Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
Nguruvi,
Ulikuwa unayajua hayo niliyoandika?
Ulipata kusoma au kusikia popote habari hizo nilizoleta jamvini?
Ikiwa hukubalianinazo ni sawa kwangu.
Mie sizungumzi na wewe.
Wewe ni mtu mmoja.
Mimi natoa darsa kwa huu umma unaoingia JF kusikiza
mnakasha.
Watazamaji sasa ni saizi ya Aztec Stadium, Mexico City...
130, 000...
Hawaingii uwanjani kusikiliza maswali na ubishi.
Wanakuja kusikiza kisa gani leo kitakuwa uwanjani.
Acha kujimilikisha huu ukumbi,tusikilize kipya kipi na kuna viporo vya maswali kuhusu maandiko yako hujajibu hapa?
Unataka kutulisha tu kama ulivyozoea?Watu wanakushangaa wewe unasema wanakusikiliza!?
Unasema Mzee Mwanakijiji anaropoka!?sasa kama hayo ya Mwanakijiji ni kuropoka sijui wewe na maandiko yako tukuitaje?
INAKUUMA KUONA MWANDISHI MWENZAKO ANAKUKOSOA sasa umebaki kusema unampuuza!
Uwezo wa Mzee Mwanakijiji ni mkubwa sana kulinganisha na wewe,waropokaji hujawaona humu wanakuja na ID mbili mbili
Unashindwa kutetea maandishi yako unaleta chuki,Ni aibu kubwa!
Huu uzi bila Nguruvi3 et al ningekuwa nishaachana nao siku nyingi sana.
Last edited by a moderator: