Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

MKJJ,

..Abdulwahid Sykes ni rafiki kipenzi wa Baba yake Mohamed Said.

..sasa wakati mwingine wasomaji inabidi tumuelewe na tumvumilie anapoandika kuhusu maisha ya ndugu zake.

..kwa upande mwingine lazima tumkubali Mohamed Said kwamba he is a good writer and storyteller.

NB:

..tatizo lake ni UDINI, na kujaribu kwa kila hali kumdunisha Mwalimu Nyerere.

..Mohamed Said anadai katibu moja ya lectures zake wazungu walimuuliza: What about Nyerere??

..halafu yeye akajibu "about what"?? If I am not mistaken jibu hilo lilizua kicheko.

..sasa kwa jinsi ninavyoelewa wazungu, huo ulikuwa ni mtego, na Mohamed Said alinasa. Right there walimgundua kuwa ni mwandishi mwenye donge/grudge fulani na Mwalimu Nyerere.

cc: Mag3, gombesugu, Nguruvi3, Jasusi, Wickama

Jokakuu, Mag3, Jasusi, Mzee MS; Nguruvi and Gombesugu; Jokakuu shukran sana. Kuna Movie moja ya kivita huwa naipenda sana "the Wind Talkers" amecheza Nicholas Cage. Ipo event ambapo wenzao waliuwawa. Sasa mwenzao mmoja kwa machungu na undungu aliokuwa nao na marehemu alitoka mafichoni na kuanza kupigana na wajapani bila kujali yatakayomfika. Nicholas Cage kwa vile alishapewa jukumu la kumlinda huyu bwana at any price alipata taabu sana kumfata na kumtuliza under enemy fire. Lakini mwisho alimwambia japokuwa alikuwa anapigana kwa machungu ya watu wake (alikuwa red indian) "IT WONT BRING THEM BACK". I see a similar movie here BUT again "IT WONT BRING THEM BACK".
 
Last edited by a moderator:

Wickama na Jasusi,

Tuanze na movies...
''Bridge on the River Kwai.''

Kuna jamaa katika vita mwenzake wa cheo cha juu aliuawa.

Huyu jamaa kuona mwenzake kafa na wao wametekwa na
Wajapani akaona bora achukue cheo cha marehemu ili apate
yale maslahi wanopewa maofisa katika kambi ya mateka wa
vita.

Lakini kama ujuavyo ''false identity'' haina muamana.
Mwishowe akajulikana.

Waingereza wana msemo, ''Basking under other people's
shadow.''

Hakika Abdu na baba yangu walikuwa marafiki wakubwa
na baba zao na mama zao walikuwa hivyo.

Mimi vilevile humuhurumia Jasusi anapozungumza kuhusu
Nyerere kwa sababu na yeye Nyerere ni mzee wake.

Mimi sijamdunisha Nyerere hata siku moja nilichofanya nimesema
tu kwa hili la kuasisi TANU tusimsahahu Abdu Sykes.

Hilo tu.

Tatizo linakuja pale utakapomleta Abdu katika historia ya uhuru ni
lazima na baba yake na wadogo zake wote Ally na Abbas uwataje.

Sasa hutaishia hapo ukimleta Abdu ndiyo lazima uje na wenzake wote
pamoja na Nyerere mwenyewe na Sheikh Hassan bin Amir na Al Jamiatul
Islamiyya nk. nk.

Hii ndiyo miba inawayowachoma akina Jasusi.

Wao wanataka tuanze na Nyerere tumalize na Nyerere lakini kweli kwa
Dar es Salaam ya 1950 hii itawezekana vipi?

Kuhusu ''what about Nyerere?''
Walionasa ni wao kwa ile historia wanayoijua wao.

Mie nimewachukua 1950 hadi 1954 kufika ''edge'' ya kuasisi TANU na
nimewasafirisha vile kwa makusudi.

Sikuendelea mbele.
Sasa lilipokuja lile swali ndipo nilipotaka waingie ili sasa nimlete Nyerere.

Yapo mengi Jasusi.

Mwalimu na TANU ni kama unavyoiona Azam na Bakhresa. Mwalimu aliweka rekodi ya kuiasisi TANU, kuwa kiongozi wake Mkuu wa KWANZA, kuwa kiongozi wake mkuu PEKEE na kuwa kiongozi wake mkuu wa MWISHO. Historia ya chama hiki itabaki hivo milele. Hakuna wa kuibadili.

Wild Card,
Hakika hakuna wa kubadili.

Nilofanya mie nimesherehesha tu.
Sasa katika hiyo shrehe ya kuasisiwa kwa TANU ndipo tupo hapa leo.
 
Mwanakijiji,

Try to be positive ndugu yangu kipenzi na punguza dhana.

Kwani wewe unaposikia mtu akisema Wazee wetu unafikiri anamaanisha nini? Au nini tafsiri ya Wazee wetu ndani ya ubongo wako au kwenye Kamusi ya Kiswahili Sanifu?

Mbona unaanza kunitupia shutuma za Sheikh Mohammed Said?Lakini haina neno maana najua mwenyewe anakusikiliza kwa utuvu!ahaha!!
Hata kama hatukubaliani na hoja za Sheikh Mohammed Said,lazim tukubali kuwa huyu ndugu yetu ni mahiri na ametufunza mengi hapa tulokua hatuyajui. Mfano nagundua hata Mag3,nae siku hizi anatumia neno Wazee Wetu.

Nimeshajieleza saana tangia nimengia hapa jamvini,mimi si mdini na wala sibagui yeyote.

Ahsanta na tuendelee na mnakasha.

Gombesugu ndugu yangu; twende taratibu:

a. Hakuna jambo lolote lenye umuhimu wa kihistoria (historical relevance) ambalo Mohammed Said kaliandika ambalo halikuwa halijulikani kabla yake. NONE. Sasa mtu akisimulia nani alifua nguo za nani, au nani alimkaribisha nani hilo huwezi kukuta mahali popote duniani wanahistoria wanaandika kwa kina na kuiita ni jambo la umuhimu katika historia. Watu muhimu wote katika historia yetu wametajwa kabla ya Mohammed Said. Judith Listowell, John Iliffe, E. Smith na wengine wengi wameandika kabla ya Mohammed Said.

b. Kama kuna vitu ulikuwa huvijui hadi ulipomsoma Mohammed Said hili si kosa la Nyerere; inawezekana hukuwa na mapenzi ya kusoma historia kama sisi wengine.

c. Kitu pekee kipya ambacho Mohammed Said amekifanya na kufanikiwa sana ni kuingiza dini katika historia. Katika hili ni mwandishi pekee hadi hivi sasa aliyeiangalia historia yetu kwa mwanga wa dini. Bahati mbaya sana ukienda kwenye historia yenyewe au maandishi ya kipindi kile (cha kuanzia 1920s hadi 1961) hukuti wazee wetu wakiangalia harakati za Uhuru kwa misingi ya dini zao. Kina Saadan Kandoro, Ali Ponda, Shehe Mohammed Ramiya, John Rupia, Martin Kambanga na wengine wengi hutawakuta wakituliza dini zao kama kichocheo cha kumkataa ukoloni. Hukuti HATA MARA moja wazee wa Kiislamu wa Dar wakibagua wenzao kwa sababu ya dini zao.

ISIPOKUWA mara moja ambapo kikundi cha wazee wa Kiislamu wa Dar walianzisha upinzani dhidi ya Nyerere kwa sababu ya Ukatoliki wake. Kikundi kikiongozwa na Shehe Takadir na baadhi ya wazee ambao baadaye waliunda AMNUT. Masalia ya kikundi hiki na vizazi vyao ndio wamekuja kufufua ule udini ambao wazee wetu mashujaa wa Uhuru walifanikiwa kuuzika. Na kikundi hiki sasa kimepata wafuasi.

lakini la mwisho ambalo naweza kusema kwa haki kabisa - na nimeshalisema huko nyuma - Mohammed Said ni mahiri katika masimulizi. Anasaidiwa na uwezo mzuri wa kukumbuka aliyoyasoma na kuyaunganisha kama mnyororo na kuyaweka kwa misingi ya kidini. Masimulizi yake kwa kweli yanaburudisha na kwa kiasi kikubwa yanatufundisha mengi sana ya kumhusu Nyerere na umahiri wake miongoni mwa wazee wetu. Miye kitabu chake cha Abdulwahid Sykes nimekependa kwa sbabu moja kimenionesha jinsi Nyerere alivyokuwa amejidhir sana mbele ya wazee na kuonesha heshima ambayo hadi leo bado sijaona kiongozi mwingine yeyote yule akiifuata. Kwa hili ndio mchango mkubwa wa maandishi ya Mohammed Said. Ukiondoa masimulizi ya "Fulani Muislamu" alifanya hivi hivi ndani yake unaweza kukuta masimulizi matamu ya kugusa nafsi kabisa kuhusu mahusiano ya ukaribu ya wazee wetu.

Bahati mbaya sana mengi ya hayo ni masimulizi ya legends kwa kweli. Lakini ikija kwenye masuala hasa ya HIstoria Mohammed Said fails profoundly miserably!
 
Wickama na Jasusi,Mimi sijamdunisha Nyerere hata siku moja nilichofanya nimesema
tu kwa hili la kuasisi TANU tusimsahahu Abdu Sykes.
Mohamed Said;Ninaposema historia imebadilika mabadiliko yeynyewe ndiyo haya.Si kama tutabadilisha uasisi wa Nyerere katika ujamaa na vijiji vyakekuasisi CCM nk. nk.Historia hii ya vijiji vya ujamaa hakika hana mpinzani
?!!!!...
 
Wickama na Jasusi,

Tuanze na movies...
''Bridge on the River Kwai.''

Kuna jamaa katika vita mwenzake wa cheo cha juu aliuawa.

Huyu jamaa kuona mwenzake kafa na wao wametekwa na
Wajapani akaona bora chukue cheo cha marehemu ili apate
yale maslahi wanopewa maofisa katika kambi ya mateka wa
vita.

Lakini kama ujuavyo ''false identity'' haina muamana.
Mwishowe akajulikana.

Waingereza wana msemo, ''Basking under other people's
shadow.''

Hakika Abdu na baba yangu walikuwa marafiki wakubwa
na baba zao na mama zao walikuwa hivyo.

Mimi vilevile humuhurumia Jasusi anapozungumza kuhusu
Nyerere kwa sababu na yeye Nyerere ni mzee wake.

Mimi sijamdunisha Nyerere hata siku moja nilichofanya nimesema
tu kwa hili la kuasisi TANU tusimsahahu Abdu Sykes.

Hilo tu.

Tatizo linakuja pale utakapomleta Abdu katika historia ya uhuru ni
lazima na baba yake na wadogo zake wote Ally na Abbas uwataje.

Sasa hutaishia hapo ukimleta Abdu ndiyo lazima uje na wenzake wote
pamoja na Nyerere mwenyewe na Sheikh Hassan bin Amir na Al Jamiatul
Islamiyya nk. nk.

Hii ndiyo miba inawayowachoma akina Jasusi.

Wao wanataka tuanze na Nyerere tumalize na Nyerere lakini kweli kwa
Dar es Salaam ya 1950 hii itawezekana vipi?

Kuhusu ''what about Nyerere?''
Walionasa ni wao kwa ile historia wanayoijua wao.

Mie nimewachukua 1950 hadi 1954 kufika ''edge'' ya kuasisi TANU na
nimewasafirisha vile kwa makusudi.

Sikuendelea mbele.
Sasa lilipokuja lile swali ndipo nilipotaka waingie ili sasa nimlete Nyerere.

Yapo mengi Jasusi.

Mzee MS; The movie ya the Bridge on river Kwai ninayo na i see none of its role here. Nyerere stole nobodys identity. Ila naona sana maneno ya Nicholas Cage 'IT WONT BRING THEM BACK". Ni kuwa despite your absolute denial you HATE NYERERE kuliko unavyompenda Khomein. Simulizi zako mwenyewe za kuonyesha one scenario A.Sykes anataka TAA waingie wasomi halafu on another scene yeye na swahiba yake wanamteta Nyerere kuwa watamwachiaje mtu wasiemjua (Nyerere) chama, ina m-potray A.Sykes kama MNAFIKI na mteta watu. You dont seem to realize this. You have also potrayed ile election ya TAA kama a planned sham. Lengo kum-demean (Nyerere) kama vile alipewa ushindi mezani hali wewe huyo huyo unasema uchaguzi ulikuwa very close. Umesahau hata hiyo episode inazidi kuonyesha A. Sykes kama a hypocrite. Haya huwezi kuyaona kwa vile "cross-hairs" zako zimelenga Mkatoliki Nyerere. Hiyo episode pia imeonyesha Nyerere akipata only benefit ya kampeni ya meneja wa hall la Anartoglu peke yake. Kwa anayejua kupima mambo ni kuwa Sykes alijiimarisha zaidi Dar akasahau kuwa kura watapiga toka mikoa yote. Hapa ni funzo kuwa tanganyika ilikuwa komavu toka zamani. All along you are very bitter and hateful against Nyerere japo una-camouflage your hate. WELL HE IS DEAD. wengine huna haja ya kutusimulia mkeka aliolalia ulitoka kwa nani au nani alimnunulia kabichi. Kama unahisi dhuluma subiri, pana miaka 50,000 tutakua mbele ya Muumba wetu tukihukumiwa, utapata fursa ya ku-spill your case against him and your sadness kuhusu jinsi alivyohujumu EAMWS. Ukimshinda utaambiwa uchote katika thawabu zake ujaze kwenye kapu lako. In the meantime no amount of books will change matokeo ya Anatoglu. That event is cast in stone. Your hate notwithstanding.
 
Kuna wakati binadamu huwa tunapitwa na jambo fulani...Unaweza kunisaidia/kunikumbusha labda ni waislam wangapi hapa Tanzania wameshafikishwa mahakamani au wameshashtakiwa kwa kutumia hii sheria ya Ugaidi?
Hii sheria haina ulazima wa kufikishana mahakamani.Askari akihisi tu fulani ana mawazo ya kigaidi anaweza akauwa na hatiwi hatiani.
Vile kwamba haijatekelezwa kikamilifu basi ni kutokana na ubinadamu tu wa polisi wengi wa kitanzania.Wenzao wachache wameifanyia majaribio kule Zanzibar na hapa Dar es salaam.
 
What kind of reasoning is this? Malaysia siyo nchi ya Kiislamu? Indonesia? Uturuki? Morocco? Saudia? Qatar? Oman? UAE? kote huko wamevamiwa na Wamarekani?
Marekani haijali kama nchi inatekeleza sharia au la.Muhimu kwake ni kuusambaratisha uislamu wa mtu binafsi au kikundi chochote kile.Ili kufanikisha hilo hutunga majina mabaya mabaya ikawaita waislamu wa eneo fulani halafu ikapata sababu ya kuwauwa yenyewe au kwa kuwatumia makamanda wao ambao ni viongozi wakuu wa nchi.
Somalia wametoa Alshabaab.Nigeria ni bokoharam na Tanzania tuna Uamsho na jana polisi wameliambia baraza la wawakilishi kuwa Alqaeda wana matawi yao nchini.
 
Narudia tena kukuambia JF siyo sehemu ya POROJO tupe majina ya hao viongozi wa dini ya Kiislam Misri waliotoa "fatwa" wanawake kukukeketwa.

Fatwa ya masuala ya Uislam Misri yanatolewa na Mufti of Egypt All Gomaa.

Wewe umeitoa wapi watu hawauitaji link za wakurdi wanaitaji majina ya hao viongozi uliowataja.

Cc.. gombesugu, Kadogoo, Ami, Barubaru,

Ndio maana nikawaeleza hawaijui historia ya Misri na kama walikuwa wanataka hilo waweke uzi maalum nitawasaidia kuichambua historia yao ambayo imefungamana na makabila mengi sana
 
Wickama na Jasusi,

Tuanze na movies...
''Bridge on the River Kwai.''

Kuna jamaa katika vita mwenzake wa cheo cha juu aliuawa.

Huyu jamaa kuona mwenzake kafa na wao wametekwa na
Wajapani akaona bora achukue cheo cha marehemu ili apate
yale maslahi wanopewa maofisa katika kambi ya mateka wa
vita.

Lakini kama ujuavyo ''false identity'' haina muamana.
Mwishowe akajulikana.

Waingereza wana msemo, ''Basking under other people's
shadow.''

Hakika Abdu na baba yangu walikuwa marafiki wakubwa
na baba zao na mama zao walikuwa hivyo.

Mimi vilevile humuhurumia Jasusi anapozungumza kuhusu
Nyerere kwa sababu na yeye Nyerere ni mzee wake.

Mimi sijamdunisha Nyerere hata siku moja nilichofanya nimesema
tu kwa hili la kuasisi TANU tusimsahahu Abdu Sykes.

Hilo tu.

Tatizo linakuja pale utakapomleta Abdu katika historia ya uhuru ni
lazima na baba yake na wadogo zake wote Ally na Abbas uwataje.

Sasa hutaishia hapo ukimleta Abdu ndiyo lazima uje na wenzake wote
pamoja na Nyerere mwenyewe na Sheikh Hassan bin Amir na Al Jamiatul
Islamiyya nk. nk.

Hii ndiyo miba inawayowachoma akina Jasusi.

Wao wanataka tuanze na Nyerere tumalize na Nyerere lakini kweli kwa
Dar es Salaam ya 1950 hii itawezekana vipi?

Kuhusu ''what about Nyerere?''
Walionasa ni wao kwa ile historia wanayoijua wao.

Mie nimewachukua 1950 hadi 1954 kufika ''edge'' ya kuasisi TANU na
nimewasafirisha vile kwa makusudi.

Sikuendelea mbele.
Sasa lilipokuja lile swali ndipo nilipotaka waingie ili sasa nimlete Nyerere.

Yapo mengi Jasusi.

Nilipo Bold.

hapo ndio kiini cha tatizo. Kwani historia inayofundishwa Tanzania ni ile ya kumsifia Nyerere mpaka kufika kusema yeye kaleta amani Tanzania . Jambo ambalo si kweli kwani amani ya nchi yenu ni urithi toka kwa mababu zenu. Hakukuwa na vita vya makabila toka zamani. Sasa najiuliza Nyerere huyu alileta amani gani huko Tanzania?

Kwa kumtukuza huko wanafichwa hata wale vinara wa ukombozi na wapigania uhuru waliojitoa muhanga kwa mali zao na nguvu zao jambo ambalo Al Akhiy MS umeliweka bayana mpaka leo tunamjua Abdu na nduguze na hata akina Mz Mshume kihate na mashikh wetu takadir na tambaza na wengine katika kupigania uhuru.

Mimi naamini huwezi ficha historia na ukweli siku zote unasimama. Allah akubarik ana Al akhiy MS kwa kututoa matongotongo ya historia iliyofichwa
 
Hii sheria haina ulazima wa kufikishana mahakamani.Askari akihisi tu fulani ana mawazo ya kigaidi anaweza akauwa na hatiwi hatiani.
Vile kwamba haijatekelezwa kikamilifu basi ni kutokana na ubinadamu tu wa polisi wengi wa kitanzania.Wenzao wachache wameifanyia majaribio kule Zanzibar na hapa Dar es salaam.
Hao polisi wachache waliofanya majaribio zanzibar na dar, wamekamata au kuua waislaam tu?
 
Nilipo Bold.

hapo ndio kiini cha tatizo. Kwani historia inayofundishwa Tanzania ni ile ya kumsifia Nyerere mpaka kufika kusema yeye kaleta amani Tanzania . Jambo ambalo si kweli kwani amani ya nchi yenu ni urithi toka kwa mababu zenu. Hakukuwa na vita vya makabila toka zamani. Sasa najiuliza Nyerere huyu alileta amani gani huko Tanzania?

Kwa kumtukuza huko wanafichwa hata wale vinara wa ukombozi na wapigania uhuru waliojitoa muhanga kwa mali zao na nguvu zao jambo ambalo Al Akhiy MS umeliweka bayana mpaka leo tunamjua Abdu na nduguze na hata akina Mz Mshume kihate na mashikh wetu takadir na tambaza na wengine katika kupigania uhuru.

Mimi naamini huwezi ficha historia na ukweli siku zote unasimama. Allah akubarik ana Al akhiy MS kwa kututoa matongotongo ya historia iliyofichwa

Barubaru,
Ahsante.
Amin Amin Amin.
 
Hao polisi wachache waliofanya majaribio zanzibar na dar, wamekamata au kuua waislaam tu?

Sweke34,
Nakuwekea hapo chini kutoka paper niliyotoa Chuo Kikuu Cha Ibadan mwaka 2006 kuhusu ugaidi:

After 9/11 the United States passed the Patriot Act of 2001.

Soon after it had sailedthrough the Congress in record time the United States pressurised othergovernments to pass similar anti-terror legislation and join in its campaignagainst terrorism. Through diplomatic manoeuvres and veiled threats many African governments passed what came to be known as Anti -Terror Legislation.

Tanzania passed the Prevention of Terrorism Act of 2002, which in all intentand purpose replicated the United States Patriot Act of 2001. Due to underrepresentation of Muslims in parliament the Act sailed through without any difficulties notwithstanding Muslim opposition outside the parliament.

Whatconcerned Muslims more was the fact that the law was not only draconian butalso targeted Muslims.
Muslims realised that with the Act in force any conflict between them and the government could be tried under that legislation and this would have very dire consequences.

The Prevention of Terrorism Act was a piece of legislation, which was imposed on Tanzania with the intention to open up the country for covert operations against enemies of theUnited States. Although the act does not say so in so many words but it is clear the legislation is meant to protect United States and provide it with political and legal powers to expand its military hegemony in countries, which it did not enjoy, such freedom before.
On 17[SUP]th [/SUP]May 2003 with the anti terror legislation in place the police in collaboration with the FBI (who were already in the country waiting for the president to assent the bill) arrested Muslims suspected to be ‘terrorists.'

But those arrested had nothing to do with terrorism; they were Muslims leaders who the government arrested for being ‘opponents' of the government and ruling partythe Chama Cha Mapinduzi (CCM). Among those arrested were leaders of various Muslim charitable organisations -foreign oriented and local, who have distinguished themselves in providing social services to Muslims like building mosques, schools, orphanages etc.

These were targeted for being ‘terrorist sympathisers' or for being directly involved in ‘terrorist activities' or for ‘providing logistic support toterrorists;' and bank account of one prominent Muslim school – Al Furqan was frozen for suspicion of being a conduit of funds from abroad to support terrorism.
In response tothese arrests Muslims staged a mass demonstration against the government andthe United States opposing the mass arrests of the Muslim leadership,harassment by the local police, the FBI and against the Anti – Terrorist Legislation. The demonstration was the first of its kind, as never before had Muslims shown such solidarity against a foreign power.

Ignoring the feeling of Muslims the then United States Ambassador to Tanzania Robert Royall addressedthe Tanzanian Parliament expressing his government's satisfaction in Tanzania'ssupport in its war against terrorists and pledged USD 100m in aid to East African governments to help combat terrorism. Investigations revealed that none of the arrested Muslims had any kind of military training whatsoever or had in anyway engaged in terrorist activities and they were quietly released without being charged.

Investigations also failed to prove that the account of AlFurqan had at any one time used to transfer funds from abroad for illegal use. All this notwithstanding there was no apology from the government, the FBI or the police.
 
Marekani haijali kama nchi inatekeleza sharia au la.Muhimu kwake ni kuusambaratisha uislamu wa mtu binafsi au kikundi chochote kile.Ili kufanikisha hilo hutunga majina mabaya mabaya ikawaita waislamu wa eneo fulani halafu ikapata sababu ya kuwauwa yenyewe au kwa kuwatumia makamanda wao ambao ni viongozi wakuu wa nchi.
Somalia wametoa Alshabaab.Nigeria ni bokoharam na Tanzania tuna Uamsho na jana polisi wameliambia baraza la wawakilishi kuwa Alqaeda wana matawi yao nchini.

Ukizungumza basi uwe unazungumza kama mtu mwenye kutumia chembe za ubongo sawasawa! Na hao WAislau walioko Marekani je? Kuna Waislamu wapatao milioni karibu 4 hapa. Sasa kwanini hawawaangamizi hawa ambao ni Wamarekani wenzao? It just doesn't make any sense! Leo majeshi ya Marekani yana Machaplain wa Kiislamu; Rais wao ni mtoto wa Muislamu (japo yeye Mkristu); wana mabalozi na watumishi wa ngazi mbalimbali ambao ni Waislamu. Au unafikiri hakuna Waislamu kwenye majeshi, CIA, FBI?
 
Ignoring the feeling of Muslims the then United States Ambassador to Tanzania Robert Royall addressed the Tanzanian Parliament expressing his government's satisfaction in Tanzania'ssupport in its war against terrorists and pledged USD 100m in aid to East African governments to help combat terrorism. Investigations revealed that none of the arrested Muslims had any kind of military training whatsoever or had in anyway engaged in terrorist activities and they were quietly released without being charged.

Balozi wa Marekani hajawahi kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano; niko tayari kusahihishwa. Lini Balozi Royall alihutubia Bunge la Tanzania? ili tupitie hansard.
 
Nilipo Bold.

hapo ndio kiini cha tatizo. Kwani historia inayofundishwa Tanzania ni ile ya kumsifia Nyerere mpaka kufika kusema yeye kaleta amani Tanzania . Jambo ambalo si kweli kwani amani ya nchi yenu ni urithi toka kwa mababu zenu. Hakukuwa na vita vya makabila toka zamani. Sasa najiuliza Nyerere huyu alileta amani gani huko Tanzania?

Barubaru unaishi sayari gani mwenzetu? HIvi kweli mchango wa Nyerere katika kuleta amani na umoja wa Taifa letu unaweza kupuuza na kuufanya duni? Kama hujui historia ya Tanganyika vizuri ni bora kuisoma. Kama hujui mambo ambayo Nyerere alifanya ili kuhakikisha umoja wa taifa unadumu tutakufundisha. Kama unafikiri wazee wetu ndio walileta amani jiulize tena. Unasema hatujawahi kuwa na vita vya makabila? really? Umesoma historia ya Makabila Tanzania?
 
Mzee MS; The movie ya the Bridge on river Kwai ninayo na i see none of its role here. Nyerere stole nobodys identity. Ila naona sana maneno ya Nicholas Cage 'IT WONT BRING THEM BACK". Ni kuwa despite your absolute denial you HATE NYERERE kuliko unavyompenda Khomein. Simulizi zako mwenyewe za kuonyesha one scenario A.Sykes anataka TAA waingie wasomi halafu on another scene yeye na swahiba yake wanamteta Nyerere kuwa watamwachiaje mtu wasiemjua (Nyerere) chama, ina m-potray A.Sykes kama MNAFIKI na mteta watu. You dont seem to realize this. You have also potrayed ile election ya TAA kama a planned sham. Lengo kum-demean (Nyerere) kama vile alipewa ushindi mezani hali wewe huyo huyo unasema uchaguzi ulikuwa very close. Umesahau hata hiyo episode inazidi kuonyesha A. Sykes kama a hypocrite. Haya huwezi kuyaona kwa vile "cross-hairs" zako zimelenga Mkatoliki Nyerere. Hiyo episode pia imeonyesha Nyerere akipata only benefit ya kampeni ya meneja wa hall la Anartoglu peke yake. Kwa anayejua kupima mambo ni kuwa Sykes alijiimarisha zaidi Dar akasahau kuwa kura watapiga toka mikoa yote. Hapa ni funzo kuwa tanganyika ilikuwa komavu toka zamani. All along you are very bitter and hateful against Nyerere japo una-camouflage your hate. WELL HE IS DEAD. wengine huna haja ya kutusimulia mkeka aliolalia ulitoka kwa nani au nani alimnunulia kabichi. Kama unahisi dhuluma subiri, pana miaka 50,000 tutakua mbele ya Muumba wetu tukihukumiwa, utapata fursa ya ku-spill your case against him and your sadness kuhusu jinsi alivyohujumu EAMWS. Ukimshinda utaambiwa uchote katika thawabu zake ujaze kwenye kapu lako. In the meantime no amount of books will change matokeo ya Anatoglu. That event is cast in stone. Your hate notwithstanding.

Absolutely truth, you know MS. Hii naiweka kwenye kumbukumbu zangu. Thanks.
 
Balozi wa Marekani hajawahi kuhutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano; niko tayari kusahihishwa. Lini Balozi Royall alihutubia Bunge la Tanzania? ili tupitie hansard.
Ndugu yangu yaani nilipatwa na mshutuko kusoma kuwa balozi wa Marekani aliwahi kuhutubia bunge. Afadhali umelileta.

Mohamed Said, Balozi wa marekani alihutubia Bunge lini?
 
Back
Top Bottom