Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nimesoma huu mnakasha toka mwanzo hadi sasa,MS ni msimuliaji mzuri,lakini contents na style ya maandishi yake,inaonekana dhahiri ni kutaka kupasha moto tabaka la waumini fulani wa kiislamu,ili wajione ni waliodhulumiwa!! HATOI SOLUTION YOYOTE baada ya kuukoka moto huo, JE ANATAKA KITOKEE NINI? Mwanzoni mwa mnakasha nilikuwa nakubali sana uliyoandika, lakini muda ulivyokwenda zaidi 'historia yako' ilififishwa mno na hoja za baadhi ya wanajamvi na baadaye nikaja nikaisoma rangi yako halisi na madhumuni yako kwa taifa letu.kuwa makini unachokifanya si kizuri.

Maiki,

Mimi nina maswali mawili nataka kukuuliza kiduchu.

1) Huu mnakasha umeanzishwa na Yericko unanaitwa uchochezi wa Mohamed Said, vipi huo uchochezi ni upi?

2) Umeishasoma kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa chuo cha Kivukoni?
 
Last edited by a moderator:
Historia ya kivukoni nimeisoma na kuyaona mapungufu yake,hii ya MS nimeisoma pia,lakini hii imeandikwa pamoja na purpose ya kuonyesha dhuluma,uonewaji na kupuuzwa kwa waislamu,ambako with an independent mind hutoweza kuona unless uwe mtu biased,unapotoa ujumbe kama huu kwa wasomaji unaohamasisha hasira,chuki na visasi,halafu huwaelezi nini kifanyike,unataka hawa watu wafanye nini baada ya kuwapandikiza hivi visirani,hasira na chuki kama tunavyoshuhudia jazba za baadhi humu!

Kuandika historia ya nchi yetu na mchango wa wazalendo ktk kupigania uhuru ni vipi uta sababisha chuki, visasi au hasira? jee historia ya Kivukoni ilisababisha chuki na visasi? hivi mbona mnakuwa hivi? Uamsho wakitaka nchi yao ni wahaini lakini Jaji Mark Bomani akitaka Tanganyika katoa maoni yake? Mkristo akisema Yesu ni Mungu ni haki lakini Muislamu akisema kinyume anakashifu dini?
 
Ajabu kubwa hii,

Moh Said hata sisi tunawashangaa hawa ndugu,wanataka ufumbuzi kwani wewe unafanya research ya malaria ili mwishowe utoe pendekezo la dawa ya kuangamiza ugonjwa huo??

We umeandika historia na kuelezea ya wale waliofichwa na kuachwa katika harakati za kupigania ukombozi wa taifa hili,

Sasa sijui ufumbuzi wanaoutaka wao ni upi sasa...

The Big Show,
Punch zako kali sana.

Nimejikuta nacheka peke yangu.
Mie nimetanguliwa na kaka yangu yeye ni mwanasayansi (Ph D) Genetics.

Basi hii mambo ya tafiti nilipata by ''infusion'' kidogo kutoka kwake wakati
tukiwa pamoja Ulaya.

Akiwa nyumbani hana wanafunzi wa kusomesha basi mie nakuwa darasa.

Ndiyo nikacheka kusikia unazungumzia malaria maana mara ya mwisho alinipa
kitu kuhusu juhudi za vaccination ya malaria.

JF ni starehe sana kwa kweli ukiondoa muda mchache uwanja unapochafuka.
 
Kuandika historia ya nchi yetu na mchango wa wazalendo ktk kupigania uhuru ni vipi uta sababisha chuki, visasi au hasira? jee historia ya Kivukoni ilisababisha chuki na visasi? hivi mbona mnakuwa hivi? Uamsho wakitaka nchi yao ni wahaini lakini Jaji Mark Bomani akitaka Tanganyika katoa maoni yake?

Shariff Kadogoo,

Habari masiku Ahly mbona umeadimika ukumbini kiasi hicho, nimesoma huu mpini wako walaahi nimetosheka.
 
Last edited by a moderator:
Kuandika historia ya nchi yetu na mchango wa wazalendo ktk kupigania uhuru ni vipi uta sababisha chuki, visasi au hasira? jee historia ya Kivukoni ilisababisha chuki na visasi? hivi mbona mnakuwa hivi? Uamsho wakitaka nchi yao ni wahaini lakini Jaji Mark Bomani akitaka Tanganyika katoa maoni yake? Mkristo akisema Yesu ni Mungu ni haki lakini Muislamu akisema kinyume anakashifu dini?

Kadogoo,
Umeibuka!

Habari za Cairo.
Hivi Cleopatra Hotel Taharir Square bado iko?

Usiku wa manane nachungulia chini Taharir watu
wameweka barza utasema saa saba mchana.

Umeshusha hoja nzito ahsante sana.
nazikumbuka salad za Egypt na hums.

Faidi peke yako.

Mie napiga oda kwa Shariff Ritz kesho mshuko asitusahau na mandi
ya nyama ya mbuzi na juice ya Aza jamvini In Sha Allah.

Tatizo liko kwa Yericko.
Sijui wapi Shariff apige oda ya ugali wa mtama na utumbo wa mbuzi.

Sina hakika kama mdogo wangu Yericko atafurahi sana na mandi.
 
ha haa haaa, Sheikh Mohamed Said, taenda pale Kijitonyama kuna hotel inaitwa Break Point tamnunulia kama atapenda ugali wa Udaga na Njusi pia tamnunulia pamoja na kichuri.

CC: gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Nadhani usiwe too philosophical kwenye hili. Mitego ya porini haina warning marks kuwaonya un-targeted animals out. Ni issue ya chances. Vitani kuna "collateral damage au tena killed by friendly fire". Ndiyo umbile la dunia. Ninayo documentary inayoonyesha Simba akimpa protection mtoto-kichanga wa nyumbu asiliwe na fisi baada ya mama nyumbu kumkimbia simba asimle!!!!

Wickama,
Mimi nitasusa kucheza draft na wewe.

Basi huwezi hata ukaniachia na mimi nikufunge sharti wewe ushinde?
Namna hii urafiki haunogi.

Unanifurahisha baadhi ya nyakati.
Sasa mtoto wa nyumbu akishapewa hifadhi na simba nini mwisho wao?

Simba anawaeleza wanae kuwa huyu ni ndugu yenu msimle?
 
'historia hii ya kwake'(kwa sababu kuna matundu mengi yameonyeshwa huko nyuma),ameieleza akiwa na an objective behind ambayo anataka msimuliwaji aipate(mtu akisoma lazima aathirike nayo,kulingana na yeye MS),hii objective behind ndiyo inayogomba,ndiyo iliyosababisha historia hii ya MS iwe na matundu.ndiyo inayosababisha MS atizamwe kwa tahadhari
Kazi ya kuonyesha matundu imefanyika na inaendelea.
Tumechimbua hata yaliyokuwa chini ya mkeka

Mohamed Said aliaminisha umma kwa mika 15 kuwa Nyerere aliingizwa siasa na Abdul. Si kweli na imeonekana wazi kuwa alianza siasa wakati Abdul anapaka rangi nyumba ya D.Cameron tayari kuifisadi.

Miaka 15, dunia imeaninishwa na Moddy kuwa Wamanyema ni waislam tu, hakuna wapagani, atheist au wakristo! tume prove him wrong big time

Mohamed amefanikiwa kuchukua mkoba na kupanda nao ndege.
Akateremaka Ibadan, kasimulia kitu na tarehe ambazo hazipo katika kumbu kumbu za bunge na nchi. Kaaminisha ulimwengu uongo dhidi ya taifa lake.

Miaka 15 tumesikia Kipumbwi, ameshindwa kueteta hoja hiyo na kuleta source ambazo hazipo kwa kuficha uso wake. Mapinduzi na Kipumbwi sasa yamefika mwisho. Hataleta tena hapa jamvini, analijua hilo vema

Miaka 15 watu waliamini Sheik Amir alifukuzwa kwa kutetea EAMWS.
Leo umma unajua kuwa alipewa fursa ya kuitetea EAMWS na Usilam akachagua kwenda kwenye siasa za majitaka vichohoroni!

Miaka 15 Mohamed ameshindwa kuthibitisha madai ya uonevu katika mitihani.
Hajaweza na hataweza.Malima akiingia wizara ya elimu namba zipo

Miaka 15 Mohamed ameanisha umma wanafunzi wanachaguliwa kwa upendeleo. Ameleta jedwali la utafiti na kilichobaki ni historia ya aibu aliyoipata.
Jedwali limenyumbuliwa na hatamani hata kuliangalia katika kitabu chake

Orodha ni ndefu sana, inatia wapenzi na mashabiki jazba na kiwewe.
Tutaifuta Jugular vein without fear or favor!
 
Son, hili mbona tulishafunga chapter.
Imedhihirika bila shaka kuwa wapo Wamanyema ambao ni wakristo. Ukatajwa ukoo wa Msulwa(kama sijakosea ) ambao ni Wakristo.

Kama ilivyo Ibadan, Kipumbwi, ufisadi wa nyumba, ujio wa Nyerere n.k. hili nalo Mohamed Said alikiri kuwa halikuwa na ukweli. Tukawa tumekisadia kizazi kijacho.

Kwa ufupi, Wamanyema wapo katika kila sehemu kama jamii zingine.
Kwamba walikuja kuikomboa Tanganyika hilo nalo limehitimishwa si kweli.

Kwamba walishiriki ukombozi kama raia wengine hilo laweza kuwa kweli, kwamba walishirikiana na familia ya Sykes kupaka rangi nyumba ya D.Cameron siku ya jumapili na kuitafisha kuwa yao, sina ujuzi nalo na wala sina source hata yangu mwenyewe
Mkuu wa chuo,take note mambo muhimu haya kwa shule yako
 
Last edited by a moderator:
Kazi ya kuonyesha matundu imefanyika na inaendelea.
Tumechimbua hata yaliyokuwa chini ya mkeka

Mohamed Said aliaminisha umma kwa mika 15 kuwa Nyerere aliingizwa siasa na Abdul. Si kweli na imeonekana wazi kuwa alianza siasa wakati Abdul anapaka rangi nyumba ya D.Cameron tayari kuifisadi.

Miaka 15, dunia imeaninishwa na Moddy kuwa Wamanyema ni waislam tu, hakuna wapagani, atheist au wakristo! tume prove him wrong big time

Mohamed amefanikiwa kuchukua mkoba na kupanda nao ndege.
Akateremaka Ibadan, kasimulia kitu na tarehe ambazo hazipo katika kumbu kumbu za bunge na nchi. Kaaminisha ulimwengu uongo dhidi ya taifa lake.

Miaka 15 tumesikia Kipumbwi, ameshindwa kueteta hoja hiyo na kuleta source ambazo hazipo kwa kuficha uso wake. Mapinduzi na Kipumbwi sasa yamefika mwisho. Hataleta tena hapa jamvini, analijua hilo vema

Miaka 15 watu waliamini Sheik Amir alifukuzwa kwa kutetea EAMWS.
Leo umma unajua kuwa alipewa fursa ya kuitetea EAMWS na Usilam akachagua kwenda kwenye siasa za majitaka vichohoroni!

Miaka 15 Mohamed ameshindwa kuthibitisha madai ya uonevu katika mitihani.
Hajaweza na hataweza.Malima akiingia wizara ya elimu namba zipo

Miaka 15 Mohamed ameanisha umma wanafunzi wanachaguliwa kwa upendeleo. Ameleta jedwali la utafiti na kilichobaki ni historia ya aibu aliyoipata.
Jedwali limenyumbuliwa na hatamani hata kuliangalia katika kitabu chake

Orodha ni ndefu sana, inatia wapenzi na mashabiki jazba na kiwewe.
Tutaifuta Jugular vein without fear or favor!

Pole sana,
Nakusikitikia sana ndugu,
Hakuna wa kuwa na jazba ati kisa wewe,
Si tunamskiliza hapa anaekuja kwa data na vyanzo,hatupo hapa kuja kuwaskiliza mnaokosoa kwa mitego na hulka zenye mihemko mikali ya kushindwa,
Sio kazi rahisi kutafiti na kuandika,watu wamepinda mgongo kweli kweli,
Ila ni kazi rahisi kukosoa na kuomba source kama mnavyofanza...
Kama unaweza basi nawewe beba mikoba yako upande ndege uende zako ughaibuni,na usijal utasikilizwa tuh,
Mbona hapa unasikilizwa??
 
The Big Show,
Punch zako kali sana.

Nimejikuta nacheka peke yangu.
Mie nimetanguliwa na kaka yangu yeye ni mwanasayansi (Ph D) Genetics.

Basi hii mambo ya tafiti nilipata by ''infusion'' kidogo kutoka kwake wakati
tukiwa pamoja Ulaya.

Akiwa nyumbani hana wanafunzi wa kusomesha basi mie nakuwa darasa.

Ndiyo nikacheka kusikia unazungumzia malaria maana mara ya mwisho alinipa
kitu kuhusu juhudi za vaccination ya malaria.

JF ni starehe sana kwa kweli ukiondoa muda mchache uwanja unapochafuka.

JF ina maajabu kweli kweli,
Sasa badala ya kukuuliza maswali ya historia utujuze wao wanakuuuliza uwape ufumbuzi??

Ufumbuzi kwani wamesema wana tatizo gani??

SISI TUNAKUSOMA SANA Moh Said...
TUNAKUSOMA KWA UTUVU,HESHIMA NA TAADHIMA KUBWA...
 
Ha ha ha ha, Nicholas husema tunakwenda kwenye Jugular vein, na hakika jamvi linaona hilo.

Unajua mimi ni public enemy number 1, kwahiyo najua vijana baada ya kushindwa kusimama katika hoja watatafuta eneo wenye utaalam nalo la matusi n.k. Huko sitakwenda kwasababu si kiwango na pia nitapoteza muda wa kumshughulikia mzee.
Mzee anajua kuwa akiweka hoja lazima ajiandae, si unaona anaogopa hata kusema 'maoni yangu'' anaogopa kivuli chake. ha! mnakasha unanyoosha watu!

I'm calm and composed, focus yangu ni kusaidia kizazi kijacho na hakika nafarijika na hilo!

Nadhani Nguruvi just take a deep breath.

Watajileta tuu. Tutabanana humuhumu kwenye internet na search engines. hatuandiki kitabu wakati wao wako online.

Ule uongo wa Zenj kuvamiwa na Tanganyika bila ASP kuonekana ni WAHAINI kwa sasa umeyeyuka kama ICE cream. Wamegundua utawapa shida!!!!

Imagine jamaa anashupaa kuwa ASP walikuwa wanachukuwa wapiga kura wa ziada kule pangani na kuwafundisha kusema HALUA kasha wakisha wapigia kura wanawarudisha bara. Sawa, tunakubali.

Hapo jamaa wa pangani wakienda kupiga kura na kurudi hawa mawakala wa sultan husikii wakisema Tanganyika imevamia chaguzi za zenj. Kimyaa. Ila pale ASP walipowachukua hao wapiga kura wao toka pangani sasa wakiwa na mitutu kuwafanyia kweli ndipo aaaaaahhhhhh........ nchi moja imevamia nyingine.

Kwenye visa vya HALUA mlikuwa wapi? Anzieni hapo!!!! Mnashangaa goli bila kuangalia pasi zilianzia wapi.

Haulizwi mbantu TENA kusema HALUA kule ZENJ (Kwaheri Uhuru.....). Habari ndiyo.

Mimi wala hawaninyimi usingizi, wao ndio wanaohangaika kuwa nchi za WATU tumezivamia. Wanaandika vitabu halafu ukimuuliza hivi ASP ALILAZIMISHWA MSAADA? JAMAA anakuwa BUBU. TAYARI PAGE 300 HAZINA MAANA.
 
Kazi ya kuonyesha matundu imefanyika na inaendelea.
Tumechimbua hata yaliyokuwa chini ya mkeka

Mohamed Said aliaminisha umma kwa mika 15 kuwa Nyerere aliingizwa siasa na Abdul. Si kweli na imeonekana wazi kuwa alianza siasa wakati Abdul anapaka rangi nyumba ya D.Cameron tayari kuifisadi.

Miaka 15, dunia imeaninishwa na Moddy kuwa Wamanyema ni waislam tu, hakuna wapagani, atheist au wakristo! tume prove him wrong big time

Mohamed amefanikiwa kuchukua mkoba na kupanda nao ndege.
Akateremaka Ibadan, kasimulia kitu na tarehe ambazo hazipo katika kumbu kumbu za bunge na nchi. Kaaminisha ulimwengu uongo dhidi ya taifa lake.

Miaka 15 tumesikia Kipumbwi, ameshindwa kueteta hoja hiyo na kuleta source ambazo hazipo kwa kuficha uso wake. Mapinduzi na Kipumbwi sasa yamefika mwisho. Hataleta tena hapa jamvini, analijua hilo vema

Miaka 15 watu waliamini Sheik Amir alifukuzwa kwa kutetea EAMWS.
Leo umma unajua kuwa alipewa fursa ya kuitetea EAMWS na Usilam akachagua kwenda kwenye siasa za majitaka vichohoroni!

Miaka 15 Mohamed ameshindwa kuthibitisha madai ya uonevu katika mitihani.
Hajaweza na hataweza.Malima akiingia wizara ya elimu namba zipo

Miaka 15 Mohamed ameanisha umma wanafunzi wanachaguliwa kwa upendeleo. Ameleta jedwali la utafiti na kilichobaki ni historia ya aibu aliyoipata.
Jedwali limenyumbuliwa na hatamani hata kuliangalia katika kitabu chake

Orodha ni ndefu sana, inatia wapenzi na mashabiki jazba na kiwewe.
Tutaifuta Jugular vein without fear or favor!
Ishakuwa "thriller in manila" itabidi sweet Ritz utupe taulo ulingoni au mpiganaji anaweza kuharibikiwa
 
Last edited by a moderator:
Wickama,
Mimi nitasusa kucheza draft na wewe.

Basi huwezi hata ukaniachia na mimi nikufunge sharti wewe ushinde?
Namna hii urafiki haunogi.

Unanifurahisha baadhi ya nyakati.
Sasa mtoto wa nyumbu akishapewa hifadhi na simba nini mwisho wao?

Simba anawaeleza wanae kuwa huyu ni ndugu yenu msimle?

Mzee MS; Wajua mimi huwa najali reference; pata hiyo kitu 1st hand;

Amazing story of a gazzel (deer) baby deer being protected by a Lionin Africa - YouTube

utaona hata huyo ndama alipotoweka bado huyo simba alimtafuta wakatwanga usingizi pamoja!!!!! Duniaina Mengi sheikh sio AA au TAA pekee enjoy
 
Hakika elimu ya madrasa inashangaza wengi. Hizi kumbukumbu maalim said zipo kichwani
Nondo zako zinatufundisha mengi
J
Wasomi wetu. Huu mfumo mfumo k. Unatudanganya

Historia imepotoshwa kulinda malahi ya wazungu na kanisa iliwapate heshima kwa vizazi vijavyo
 
Hakika elimu ya madras ni kiboko mashekh wanatoa nondo bila kejeli zenye fact na chanzo halali

Hii ni funzo kwenu mnaojifanya mnaelimu ambazo zinadidimisha taifa hili kwa rushwa ufisadi na upendeleo usiokua na tija

Mnapo ambia huu mfumo kri*******$to hamuulizi. Nini maana

Mpaka leo hii sijaona uchochezi wa. Maalim alustaadh shekh Mohamed said
Mnadanganyana kwa majibu ya j
 
Kuandika historia ya nchi yetu na mchango wa wazalendo ktk kupigania uhuru ni vipi uta sababisha chuki, visasi au hasira? jee historia ya Kivukoni ilisababisha chuki na visasi? hivi mbona mnakuwa hivi? Uamsho wakitaka nchi yao ni wahaini lakini Jaji Mark Bomani akitaka Tanganyika katoa maoni yake? Mkristo akisema Yesu ni Mungu ni haki lakini Muislamu akisema kinyume anakashifu dini?

Kwanini ujiingize ktk mazingira ya kuhukumu mtume wa wenzako?Huko ndipo waislam walipokosea, ni vipi watasema Yesu si Mungu halafu wasikubali wakristu wakisema Moahamed si Mtu wa Mungu wa Abrahamu, Yesu?Waislam wakiambiwa hivyo wapo tayari hata kuua mtu, ila wenyewe ni wepesi sana kukomaa ku elezea Nabii/Al Masih wa watu wengine?

Wapo watu wengi sana wana maswali ya msingi sana kuhusu utakatifu wa Muhamad..ila wana reserve tuu ktk fikra zao, na kuamua njia pekee ni kutokuwa muislam ila si kubishana nao majukwaani.
 
Kuandika historia ya nchi yetu na mchango wa wazalendo ktk kupigania uhuru ni vipi uta sababisha chuki, visasi au hasira? jee historia ya Kivukoni ilisababisha chuki na visasi? hivi mbona mnakuwa hivi? Uamsho wakitaka nchi yao ni wahaini lakini Jaji Mark Bomani akitaka Tanganyika katoa maoni yake? Mkristo akisema Yesu ni Mungu ni haki lakini Muislamu akisema kinyume anakashifu dini?

Kwanini ujiingize ktk mazingira ya kuhukumu mtume wa wenzako?Huko ndipo waislam walipokosea na kupotoka big time, ni vipi watasema Yesu si Mungu halafu wasikubali wakristu wakisema Moahamed si Mtu wa Mungu wa Abrahamu, Yesu?Waislam wakiambiwa hivyo wapo tayari hata kuua mtu, ila wenyewe ni wepesi sana kukomaa ku elezea Nabii/Al Masih wa watu wengine?

Wapo watu wengi sana wana maswali ya msingi sana kuhusu utakatifu wa Muhamad..ila wana reserve tuu ktk fikra zao, na kuamua njia pekee ni kutokuwa muislam ila si kubishana nao majukwaani.
 
Kazi ya kuonyesha matundu imefanyika na inaendelea.
Tumechimbua hata yaliyokuwa chini ya mkeka

Mohamed Said aliaminisha umma kwa mika 15 kuwa Nyerere aliingizwa siasa na Abdul. Si kweli na imeonekana wazi kuwa alianza siasa wakati Abdul anapaka rangi nyumba ya D.Cameron tayari kuifisadi.

Miaka 15, dunia imeaninishwa na Moddy kuwa Wamanyema ni waislam tu, hakuna wapagani, atheist au wakristo! tume prove him wrong big time

Mohamed amefanikiwa kuchukua mkoba na kupanda nao ndege.
Akateremaka Ibadan, kasimulia kitu na tarehe ambazo hazipo katika kumbu kumbu za bunge na nchi. Kaaminisha ulimwengu uongo dhidi ya taifa lake.

Miaka 15 tumesikia Kipumbwi, ameshindwa kueteta hoja hiyo na kuleta source ambazo hazipo kwa kuficha uso wake. Mapinduzi na Kipumbwi sasa yamefika mwisho. Hataleta tena hapa jamvini, analijua hilo vema

Miaka 15 watu waliamini Sheik Amir alifukuzwa kwa kutetea EAMWS.
Leo umma unajua kuwa alipewa fursa ya kuitetea EAMWS na Usilam akachagua kwenda kwenye siasa za majitaka vichohoroni!

Miaka 15 Mohamed ameshindwa kuthibitisha madai ya uonevu katika mitihani.
Hajaweza na hataweza.Malima akiingia wizara ya elimu namba zipo

Miaka 15 Mohamed ameanisha umma wanafunzi wanachaguliwa kwa upendeleo. Ameleta jedwali la utafiti na kilichobaki ni historia ya aibu aliyoipata.
Jedwali limenyumbuliwa na hatamani hata kuliangalia katika kitabu chake

Orodha ni ndefu sana, inatia wapenzi na mashabiki jazba na kiwewe.
Tutaifuta Jugular vein without fear or favor!
Kwa kweli kipaji unacho cha kuyasema vyema yale utakayo sema.....huyu mzee wa porojo, dedications na kuhcomekea vitu vidogo na vya hovyo ili aonekane anajua na well exposed vinamwacha sana wazi....lugha yake ya ushairi waistumianyo wataalamu wa propaganda..Haisikiki ktk maandhishi yake angalau ilevye watu km awafanyiavyo watu wa uswazi.

Its funny katuabisha ila wenzetu wanazo data, na watusomavyo huwa wanaangalia nini fikra za wasomi wetu, mitazamo na umakini na "mwamko" awareness ya watu ktk mambo fulani.

Hawa jamaa ndio wamefanya wenzetu wakiwa faragha husema waafrica hawana utamaduni.....hawa jamaa wanaita "kufinka nyewe migu hata mikono ya mwanamke ni tamaduni ya mwafrica"...sijui huo uafrica ulianza lini wakati wazee wetu walichelewa sana kuvaa nguo....na walifunika nyeti tuu na maisha yalikwenda vyema.
 
Back
Top Bottom