Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kwa hiyo umekiri alichokisema Mohamed Said kule Ibadan kuwa balozi wa Marekani ndiyo aliwahotubia wabunge wa Tanzania wakapitisha sheria ya ugaidi.

Halafu Mohamed Said anavyokuambia pinda mgongo usome siyo dhihaka kiwango chako cha elimu bado.

Mohamed Said anakufundisha mengi sana.

Mbona unamatatizo sana yakuelewa ndugu???

Mohamed Said amesema balozi alilihutubia bunge la jamhuri, Mimi nimesema ni UONGO

Balozi aliteta na baadhi ya wabunge wa ccm katika kisemina elekezi kilichofanyika ukumbi wa pius msekwa pale Dodoma!

Hakulihutubia bunge, tofautisha mambo haya ndugu!
 
Kadogoo,Tena bwana kwa hayo maakuli mimi naomba uagize ile mishkaki ya paleMtaa Chini Hoteli ya marehemu Mzee Nasibu.Itiwe kwenye Dar Express la kwanza tisa Insha Allah tunaipokea Ubungo.na Ritz atufanyie ikhsani yake kama kawaida mandi ya Mtaa wa Pembakitoweo nyama ya mbuzi.Lakini asiwasahau watani zetu wa Mara kaka yangu Jasusi na mdogo wangu Yericko ugali wa mtama na utumbo wa mbuzi wa chukuchuku.Sio mnaleta mavyakula yenu ya Kiswahili tu.Ritz utaweka oda ya juice ya Bakhresa pipa moja.Jamvi mbona litanoga!
MOHAMED SAID,Umenikumbusha home! Mishikaki na mikate ya Matrani hotel ya Marehemu Nasibu ilikuwa maarufu sana! Watoto wa Mzee Nasibu wameacha biashara ya chakula kwa kufungua maduka! mikate ya Matrani ni mikate ya mchanganyiko wa nyama na mayai ya kienyeji! Kwa hapo Moshi Wachaga wanaipenda sana wakipata na mishikaki!any way ntaagiza toka New Nasibu Restaurant mtaa wa Sokoni bondeni na utapokea baada ya masaa 4 tu! tena tutakuwekea ndani ya jokofu maalum ndani ya basi ili mishikaki isishambuliwe na bacteria! Akina Jericko wakifika tu, kumbuka kupasha moto mishkaki na ntakuchanganyia na mikate ya Matrani ili jamaa zako watabaruk!Kuhusu kuagiza pipa la Juice ya bakhresa nakushauri pia agizia dramu la Coca Cola au Pepsi ili kama wageni wako wakivimbiwa wapate kucheua! haaa haaa!
 
Kuhusika kwa maana ya uchunguzi au kuhusika kwa maana ya Marekani ndio iliyofanya tukio?

Kama kwa maana ya kusaidia uchunguzi, mimi nitakujibu hivi:

Kutokana na ubora wa teknolojia yake na uwezo mkubwa wa ujasusi wa kigaidi,

Sisi kama taifa tunaweza kuwaomba waje wasaidie uchunguzi huo!

Vilevile zingatia kuwa sheria ya kupambana na ugaidi duniani tuliyoridhia 2003 inaipa mamlaka marekani yakufanya shughuli za kijasusi katika taifa lolote lile panapotokea tukio la kigaidi ama kuhisiwa kuwepo kwa ugaidi!

Vivyo hivyo sheria hiyo inasema mtu yeyote atakaekamatwa kwa tukio la kigaidi linaloilenga Amerika atashitakiwa katika mahakama ya Amerika!

Sisi hatuna hata vifaa vyakutambua aina ya mabomu ni vigumu kubaini hata wahusika!

ahsante kaka.tuendelee na mnakasha
 
Unaweza ukahisi kwamba watu wanakuona wa maana kwa mabandiko yako hapa kwasababu ya sifa wanazokupa ila UNAJIDHALILISHA sana ndugu yangu hao wanaokupa sifa hawaandiki hayo matusi japo na wenyewe wanaweza kuwa na chuki sawa na zako...

Kauli zako zinaonyesha ni mtu uliyekulia kwenye malezi gani japo inaonyesha uliingia Darasani kidogo

Jaribu kuwa na heshima kwenye Majadiliano

Lugha zako hazifanani na mtu anayepigania DINI yake na HISTORIA yake

Acha unafiki wewe leo hii tarehe 12/05/2013 ndiyo unajifanya kukemea hizo kauli Mohamed Said anatolewa maneno ya kejeli, matusi, dhihaka na maneno ya kifedhuri hata siku moja ujasema chochote.

Wewe kaa kimya waache wenyewe wapambane.
 
Zali la mentali mbona unahangaika na vitu vidogo vidogo hivi? nilishakuelekeza kwa shahidi wangu ambayo yupo karibu sana na wewe yeye anamajibu mazuri sana kunihusu mimi, sasa don't waste time to PM me, just go to her, she was really good to me and i still miss her so much. Say hello to her, certainly she looks old but palatable.

Yericko mbona huyu hamumfundishi adabu au mumesahau ule usemi wa wathungu "CHARITY BEGINS AT HOME"ondoeni uchafu kwanza kwenu kabla kwenda kwa jirani au kwasababu ni "home boy"
 
Mbona unamatatizo sana yakuelewa ndugu???

Mohamed Said amesema balozi alilihutubia bunge la jamhuri, Mimi nimesema ni UONGO

Balozi aliteta na baadhi ya wabunge wa ccm katika kisemina elekezi kilichofanyika ukumbi wa pius msekwa pale Dodoma!

Hakulihutubia bunge, tofautisha mambo haya ndugu!

Ndugu kwa hiyo balozi aliteta na wabunge mpaka wakubali kupitisha sheria ya ugaidi?
 
Ha ha ha ha Boko haram,huyo jamaa anaweweseka sana ujue,mimi qualifications hizo anazozisema ninazo si kwa sababu nataka kubishana nayeye,ninazo kwa sababu zangu za kutaka kujielimisha,vitabu vyote ninavyo,na nilienda hadi mliman city kununua kitabu cha ngano za mapenz za mwanakijii,ndio kwa maana nikamuuliza Yericko cha kwake kinapatikana duka gani??je kabla sijaenda kukunua anaweza kunipa japo dodoso la literature survey yake?anasema hawez kunijibu,nimemuuliza ya kwamba yeye kaandika kitabu cha ugaid,je yale mauaji yanayofanywa kila leo na kila sasa na mabudha huko MYANMAR dhidi ya Rhohingya Muslims i.e kuchomewa nyumba zao,misikiti,mashamba n.k n.k je ule si ugaidi??na je kwenye kitabu chake kagusia hilo??na je anachokifanya marekani kuwapa support waasi wa syria na kuchochea vita dhid ya Bashar al asad badala ya kusupport diplomasia ya kukaa mezani kwa mazungumzo ule pia sio ugaidi??na je kauzungumzia??hana la kujibu na anasema hatojibu hati tumit vigezo vyake,,vigezo vyako wewe Yericko ni vipi??kuwa JF SENIOR EXPERT MEMBER AU JF VERIFIED USER??TENA KWA NASABA ISIYO YA KWAKO??
Kama kwenye list mimi nishakuwahi kukuweka na kuongeza idadi yangu kufikia tatu sasa,wewe ujibu la usijibu kazi yetu sisi hapa ni kuonesha ukanjanja wako na namna jins pishi lako la ujinga lilivyo kubwa tena na la bei ya hali ya juu...

Hata wewe una "shit list"?!

Maajabu hayajawahi kuisha kwenye huu uzi

Zali la Mentali isingekuwa lugha yake basi anaweza kuwa na umuhimu sana kwenye huu uzi na hata kuongea hayo lakini sio wewe.

Tunakusoma lakini usijejisikia vibaya
 
Last edited by a moderator:
Zali na wengineo; Nawasalimuni. Leo nilipata nafasi kiduchu ya kuchungulia masuala ya JF. Haswa ilikuwa nafuatilia ile hoja yako ya Nyerere na Zanzibar. Nimepata hii mikanda pengine inaweza kusaidia kueleza kile nilichosema awali kuwa yaelekea kule visiwani walishachukiana kwa ukabila wao na sio udini wao. Ukiangalia huu mkanda wa kwanza utaona wazi kuwa kulikuwa na mapinduzi kama matatu yanasubiriwa (ndivyo mwandishi anavyosema; ya Afro-shirazi ambayo yangesaidiwa na kina Nyerere, ya Okello, na lingine hakutaja). Anaongeza kuwa Okello walipindua kama wiki moja kabla ya yale ya Afro-shiraz. Hii inajieleza kuwa ilibidi okelo kuvamia makao ya polisi na kupata bunduki walizoulia watu. Hii ni tofauti na silaha tunazosoma kuwa ziliombwa Algeria. Angalia hao askari mtaani aina ya silaha wanazo tembea nazo ni rifle kama zile za magereza wakati ule.
‫

Haya mapinduzi ya silaha za kupora hayawezi kuwa yale tena ya silaha za kutoka Algeria. Msikize Okello na Mungu wa Waafrika (huu ni Urangi). Sijui mchango wa viongozi wa Tanganyika katika mapinduzi haya kama unamsikiliza mwandishi wa habari vizuri.

Huu mkanda mwingine nao unaonyesha matukio hayo. Ila upo versions tofauti tofauti kwenye you-tube; https://www.youtube.com/watch?v=fJmK_FL91vM

Lakini angalia hata mwandishi yupo kwenye dimbwi lile lile la ukabila. Ni barbaric Africans against arabs and MUSLIMS, yaani kama vile hao arabs sio moslems. Hapa kawapa waarabu daraja lao stahiki. Binafsi nina mashaka kiasi na huu wa pili kwa vile versions zake zote una rangi nzuri. Sina uhakika kama 1964 tayari color-videography ilikuwapo kiurahisi namna hiyo. Angalia hata shirika la habari liliwahoji kina Babu, Okelo, na Karume hawakuwa na color-videography (ule mkanda wa kwanza). Huu wa pili umechukuliwa na helikopta na ndege sindikizaji. Pia ukiivuta sana picha kwenye kaburi moja la jumla utagundua walioko ndani yake (yaani maiti) wengi wana balaghashia zao intact!!!! kiasi kuwa nasita kusema ni mkanda wa tukio halisia. Hata hivyo hilo sio la maana. La msingi ni kuwa mapinduzi haya yalichochewa na hisia za URANGI na tabaka. Dini iliwekwa kando. Hii chuki utaikuta pia kwenye kitabu cha Kwaheri uhuru......Ukisoma maelezo ya Mzee Mkwawa. Kwa hiyo kama Nyerere na viongozi wenzake wa Tanganyika walihusika ni katika hayo mapigano ya matabaka na Urangi kama walivyohusika Msumbiji, Namibia, Zimbabwe, South Africa na Sahara Magharibi (POLISARIO).

Shukran kwa majibu yako ya awali ambayo niseme ukweli hayakuwa na shari kama tulikotoka. Yale yote uliyosema ni mawazo yako binafsi hakuna tija ya kuulizana zaidi.

Salaam kwa Nguruvi, Ritz, Gombesugu, Mzee MS, Nanren, Son of Alaska, Nyambala, Mwanakiji, Kadogoo, Boko Haram.

Suala la mapinduzi ya Zanzibar tulishalitolea maelezo na kuelezea jinsi mapinduzi hayo yalivyopangwa kwenye ngazi ya East Africa yakifadhiliwa na Marekani wakati George Bush ndio Mkuu wa Mashushushu. Haya vilevile yalienda sambamba na mkakati wa kueneza Ukatoliki East Africa kama nilivyoelezea hapo awali. Sasa haya ya kutafuta legitimacy ya source ya mapinduzi yale nje ya mkakati ule mama wa Wamarekani na Wakatoliki kumtumia Nyerere na viongozi wengine wa East Africa kufanikisha hayo ni porojo ambazo huwezi kumlisha mtu mwenye akili zake timamu.
 
Kadogoo,
Tena bwana kwa hayo maakuli mimi naomba uagize ile mishkaki ya pale
Mtaa Chini Hoteli ya marehemu Mzee Nasibu.

Itiwe kwenye Dar Express la kwanza tisa Insha Allah tunaipokea Ubungo.

na Ritz atufanyie ikhsani yake kama kawaida mandi ya Mtaa wa Pemba
kitoweo nyama ya mbuzi.

Lakini asiwasahau watani zetu wa Mara kaka yangu Jasusi na mdogo wangu
Yericko ugali wa mtama na utumbo wa mbuzi wa chukuchuku.

Sio mnaleta mavyakula yenu ya Kiswahili tu.
Ritz utaweka oda ya juice ya Bakhresa pipa moja.

Jamvi mbona litanoga!

Ahali yangu naona umesahau Boko boko na mikate ya chila hapo ili lilete nakshi zaidi katika mnakasha huu.

Kweli jamvi hili ni tamu. nazidi kupata darsa kwa kila nyanja.

Ahsanteni wote
 
Kuambiwa usome ujifunze ndiyo dhihaka?

Wewe mbona unatufanyia dhihaka nyingi unatuita wafuta viatu wa Mohamed Said, wafia dini, akili za madrassa, Mapunguani, sisi mbona tupo kimya.

Wewe unatakiwa ujifunze.

Kabisa Kabisa,
Hivi hiko kitabu chake kweli kitauzika??
Anatia huruma sana...
 
MOHAMED SAID,Umenikumbusha home! Mishikaki na mikate ya Matrani hotel ya Marehemu Nasibu ilikuwa maarufu sana! Watoto wa Mzee Nasibu wameacha biashara ya chakula kwa kufungua maduka! mikate ya Matrani ni mikate ya mchanganyiko wa nyama na mayai ya kienyeji! Kwa hapo Moshi Wachaga wanaipenda sana wakipata na mishikaki!any way ntaagiza toka New Nasibu Restaurant mtaa wa Sokoni bondeni na utapokea baada ya masaa 4 tu! tena tutakuwekea ndani ya jokofu maalum ndani ya basi ili mishikaki isishambuliwe na bacteria! Akina Jericko wakifika tu, kumbuka kupasha moto mishkaki na ntakuchanganyia na mikate ya Matrani ili jamaa zako watabaruk!Kuhusu kuagiza pipa la Juice ya bakhresa nakushauri pia agizia dramu la Coca Cola au Pepsi ili kama wageni wako wakivimbiwa wapate kucheua! haaa haaa!

Kadogoo,
Ahsante sana.

Mzee Nasib Siwa.
Wanae ni umri wangu.

Nikifika Moshi lazima nifike pale kwao kwenye barza.
 
Barubaru,
Ally Sykes ana haya ya kusema:

''The life history of my late brother concealed from the people by TANU the party he founded has already been written
and published.

I believe there is now no dispute as to his role in founding of TANU in order to end foreign domination in
Tanganyika.

I believe no one now will have the courage to ridicule our efforts.

Yet still there are many patriots who as I speak more than fifty years after founding TANU, still remain forgotten.

I have now decided to tell my story because I believe I have something to share with those who were not there in those
difficult days when our country was under colonial rule.

I have deliberately tried although with much difficult to avoid repetitions of events which appear in my brother’s biography.

I have tried in this narration not to repeat that which has already been detailed in the biography of Abdulwahid since that
information although suppressed for many years is now I believe common knowledge.

In telling my story I believe people will understand the path, which this country had trodden.''

Mzee MS; Salaam na heshima tele. Hizi za Ally Sykes na "his story" ni habari njema na zakupewa hongera. Binafsi nilishasema huko awali kuwa tuna tatizo kubwa sana la viongozi wetu wengi (na hata sisi wa kawaida) kuishi kwenye taasisi hadi kufikia mahali wakaondoka ama kwa kufa au kustaafu bila hata kujaribu kuandika "memoirs" zao. Sehemu nyingi sana duniani watu wanayafanya haya. Hii inakuwa ni historia ya kudumu kwao na pia wanazisaidia sana taasisi husika. Nimeona mnakasha umeshafika mpaka Marekani, vita zake na kina Powell. Lakini Powell aliandika memoirs zake. Leo hizo memoirs ndizo zinachangia sana kumsafisha na wimbi la lawama la wakati ule wa Bush. Kwa hiyo kama Ally kaandika pia kitabu (nitapenda kukisoma) ni faraja sana. Vivyo hivyo familia za akina Kawawa, Oscar Kambona, Bhoke Munanka, Rupia na wengineo ni juu yao kujitahidi kuandika wanayoyajua kama wao. Ma-shelfu bado yapo tupu. Kukosekana memoirs zako, always huzaa lawama za "kusahauliwa". Angalia hata nchi za karibu na kwetu viongozi (kina Museveni) wana historia ya kumbukumbu zao.

Nadhani sasa na haya ma-computer, it is even easier. Kawaida Hatakuja mwana-historia yeyote akayajua maisha yako na sababu za matendo yako kama wewe mwenyewe. Ni muhimu kutumia pumzi zako ukayaeleza ya muhimu kuliko aje mwingine kukusaidia. Yaani kama kweli atakusaidia.

Nadhani Ally ni wa kupongezwa. Natamani kama majenerali wetu hawa wangetuandikia maisha yao wakiwa katika harakati za Uganda, Msumbiji, Zimbabwe na kwingine. Hii inarudi pale pale kuwa sisi Watanzania tuna vitabu vichache sana duniani.
 
Ahali yangu naona umesahau Boko boko na mikate ya chila hapo ili lilete nakshi zaidi katika mnakasha huu.

Kweli jamvi hili ni tamu. nazidi kupata darsa kwa kila nyanja.

Ahsanteni wote

Barubaru,
Umejiponza.

Ukija In Sha Allah nitakuchukua kwa Muchacho Upanga
ukaonje mishkaki yake.

Sikujua kama wewe ni mshabiki wa mambo haya.
 
Mzee MS; Salaam na heshima tele. Hizi za Ally Sykes na "his story" ni habari njema na zakupewa hongera. Binafsi nilishasema huko awali kuwa tuna tatizo kubwa sana la viongozi wetu wengi (na hata sisi wa kawaida) kuishi kwenye taasisi hadi kufikia mahali wakaondoka ama kwa kufa au kustaafu bila hata kujaribu kuandika "memoirs" zao. Sehemu nyingi sana duniani watu wanayafanya haya. Hii inakuwa ni historia ya kudumu kwao na pia wanazisaidia sana taasisi husika. Nimeona mnakasha umeshafika mpaka Marekani, vita zake na kina Powell. Lakini Powell aliandika memoirs zake. Leo hizo memoirs ndizo zinachangia sana kumsafisha na wimbi la lawama la wakati ule wa Bush. Kwa hiyo kama Ally kaandika pia kitabu (nitapenda kukisoma) ni faraja sana. Vivyo hivyo familia za akina Kawawa, Oscar Kambona, Bhoke Munanka, Rupia na wengineo ni juu yao kujitahidi kuandika wanayoyajua kama wao. Ma-shelfu bado yapo tupu. Kukosekana memoirs zako, always huzaa lawama za "kusahauliwa". Angalia hata nchi za karibu na kwetu viongozi (kina Museveni) wana historia ya kumbukumbu zao.

Nadhani sasa na haya ma-computer, it is even easier. Kawaida Hatakuja mwana-historia yeyote akayajua maisha yako na sababu za matendo yako kama wewe mwenyewe. Ni muhimu kutumia pumzi zako ukayaeleza ya muhimu kuliko aje mwingine kukusaidia. Yaani kama kweli atakusaidia.

Nadhani Ally ni wa kupongezwa. Natamani kama majenerali wetu hawa wangetuandikia maisha yao wakiwa katika harakati za Uganda, Msumbiji, Zimbabwe na kwingine. Hii inarudi pale pale kuwa sisi Watanzania tuna vitabu vichache sana duniani.

Wickama,
Nimekaa miaka mingi sana na Bwana Ally na katika kipindi hicho kila
nilipokuwa na nafasi nilikuwa ''nikimchokoza'' anieleze maisha yake na
mimi nikawa nachukua ''notes.''

Ana mengi kaniachia.
 
The Big Show,

Usizungumzie kuuzwa kwa kitabu kwa kuwa hakuna publisher
atakaegusa mauzauza hayo.

Kwa ajili hiyo basi hapatakuwa na kitabu wala kigazeti.

Inasikitisha sana kwa kweli,
Kwa maana anaonesha kweli yuko serious na anamaanisha kweli ana nia hiyo,
Tutajionea mengi sana kwenye uzi huu,
Yetu macho...
 
Suala la mapinduzi ya Zanzibar tulishalitolea maelezo na kuelezea jinsi mapinduzi hayo yalivyopangwa kwenye ngazi ya East Africa yakifadhiliwa na Marekani wakati George Bush ndio Mkuu wa Mashushushu. Haya vilevile yalienda sambamba na mkakati wa kueneza Ukatoliki East Africa kama nilivyoelezea hapo awali. Sasa haya ya kutafuta legitimacy ya source ya mapinduzi yale nje ya mkakati ule mama wa Wamarekani na Wakatoliki kumtumia Nyerere na viongozi wengine wa East Africa kufanikisha hayo ni porojo ambazo huwezi kumlisha mtu mwenye akili zake timamu.

Zali; Nakushukuru kwa majibu yako. Unayoyasema kuhusu kina Bush na Ukatoliki pia yanawezekana. Ila Bush sio Mkatoliki na Marekani sio a catholic country. Kwa CIA, nia ya kuiunganisha tanganyika na Zanzibar ilikuwa inainufaisha Marekani kuizuia Umma party (ikichukuliwa kama a communist party)isiwe na influence. Hata huyo mwandishi anapomhoji Babu anahoji jinsi gani Wakomunisti walimsadia. Hamu ya kuwakomoa wakomunisti wa zenj toka Marekani ilijitokeza pia walipopata fursa ya kumpigia Dr Salim kura ya veto asipate ukatibu mkuu wa UN, kwa kule yeye kuwa "rafiki" na China, japo bado ndio walikuwa wanawakomoa makomredi. Kwa hiyo hauko mbali na ukweli ukisema Marekani walitaka Zanzibar ithibitiwe. Kuwasilimisha Wazenj wote SIJUI. Sijalisoma.

Nachosema, ni kuwa angalia hizo silaha za hao askari wa Okello kwenye hiyo video, hizi sio bunduki za watu kuomba toka nchi nyingine kama Algeria. Na kama bunduki ni 850 kama video ya pili (hiyo ya rangi) inavyosema kuwa walipewa na Nyerere, haiwezekani Meli toka Algeria ilete bunduki 850 tena hizo nazoziona hapo.

Mi nadhani hii dhana ya kuwa kulikuwa na mapinduzi mengine yanasubiriwa (ya Afro-shiraz) na yangefanyika wiki moja kabla ya haya kina okello kama anavyo-eleza huyu mwandishi kwenye video ya kwanza huenda yakawa na ukweli. Aina hiyo ya mapinduzi ndio yangetumia silaha nzuri toka bara sio za kupora kituo cha polisi na magereza (sio hizi nazoona)na yangekuwa na kuratibiwa. Kwenye Kitabu cha Dr Ghassany sikumbuki kumsoma Okello akiwa Kipumbwi-Pangani kwenye mazoezi Iwe itakavyokuwa lakini ni dhahiri kuwa mshikamano kama jamii katika jumuiya hii ulishayumba hadi matatizo haya yanakuja.
 
hivi kwa mfano hayo anayoyadai huyo ndugu zidi ya uislamu wakipewa yatawatoa hapo walipo?
 
Mohamed Said,

Huo "Mpini" wa Ally Sykes uliouweka ni hatari Ally Sykes kaongea maneno mazito sana tatizo unatoa kiduchu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom