Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ndomana tukawa tunasema nyerere aliasisi mfumo kiristo na kuwachukia waislam wenye mcmamo kumbe alikuwa analipa fadhila kwa nauli aliyopewa na kanisa kwenda un kama ni kweli hilo usemalo

Je unayafahamu makubwa yaliyofanywa na waislamu juu ya uhuru kupitia kwa kiongozi wao wakiroho Shehe Issa bin Amir?

Kilichopiganiwa ni uhuru wa watanganyika na Tanganyika yetu sio imani zao mkuu,

Soma makala yangu hapo juu kwa umakini
 
Historia ya tanganyika haina miaka mingi kiivyo kusema eti kuna usaulifu ndani yake! Kinachoonekana hapa ni ushindani wa eeti ni dini gani shawishi iliyoleta mapinduzi kutoka kwa hawa jamaa zetu,Nafkiri wajerumani hawakupenda ku Give up on us mapema kiiivyo! There must be something hiding in there na sisi ndicho Tunakisubiria liongelewe hapa!! Kama mmeamua kuliongelea hili mtupe contra vision saafi

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Ndomana tukawa tunasema nyerere aliasisi mfumo kiristo na kuwachukia waislam wenye mcmamo kumbe alikuwa analipa fadhila kwa nauli aliyopewa na kanisa kwenda un kama ni kweli hilo usemalo

Kama hiyo nauli kanisa hilo bado limeendelea kututolea nauli katika mambo mengi sana hadi leo mashuleni, mahospitalini n.k
Kutoa ni moyo sio utajiri
na
Uugwana ni kitendo.
 
Ndomana tukawa tunasema nyerere aliasisi mfumo kiristo na kuwachukia waislam wenye mcmamo kumbe alikuwa analipa fadhila kwa nauli aliyopewa na kanisa kwenda un kama ni kweli hilo usemalo

Isalia,
Huyo Yericko hana moja alijualo.

Mimi siwezi kuingia ubishi na yeye.
Maryknoll walitoa msaada safari ya pili ya UNO·

Safari ya kwanza iligharamiwa na TANU wenyewe na Al Jamiatul
Islamiyya fi Tanganyika.

Idd Faiz ndiye alikuwa mweka hazina wa TANU na Al Jamiatul Islamiyya
na ni yeye alikuwa mkusanyaji wa fedha za safari ya Nyerere.

Itakuwa kichekesho mie kujibishana na Yericko kuhusu historia ya TANU.
 
NYERERE huyo

At the same time he taught and encouraged all to respect other peoples' religious beliefs. He had raised money in Canada and with some help from the Tanzanian bishops wasable to build a Catholic Church in his village of Butiama. Italians came to build this church.On the day it was blessed he was very happy because now it would be handy for him to go tomass every day. He was retired at this time and living in Butiama. After the blessing of thechurch in Butiama at the celebrations that followed he was asked to speak. He told theCatholics there that they should help the Muslims in Butiama to build a mosque so that they toocould have a place of worship. This mosque was built under the supervision of the army.
 
. Halafu soma hii hapa. Nyerere alikuwa katibu wa tawi la Tabora. Ukishasema HQ ina maana ilikuwa inajua nani anaongoza chama na eneo gani. Unless HQ ilikuwa ndio nchi nzima sentensi hii ina mashaka makubwa. Hata hivyo Nyerere alipokutana na Dosa hakuna shaka waliongelea kuhusu chama na hasa HQ. Kwa mantiki hiyo Dosa atakuwa amemweleza nani anafanya nini HQ na hapo jina la Abdul lazima litokeo. Sijui kama kuna ukweli kuwa Nyerere aliksikia habari za Sykes akiwa Uingereza kupitia Mwapachu.
Hapa anaonyesha jinsi Nyerere alivyokuwa dhalili mbele ya Abdul. Lakini anajichanganya kwasababu experience ya siasa alikuwa nayo kuanzia Tabora alipokuwa katibu wa Tawi, Makerere alipotaka kuanzisha TAWA na Uingereza alipokuwa exposed katika world politics. Kulinganisha watu hawa wawili ni kutafuta udhalili wa mmoja wapo. Tuwaheshimu kama historia ilivyo na si kutumbukiza chuki, fitna na husada katika historia iliyojikamilisha bila chumvi, hamira au magadisodaHapa tunaona uwepo wa Nyerere ndio uliozaa neno Nationalist na si Uislam. Hili ni jambo jema Ahaa kumbe hawa watu walikaa kama nationalist kwa ajili ya kumkomboa mwafrika. Jambo jema kwasababu inaonyesha hawakukaa kama waislam bali nationalist. ) Hapa Mohamed ameshabadili historia kwa utashi wake. Amesema Nyerere aliongea na kundi pekee la waislam. Ukweli ni kuwa aliongea na wazee wa Dar es Salaam kama alivyokuwa anaongea nao wakati akaitaka kulihutubia taifa. Hakuna mahali popote panapoonyesha Nyerere alifanya hivyo kwa ajili ya waislam. Mohamed ameondoa neon Nationalist kama tulivyoona hapo juu na kuja na kitu ambacho hakikuwepo katika historia au ukweli.
Hata leo JK anapoongea na wazee wa Dar es Salaam haongei nao kama waislam, ndivyo ilivyokuwa kwa Mkapa na Mwinyi. Ni chumvi na hamira ili ngano iumuke na wala si ukweli au historia. Nadhani hata Tabora ilikuwa ni hivyo na Nyerere aliweza kutia mguu na kuwa katibu wa tawi. Aliokwenda kuonana na Abdul Nyerere ahakufanya hivyo bila makusudio. Hata hivyo inaonekana wazi kuwa elimu yake ilikuwa msaada kwa TAA na hivyo bila kujali imani yake uwezo wa kuwa na political base ulikuwepo, lilikuwa suala la muda tu. . Si kweli, Nyerere alianza siasa kabla ya kuonana na Abdul Sykes. Mwaka 1947 alipokutana na Dosa hakukutana naye kama mwakilishi wa wanafunzi au wakulima. Alikuwa katibu wa tawi na hata Makerere alishakuwa na political ambition.Mtu aliyewahi kuhudhuria mkutano mkuu wa TAA haiwezekani awe ameanza siasa baada ya kukutana na Abdul. After Abdulwahid and Nyerere had gone out, voting began. Anajichanganya hapa.Kama matokeo yalishapangwa kwanini kuwe na utata huu. Kura zinaonyesha zilipigwa kwa mikono sasa ni kweli kuwa hakukuwa na ukweli kwa watu wengine ambao ulijulikana baada ya uchaguzi hadi watu wawili au watatu tu watuambie kilichotokea. Na matokeo ya kupangwa kwanini kura zirudiwe mara tatu.Then Mo anaweka historia yake mwenyewe kutoka chumbani

Nguruvi,
Ulikuwa unayajua hayo niliyoandika?

Ulipata kusoma au kusikia popote habari hizo nilizoleta jamvini?
Ikiwa hukubalianinazo ni sawa kwangu.

Mie sizungumzi na wewe.
Wewe ni mtu mmoja.

Mimi natoa darsa kwa huu umma unaoingia JF kusikiza
mnakasha.

Watazamaji sasa ni saizi ya Aztec Stadium, Mexico City...
130, 000...

Hawaingii uwanjani kusikiliza maswali na ubishi.
Wanakuja kusikiza kisa gani leo kitakuwa uwanjani.
 
Isalia,
Huyo Yericko hana moja alijualo.

Mimi siwezi kuingia ubishi na yeye.
Maryknoll walitoa msaada safari ya pili ya UNO·

Safari ya kwanza iligharamiwa na TANU wenyewe na Al Jamiatul
Islamiyya fi Tanganyika.

Idd Faiz ndiye alikuwa mweka hazina wa TANU na Al Jamiatul Islamiyya
na ni yeye alikuwa mkusanyaji wa fedha za safari ya Nyerere.

Itakuwa kichekesho mie kujibishana na Yericko kuhusu historia ya TANU.

How come in the first instance ulisema,the church was against Tanganyika"s independence-bada ya kubanwa na historians humu,ukalegeza stance
 
Nimekuelewa mzee MS tatizo kuwafahamisha watu wa aina yericko kuna kazi na ustahamilivu mkubwa maana tabia yao kujiona wanajua kuliko watu wengine
 
How come in the first instance ulisema,the church was against Tanganyika"s independence-bada ya kubanwa na historians humu,ukalegeza stance

Son...
Hakuna wa kunibana.

Hilo la kanisa kupinga TANU linajulikana sana.

Waliovunja ngome hiyo huko Jimbo la Kusini ni akina
Masoud Mnonji, Yusuf Chembera, Salum Mpunga,
Shariffa biti Mzee Sheikh Mohamed Yusuf Badi na
wengineo.

Hiki kisa maarufu kipo katika kitabu changu.
 
Nguruvi,
Ulikuwa unayajua hayo niliyoandika?

Ulipata kusoma au kusikia popote habari hizo nilizoleta jamvini?
Ikiwa hukubalianinazo ni sawa kwangu.

Mie sizungumzi na wewe.
Wewe ni mtu mmoja.

Mimi natoa darsa kwa huu umma unaoingia JF kusikiza
mnakasha.

Watazamaji sasa ni saizi ya Aztec Stadium, Mexico City...
130, 000...

Hawaingii uwanjani kusikiliza maswali na ubishi.
Wanakuja kusikiza kisa gani leo kitakuwa uwanjani.

Hapa ndipo unapojidanganya; watu hawaji kusoma porojo. Wengi wanakuja kujifunza ukweli wa historia na wanajifunza jinsi ya kukosoa historia hiyo. Baadhi yao walikuwa wanaamini umeandika historia na walikusoma au kukusikia huko pembeni ambako hakuna mtu aliyekupa changamoto. Ulidhani uwanja ni wewe na goli! Hakuna mabeki, hakuna golikipa. Kila siku ulikuwa unashika mpira unaweka kwenye matuta 12 na unafunga magoli; jinsi utakavyo.

Sasa wamewekwa makipa unaanza kuja juu; ooh mbona anazuia hadi penati; sasa zimeingizwa timu unasema washangiliaji wananishangilia mimi...! Timu yako inafungwa unaendelea kudai mbona ulikuwa unafunga peke yako penati bila kipa..

Uwanjani hachezi mmoja... hawakusomi peke yako na kwa hakika masimulizi yako yana uzuri mahali pamoja tu - ukizungumzia mambo ya misafara yako, ulikutana na nani wapi, na ulikula nini... hapo tu ndio naona raha...
 
Hiyo haina shida twende kazi!!!!!!!!! Lakini unayakumbuka haya maandishi yako hapa chini? Maana ndiyo asili ya why I told u wht am doing, na kama umewahi kuona mimi nikitamka hivyo kwenye mada hii plse iambie hadhira. All in all tunaweza hata kuanzia huko kwenye maritime, though I know u have neva done uhandisi anywayz lete darsa nikupe darsa.

Ahlan wasaalan.
 
hapo,Nyerere full of confidence,in the heat of the moment aliisema hiyo methali kwa kiswahili-the world press ikawa baffled huyu mtu aliyetafsiri kitabu the shakespeare,kasema nini and they scrambled for english dictionaries-only to realise later it was swahili

There is a commonly used Swahili proverb translated into English as:When elephants fight the grass (reeds) gets hurt.
It means the feeling of powerlessness in the midst of larger forces.

In the 1970s Julius Nyerere used this proverb in a speech at the United Nations in NewYork. He explained that in the Cold War between the (then) two great super powers -- theUnited States and Russia -- it was the poor Third World countries such as those in Africa whosuffered and were victimized
 
Hapa ndipo unapojidanganya; watu hawaji kusoma porojo. Wengi wanakuja kujifunza ukweli wa historia na wanajifunza jinsi ya kukosoa historia hiyo. Baadhi yao walikuwa wanaamini umeandika historia na walikusoma au kukusikia huko pembeni ambako hakuna mtu aliyekupa changamoto. Ulidhani uwanja ni wewe na goli! Hakuna mabeki, hakuna golikipa. Kila siku ulikuwa unashika mpira unaweka kwenye matuta 12 na unafunga magoli; jinsi utakavyo.

Sasa wamewekwa makipa unaanza kuja juu; ooh mbona anazuia hadi penati; sasa zimeingizwa timu unasema washangiliaji wananishangilia mimi...! Timu yako inafungwa unaendelea kudai mbona ulikuwa unafunga peke yako penati bila kipa..

Uwanjani hachezi mmoja... hawakusomi peke yako na kwa hakika masimulizi yako yana uzuri mahali pamoja tu - ukizungumzia mambo ya misafara yako, ulikutana na nani wapi, na ulikula nini... hapo tu ndio naona raha...

Nguruvi,
Nimekusikia.
 
Son...
Hakuna wa kunibana.

Hilo la kanisa kupinga TANU linajulikana sana.

Waliovunja ngome hiyo huko Jimbo la Kusini ni akina
Masoud Mnonji, Yusuf Chembera, Salum Mpunga,
Shariffa biti Mzee Sheikh Mohamed Yusuf Badi na
wengineo.

Hiki kisa maarufu kipo katika kitabu changu.

THERE we go again-una force king
 
kweli watanzania sasa tumechoka. ndio maana tunakaa na kujadili tusiyoyajua na tunajifanya tunayajua sana.
 
Eti,Inspector General wa police, Hamza Aziz amekataa kutii amri ya Rais Nyerere ya kumkamata Sheikh Hassan bin Amir.
Nyerere huyu tunaemjua au mwingine?? Hizi porojo nyingine!!!! ndio maana nilikuuliza nana hasa mlengwa wa vitabu vyako???

Son...
Hilo nilosema ni kweli limetokea.

Wengi katika duru la Waislam wakati ule wanajua kuwa
Sheikh Hassan bin Amir hakukamatwa na polisi.

Amini unachopenda.
Mimi nimeeleza yale ninayoyajua huna lazima ya kuniamini.
 
Ndomana tukawa tunasema nyerere aliasisi mfumo kiristo na kuwachukia waislam wenye mcmamo kumbe alikuwa analipa fadhila kwa nauli aliyopewa na kanisa kwenda un kama ni kweli hilo usemalo
Babu yako Mohamed Said alipotakiwa atoe "Definition" ya "mfumo kristo" hakuwa nayo alibaki akilialia hapa kiwaomba wahisani na mashabiki wake wamsaidie ambao nao walishindwa kabisa! Sasa wewe unarudisha shubiri hiyo kwa mzee wako! sijui unaweza kutupatia tafsiri yake?
 
Kwa taarifa yako Nyambala hapo kwenye red sio kilicho tuleta kwenye huu uzi hayo ni mambo yako binafsi na familia yako na wala hayatuhusu usitutoe nje ya mada kama unaona vipi nenda kwenye jukwaa la mambo mchanganyiko sio huku upo hapo broooooo.
Boko, usiwe unaleta upuuzi wako kabla hujasoma na kuelewa mambo, unajiaibisha bwana mdogo. Mbona zee lako puuzi lilipo kuja na tambo zake mfilisi za kutembea duniani kote kutetea upuuzi wake wewe ulikaa kimya, au pale lenyewe lilipotamba kwamba shughuri zake ni "maritime" wewe hukuliambia hayo ni yake na familia yake? wacha utoto na ushabiki wa kipumbavu wewe!
 
Back
Top Bottom