Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

[
QUOTE=Mandown;6099181]Jamanie ee, wale wazee wa Mohamed Said wanaanza kujitokeza wenyewe

Leo Gazeti la Mwananchi 10/04/2013 pg 14, kichwa cha habari "Asha Ngulumi: Mpiga debe wa Nyerere, alia kutothaminiwa"

link Asha Ngulumi:Mpiga debe wa Nyerere, alia kutothaminiwa - Habari Ya Ndani - mwananchi.co.tz

cc Mohamed Said
Mzee Mwanakijiji
Mwita Maranya
Mag3
Nguruvi3
Yericko Nyerere
THE BIG SHOW
Ritz[/QUOTE]

Acha kupotosha hiyo makala nimeisoma Mwananchi ndiyo wamefuata kwake Kinondoni kumuhoji na Florence Majani ndiyo kampinga hizo picha kwake Kinondoni.
 
Last edited by a moderator:

Ritz

Acha kupotosha hiyo makala nimeisoma Mwananchi ndiyo wamefuata kwake Kinondoni kumuhoji na Florence Majani ndiyo kampinga hizo picha kwake Kinondoni.[/QUOTE]

asante kwa kusahihisha
 
Sasa unachokipinga ni nini? hayo hayajaandikwa?
[h=1]Asha Ngulumi:Mpiga debe wa Nyerere, alia kutothaminiwa[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
bookmark
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email Rating

ngulumi.jpg
Kwa namna inavyoonekana ni kama viongozi nchini wamemsahau, kwani anasema maisha yake yamekuwa magumu. Japo wakati anapigania uhuru hakuwa na tegemeo la kulipwa, lakini anafikiri ni hekima kwa taifa kuwakumbuka watu ambao kwa namna moja ama nyingine walipigania maendeleo ya aina mbalimbali hapa nchini.
 
huu ndio umoja na undugu tunaotaka Tanzania.Lowassa amewapa msaada wa million 5,baraza la misikiti,tanzania,hafla imefanyika leo
 
Acha kupotosha hiyo makala nimeisoma Mwananchi ndiyo wamefuata kwake Kinondoni kumuhoji na Florence Majani ndiyo kampinga hizo picha kwake Kinondoni.
Sasa unachokipinga ni nini? hayo hayajaandikwa?
Asha Ngulumi:Mpiga debe wa Nyerere, alia kutothaminiwa

ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
bookmark
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email Rating

ngulumi.jpg
Kwa namna inavyoonekana ni kama viongozi nchini wamemsahau, kwani anasema maisha yake yamekuwa magumu. Japo wakati anapigania uhuru hakuwa na tegemeo la kulipwa, lakini anafikiri ni hekima kwa taifa kuwakumbuka watu ambao kwa namna moja ama nyingine walipigania maendeleo ya aina mbalimbali hapa nchini.[/QUOTE]

Muheshimiwa Mohamed Said kwakweli upo sahihi na kitabu chako ni cha ukweli kabisa achana na kina Yericko Nyerere, Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3 wapige kelele kwani watakuwa na agenda zao binafsi
 
Last edited by a moderator:
Jokakuu,
Hivi Wafanyabiashara huwa wanawezeshwa au kupewa ruzuku na Serikali? Hapa panazungumzwa hali ya Serikali kupendelea dini moja dhidi ya dini zingine usichanganye mambo!

Kisa cha Kitwana Kondo kupoteza ubunge wa Kigamboni kinabaki kuwa kichekesho mpaka leo! Kitwana Kondo kupoteza ubunge ktk jimbo lake ni sawa na Dr. Slaa ashindwe ubunge jimbo la Karatu na mgombea wa CCM!
Kipindi cha utawala wa awamu ya 3 kilitawala kimabavu na kwa udikteta wa hali ya juu na kiliweza kuamua nani awe Mbunge na toka chama gani!

Ndio maana huko Zanzibar, CUF huachiwa washinde Pemba na kuwapora majimbo ya Unguja kwa lengo la kuwagawanya Wazanzibari! Ktk jimbo la Temeke CUF walikuwa wakishinda uchaguzi na kuporwa ushindi lakini kwa kuwa Mzee Kitwana Kondo alijaribu kuhoji mfumo Kristo ndani ya Bunge, chama chake kikamshugulikia ipasavyo!
Eee! bwana wee.Fuumo hiloo....
Taarifa zaidi zinaonesha kwamba tume ya katiba imetupotezea muda wetu na fedha bure.Wana katiba yao tayari.
Hii iliyopo mfumo wanaona inatoa mwanya kwa waislamu kudai haki na wakawa wako halali kikatiba.
Hiyo Wariaoba anayoileta itakuwa kama patriotic act.
Huu uzi wa Yerico ni utangulizi tu wa kufuta hata historia ya waislamu.
Mungu (s.w) ndiye muokozi wa waislamu.
 
Mundungus Fletcher;
Mimi kusema Yesu si Mungu ni kwa mujibu wa Kitabu changu kitukufu! kusoma na kutangaza hayo ni haki yangu ya kidini na kikatiba! kama kusema Yesu si Mungu kutawahusisha Wakristo sio hayo tu mbona kuna mengi yaliyoko ktk Quran yanawahusisha Wakristo? sasa unataka nisusie kusoma kitabu changu kwa kuwa kitamhusisha Mkristo kwa namna moja au nyingine?
Well my mistake. Nilidhani unataka Tolerence kwenye Dini.

Wakristo hawawezi kudai Mtume Muhammad sio Mtume wa mwisho kwasababu hakuna ushahidi ndani ya Biblia kuthibitisha hilo bali Biblia inathibitisha kuja kwa Mtume Muhammad! lakini ktk Quran Allah anakanusha Uungu wa Yesu?
Ubishani huu hana mwisho trust me, Imani ni more than what is written in the Books.
 
Nguruvi.
Mkuu naomba uniletee uthibitisho kwamba kunamtu aliyeandika kwamba Nyerere alimuua Karume,halafu wewe kunajitiada gani ulishawahi kufanya kuwatafuta hao ulio wataja ukawauliza kuhusu aliyoandika mzee MS katika kitabu chake au wewe hukuwa na ubavu wa kuwafuata na kuwauliza kwasababu mimi habari zako zote ni za ku copy na kupaste sijawahi kukusikia ukisema uliongea na hata mtu mmoja walio kuwepo zama hizo ima aliye hai au aliyetangulia mbele ya haki so bro ushauri wangu kwako ili watanzania tusiendelee kudanganywa kama munavyosema huku mzee MS aliwashauri muandike kitabu chenu cha kupinga haya yaliyoandikwa na mzee MS kwasababu sio wote walio soma kitabu cha mzee MS wanapitia huu mtandao wa kijamii kuna wengine hawajui kitu kinaitwa jamii forum ingekuwa jambo la maana sana mkubwa.
Mimi nimeongea na akina Suleiman Kitwara kule Kamunyonge,Musoma.
Vijana wake walikuwa marafiki.Mzee huyu alikuwa mtaratibu na mcha mungu sana.
Hebu angali picha za mwanzo au muulize Mohamed huyu ni nani.

Sisi tukiongea nao hatupigi pua tunapata maarifa na kukupasia wewe. Post iliyopita nilikupa kitu kuwa nitapitia kwa Mzee Erasto Mangenya(chifu)una mjua huyo. Halfu December nitapita kule kwa akina Akili Daniel.

Umeshawahi kumsikia Mzee Hemed Mkali, hao tukiongea nao. Familia ya Magogo Mputa kwangu ni nyumbani.
Sisi wengine hatuna sababu za kujifaragua na kupiga pua, haaata! hekima tu.
Ndio maana tukimpeleka kona mzee huwa hatoki ila kwa time out!
Kuonana na wazee wetu ni hidaya na namshukuru mwenyezi mungu. Hakika tuna mengi tukieleza mtashtuka

Nshapata ugali kwa ndezi aliyeungwa na ngogwe. Ritz mashallah unatoka mate.
 
huu ndio umoja na undugu tunaotaka Tanzania.Lowassa amewapa msaada wa million 5,baraza la misikiti,tanzania,hafla imefanyika leo
Makanisani ameshamaliza kazi, sasa bado zamu ya kuwanunuwa Masheikh kazi imekwisha. Huyu jamaa bado sijaelewa pale ikulu kuna kitu gani anakitafuta. hii inatisha sana.
 
huu ndio umoja na undugu tunaotaka Tanzania.Lowassa amewapa msaada wa million 5,baraza la misikiti,tanzania,hafla imefanyika leo

Fahamu huyo anapiga kampeni yupo kisiasa zaidi alianza kanisani hata sitta alisema kataeni pesa zao ni vigumu kwa hali ya sasa paka na panya kuwa pamoja
 
Makanisani ameshamaliza kazi, sasa bado zamu ya kuwanunuwa Masheikh kazi imekwisha. Huyu jamaa bado sijaelewa pale ikulu kuna kitu gani anakitafuta. hii inatisha sana.

MITAA ya msikiti wa Manyema kwani ameshafika???
 
Son...
Hebu ingia katika faharasha (index) ya kitabu changu angalia Rupia.

Utaona katajwa mara ngapi.
Mara 42.

kwani swali ni kutajwa tu au idadi ya kutajwa? Mzee Rupia humuoni kama mmoja wazee wako japo ni miongoni mwa vinara wa harakati za Uhuru na mchango wake unaweza kushindanishwa na yeyote...
 
Mimi nimeongea na akina Suleiman Kitwara kule Kamunyonge,Musoma.
Vijana wake walikuwa marafiki.Mzee huyu alikuwa mtaratibu na mcha mungu sana.
Hebu angali picha za mwanzo au muulize Mohamed huyu ni nani.

Sisi tukiongea nao hatupigi pua tunapata maarifa na kukupasia wewe. Post iliyopita nilikupa kitu kuwa nitapitia kwa Mzee Erasto Mangenya(chifu)una mjua huyo. Halfu December nitapita kule kwa akina Akili Daniel.

Umeshawahi kumsikia Mzee Hemed Mkali, hao tukiongea nao. Familia ya Magogo Mputa kwangu ni nyumbani.
Sisi wengine hatuna sababu za kujifaragua na kupiga pua, haaata! hekima tu.
Ndio maana tukimpeleka kona mzee huwa hatoki ila kwa time out!
Kuonana na wazee wetu ni hidaya na namshukuru mwenyezi mungu. Hakika tuna mengi tukieleza mtashtuka

Nshapata ugali kwa ndezi aliyeungwa na ngogwe. Ritz mashallah unatoka mate.

Aah..!,nimecheka sana..
Jukwaa hili haliishi visa,pandisha suruali yako juu basi kidogo...
 
Mzee M,
Kupigwa marufuku kitabu cha Profesa Hamza Njozi na utawala wa Mkapa kama sio kujibu kiujeuri na kuonyesha mabavu ni nini?

Kadogoo,
Mkapa alipotoa changamoto kutaka ushahidi wa kisayansi hakuwa anatujua.

Baada ya kitabu Mwembechai cha Njozi ndipo walipokaa kitako na kujua kuwa
wapo Waislam wanojua siyo hao vibaraka BAKWATA.

Yale aliyoandika Njozi serikali haikuweza kustahamili yasomwe hadharani na
Waislam wajadili.

Hofu kuu iliingia na serikali ikaona salama yake ni kukipiga marufuku kitabu.
Hadi leo tunavyoandika hapa serikali bado iko kimya.
 
kwani swali ni kutajwa tu au idadi ya kutajwa? Mzee Rupia humuoni kama mmoja wazee wako japo ni miongoni mwa vinara wa harakati za Uhuru na mchango wake unaweza kushindanishwa na yeyote...

Usiombe Kuzeeka kwa njaa ya maarifa namna hii,inatisha sana.
Katika aliowaleza hajachagua mbona?kaelezea watu na wazee wengi sana Moh Said,wapo wazee ambao ni wazee wake kabisa wa damu na ameish nao,na pia wapo wazee wengine ambao amekuja kuwafaham ndani ya hizo harakati lakini hawez kuwajua in and out kama anavowajua wazee wake wa nasaba yake..
tatizo nyinyi watu wa sampuli ya yericko mnao wazee wenu lakini hamuijui historia yao..
sasa inashangaza sana,hiyo nasaba ni yenu au mmeidandia nasaba ya watu??
hotuba za babu zenu hadi muende TBC??What a shame..!
 
Mimi nimeongea na akina Suleiman Kitwara kule Kamunyonge,Musoma.
Vijana wake walikuwa marafiki.Mzee huyu alikuwa mtaratibu na mcha mungu sana.
Hebu angali picha za mwanzo au muulize Mohamed huyu ni nani.

Sisi tukiongea nao hatupigi pua tunapata maarifa na kukupasia wewe. Post iliyopita nilikupa kitu kuwa nitapitia kwa Mzee Erasto Mangenya(chifu)una mjua huyo. Halfu December nitapita kule kwa akina Akili Daniel.

Umeshawahi kumsikia Mzee Hemed Mkali, hao tukiongea nao. Familia ya Magogo Mputa kwangu ni nyumbani.
Sisi wengine hatuna sababu za kujifaragua na kupiga pua, haaata! hekima tu.
Ndio maana tukimpeleka kona mzee huwa hatoki ila kwa time out!
Kuonana na wazee wetu ni hidaya na namshukuru mwenyezi mungu. Hakika tuna mengi tukieleza mtashtuka

Nshapata ugali kwa ndezi aliyeungwa na ngogwe. Ritz mashallah unatoka mate.

Sawa mkubwa nimekusoma ngoja mzee MS atujuze na yeye
 
Back
Top Bottom