Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Umehamaki sijasema ni wa Dar nimesema akijulikana kama mtu wa Dar.
Kwahiyo baada ya mkataba wake kwisha alirudi Burundi. Kuna mahali anaunganishwa unganishwa sana na harakati za waasi. Anyway sijui. Sasa ilikuwaje huyu alikuwa anaratibu shughuli za ndani za misiikiti kupanga mikakati akiwa mfanyakazi tu wa washirika la ''Kimataifa''.
Na hawa world muslim league waliwezaje kuingia na kufanya shughuli hapa nchini maana kwa maandiko yako Tanzania ikiwa chini ya mfumo hairuhusu kujiunga na mashirika ya kiislam. Hili limekaaje Mohamed.
Nguruvi,
Hapana sijakasirika ndugu yangu.
Wewe ni kipenzi changu.
Unanishughulisha sana.
Mie hupenda kuhangaishwa kifikra.