa na tambo "Mtaniambia nini nyie, mimi vitabu vyangu vinasomwa mpaka library of congress". Hiyo ni tambo katika mijadala aliyoizoea ilikuwa tosha kufanya mtu asiyefikiri kabla ya kumeza kuamini kuwa basi haya aliyoandika Mzee Saidi ni ya kweli. Tatizo alileta hiyo hoja hapa JF, wrong place. Tukamweleza kuwa na kitabu library of congress sio ujuvi wa ujuzi na haaimaanishi chochote kuhusu ukweli wa kilichoandikwa ndani ya hicho kitabu. Tukamletea live catalog ya the library of congress na kumuonyesha kuwa si mtanzania pekee aliyekuwa na kitabu kule hata Shigongo, Hammie Rajab na Musiba wanavyo. (Hii ilikuwa ni baada ya kijana wake kusema, ingekuwaje kama kuna "mgala" angekuwa na kitabu ndani ya the library of congress).

Mzee Saidi akasema tunamlinganisha na waandishi wa riwaya. Tukamwambia hapana kule kwenye hiyo maktaba kuna vitabu vingi tu vya kipuuzi na ambavyo si riwaya na tukaviorodhesha. Mojawapo ni kile cha Dinesh Disouza anachodai mama yake Obama (a sitting presidaa) alikuwa lijimalaya (Yes size was mentioned) aliyependa ku-fantasize na wanaume wa third world na kwamba ana mpango wa kuiangamiza Marekani kama kulipiza kisasi dhidi ya wakoloni wa Kenya.

Toka wakati huo ukawa mwisho wa tambo hiyo humu JF.

Nyambala,

Kama umechukulia hiyo ni kutamba basi si mwisho wa kutamba.

Nifahamishe kama kitabu cha kaka yangu Hammie Rajab, Shigongo nk. kama
vimepata review katika majarida ya kisomi.

Kitabu changu kina review mbili ndani ya Cambridge Journal of African History.
Moja ya John Iliffe na nyingine ya Jonathan Glassman.

Nadhani unawatambua mabingwa hawa wa historia ya Afrika.

Zipo nyingine...

Kutokana na kitabu hicho nimealikwa Chuo Kikuu cha Ohio na Chuo Kikuu Cha
Northwestern, Chicago ambako kote nimefanya mihadhara.

Au unataka nikuwekea hapa chini na vyuo vingine hapa Afrika ambavyo nimepata
kualikwa na kuzungumza?

Nilipata kuwa member wa Library of Congress zaidi ya miaka 25 iliyopita na katika
nchi nzima hatukuzidi watu watano.

Walimu walionisomesha hawakupata kupewa heshima hiyo.
Aliyekuwa akitoa hiyo alikuwa Mkurugenzi wa USIS.

Alipata kunisoma na ndiyo akanitunuku uanachama huo.

Bado unataka ''tambo'' zaidi au niishie hapa?

Ati mimi sijui hadhira ya JF...
Hivi wewe Nyambala kutia timu yako katika kiwanja hiki unaona ndiyo umefika?

Hapa si mdadi wako tu unaandika?
Uwanja huu si ''free for all?''

Hii si Hyde Park?

Wewe unajua timu yangu ishacheza viwanja gani duniani?
Fanya staha lau kidogo hata kama jina langu ni Mohamed.
 
Hiyo hotuba imekuwa bidhaa adimu? au Yericko bado yuko njiani kufuatilia TBC? hata na RITZ alishajitolea kulipia gharama ili Yericko akaichukue lakini kaishia mitini!

Soma hiyo hotuba ya maandishi ya rangi ya bluu, ukiiamini hiyo hutahitaji video tena.
 
Back
Top Bottom