Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nguruvi,
Ulikuwa unayajua hayo niliyoandika?

Ulipata kusoma au kusikia popote habari hizo nilizoleta jamvini?
Ikiwa hukubalianinazo ni sawa kwangu.

Mie sizungumzi na wewe.
Wewe ni mtu mmoja.

Mimi natoa darsa kwa huu umma unaoingia JF kusikiza
mnakasha.

Watazamaji sasa ni saizi ya Aztec Stadium, Mexico City...
130, 000...

Hawaingii uwanjani kusikiliza maswali na ubishi.
Wanakuja kusikiza kisa gani leo kitakuwa uwanjani.

Acha kujimilikisha huu ukumbi,tusikilize kipya kipi na kuna viporo vya maswali kuhusu maandiko yako hujajibu hapa?

Unataka kutulisha tu kama ulivyozoea?Watu wanakushangaa wewe unasema wanakusikiliza!?

Unasema Mzee Mwanakijiji anaropoka!?sasa kama hayo ya Mwanakijiji ni kuropoka sijui wewe na maandiko yako tukuitaje?

INAKUUMA KUONA MWANDISHI MWENZAKO ANAKUKOSOA sasa umebaki kusema unampuuza!

Uwezo wa Mzee Mwanakijiji ni mkubwa sana kulinganisha na wewe,waropokaji hujawaona humu wanakuja na ID mbili mbili

Unashindwa kutetea maandishi yako unaleta chuki,Ni aibu kubwa!

Huu uzi bila Nguruvi3 et al ningekuwa nishaachana nao siku nyingi sana.
 
Last edited by a moderator:
ukiisoma comment hii kwa makini huwez jitosheleza kama imeandikwa na mtu mzima au mtu mwenye hekima zake,ni maneno yaliyochuja na yasiyo na mashiko, na ndio kwa maana vijana wa mjini tunasema si vema kwa mzee kama huyu kushusha suruali na kuvalia chini ya kiuono'kata k',,,huko ni kujidhalilisha, na mara kwa mara tumemuusia kutojarib kujiweka katika level sawa na Moh Said,si size yake,anadhani ni masihara.. Sasa kwa kuwa kagoma kuipandisha juu ya kiuono suruali yake sisi tutaipandisha kwa nguvu ili kulinda heshima yake..

Wewe nilishakwambia ni STAN!,kuwa kama mimi tu hakika utafaidika sana

Ni ushauri tu.
 
Mwambie akae kitako apate funda tatu za maji. Tukiwa ndani ya uwanja wa Maracana, mzee aliingia na jezi na 9 aliyoivaa kwa miaka 15.

Baada ya muda akavaa 11 akitoa krosi kwa vijana. Hali imebadilika akacheza namba 6, akaenda vacation ya siku 7 lakini akarudi siku 3 kwani mashambulizi hayakuwa mazuri.

Kacheza namba 5 mambo si sawia, sasa amekuwa golikipa kama halikuingia basi atatoa kona ''nimekusikia''.
Gwalihenzi kiwewe kitu mbaya unaweza kumwita bamkwe shemeji! Kapoteza network, hajui missiles zinatoka eneo gani.

Ndani ya Wembley washabiki hawakuingia kuangalia mazoezi ya ManU wameingia kuangalia mpambano na Baca.
Baada ya kununua vitabu miaka 15 sasa wanajua waliuziwa Uwazi na risasi mchanganyiko. wanaitana wapo 130K.

Ha ha ha ha ha ha!!Mkuu unaheshima kubwa sana kwenye huu uzi,hawataki tu kukubali

Mi nikisema wewe ni LULU watu wanatishia kujitoa kwenye mnakasha,wanawaita wasomi Waropokaji!mi nashangaa sana!!!!
 
Hii ni kejeli ya historia; kwani kuzaliwa Dar au kuwa na asili ya Dar ndio kunamfanya mtu awe sumaku ya historia? Kwamba akipita tu njiani, au kwenye mitaa ya Dar basi historia inamganda kama vyuma vigandavyo sumaku? Historia haijalishi mtu kazaliwa wapi. Lakini pia inashangaza kusema kitu kama hicho; kila mtu anajua anakotoka. Watu wa Dar watawajua watu wa Dar; itakuwa kichekesho tuwalaumu watu wa Dar kwa kutoyajua majina ya watu wa Mwanza, au watu wa Arusha na Kilimanjaro kwa kutokuwajua watu wa Ruvuma na Masasi. Watu wa Dar walijuana na kwa watu wengine kutokuwajua hilo si jambo la kushangaza ndio sehemu ya ubinadamu wetu.

Leo uwalaumu wa Tanzania kwa kutokuwajua watu wa Cairo? kwa vile tu Cairo inafahamika sana ulimwenguni na historia yake?



You can not make up stories to create history! History is based on factual understanding of historical data and facts. Hata pale watu wanapoamua kuandika historia juu ya matukio yale yale mara nyingi kinachotofautiana ni fasiri ya yale matukio na siyo facts. Kwa mfano watu wakiandika historia ya Vita ya Uganda kuna mambo ambayo watu watakubaliana kuwa ni ya kweli (facts); lakini watatofautiana katika maana yake. Kuvunjwa kwa Daraja la Mto Kagera na majeshi ya Idi Amin was a historical fact; kwanini lilivunjwa Watanzania na Waganda wanaweza kutofautiana sana au kidogo.

Tatizo ni kuwa wewe na sisi hatutofautiani tu katika maoni juu ya historia; la hasha; tunatofautiana pia katika facts. In your narratives you have attempted - rather miserably - to create your own facts and call them historical facts! And the worst thing is that you do not allow other people (scholars or not) to challenge your assertions based on those 'facts'. Unataka watu wakubaliane tu kwa vile wewe umesema au kwa vile wewe ulisimuliwa!

Sasa unataka tukubaliane pia kuwa kuna historia mbili.. ya Waislamu wanaokubaliana na wewe (kwa hakika si ya Waislamu wote wa Tanzania japo unatumia hili kujipa uhodhi wa fikra za Waislamu) na ile ya Watanzania wengine au wasomi wengine.

Mzee Said you have the right to your opinions but you do not have the right to your own facts! This, for some of us is the crux of the matter.

Mbona unakuwa double standard mkubwa wetu.

Hizo ndiyo umeona kejeli mara zote mbona upo kimya watu wanavyotuita sisi wanywa gahawa, watu wenye akili za madrasa, wafia dini, hatutaki kusoma tunashinda vijiweni, wazee wetu wanapewa majina wanaitwa mwanameka.

Hizi kwako siyo kejeli kaka.
 
sikiliza wewe chakubimbi wa hoja,sio jukumu la Moh kukutaftia wewe au kuipa serikali hii solution ok? Wenyewe mnajua mlikua mna mission na vission gani,unataka upewe suluhisho la nin na ili likusaidie kwa kipi? Unaichukua hiyo mipicha yako unaibandika hapa nani imsaidie,kufeli kwa utawala wa TANU,kufeli kwa utawala wa CCM sisi hakutushulishi as long as vipaombele vya jamii hii ya kitanzania havikuwekwa katika mizani,na ni mpuuuz tuh ambae atakuwa hajasoma na kuelewa uhalisia wa kilichozungumzwa kwenye mjadala huu kuanzia mwanzo wa page hadi sasa,mmpewa reference kibao za kupitia na kujitosheleza,hatujaiona yakini ya dhati miongoni mwenu katika kuangalia kwa jicho la usawa kwa kile kilichondakwa na Moh zaid zaid ya hisia zenu za jesus won and muhammady lost,sisi hatupo hapa kwa hilo,hatupo hapa katika kufanya mihadhara ya mabishano ya qur an na injil, wewe na jamii yako kama mnaona ukweli huu hauna nafasi kwenu potezea,haujashikiwa bakora kuuamini wala kuukubali.. Na sisi hatuna cha kupoteza,jamii ishaelewa uhalisia ulivyo na watu wameshajua wapo walikosea na washachukua hatua thabiti za kuyaendea maisha haya ya dunia na maisha baada ya hapa,i.e akhera insha allah.. Hii kitu ipo serious zaid ya ufikiriavyo.. Na hamna la kufanya kuweza kuyabatilisha yalizozungumzwa.. Uwezo huo hamna nao..

Yale yote aliyoandika Nyambala haya ndo majibu yake!?Ujinga ni Mzigo!
 
Wewe nilishakwambia ni STAN!,kuwa kama mimi tu hakika utafaidika sana Ni ushauri tu.
Mara nyingi nimekuwa nakupuuza.. Sasa nakujib yes,The Big show = Stan and yet you are telling me to be like you., so,who the hell are you?.. Nadhan stan hapa ni wewe,na mimi siwez kuwa kama wewe na like wise,wewe huwez kuwa kama mimi,sikujui hunijui.. Tusijuane,, Mind your goddamned bussness.. Anaenifanya niwepo hapa ni Moh Said peke yake,and no one else...
 
Acha kujimilikisha huu ukumbi,tusikilize kipya kipi na kuna viporo vya maswali kuhusu maandiko yako hujajibu hapa?

Unataka kutulisha tu kama ulivyozoea?Watu wanakushangaa wewe unasema wanakusikiliza!?

Unasema Mzee Mwanakijiji anaropoka!?sasa kama hayo ya Mwanakijiji ni kuropoka sijui wewe na maandiko yako tukuitaje?

INAKUUMA KUONA MWANDISHI MWENZAKO ANAKUKOSOA sasa umebaki kusema unampuuza!

Uwezo wa Mzee Mwanakijiji ni mkubwa sana kulinganisha na wewe,waropokaji hujawaona humu wanakuja na ID mbili mbili

Unashindwa kutetea maandishi yako unaleta chuki,Ni aibu kubwa!

Huu uzi bila Nguruvi3 et al ningekuwa nishaachana nao siku nyingi sana.

Rapheri,
Mimi sina haja ya kubishana na wewe kuhusu nafasi yangu katika mnakasha huu.

Au hata nafasi ya yeyote yule katika kuieleza historia ya uhuru wa Tanganyika.
Wala mimi sishindani na yeyote yule katika ubingwa wa kuandika.

Wala sioni maya kwa yeyote yuke kuchangia katika mjadala huu.
Ushauri wangu kwako ni ujitulize, upunguze ghadhabu hapo ndipo nawe utasomeka
vyema katika hoja zako.
 
Jina linajihusisha lenyewe. Wewe ndiye muasisi wa neno mfumokristo na ninyi mumempa Sheikh kazi ya kuzunguka nchi nzima aelezee kuhusu mfumokristo.

Sheikh anasema ''mtu akipata fursa tafuta kichwa kimoja kifyeke kwa siri'' na akatolea mfano wa Mwamindi.
Tukiwauliza ndicho hicho mlichomtuma mnasema tusubiri maulamaa waje na hukumu ya Qisas.
Miezi inapita watu wanafyekwa na hatuoni maaulamaa.

Hadi hapo mimi nimehusisha vipi wewe na damu.
Nadhani automatic unajihusisha, sisi wengine tunaandika kinachotokea! au si kweli Bin Samitungo!

Ukipenda kuniita kwa ubini niite "Bin Said."
Ukisema "Bin Samitungo" huyo sasa umemwita babu yangu.
 
Mara nyingi nimekuwa nakupuuza.. Sasa nakujib yes,The Big show = Stan and yet you are telling me to be like you., so,who the hell are you?.. Nadhan stan hapa ni wewe,na mimi siwez kuwa kama wewe na like wise,wewe huwez kuwa kama mimi,sikujui hunijui.. Tusijuane,, Mind your goddamned bussness.. Anaenifanya niwepo hapa ni Moh Said peke yake,and no one else...

Mara nyingi mara ngapi wewe Mzigo!kuna kipi unachochangia humu cha maana zaidi ya kuonyesha tabia yako halisi...
Nakushauri endelea kunipuuza labda hii itakupa ahueni na wewe kuna mtu unampuuza.
Yale maneno ya Mwanakijiji kwako yafikirie mara mbili.
 
Mara nyingi mara ngapi wewe Mzigo!kuna kipi unachochangia humu cha maana zaidi ya kuonyesha tabia yako halisi... Nakushauri endelea kunipuuza labda hii itakupa ahueni na wewe kuna mtu unampuuza. Yale maneno ya Mwanakijiji kwako yafikirie mara mbili.
wewe mwanakijiji unamuona wa maana sana? Labda kwako,sisi hatuoni la maana analojiua zaid ya kuvaa suruali chini ya kiuno..! Mnasema Moh Said anaoga na watoto na kumkejeli huku mnamuacha huyo limbuken anaetembea huku kalegeza mavazi yake? Tutaenda jino kwa jino hadi mtujuze uchochez wa Moh said hapa., mufilisi wakubwa nyie...
 
Mzee Saidi mimi sipo hapakwa ubishi, kazi yangu moja tu kuweka records straight kwa yale nnayoyafahamu .

Kati ya unayosema unayafahamu ni haya kuhusu sensa ya 1957 na1967 .
Bwana mdogo hii sensa ina kurasa 109, na uzuri wake imeanza kwa kuelezea mapungufu, mojawapo ni kuwa hii ilikuwa ni sensa ya watanganyika weusi tu,
ilikuwa na limitations ya umri, kuna mahali haikufika, Lakini pia imeonyesha ni makabila yapi yalikuwa na watu wengi wakati huo, vipi unahitaji jedwali lake? Je hao waliokuwa wengi kikabila nao si wanatakiwa wajitokeze kudai haki yao kama inavyodaiwa kidini? Mwalimu wako ameshaitumia sana hii sensa kujengea hoja za kizushi, yes za uzushi. Sasa this tyme tunataka na hili nalo tuweke records straight. Ntanguliza Samahani sitakuwa na muda wa kujibu zisizokuwa hoja kulingana na mjadala huu..

Mimi nimekwambia hivi:
1.Hii kasoro ya kufanya sensa kwa watanganyika weusi tu ni kubwa sana.Tutajadili baadae.
2.Sensa imesema kuna sehemu haikufika,huo wingi wa makabila ulijulikanaje?.Naomba hiyo jedwali nayo ilete hapa.
3.Na pamoja na kwamba uwingi wao ni wa makisio wewe tayari unataka wawe ni kigezo cha waislamu kukaa kimya kudai haki zao.Mbali na hapo iwapo makabila hayo kutokana na sababu yoyote ile hawajaona sehemu waliyopunjwa au kunyimwa haki zao kuna umuhimu gani wa wao kudai chochote kutoka serikalini?
..

Nilipoona umechelewa kujibu nikaandika
Mie napita tu hapa.Nilikuwa naangalia kama Nyambala ametoka machimboni na yale majawabu ya sensa,naona bado.
Baada ya kumsoma Gombesugu narudi kwenye baraza yangu ya haluwa na kashata.
Baadae InshaAllah nitafungua kontena la futi 20 tu(sio kama lile la Dr.Slaa) niangalie kama ile kanzu yako size 62 itakuwemo.

Katika hali ya mshangao hilo limekuvutia zaidi na kukwepa kujibu ndipo ulipojibu
Mkuu unatakiwa utoke huko kwenye kudhania mambo ya kipuuzi ya ooh wale wa gahawa, haluwa na kashata, au sijui nani anaruhusiwa kuchinja, wagalatia etc. . Hiyo ni mijadala ya kitoto and u will neva c me there. Pls twende na kinachoendelea hapa. Bring it on!

Halafu ona ulivyokosa direction ghafla yameingia mambo ya Dr. Slaa, contena, kanzu which is all bull shyiiiiiiiiiiit!
Hizi habari za haluwa, kahawa na kashata kwetu waswahili ni kitu cha kawaida tu.Pia usijali kuhusu kontena la Dr.Slaa.Wewe endelea tu na kazi iliyokuleta hapa.Kila unachoona ni cha kitoto usijibu,achana nacho.
Naomba kwa uchache kati ya zile tatu angalau tuwekee
records straight kuhusu hii :
Sensa imesema kuna sehemu haikufika,huo wingi wa makabila ulijulikanaje?.
Tuletee na hiyo jedwali ya makabila na wingi wao.
Haya twende kazii...





 
Wale paka wapenda vya bwerere wanaoshinda shinda kwenye Ma-Bar kwa kuangalia wateja wanaoukula nyama choma kwa macho ya kutia huruma ili waonewe huruma na kurushiwa makombo ya mifupa ili wajaze matumbo yao wanalandana moja kwa moja na upande wa pili wa hawa jamaa wanaompinga Moh Said,wanachokifanya ni kusubiri point wanazohisi hizi tunaweza kumvamia Moh Said na kuzitia naksh naksh ili kuwathibitishia watazamaji kuwa Moh Said ni mzushi,lakin hadi hapa wamefeli,wameshindwa kabisa kuonesha uchocheza wa Moh Said ,na wanachofanya ni kudandia dandia hofa mbali mbali mfu ili kupata kwa kutokea, waache waendelee kuokota mifupa,sisi tunakula nyama mifupa twawaachia wao wazid kunenepeana wapenda vya bwerere hao..
THE BIG SHOW, unachoweze wewe ni kuuliza "Gesi itatoka au haitoki?" mambo mengine waachie wenyewe!
 
Kati ya unayosema unayafahamu ni haya kuhusu sensa ya 1957 na1967 . Mimi nimekwambia hivi: Nilipoona umechelewa kujibu nikaandika Katika hali ya mshangao hilo limekuvutia zaidi na kukwepa kujibu ndipo ulipojibu [/SIZE][/FONT][/COLOR]Hizi habari za haluwa, kahawa na kashata kwetu waswahili ni kitu cha kawaida tu.Pia usijali kuhusu kontena la Dr.Slaa.Wewe endelea tu na kazi iliyokuleta hapa.Kila unachoona ni cha kitoto usijibu,achana nacho. Naomba kwa uchache kati ya zile tatu angalau tuwekee records straight kuhusu hii : Sensa imesema kuna sehemu haikufika,huo wingi wa makabila ulijulikanaje?. Tuletee na hiyo jedwali ya makabila na wingi wao. Haya twende kazii...
Ami.. Wapumzishe kidgo.. Au wape juice ya muwa baridii wapoze koo..
 
  • Thanks
Reactions: Ami
wewe mwanakijiji unamuona wa maana sana? Labda kwako,sisi hatuoni la maana analojiua zaid ya kuvaa suruali chini ya kiuno..! Mnasema Moh Said anaoga na watoto na kumkejeli huku mnamuacha huyo limbuken anaetembea huku kalegeza mavazi yake? Tutaenda jino kwa jino hadi mtujuze uchochez wa Moh said hapa., mufilisi wakubwa nyie...
THE BIG SHOW.
Kuna watu huku kwa kutukana ni mabingwa hasa ikifika weekend nafikiri kuna kitu wakishakipata akili yao inaharibika, eti Mwanakijiji wanamuona anahoja za maana hivi wakiitwa waandishi na mwanakijiji ni mwandishi dah...nimekosa la kusema ngoja ninyamaze ninywe kwanza chai ndio nimetoka madrasa nasikia raha sana kwenda madrasa na najivunia kwenda madrasa tukaneni lakini madrasa siachi kwenda. Cc Mwanakijiji,Nguruvi3,Mag3,GWALIHENZI and Jasusi
 
THE BIG SHOW, unachoweze wewe ni kuuliza "Gesi itatoka au haitoki?" mambo mengine waachie wenyewe!
Gwali.
Hapo kwenye red ni kichagga au kipare tatizo lako unapoingia kwenye ukumbi wa jf unaingia kwa makeke sana tulia kwanza soma unachoandika kabla kupost najua utatukana lakini sikushangai na hii weekend, stuli ndefu at work
 
Yericko, thank you for your kind words kuhusu ile posting. Of course Mzee Said has my respects to you too. Changamoto za wawili nyie zimezaa perhaps the longest thread kwenye hii JF. Mr Gombesugu nadhani usimharakishe MS kufanya exit, wengi wanakuta ushauri wa aina hiyo kwa mtu aliye-join JF "last week" a bit queer. Sioni hatari ya "a rich debate" ili mradi tukawa educative na kupunguza hasira. Hii ni Forum, ndiyo shughuli yake. Mr. Yericko utaona kwamba hili tunalolifanya humu sisi sio wa kwanza tayari limeshasumbua vichwa vya wengi. Na mwelekeo ni kuwa sio mada ambayo utategemea muafaka karibuni. Sababu zake ni kuwa mwisho wa yote wachangiaji wana tabia ya kuwa "polarised" into their religion bases. Ili uone mada hii ilimsumbua hata Nyerere tunaemlaumu leo hebu soma kazi ya ifuatayo. Nimechukua kipande (vipande vichache sana) vya kazi ya dada Salma Maoulid kwenye Pambazuka Forum/Articles. Article nzima Utaikuta:Mwalimu Nyerere - Articles, Transcripts and Legacies | Racial And Religious Tolerance in Nyerere's Political Thought And Practice. Lakini kwa mfano anayo hii analysis

"……..If religion was off limits during President Nyerere's tenure, it is very much present in his life after his passing. A connection with a religious agenda is very palpable in the writings available on Nyerere by both Muslim and Christian writers. Christian (especially church-based) writers want to associate Nyerere's Christian values with his particular brand of politics whereas Muslim writers point out to such influence as blinding his worldview and preventing a more rational form of political culture from emerging. Academic writers on the other hand tend to support a move towards closer scrutiny of Nyerere's policies and deeds, possibly to better appreciate the complexity he represented as a political leader.

More interesting is the tendency to apply religious imagery or to converse in religious discourse of and about Nyerere. For instance it is telling that in one of the countless obituaries posted after his death Nyerere should be described in the following terms, "Julius Nyerere: Political messiah or false prophet?" This image of Nyerere as saviour produced a counter narrative that seeks to replace Nyerere with a Muslim Messiah in the form of Abdul Wahid Sykes emphasizing a male centric notion of leadership on the one hand and exposing entrenched yet silent religious misgivings on the other."

"……Church affiliated writers also advance the idea that Nyerere's efforts to cultivate mutual relationships with and between Christians and Muslims religious leaders ensured religious tolerance in Tanzania since independence. However, authors like Fairoz, al-Zinjibari and Said Mohammed, see Nyerere as a serious bulwark against the flourishing of Islam in Tanzania. Foremost they take issue with close association between Islam and slavery in the persona of the Arab in the country's political rhetoric and condemn the elevation of the role of the missionary and its institutions in Tanganyika's liberation.

Additionally, they accuse Mwalimu for relenting to the churches wishes in decisions detrimental to Muslims in Tanzania. To back their claims they list various incidents where Muslim leaders and institutions have been singled out by Nyerere, seriously compromising Muslim progress in Tanzania. Chief among them is the expulsion of numerous Tanganyikan Muslims from the executive leadership of TANU. Also, the incarceration of Muslims political, religious and community figures at various times in Tanzania's political history evidenced an uncomfortable relationship between Nyerere and Muslims".

"…….Nyerere clamped hard on Muslim institutions beginning by banning the All Muslim National Union of Tanzania and later the Muslim Education Union on February 25, 1965, an institution founded to train Muslims who were not allowed into the government primary schools. In 1968 he banned the EAMWS. Whereas political dissent among Muslims was stifled during Nyerere's reign, the right to free expression of the church - the Catholic Church in particular - was unhindered and constituted a formidable source of critique against government policy e.g. in publications like a Letter to my Superiors (See Sivalon; Mukandala et al.; Anderson)

Such singling out can, however, be contested as it was not just Muslims who were snubbed by Nyerere. Such a fate also befell some of his close friends like Oscar Kambona and Chief David Kidaha Makwaia, the latter a Roman Catholic. One of the most influential chiefs in East Africa, Chief Makwaia, facilitated the political rise of his long-time college friend Julius Nyerere by winning him British support as well as by securing the allegiance of Sukuma chiefs to TANU. Upon attaining uhuru Nyerere abolished the role of chiefs, and banished Chief Makwaia to the remote Tunduru District of the Southern Province for undisclosed reasons (Awam Amkpa, 2007). Kambona on his part was exile in Britain able to return to Tanzania after Nyerere resigned both the presidency and party headship.


"……..Nyerere's policies may have been conceived to promote national unity but undue preoccupation with conflict suppression in order to compel cooperation across ethnic, religious and racial lines may have stifled genuine coexistence and the positive acknowledgement of difference in Tanzania's multi racial and multi religious from evolving. Inherent racial and religious tensions became more pronounced since the early 1990s resulting in the sowing of seeds of discord among the people and communities given that, as argued by Chachage, it defends politics of exclusion and inclusion, privileges and denials whereby citizenship, rather than nationalism, patriotism and pan-Africanism became the real stuff.

Perhaps, then, Tanzania's current political outlook stifles the possibility of a unified nation, one that accepts difference of race, religion as well as opinion as integral to its political legacy. The challenge for future inter and intra racial and religious relations rests on the nation's ability to overcome racial and religious suspicion, as well as acknowledging residual institutional and individual biases impeding in the country's quest to forge a collective future."


Hizi paragraph mbili za mwisho ni conclusions zake. Binafsi nampongeza sana dada Salma kwa analysis yake ambayo ni nzuri sana. Article yake ni ndefu na ninashauri anayetaka aisome in full. Ukirudi kwenye uzi wetu, siku zote ni rahisi kuangalia jambo kama historian kwa kuwa wewe haupo kwenye saa na eneo la tukio. Huna "loss/gains" kama subject wako. kwa hiyo una raha ya muda wa kutafakari "options" kwamba hapa huyu angelifanya nini. Na ndipo unatumia sasa ANGE....; HAKU.....; ALI.....; inaishia kwenye kusifu, kulaumu, nk. Lakini ni nadra kwa wachambuzi wakajiweka wao kwenye mazingira ya mwenzao na wakajiuliza wao KWA MUDA NA MAZINGIRA ya mwenzao wangelifanya nini. Na hapa ndipo kazi ya mama huyu nampa sifa za kina cha kufikiri. Japokuwa binafsi sidhani kama Nyerere alikuwa na "fortune" ya muda wa kuyaacha maafikiano na mahusiano kati ya taasisi ya dini husika yajijenge yenyewe. Unapokuwa kiongozi na haswa wa nchi hii sio option ambayo ni ya maana kwako. Kwa vile utagundua hata Julius hakuwa na such a smooth relationship na Kanisa kwa kule kutaka kwake kila Mtanganyika a-access facilities zilizokuwa available through the church. Kwa mazingira ya sasa, huenda ndiyo tunarudi zaidi nyuma kuliko article hii ilivyo-analyse. Sidhani kama miaka ya karibuni tutampata kiongozi atakayethubutu kutaifisha kwa mfano shule na hospitali za madhehebu yake ya dini ili watanzania wengine wayafaidi halafu dhehebu lake hilo LEO limwache salama. Labda niko wrong. Na wala sijui kama suluhisho la kila perceived wrongs huwa ni ku-rewrite society history. Nchini Kenya, Mzee Jaramogi Odinga alifanya kazi kubwa sana katika kuikomboa nchi yake, lakini sidhani kama waKenya watakuelewa ukianza attempts za kuandika upya history ambayo Jomo Kenyatta is suddenly a do nothing Kikuyu and everything is being done by a Luo Odinga in historical importance. Au yeyote in South Africa for Mandella. Mtume Musa (as) alipoomba mtu wa kumsaidia kumkabili Firauni alipewa nduguye Haruni (as). Japokuwa "historia" imesheheni ujasiri na ushupavu wa Haruni katika majukumu yake dhidi ya Firauni, kwa waisraili na Mola wake, hebu re-organize history ili Haruni (as) sasa anapanda-chat kumzidi Musa (as)kama re-dress uone kama fundamentalist Jews watakuacha. Hata kama Haruni (as) alifanya most of the donkey work on the ground. Such is Life. Mifano hii iko nchi nyingi sana dunia hii.
 
THE BIG SHOW. Kuna watu huku kwa kutukana ni mabingwa hasa ikifika weekend nafikiri kuna kitu wakishakipata akili yao inaharibika, eti Mwanakijiji wanamuona anahoja za maana hivi wakiitwa waandishi na mwanakijiji ni mwandishi dah...nimekosa la kusema ngoja ninyamaze ninywe kwanza chai ndio nimetoka madrasa nasikia raha sana kwenda madrasa na najivunia kwenda madrasa tukaneni lakini madrasa siachi kwenda. Cc Mwanakijiji,Nguruvi3,Mag3,GWALIHENZI and Jasusi
Eti Ami,hata mi nashangaa,, mwanakijiji, mwanakijiji,hata angekuwa mwanatown, anadhan umaarufu alioupata hapa Jamii forum na kwingine eti basi anaweza kuja kufikia status ya Moh Said,Status hutafutwa,status haiuzwi mnadani au haigaiwi gurion..! Uandishi aujulie wapi? Nani anamjua yeye Tanzania hii sembuse duniani? Mwambie apandishe juu suruali yake..
 
hujui ni kwa namna gani upande flan umeathirika kwa usiri wa utawala wa julius na ustawi wa jamii ya kiislam,hujui,sisi wenyewe tunajua,tumeamua kutulia bila kuleta rabsha tokea miaka miaka kwa kuwa tumeamua kuweka utanzania mbele,wewe hulijui hilo. Sisi tunakuona mpuuzi tuh kama wapuuzi wengine,lazima ujue this issue is very serious,na sisi tumepambazukiwa sana na ukweli,wewe huna lolote la kutushughulisha,kaa ukipumbazika kuwa eti ya kwamba umeweza kuchallange maandiko hayo,ila ukweli hata moyoni mwako unajua.. Hatujauona uchochezi kwa kusemwa kwa ukweli,na hata mapungufu unayoyasema sio justification ya kuondoa uhalisia uliosemwa.. vICTORY WON...
THE BIG SHOW, kuana watu wamekushauri kwa busara kabisa kwamba wewe huu mnakasha huuwezi unachoweza ni kupiga makelele ya gesi kutoka au kutotoka huko Mtwara! Makelele yako haya kwenye rangi nyekundu ni muendelezo wa nyimbo zilezile za Mohamed Said ambazo wala hazina msingi wowote! wala chuki yako binafsi dhidi ya wanaomkosoa Mohamedi haisaidii kueleza ukweli wa mambo wala uwongo wa Mohamedi. Unakuwa kama nyani anapojitahidi kusetiri makalio yake kwa viganja vyake vya mikono lakini anakuja kudharirika pale anapolazimika kukwea miti kwa mikono! Tumewauliza kila mara ni wapi na nilini mtoto yeyote alinyimwa nafasi ya kuandishwa shule kwa sababu ya uislamu wake? hamjawahi kutoa jibu la maana zaidi vilio tu! Sasa soma hoja za Nyambala na kama una akili timamu zijibu tukusikie;
Gombesugu, that would have been the approach to a constructive discussion. In fact ukiangalia in totality kwa mambo yanayoendelea Tanzania leo hii kuhusu elimu na huduma za afya is a total sham and there is nothing to smile about. Mambo ni holela holela tu shule ni duni si za serikali au zile za madhehebu ya kiislamu au kikristo.

Sasa ss kama watanzania, watu wazima na educated tulitakiwa tusimame kwa sauti moja bila kujali dini ya mtu kupambana ili kuuondoa uholela huu. Kinachosikitisha kuhusu hoja za Mzee Saidi ni kuwa yeye "ameshakonkludi" kwamba kuna baadhi ya wanajamii selectively kwa sababu ya dini yao hawajafanikiwa kwa sababu ya dhulma. Ok fair enough, lete ushahidi hapo ndiyo kwenye ngoma. And make no mistake watanzania walio wengi hawapendi dhulma, there is nothing proud eti nipewe kazi kwa sababu ya dini yangu, au nipate 30% igeuzwe 80% kwa sababu nna dini moja na msahishaji, nipewe cheo kwa sababu ya dini yangu. Sasa ukisoma vizuri simulizi za Mzee Saidi ni kama vile huo ndiyo utaratibu na ukiwa mkristo umeula.

Leo kukiwa na kazi ofisini kwa Pinda wewe na mtoto wa Mwinyi mkawa qualified kwa hiyo nafasi unajua matokeo yake yatakuwaje, I can confidently tell u kwamba dini haitaplay hapo. na mifano ya namna hii ni mingi

Hebu angalia hizi picha hapa chini unaweza kuniambia hao watoto ni dini gani?????? Je kuna any compatibility ya hali hii na masimulizi ya Mohamed?


2i1zi8l.jpg


24ni2z6.jpg


Uwepo wa wengi wetu hapa si kumpinga mzee Saidi as a person bali ni kujadili narrative anayoidrive ambayo imeonekana na si mara moja kuwa inconsistent, illogical na incompatible na hali halisi. Simulizi za Mzee Saidi zinakuwa as if wakati hayo mambo yanatokea wengine tulikuwa Burundi au Gabon hivyo tunatakiwa tusikilize tu.

Huwezi kukaa kimya kama unaambiwa namba za mtihani zilianzisha na Malima alipokuwa waziri wa elimu, wakti unajua ulifanya mtihani kabla na kwa namba ya mtihani. Ghafla post za magoli zinahamishwa kwamba "hili sisi tunaitaka serikali ijibu siyo nyie" ebo sasa limeingiaje humu? Mtu anapodai Marehemu Prof. Haroub Othman alikuwa anajiandaa kuandika bayografia ya Nyerere ili kujibu kitabu chake wakati ukweli ni kuwa ilikuwa kiandikwe na watatu Otham, Mohdin na Ruhinda na hii ni baada ya watatu hao kumuomba mwalimu waandike bayografia yake. Sasa eti unatakiwa ukae kimya tu kwa sababu imesemwa na Mzee Saidi. Kwamba eti Tanganyika in 1950 ilikuwa mandate territory unatakiwa umeze tu.

Ukisoma vitabu vyake vyote na kungalia videos zake hakuna mahali Mzee Saidi anatoa suluhisho ya hicho anachokiita dhulma. Na ndiyo maana anaqualify kuitwa mchochezi.

I would have been very proud kushinda humu tujadili nini kifanyike ili wadogo zetu wapate elimu bora, wawe na access na huduma bora za afya na kupata ajira zinazoeleweka. Hatutapiga hatua hata siku moja kama tunasubiri sijui Vatican au OIC kutuletea haya. Unfortunately kuna mafundisho yanaendelea Tanzania kwamba usipofanikiwa, well wewe si kosa lako kuna mfumo unakubagua. It is such a wrong and sick premise to start with hasa kwa vijana wetu ambao ndiyo kwanza wanaingia kwenye ulingo wa kupambana na maisha.

 
Kati ya unayosema unayafahamu ni haya kuhusu sensa ya 1957 na1967 .

Mimi nimekwambia hivi:

Nilipoona umechelewa kujibu nikaandika

Katika hali ya mshangao hilo limekuvutia zaidi na kukwepa kujibu ndipo ulipojibu

[/SIZE][/FONT][/COLOR]Hizi habari za haluwa, kahawa na kashata kwetu waswahili ni kitu cha kawaida tu.Pia usijali kuhusu kontena la Dr.Slaa.Wewe endelea tu na kazi iliyokuleta hapa.Kila unachoona ni cha kitoto usijibu,achana nacho.
Naomba kwa uchache kati ya zile tatu angalau tuwekee
records straight kuhusu hii :
Sensa imesema kuna sehemu haikufika,huo wingi wa makabila ulijulikanaje?.
Tuletee na hiyo jedwali ya makabila na wingi wao.
Haya twende kazii...






Na unategemea mimi ntakuja kujadiliana na wewe huo utumbo, wewe unatakiwa uwe mtulivu mjadala unapoendelea kwa sababu huna inputs zozote zaidi ya upambe kazi ambayo bado hujaimudu. Mimi najadiliana na mwalimu wako ebo!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom