Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mwalimu wetu Mohamed Said, tulizana huku unatusoma taratibu huku unapata faruda.

namimi nitamletea ming'oko na chikandanga kutoka Ntwara abadilishe diet kidogo..
Huku anawasoma hawa mufilisi wanavozid kutapa tapa...!,,kesho nitamletea vipopooo...
 
Last edited by a moderator:
namimi nitamletea ming'oko na chikandanga kutoka Ntwara abadilishe diet kidogo..
Huku anawasoma hawa mufilisi wanavozid kutapa tapa...!,,kesho nitamletea vipopooo...

Yericko Nyerere,

Nimeuliza kuhusu TAGSA anasema ameishijadili huko nyuma walivyokuwa wanafanya harakati zao Tanga, alivyona TAGSA anadhani ina uhusiano na Tanga.

Kwenye mnakasha mimi nipo toka unapoanza mpaka leo hakuna sehemu yeyote watu wamejadili kuhusu TAGSA.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Bingwa wa ngano za ugaidi ambaye amefanya Wamarekani wapate mshutuko mpaka wakampa mualiako kwenda Marekani, ameomba maswali mapya na hoja mpya.

Ritz, muuza gahawa na mwenye akili za Madrassa anamuuliza maswali mepesi anashindwa kuyajibu...ha haa ha haa.

Cc.. gombesugu, Ami, Kadogoo, Barubaru, Zali la Mentali, wimbi la mbele, THE BIG SHOW,

Thats why mimi nasema Julius was very bright..!
Hawez kuacha damu ya mtoto Dull mithili ya yericko,kwaiyo yeye aliipoona Neno TAGSA moja kwa moja akalandanisha na TANGA sio?
Ha ha ha,,halafu then anasema kaandika kitabu kisha ubalozi wa marekani ukakipa support kweli?
Americans are smarter than that..!
Atafute jingine yericko,hapa kauanika ujinga wake wazi wazi...
 
Last edited by a moderator:
Ritz, muuza gahawa anauliza tena mwaka 1950 Idara ya Maelezo na habari ilikuwa inachapa magazeti katika kuongeza nguvu ya TANU.

Naomba kwa faida ya JF yataje majina ya hayo magazeti na baadhi ya majina ya waandishi wake.

Cc.. Pasco.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi ndivyo unavyotakiwa kufanya na sio kuwaambia watu wakasome kitu fulani au warejee jambao fulani. Liweke hapa lijadiliwe. Mimi huwa siumagi maneno. Kama kitu ni utumbo nitakiita hivyo hivyo. Hii ndio njia bora ya kuwafundisha watu ambao wagumu kuelewa au wanajifanya hawaelewi kumbe wanajua nini wanachokifanya.

Sasa turudi kwenye suala hilo la Nyerere. Unadai alikuwa anawafahamu tangu 1948 wakati akiwa Makerere. Aliporudi kwa nini asiwasiliane na wahusika aliyowaacha kujua kama bado wanaongoza chama au vipi akaamua kuuliza mitaani? Na tena anaeleza kwamba alifahamishwa "kuna mtu anaitwa Abdul Sykes". Kama kweli alikuwa anamfahamu Abdulwahid Skyes tangu zamani na alikuwa Katibu wa TAA tangu enzi zile za yere kuwa Makerere, kwa nini amu address kama "kuna mtu" kama vile hamjui? Kwa nini aseme Abdul ndiye alikuwa ndio Katibu wa wakati huo wakati huo wakati huyu alikuwa katibu tangu yeye yuko Makerere? Ni wazi kwamba amejenga taswira hii ili kulalalisha kwamba alikuwa hamfahamu Abdulwahid Sykes mpaka pale alipopelekwa na Kasanga Tumbo ndipo akamjua. Hii ndio taswira aliyokuwa anaijenga na ndio ninayomuhukumu nayo kwamba ama alikuwa MNAFIKI au CHIZI.
Ili umjadili Nyerere unapaswa umjue ni mtu wa namna gani.
Tofauti na hivyo hutomuelewa kamwe, jalibu kupitia hotuba zake unaweza ukapata majibu kulingana na maswali yako.
 
Ili umjadili Nyerere unapaswa umjue ni mtu wa namna gani.
Tofauti na hivyo hutomuelewa kamwe, jalibu kupitia hotuba zake unaweza ukapata majibu kulingana na maswali yako.

Hotuba zake huwa sizisikilizagi kwa sababu huwa anasema yale ambayo hatendi
 
Mzee Mo,
Huo ni uongo mtupu, Ndo maana hata radio iman watangazaji wake huwaongopea watu kuwa mrema wamempiga dua.
Kumbe mtu anamaladhi yake yanamsumbua wanakaa kuwadanganya watu kumbe mtu anakisukali.
Mbona sasa hivi ametoka shavu inamaana dua imeisha nguvu? Mzee mo, kunatofauti gani ya habari yako ya kuhusu hao jamaa na watu wa radio imani na mrema? Ila tambua kila mtu atakufa kwa kifo alicho pangiwa na mola wake.

MGASHI;
Hivi kuvimba shavu ni dalili ya kupona?
 
Kadogoo;6206393]

Nimekuelewa vema sana,nachotaka kukuambia ni kwamba hilo suala la balozi unalolishikia bango limekwisha eleweka,

tumeona tofaut kati ya kuhutubia bunge,na kuhutubia semina ya wabunge,lakin mantiki kuu imepatikana tayar,why unaendelea kulishikia bango?au umeishiwa hoja?

Pole sana,vip namimi nikuweke kwenye 'list' yangu kama nilivomweka yule msukuma mkokoteni?
Ha ha ha,lol,,just jokes,,
nakuheshim sana mkuu...
THE BIG SHOW,wewe ni kiumbe duni sana, acha kumuiga huyo shetani mtaka fujo wako na hiyo zuga ya kitoto ya kuweka watu kwenye huo upuuzi wenu mnaouita list yenu! kwa mlivyo mazuzu na mlio watupu vichwani hizo list zenu hazina madhara kwa yoyote yule!
 
Bingwa wa ngano za ugaidi ambaye amefanya Wamarekani wapate mshutuko mpaka wakampa mualiako kwenda Marekani, ameomba maswali mapya na hoja mpya.

Ritz, muuza gahawa na mwenye akili za Madrassa anamuuliza maswali mepesi anashindwa kuyajibu...ha haa ha haa.

Cc.. gombesugu, Ami, Kadogoo, Barubaru, Zali la Mentali, wimbi la mbele, THE BIG SHOW,

Ndugu yangu Ritz

Inaonyesha wazi kupenda kujua hadithi za vibarazani,

Tunajadili historia ya Tanganyika kwa mapana yake,

Hatufanyi rejea ya yale tuliyoyajadili,

Ikiwa kuna jambo tulilisahau linalohusu historia ya Tanganyika na wewe walijua ni vema kuwahabarisha wanajamvi kuliko kuleta kejeri kwa mambo ambayo tayari tulishayajadili hapa!

Narudia tena, sitajibu hoja ambayo tayari ilishajadiliwa hapa!!

Tuwe werevu kwa mafaa ya taifa!
 
Last edited by a moderator:
Big show, nisetirike na nini wakati nipo katika list ya ''shit'' ya Mohamed Said? Ninyi mnaolirudisha hili jambo ndio mnaokusudia kumvunjia heshima Maalim. Uzuri wa JF ni rekodi na hapa naweka rekodi bila kusema neno.

Ukisoma ni dhahiri kuwa waungwana walijaribu sana kumueleza Mohamed kuhusu itifaki za bunge.
Badala ya kuelewa, Mohamed Said kwa kudhani hapa ni mahala pa kumeza akaanza kashafa, jeuri, dhihaka, kejeli na tambo zake za kawaida.

Amethibitisha kuwa paper aliitoa Ibadan. Ni wazi alisafiri hadi huko akiwa na mkoba wake(Nimeshauriwa nisitumie ile terminology maarufu unless mtu aulize)

Akathibitisha kuwa balozi alihutubia tarehe hiyo hapo juu.
Ni wazi alikuwa si hakimu kiruka na alifanya utafiti mdogo tofauti nasisi tulioshindwa.

Akaeleza kuwa paper ya Ibadan ndiyo ilimfanya akamatwe!
leo tunajua hakukamatwa kwasababu hiyo kwavile balozi hakuhutubia bunge na hakukuwa na mzozo naye!

Angalia hapo chini orodha ya vijana waliojitoa kimacho macho kutetea upotoshaji wa Mohamed.
Hawa ni wale wachache sana walioko JF, kuna maelfu masikini ya wangu walimeza tu kwa kuogopa kuuliza maswali ili wasiwe hakimu kiruka.

Hili jambo limetokea miaka 10 iliyopita na lipo hivi, je yale ya nusu karne kuna nini ndani yake.
Sasa mnaonishambulia kuwa hili jambo limetolewa clarification, hiyo si kweli. uruvi3.

.

Nafikiri unatakiwa ukue katika haya.

Kumbuka wasomaji wengi tulijikita katika paper aliyoitoa Balozi wa marekani na sio pahala gani na hicho ndio Mohamed said alikijibu huko Ibadan.

Siku zote wasomi tunajikita katika maudhui na sio bla bla na hatuwezi hukumu kitabu kwa jalada lake.

hebu msome vizuri uone alikusudia nini. Mimi nilifikiri ungesimama na kusema Balozi huyo hakusema hayo bali alimsingizia na hivyo paper yake ni batwili?

labda swali la kisomi. Je siku hiyo balozi huyo hakuyasema hayo Mohamed said alichokiandika? naomba jibu hapo.

Pole sana

Kwa bahati mbaya sana Mohamed Said tangu tuanze mjadala huu ukiona sehemu mtu amekuhoji kwa hoja mujarabu basi wewe hutaijibu kama ilivyo bali utakimbilia kwenye kulilia heshima ya tenge!

Hii ni aibu kwako na kwawakuaminio mkuu!

Mimi ni muumini wa ukweli!

Kama ni ng'ombe huwa na sema wazi kuwa yule ni Ng'ombe,

Kama ni mmbwa huwa nanyosha kuwa yule ni mmbwa!

Sina tabia ya kinafiki ya kufifisha ubaya kuwa uzuri kidogo na uzuri kuwa ubaya kidogo!

Wewe Mohamed Said ni MUONGO hivyo nitatamka hivyo kuwa wewe ni MUONGO!

Kutaja majina ya mitaa ya kariakoo na vibaraza vyake siokujua historia mkuu!

Simama kwenye ukweli!

Yani wewe kila aliyekusimilia kitu ilimradi awe ni wa kariakoo basi ulimwamini kwa 100% bila kutafiti!

Eti Shariff Attas awe mlinzi wa Mwalimu Nyerere katika kipindi cha 1952-1961 kisha atoswe na miezi/miaka michache Julius Nyerere akiwa rais wakuta na Nyerere huyohuyo amsahau Attas?

Hii kawachukue watoto wadogo wakule facebook kisha wasimulie watakupa like nyingi sana!

Mohamed Said wewe ni Muongo tena unaetishia usalama wa taifa hili!

Sijui dola inafikiria nini kukudhibiti mtu mchochezi kama wewe!

Tuwe wawazi, tunaposimulia historia ya nchi yetu tusiwapotoshe wale ambao hawakupata kuijua!

Watatulaumu kesho!

Yericho.

Nilipo Bold nimeyapenda sana hayo maneno yako.

Na kwa kusimamia maneno yako hayo niliyo BOLG na ku UNDERLINE ningefurahi sana kama msomi ungetupa kisa halisi ili nasi tujua uongo wa MS upo wapi.

Kusema au kumwita mtu muongo lakin wewe uonyeshi uongo wake uko wapi na ukweli unasimama wapi hiyo sio lugha au ustaharabu wa wasomi walioelimika.
unaomba darsa lako la kisa cha Bw Attas
T

Barubaru,
Leo nimeswali Maamur.

Msikiti umekuwa Sikiti.
Maana umejengwa upya na unavutia sana.

Muda mrefu nilikuwa sijafika pale.

Mzee Islam ni mzee wangu pia na nyumbani
kwake nabisha hodi nitakavyo.

Siku ukija Dar utafurahi kuuona msikiti huu.
Na Mfungo ndiyo huo.

Allah atufikishe.
Amin.

Ahsantum.

Kwani ni mimi ndie nilieleta wazo la kuufanyia ukarabati msikiti huo na waliofanya Ukarabati ni mashemeji zangu nimeoa dada yao Nasriyah Saleh Al Nahdi.

Nitakuja insh'Allah katikati ya Shaaban.

Yericho.

Nilipo Bold nimeyapenda sana hayo maneno yako.

Na kwa kusimamia maneno yako hayo niliyo BOLG na ku UNDERLINE ningefurahi sana kama msomi ungetupa kisa halisi ili nasi tujua uongo wa MS upo wapi.

Kusema au kumwita mtu muongo lakin wewe uonyeshi uongo wake uko wapi na ukweli unasimama wapi hiyo sio lugha au ustaharabu wa wasomi walioelimika.
unaomba darsa lako la kisa cha Bw Attas
T

Ni uongo wa Mohamed Said tu kutaka kumfifisha Mwalimu Nyerere,

Katika rejea zote za Mwalimu Nyerere nilizonazo na nilizosoma kwa mbali,

Hakuna jina la binadamu aitwa Shariff Attass ambae alikuwa mlinzi wa Mwalimu Nyerere ama rafiki wa kushibana wa Mwalimu Nyerere,

Bahati nzuri sana Mwalimu kaandika kumbukumbu nyingi sana ya mapito yake katika siasa, akiwataja marafiki na wahisani wake,

Ni jambo la kushangaza kama hakumtaja anaetajwa kuwa alikuwa alikuwa mlinzi wake,

Mwalimu anasema Omar Sisco ametoka nae mbali tangu siku TANU inashinda uchaguzi, na Mwalimu anachaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Kwanza Tanganyika!

Sasa Shariff Attass wa Mohamed Said alikuwa wapi?

Uongo ni kazi sana ndugu zangu,
 
Ahsantum.

Kwani ni mimi ndie nilieleta wazo la kuufanyia ukarabati msikiti huo na waliofanya Ukarabati ni mashemeji zangu nimeoa dada yao Nasriyah Saleh Al Nahdi.

Nitakuja insh'Allah katikati ya Shaaban.

Barubaru,
In Sha Allah Mola atukutanishe.
 
Ndugu yangu Ritz

Inaonyesha wazi kupenda kujua hadithi za vibarazani,

Tunajadili historia ya Tanganyika kwa mapana yake,

Hatufanyi rejea ya yale tuliyoyajadili,

Ikiwa kuna jambo tulilisahau linalohusu historia ya Tanganyika na wewe walijua ni vema kuwahabarisha wanajamvi kuliko kuleta kejeri kwa mambo ambayo tayari tulishayajadili hapa!

Narudia tena, sitajibu hoja ambayo tayari ilishajadiliwa hapa!!

Tuwe werevu kwa mafaa ya taifa!

Huna unachokijua nimekuwekea maswali ambayo ni mapya umeshindwa kujibu.

Lini kwenye huu uzi watu walijadili TAGSA.

Lini kwenye huu uzi watu walijadili Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA).
 
Yericho.

Nilipo Bold nimeyapenda sana hayo maneno yako.

Na kwa kusimamia maneno yako hayo niliyo BOLG na ku UNDERLINE ningefurahi sana kama msomi ungetupa kisa halisi ili nasi tujua uongo wa MS upo wapi.

Kusema au kumwita mtu muongo lakin wewe uonyeshi uongo wake uko wapi na ukweli unasimama wapi hiyo sio lugha au ustaharabu wa wasomi walioelimika.
unaomba darsa lako la kisa cha Bw Attas
T

Barubaru,
Mie mzito sana wa kurudisha moto kwa moto kwa kuwa najua nyoyo
zinaumia vipi.

Lakini hebu pekua tumsaidie kijana wetu aonyeshe wapi nimesema
Shariff Attas alikuwa mlinzi wa Nyerere.

Kwanza anaijua hadhi yake?

Ikiwa kweli ana shajara za Nyerere kitu ambacho naamini hawezi kuwanazo
kwa sababu zilizo wazi na aseme hizo shajara zimeeleza nini kuhusu Abdu
Sykes na historia ya TANU.
 
Ahsantum.

Kwani ni mimi ndie nilieleta wazo la kuufanyia ukarabati msikiti huo na waliofanya Ukarabati ni mashemeji zangu nimeoa dada yao Nasriyah Saleh Al Nahdi.

Nitakuja insh'Allah katikati ya Shaaban.

Barubaru,

Kina Munif umeoa kwao Allah hawazidishie mara ya mwisho nimeonana na Mzee Islam wakati wanakaa Aggrey pale msikinitini Qibratein. Nyumba yao mtaa wa Aggrey na nyamwezi.
 
Back
Top Bottom