Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Waku Ritz, Mohamed Said, Wickama, nguruvi, WildCard, JokaKuu, Yericko Nyerere gombesungu na wengine wengi, heshima kwenu! Nimefuatilia mnakasha huu na hakika yapo mengi ya kujifunza ingawa yapo pia yanayohitaji ufafanuzi. Ni kama vile tunataka kuandika historia ya Taifa hili kwa misingi ya udini. Sasa mimi sio mwanahistoria. Ni mwanasheria tena nimezaliwa baada ya uhuru. Mohamed Said, kama hawa waislamu walishiriki kikamilifu, na kama walikuwa wengi, nini kimewafanya wafutike kwenye historia ya uhuru? Yaani ilikuwaje wao wenyewe wasisimame kidete kuweka historia sawa, hasa katika maandishi?

Halafu nisaidieni kujua mchango wa watu wa kaskazini (Wachaga/wameru nk) katika uhuru? Mchango wa wakina Marealle, Shangali, Mzee Mbowe upo? Mtoto wa Marealle amewahi kunijuza kuwa Mbowe ni mtoto wa Nyerere kwa sababu baba yake Mbowe alikuwa anam-accomodate Nyerere na kuchangia safari zake nje katika harakati za uhuru. Lengo sio kujua ubini wa Mbowe bali kujua ushiriki wa wazee hawa wa kaskazini katika Uhuru. Inawezekana mmeshasemea hapo nyuma, lakini kwa urefu wa hoja hii mnaweza kunisaidia tena au kunipa post rejea! Shukrani.
 
Last edited by a moderator:

Iron; shukran kwa maneno mazuri. Kwa jinsi ulivyofuatilia lazima utagundua tumeganyika humu ndani. Wapo wanaoona juhudi za uhuru wa nchi hii kama jitihada za wazee wa uislamu. Wapo wanaoona jitihada zilikuwa za watanganyika wa kote ndani ya mipaka ya nchi hii, ila kila mmoja alikuwa na dini yake. Kwa maana kuwa kigezo cha dini hakikuwa na nguvu kama kinavyopigiwa debe sasa.

Binafsi nimejikita kwenye kambi ya pili. Nikiamini wazee wa Marangu, Meru, Biharamulo, Mpanda, Tarim , Mbozi nk walitaka uhuru wao. Haikuwasumbua kuwa huyu anaitwa Jaffar au James. Kwa mantiki ya msimamo wangu hoja ya kina Marealle kum-finance Nyerere (wapo wengi across the country) ni hoja ya uzalendo ninaopigania katika thread hii.

Sasa umeuliza kwanini Waislamu hawakustuka na kuandika hiyo historia ya mchango wao. Mzee Mohammed amefanya shughuli hii kiasi labda na wengine watamuunga mkono. Ni vizuri pia waandishi wengine wakaandika wanayoyajua juu ya madhehebu yao kama wanao ushahidi. Binafsi sina tatizo na approach hiyo ili mradi zisitumike kama document za kujenga hoja ya kudhalilisha baadhi ya jamii zetu humu nchini au kama documents za kuanzishia madai kwa vile hatari ya kufanya hivyo kwa kila jamii inajulikana.

Kama utakuwa umesoma threads za hivi karibuni (tafuta za Zumbemkuu) utaona tunasema bayana kuwa THERE IS NO WAY JUHUDI ZA DAR-ES-SALAAM ZINGEFANIKIWA BILA SUPPORT YA MALI NA RESOURCES TOKA MIKOANI. Kwa hiyo ku-focus all that liberation effort kama scenario inayokuwa monopolized na some family za dar hapo ndipo tunakataa. Na inapokuwa attention ni dini zaidi, tunakataa kwa sauti zaidi. Mfano ulioutoa ni mzuri sana.

Wengine watakujibu pia.
 
Iron,

Karibu sana ukumbini nadhani hili suali lako Mohamed Said, anaweza kukujibu sababu hayo aliouliza mengi yapo kwenye kitabu chake.

Vile vile members wengine wanaweza kukujibu utapima mwenyewe wapo usimamie.

Mwisho wa siku bado wote tutabaki kuwa Watanzania.

Iron, hakuna kuficha wala unafiki wewe hapa tumegawanyika sehemu mbili kuna historia ya Wakirsto na Waislam.

Huyo anayekuambia kuna historia mbili ya Waislam na wengine nadhani kutoka na unafiki wake ameshindwa kuwa muwazi kwako, muulize kwa nini hawa wazee wa Kiislam hawakubali.
 
Last edited by a moderator:
kwa upande wangu nimeanza kuufuatilia mnakasha huu kwa muda mrefu sasa na kuchangia mara chache ili niweze kupata usahihi wa magagaziko yangu,ila nimeona ya kwamba muhammed said katumia muda mwingi na ufahamu wake wa historia ili kuweza kupata picha sahihi,na mpingaji wake katumia muda wa kawaida ili aweze kujibu ojaz a muhamed said,japo naona anayejibu hoja katumia sana maoni ya watu wa sasa katika kupinga ukweli wa yale yaliyomo ktk kitabu hiki,ilibidi nikinunue ili niweze kwenda na mada za humu,nasema kwa UWAZI ya kwamba kitabu hiki kimekamilika sana na kwa ushahidi yanikinifu. HONGERA MTUNZI
 
Iron; shukran kwa maneno mazuri. Kwa jinsi ulivyofuatilia lazima utagundua tumeganyika humu ndani. Wapo wanaoona juhudi za uhuru wa nchi hii kama jitihada za wazee wa uislamu. Wapo wanaoona jitihada zilikuwa za watanganyika wa kote ndani ya mipaka ya nchi hii, ila kila mmoja alikuwa na dini yake. Kwa maana kuwa kigezo cha dini hakikuwa na nguvu kama kinavyopigiwa debe sasa.

Binafsi nimejikita kwenye kambi ya pili. Nikiamini wazee wa Marangu, Meru, Biharamulo, Mpanda, Tarim , Mbozi nk walitaka uhuru wao. Haikuwasumbua kuwa huyu anaitwa Jaffar au James. Kwa mantiki ya msimamo wangu hoja ya kina Marealle kum-finance Nyerere (wapo wengi across the country) ni hoja ya uzalendo ninaopigania katika thread hii.

Sasa umeuliza kwanini Waislamu hawakustuka na kuandika hiyo historia ya mchango wao. Mzee Mohammed amefanya shughuli hii kiasi labda na wengine watamuunga mkono. Ni vizuri pia waandishi wengine wakaandika wanayoyajua juu ya madhehebu yao kama wanao ushahidi. Binafsi sina tatizo na approach hiyo ili mradi zisitumike kama document za kujenga hoja ya kudhalilisha baadhi ya jamii zetu humu nchini au kama documents za kuanzishia madai kwa vile hatari ya kufanya hivyo kwa kila jamii inajulikana.

Kama utakuwa umesoma threads za hivi karibuni (tafuta za Zumbemkuu) utaona tunasema bayana kuwa THERE IS NO WAY JUHUDI ZA DAR-ES-SALAAM ZINGEFANIKIWA BILA SUPPORT YA MALI NA RESOURCES TOKA MIKOANI. Kwa hiyo ku-focus all that liberation effort kama scenario inayokuwa monopolized na some family za dar hapo ndipo tunakataa. Na inapokuwa attention ni dini zaidi, tunakataa kwa sauti zaidi. Mfano ulioutoa ni mzuri sana.

Wengine watakujibu pia.

Nashukuru kwa majibu mazuri. Nadhani kama walikuwepo wazee wenye dini tofauti, na walipigania uhuru kwa pamoja, vyema ni kusema wapo wazee waliopigania uhuru na wanapaswa kuwekwa katika kumbukumbu za nchi hii. Nadhani kama wameandikwa Wakristo halafu Waislam wakaachwa, hapo kutakuwa na walakini! Vinginevyo wizara husika (Habari na Utamaduni) inapaswa kuratibu zoezi zima la kuweka historia sawa. Kama watu binafsi wakiachwa kuandika wenyewe bila uratibu kutakuwa na bias nyingi sana!
 
Iron,

Karibu sana ukumbini nadhani hili suali lako Mohamed Said, anaweza kukujibu sababu hayo aliouliza mengi yapo kwenye kitabu chake.

Vile vile members wengine wanaweza kukujibu utapima mwenyewe wapo usimamie.

Mwisho wa siku bado wote tutabaki kuwa Watanzania.

Very important point. Mwisho wa siku wote ni watanzania. Muhimu ni kuhakikishwa yanayoandikwa yanaakisi hivyo! Yatakayoandikwa yatabakia katika maandishi hata kwa miaka 1000. Ndio maana naamini serikali inayo nafasi kubwa katika hili. Inayo hifadhi ya kumbukumbu zote muhimu. Inawezakusimamia zoezi hili vyema. Ni vyema historia ikaandikwa kwa madhumuni ya kuelimisha (academic purposes) na si vinginevyo.
 
Last edited by a moderator:
kwa upande wangu nimeanza kuufuatilia mnakasha huu kwa muda mrefu sasa na kuchangia mara chache ili niweze kupata usahihi wa magagaziko yangu,ila nimeona ya kwamba muhammed said katumia muda mwingi na ufahamu wake wa historia ili kuweza kupata picha sahihi,na mpingaji wake katumia muda wa kawaida ili aweze kujibu ojaz a muhamed said,japo naona anayejibu hoja katumia sana maoni ya watu wa sasa katika kupinga ukweli wa yale yaliyomo ktk kitabu hiki,ilibidi nikinunue ili niweze kwenda na mada za humu,nasema kwa UWAZI ya kwamba kitabu hiki kimekamilika sana na kwa ushahidi yanikinifu. HONGERA MTUNZI

Nijuze naweza vipi kupata kitabu hiki. Wapi na kiasi. Nipo Dar
 
mimi nilikipata hapa mwanza katika duka moja maeneo ya posta ya zamani,ila kwa dar ukienda maenep ya msikiti wa mtoro,unaweza kipata
 
ukija tena huko nakupiga ZONGO,
teh teh teh teh (chai ya jioni)

ZumbeMkuu,

Tayari umeshanitisha. Basi nami kabla ya kuja huko kumtembelea ndugu yangu Wickama,itanilazim nipitie pale Kwa Msisi Manda,Kwesungo na Kwemungo kufuata lile "Zaiko"....halafu tuje kupambanisha na hilo "Zongo" lako!ahaha!!

Je ulishawahi kusikia khabari za yule Mganga wa Kimakonde pale Korogwe akiitwa "Mzee Mandondo"!? Alikua akihishimika saana "enzi ya Mwalimu".
Alikua pia akitumika mno ati kwenda kuwasaka na kuwafichua "Wachawi na maadui" wa Nchi khasa wale waliokua wakipinga ile Social Experiment ya Nyerere/"Sera ya utekelezaji wa Vijiji vya Ujamaa".

Wazee na Vikongwe wengi mno walikashifiwa na kuadhibiwa na yule Mpumbavu wa Kimakonde. Tena alikua ana mahusiano mazuri na Nyerere. Kwa hiyo kila kona na pembe ya nchi alizokua akifika kusaka/"kutafuta" hao "Wachawi"...alikua akipokelewa na Wakuu wa Wilaya na kupewa hishma kubwa mno na kukabidhiwa orodha ya wale walioitwa "wakorofi" waliokua hawataki kuhama Vijijini mwao kwa asili ili kupisha/kutekeleza ile sera mbovu ya kinyama na dhuluma.

Matokeo yake yule Kichaa Mandondo,alikua anaitisha mikutano ya hadhara na huku ikihudhuriwa na Wakuu wa Wilaya na Polisi/OCD's...hapo ndipo anatimiliza viroja na umahiri wake wa "Uganga"! Anasoma ile orodha yoote alopewa awali,na kubainisha yakuwa kumbe wale Wazee na Vikongwe woote ni "Wachawi" tu,ati ndo maana hawataki kufuata "sera za nchi".

Matokeo yake Mandondo,anapigiwa makofi na vifijo vingi,na huku akiendelea na safari yake vijiji vingine. Na wale Wazee na Vikongwe wa watu maskini za Mungu,wanakamatwa na kufanziwa matata mengi mno...baada ya kutoka ndani wanakuta wamehamishiwa ati kwenye "Vijiji vipya"!?ahaha!!

Nakutakia W'end njema ndugu yangu.

Ahsanta.

Cc;Ritz
 
Wild Card,
Tafuta katiba ya CPP na ya TANU kisha fananisha.

Mapenzi yangu kwa Abdu Sykes ni makubwa wala
si uongo.

Ni haya mapenzi ndiyo yalonifanya niandike historia
ya maisha yake.

La mwisho hilo la kunakili katiba halipo katika nyaraka
za Sykes hili kanambia Tewa Said Tewa.

Ngoja nikufahamisha.
Nyaraka za Sykes wala isikupitie kuwa ni "vikabrasha."

Kila aliyeacha alama katika historia ya Tanganyika yumo.

Kuanzia Kleist mwenyewe, magavana, Wazungu kama
Ivor Byldon, Waasia kama Annur Kassum, wazee maarufu
wa Dar es Salaam, machifu kama David Kidaha Makwaia,
Abdiel Shangali, Thomas Marealle, Msabila Lugusha, Kunambi,
Abdallah Said Fundikira, wanaharakati wa uhuru, Abdu Sykes
na ndugu zake, Dk. Mutahangarwa, Dk. Mwanjisi, Dk. Lugazia,
Dk. Tsere, Dk. Kyaruzi, Mwapachu, Mhando, Magembe, Kirilo,
Seaton, Rupia, Kandoro, Bomani...

Haya mafaili yalizua ugomvi.
Yalitakiwa na Ally Sykes aligoma kuyatoa akidai ni ya marehemu
kaka yake binafsi si ya TANU kama chama.

Hii ilikuwa baada ya uhuru.
Asalamaleiykum sheikh Mohamed,pole sana kwa msiba wa Mzee wetu ALLY SYKES. Hii list uliyoweka hapo juu imenisisimua sana kwani kuna majina matatu humo ndani (David kidaha Makwaia,Msabila Lugusha na Abdallah Fundikira),hawa walikuwa na undugu wa karibu na wanahistoria kubwa katika harakati za uhuru na maisha ya Tanganyika ya miaka hiyo.Naomba sana jamaa zao nao wajitokeze waandike harakati zao ili zibaki kumbukumbu kwa vizazi vijazo. Nawaomba wasikatishwe tama na kebehi na dharau ulizoonyeshwa na wenzetu wanaopenda kuhubiriwa kwamba historia ya ukombozi wa Tanganyika ni ya Nyerere peke yake.
Ahsante.
 
Nashukuru kwa majibu mazuri. Nadhani kama walikuwepo wazee wenye dini tofauti, na walipigania uhuru kwa pamoja, vyema ni kusema wapo wazee waliopigania uhuru na wanapaswa kuwekwa katika kumbukumbu za nchi hii. Nadhani kama wameandikwa Wakristo halafu Waislam wakaachwa, hapo kutakuwa na walakini! Vinginevyo wizara husika (Habari na Utamaduni) inapaswa kuratibu zoezi zima la kuweka historia sawa. Kama watu binafsi wakiachwa kuandika wenyewe bila uratibu kutakuwa na bias nyingi sana!

Mwanasharia Iron,

Labda sijakufahamu uzuri naomba kiduchu unijuze upya ndugu yangu;yaani unamaanisha yakuwa pasiwe na ruksa asilan ya ma-Scholar au Watafiti wa Historia khasa binafsi kufanza shughuli zao,mpaka wasimamiwe au kupewa vibali na Serikali au Wizara husika!?

Jingine nasikia mbona tayari "Historia" nyingine ilishaandikwa na Chuo cha Kivukoni-Historia ya Kivukoni.

Nafikiri alichofanya Mtafiti,MwanaHistoria/Scholar Sheikh Mohammed Said,ni kuleta ile "second opinion"(niwie radhi hapa nakukopa lugha yako ya Kisharia kiduchu) na kutufaidisha na upande mwingine wa Historia hiyohiyo kwa faida ya soote kama WaTanzania.

Labda kingine nilichogundua kwa uchechefu wangu,kiletacho rabsha hapa jamvini ni vile Sheikh Mohammed Said kuwataja hao Wazee wa Mzizima/Wazee wetu kwa wingi kwenye kitabu chake.

Lakini "kosa" hili la "jinai",nafikiri hata Nyerere pia alifanza na ndipo inalazim tumlaumu yeye Nyerere. Kwa mfano bila ya kwenda mbali mno au kurejea nyuma saana ya mnakasha,embu chungulia hiyo hotuba ya huyo Nyerere mwenyewe hapo anasema nini!?

Naona kawataja Wazee wetu wengi tu,tena baadhi yao kwa majina khasa Wazee wa D'Salaam,Pwani na Bagamoyo. Nafikiri la muhimu tujiulize,je wakti huo Neyere alikua hakumbuki au hajui baadhi ya sehemu nyingine za Tanganyika au michango ya Wazee wa huko!? Sasa kwanini hakutaka au alishindwa hata kumtaja huyo Mzee Mbowe,Chief Marealle au Marangu na Machame yake!? Mimi binafsi nahisi Nyerere ndo aloanzisha na kuchochea hii "vurugu" tulonayo sasa hapa jamvini!?

Kwanini kwenye hiyo hotuba yake ya "kuaga",hakuona umuhimu wa kutaja hizo sehemu au Mikoa mingine ya Tanganyika kwa majina kama alivyotilia mkazo na kutaja Wazee wa Mzizima tena wengi wao wakiwa ni WaIslamu!?

Wallahi,mimi binafsi Nyerere kanistaajabisha,maana hata Tarime/Mara hakuitaja!? Sasa ndugu yangu,unapohoji kwanini Kaskazini haikutajwa na wale Wazee wa kule pia hawakutajwa,nakusikia kwa kina hicho kilio chako...lakini haya kaanza kufanya Nyerere mwenyewe "Baba Wa Taifa".

Nafikiri labda,vitu au viswali viduchu kama hivi nijiulizavyo mimi,na pia labda na ukweli mwingine wa Kitaaluma/Historia ndo ulomfanya au kumshawishi Sheikh Mohammed Said aanze utafiti wake wa kina na hatimae kuandika hiki kitabu chake. Na sisi leo tupo hapa jamvini,kujaribu kukifanyia minyambulisho ya kina na huku yeye mwenyewe akitusaidia na kutuelekeza pale tunapokwama!?

Pia ni muhimu zaidi,tukumbuke yakuwa Sheikh Mohammed Said,amejitahidi mno kutaja na kutujulisha maeneo na wanaharakati kutoka takriban kila pembe ya Tanganyika. Wakiwemo Wakristo,Waislamu,wasokua na Dini na wengineo.

Nilitaka kukupa mifano mingi mno ya nchi za nje lakini ni vyema turejee hapo hapo nyumbani.

Hivi leo hii ni watu wangapi hapo Tanzania wajuao au hata kuthamini mchango wa Mwenyekiti wa Chadema kule Mchambawima au Mkanyageni kulinganisha na mchango wa Padri Dr. Slaa!?...kuna viongozi wangapi wa vijiji au kata wa Chadema huko Mbozi,Kwa Nkonje,Mandera,Iramba,Mafia,Kibinda na kwingineko,ambao wanajikalif maisha yao na family zao na labda kupata misukosuko kadhaa,je mnazisikia khabari zao kila mara au kwa kina hapo D'Salaam ukilinganisha na khabari za Muheshimiwa Mbowe au Padri Dr. Slaa au Viongozi wengine wa level ileile ndogo waliopo hapo D'Salaam!?

Kwa hiyo nafikiri hao Wazee wa Mzizzima ambao takriban woote walikua ni WaIslamu, ilichowasaidia pia ni ile political/Historical connection ya wao kuwepo/kuzaliwa pale D'Salaam. Jambo ambalo ni muhimu mno kihistoria.

Huwezi kufananisha asilan zile harakati na zogo lilikuwapo pale Mzizima wakti huo labda na Kigombe,Nkasi, Handeni au Hedaru!?

kama kuna zogo au harakati za Wazee wao huko,ni vyema kuzijua kwa kina hili halina ubishi asilan...lakini itakua ni rare occasions kwa kufafanisha na yalokua yakitokea au kufanyika hapo Mzizizma!?

Sheikh Mohammed na ZumbeMkuu,washaanza kutoa mifano kadhaa. Nawewe ndugu yangu kumbe una mifano ya fadhila za kina Mbowe kwa Nyerere,tafadhali zimwage na tuzichambue kwa pamoja hapa jamvini.

Labda na wengine wana mifano yao,pia itolewe. Halafu,Yericko atachambua upi unafaa kuwa ndio harakati za kuchangia Uhuru au la! Maana mifano ya Wazee wetu sisi ati anaikashifu japo Nyerere mwenyewe ilimkaa mno moyoni mpaka ikamlazim kwenye "kuaga" aitamke hadhwarani.

Niwie radhi kwa uchechefu wangu.

Nakutakia W'end njema.

Shukran sana Iron; awali ya yote ni kuwa sioni ulazima wa serikali kuratibu au kusimamia masuala kama haya ya vitabu. Hizi ni zile tunaita scholarly works. Zipo taasisi wala hawatataka kuziona. Njia pekee ambayo watu wanaweza kuwa na reference yenye ushahidi tofauti ni waandishi wengine pia kuandika yale yanayojulikana kwao ili watu wayasome. Nchi yetu waandishi kama Mzee Mohammed sio wengi. Mchango wa kitabu kama cha Mohammed Said ni kule kuingia katika historia kwa sura ambayo jamii haijaizoea (loser's history). Mazoea yanasababishwa na huo uratibu na kuweka vizuizi ili mambo Fulani watu wasisome au wasiandike (kuwa na victor's history). Kitabu hiki kinatuvusha kwenye daraja hili kwanba watu wanaweza kujitayarisha kuisoma historia kwa kila mtazamo. Kidesturi ni kuwa kazi za kitaaluma kama vitabu huwa vinajibiwa na vitabu pia ili watu wapate reference na kupima ushahidi.

Discussion iliyokuwa inaendelea haikuwa juu ya kuwepo au kutokuwapo kitabu hiki. Kinauzwa tangu muda. Awali ilikuwa juu ya some facts ambazo baadhi ya wachangiaji walizi-question. Hizo hata Mtunzi amenufaika. Aliyeanzisha uzi huu amelaumu kwamba contents zake ni za kichochezi na zinabeza watu wengine waliopigania uhuru. Humo bado hatujatoka. Kona zimekuwa nyingi.

Vingenevyo ni kama Ritz alivyokueleza, ni uwanja ambao hata wewe unaweza kunufaika na hata kucheka, maana vijembe humu tunarushiana kwa zamu. Karibu tena. Ritz shukran kwa maneno mazuri.
 
Wickama,

Kwa mtizamo wangu binafsi leo ndio kwa mara ya kwanza umeandika vitu vinavyoingia akilini kiundani na kwa uzito mwingi, na mtu kuzingatia kwa utuvu...

Japo umeandika kwa kifupi,lakini ndani yake kuna mengi umenena khasa kwa apendae kupembua majambo.

Niwie radhi kwa kuchangia japo kiduchu maana najua huu ujumbe haukuwa wangu,lakini nahisi ni muhimu kutokua na khiyana na kusifiana pale inapojiri.

Tuendelee na mnakasha.

Gombesugu; naona tayari orientation umemaliza na kumpa nakala Ritz ..... sina hamu hahahahah, utanipasua mbavu. haya bwana ngoja nitayarishe ile gari uje kuendesha huku Mtae. Wikiendi njema pia. Bora na Iron nimpe nakala basi.

cc mr Iron.
 
Shukran ndugu yangu. Tupo pamoja.
 
Gombesugu; naona tayari orientation umemaliza na kumpa nakala Ritz ..... sina hamu hahahahah, utanipasua mbavu. haya bwana ngoja nitayarishe ile gari uje kuendesha huku Mtae. Wikiendi njema pia. Bora na Iron nimpe nakala basi.

cc mr Iron.

Wickama,

Si unajua Shariff Ritz yeye ndo bingwa wa kunivunja mbavu hapa jamvini!ahaha!!

Ngoja tusuburi sijui atateremsha "mpini" gani W'end hii!?ahaha""

Ahsanta.
 
Shukran sana Iron; awali ya yote ni kuwa sioni ulazima wa serikali kuratibu au kusimamia masuala kama haya ya vitabu. Hizi ni zile tunaita scholarly works. Zipo taasisi wala hawatataka kuziona. Njia pekee ambayo watu wanaweza kuwa na reference yenye ushahidi tofauti ni waandishi wengine pia kuandika yale yanayojulikana kwao ili watu wayasome. Nchi yetu waandishi kama Mzee Mohammed sio wengi. Mchango wa kitabu kama cha Mohammed Said ni kule kuingia katika historia kwa sura ambayo jamii haijaizoea (loser's history). Mazoea yanasababishwa na huo uratibu na kuweka vizuizi ili mambo Fulani watu wasisome au wasiandike (kuwa na victor's history). Kitabu hiki kinatuvusha kwenye daraja hili kwanba watu wanaweza kujitayarisha kuisoma historia kwa kila mtazamo. Kidesturi ni kuwa kazi za kitaaluma kama vitabu huwa vinajibiwa na vitabu pia ili watu wapate reference na kupima ushahidi.

Discussion iliyokuwa inaendelea haikuwa juu ya kuwepo au kutokuwapo kitabu hiki. Kinauzwa tangu muda. Awali ilikuwa juu ya some facts ambazo baadhi ya wachangiaji walizi-question. Hizo hata Mtunzi amenufaika. Aliyeanzisha uzi huu amelaumu kwamba contents zake ni za kichochezi na zinabeza watu wengine waliopigania uhuru. Humo bado hatujatoka. Kona zimekuwa nyingi.

Vingenevyo ni kama Ritz alivyokueleza, ni uwanja ambao hata wewe unaweza kunufaika na hata kucheka, maana vijembe humu tunarushiana kwa zamu. Karibu tena. Ritz shukran kwa maneno mazuri.

Exactly!
 
Sijaharibu,

Inawezekana hujaufuatilia huu mjadala tangu mwanzo!

Suala la ugaidi na matatizo ya sheria yake kwa nchi nyingi hasa afrika tumelijadili sana huko nyuma ya mjadala huu,

Hapa nilikuwa namjibu huyu mdau wangu aliyehoji juu yayo

Tusonge mbele ndugu

Yericko Nyerere mimi nafuatilia huu mnakasha toka ulipokuwa na post 35, ila point yangu ilikuwa kwamba huu mnakasha umebase kny uchochezi wa mzee MS juu ya wapigania uhuru,na wachangiaji wengi wamekuwa wakijikita kny kuelimisha juu ya historia ya Tanganyika/ Zanzibar na wapigania uhuru, kwa hivyo binafsi naona kuingiza mambo ya ugaidi kidogo inachanganya mtiririko wa mnakasha,hilo la ugaidi lingejitegemea kwenye uzi wake.Ni maoni yangu
 
Last edited by a moderator:
Salaam ndugu zangu.Kuwepo kwangu jamvini kwa kipindi kirefu kufuatilia mnakasha huu nimejifunza jambo moja muhimu sana,nalo ni kwamba ndugu zetu wa imani tofauti wanapata tabu sana kukubali kwamba uislamu kama dini ilijipambanua wazi wazi kuupinga utawala wa kikoloni.Taasisi nyingi za kiislamu na misikiti ilikuwa ni sehemu za harakati kubwa za kupinga ukoloni.Na ndio maana Mufti ambae ni kiongozi wa juu kabisa wa waislamu sheikh Hassan bin Amir alikuwa akifanya harakati za wazi za kupinga ukoloni na kufikia mpaka kuwavuta watu kuingia TANU kupitia darsa zake misikitini.Haiwezekani sheikh Mohamed aeleze harakati za wazee wa Mzizima bila kuathirika na ushiriki wa dini yao ambao ilitoa msukumo mkubwa kwa wao kudai uhuru. Ahsanteni.
 
Uko sawa. Ila huanzi na negativity on a person. Kama "wajua wengi wanadhani ile hotuba Fulani ndiye aliyeiandaa.................. tulikuwa nayo kwenye maili yetu for 5 years" Hapa you are ridiculing a person. Infact a person ambaye hajawahi ku-deny your contribution to that speech. So what point are you making? Ukiwaambia kuwa hapa unasimanga mtu utaambiwa Wickama hapana hii ni historia.
Wickama,

..hebu chukulia mfano wa ile inaugural speech ya John Kennedy na kauli mbiu, "ask not american can do for u..."

..jamaa aliye-coin maneno yale ametambuliwa kuwa alikuwa ni mmoja wa wasaidizi wa JFK, na ametokea mara nyingi tu kwenye vipindi vya tv kuelezea mchango wake.

..pamoja na jamaa huyo kutambulishwa, bado hilo halijamuondolea JFK sifa yake kama kiongozi mahiri, na mmoja wa maraisi wa kimarekani wa kupigiwa mfano.

..kwa msingi huo mimi sina tatizo na habari kwamba "hotuba/muswada/hoja/draft" ya UN ilishaandaliwa kitambo kabla ya Mwalimu hajakwenda huko.

..the fact kwamba "hotuba/muswada/draft" hiyo ilibidi ukae maktaba miaka mitano mpaka alipopatikana the right person kwenda kuiwasilisha UN, tell u how special Mwalimu Nyerere was.

..kwa upande mwingine mimi ni mpenzi sana wa kusoma speech. i wish ningewajua waandishi wa hotuba za Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, na sasa JK. Particularly, ningependa kumjua mwandishi aliye-coin kauli mbiu ya "...tunataka kuwasha mwenge..." au aliyeandika hotuba ya "uwezo tunao, sababu tunazo,..."
 
Back
Top Bottom