Gombe sugu kumbe na wewe ni muokoteza hoja kama Said, hahaha unamfahamu Lwakabamba lakini? Huyu aliwapa maisha wabongo pale Kist kuanzia malekchara, tvutorial assistants mpaka workshop instructors wa dini na makabila mbalimbali leo analinganishwa na huyo Rukala? ama kweli hili somo lenu la udini halina aibu.
Kuna kit nakisoma btn the lines, shule si mchezo bana yaani leo waliokuwa wa mjini kama nukuu lukuki za mchchezi said wanalamika kuonewa n a kudhulumiwa na mijitu isiyostaarabika kutoka bara hahahahahaha!!!!! Kweli waliosema elimu ufunguo wa maisha they were very right.
Cool Runnings,
Mbona nyinyi mna hulka ya kujibu kwa ghadhab na tashtit!? Naona umeanza kwa kutukashifu sisi na kumalizia kwa kujiadhiri nyinyi wenyewe!?
Ustaarabu gani huo,ati leo kutuona wa
Tanzania wenzenu hatujui kusoma wala kuandika halafu mnatucheka na dhiki zimetujaa na nyie kutufanzia kebehi na mbwembwe nyingi!?
Wanapokuja "
wageni" kama kina
Alhaj Rukara na kuamua kutusaidia mnawatuhumu uchochezi,ugaidi na ushawishi!?
Kwa kukusaidia,ilitakiwa uniulize yale niliyokujuza na kumtuhumu
Lwakabamba kama ni ya kweli,niliyatoa wapi au niliyajuaje,na labda nitoe details zaidi!? Sasa ilobaki ingekua ni
amri yangu aidha kuitikia wito wako au kuyaacha kwa sababu kadhaa. Lakini najua wewe ni "
miongoni mwa wale wapendao kujipunja".
Ulipofurukuta kujibu hoja yangu(najua nyingine ulimwachia mwenyewe
Nguruvi3),unadai ati
Prof. Silas Lwakabamba "
amewapa maisha" saana wa
Tanzania pale
KIST,hususan ma-
Lectures,
Tutorial Assistants na hata
Workshop Instructors.
Huoni kuwa hoja na maelekezo yangu bado inasimama palepale!?
Kwani hujui kuwa naye pia
Alhaj Rukara anawafadhili,kuwasaidia na kuwafariji wa
Tanzania wengi saana kupitia
connections na
influence zake pale
Burundi!? Je hii ndiyo inamuondolea hizo tuhuma alizoshutumiwa na
Nguruvi3!?(kama ni za kweli ,maana hatukuziona kuletwa hapa jamvini!)
Kumbuka mkimwaga ugali nasi tutamwaga "
mboga",halafu soote tulale na njaa!
Evidently,you didn't get enough of an education yourself. If you can't even use spell check to deliver a sentence coherently and phonetically keep it to yourself. Embarrassing!
Love me or hate me,both are in my favour!
CC: mag3,nakusalimia
Muheshimiwa naona umemwekea jamaa yako "
LIKE" kwa
majibu "murua" alonipa. Au unataka na mimi nipewe "
adhabu" kama ndugu yangu
Ritz!? Haina neno tuendelee na mnakasha.