'historia hii ya kwake'(kwa sababu kuna matundu mengi yameonyeshwa huko nyuma),ameieleza akiwa na an objective behind ambayo anataka msimuliwaji aipate(mtu akisoma lazima aathirike nayo,kulingana na yeye MS),hii objective behind ndiyo inayogomba,ndiyo iliyosababisha historia hii ya MS iwe na matundu.ndiyo inayosababisha MS atizamwe kwa tahadhari
Kazi ya kuonyesha matundu imefanyika na inaendelea.
Tumechimbua hata yaliyokuwa chini ya mkeka
Mohamed Said aliaminisha umma kwa mika 15 kuwa Nyerere aliingizwa siasa na Abdul. Si kweli na imeonekana wazi kuwa alianza siasa wakati Abdul anapaka rangi nyumba ya D.Cameron tayari kuifisadi.
Miaka 15, dunia imeaninishwa na Moddy kuwa Wamanyema ni waislam tu, hakuna wapagani, atheist au wakristo! tume prove him wrong big time
Mohamed amefanikiwa kuchukua mkoba na kupanda nao ndege.
Akateremaka Ibadan, kasimulia kitu na tarehe ambazo hazipo katika kumbu kumbu za bunge na nchi. Kaaminisha ulimwengu uongo dhidi ya taifa lake.
Miaka 15 tumesikia Kipumbwi, ameshindwa kueteta hoja hiyo na kuleta source ambazo hazipo kwa kuficha uso wake. Mapinduzi na Kipumbwi sasa yamefika mwisho. Hataleta tena hapa jamvini, analijua hilo vema
Miaka 15 watu waliamini Sheik Amir alifukuzwa kwa kutetea EAMWS.
Leo umma unajua kuwa alipewa fursa ya kuitetea EAMWS na Usilam akachagua kwenda kwenye siasa za majitaka vichohoroni!
Miaka 15 Mohamed ameshindwa kuthibitisha madai ya uonevu katika mitihani.
Hajaweza na hataweza.Malima akiingia wizara ya elimu namba zipo
Miaka 15 Mohamed ameanisha umma wanafunzi wanachaguliwa kwa upendeleo. Ameleta jedwali la utafiti na kilichobaki ni historia ya aibu aliyoipata.
Jedwali limenyumbuliwa na hatamani hata kuliangalia katika kitabu chake
Orodha ni ndefu sana, inatia wapenzi na mashabiki jazba na kiwewe.
Tutaifuta Jugular vein without fear or favor!