Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

The Big Show,

Yaani tangia nimezaliwa sijawahi kukutana na mtu wa ajabu kama huyu kijana.

Hana tahayuri hata kiduchu wala kujua zilzala ilomkumba toka kwa Andrew Nyerere,yakuwa sasa yamlazim kuchutuma na kujistiri!

Yeye ndo kwanza kauchuna uso wake kama mbuzi,na kuendeleza makhanatha hapa!ahaha!!

Unajua tatizo nafikiri pia ni nchi/Taifa kukosa ajira,kwa hiyo vijana wengi kama Yericko maskini wakishapata laptop inakua kama ndo trendy fulani hivi...wanaanza kuleta makhanatha na kutuvunjia shughuli zetu mitandaoni.

Haina neno lakini,khatma yake inakurubia. Hivi karibuni itamlazim kufundisha huo utumbo wake hao wenzie!

Ahsanta.

Cc;Ritz

Oooohoo hehee pole sana!

Mimi ni sehemu ya Watanzania wachache walizalisha ajira na kuajiri Watanzania wenzao hapa nchini,

Mimi nisehemu ya walipakodi wa kati naelekea kuwa mlipakodi mkubwa wa TRA nchini Tanzania,

Nimeishi na kusoma Ulaya na Mashariki ya Mbali lakini sikupiga box huko, niliamua kurudi Tanzania kuwasaidia Watanzania wenzangu na kukuza uchumi wa nchi yangu takatifu!

Huenda sio kosa lako/lenu lakini nikusihi ingia gugu tu umtafute Yericko Nyerere na utaona WASIFU wangu ndugu!

Ukibahatika kuniona kwa macho yako ya nyama utanidharau mara mbili ya hapa, lakini katika himaya yangu ninawafanyakazi wazee kama wewe na wananiheshimu nami nawaheshimu!
 
Andrew Nyerere,

Salaam. Tunashukuru mno kwa ustaarabu na hikma ulotumia,kwa kuja hapa Jamvini na kutujuza yayo.

Tafadhali usisumbuke tena,sisi soote hapa jamvini tumeshapata ukweli woote. Pia hapa jamvini pana vijana wasiokua na hishma kwa wakubwa zao,kwahiyo nakunasih hivi ili usije ukawapa nafasi/fursa ya kukutusi na kukukebehi nawewe.

Poleni saana kwa yoote yaliyokukuteni na kusababishwa na huyu kijana Yericko kutumia jina la Marehemu Mzazi wenu bila ya idhini/ridhaa yenu Wanafamilia.

Pia natanguliza pole zetu nyingi mno kwa Mama Maria,khasa katika kipindi hiki choote alichosababishiwia huzuni nyingi kwa kufikiri yakuwa Marehemu Mzee Nyerere a.k.a "Baba Wa Taifa" alikua na mtoto mwingine wa nje ya ndoa,pale alipojitokeza huyu Yericko.

Poleni saana nyoote.

Ahsanta.

Cc;Ritz,The Big Show

gombesugu
Umeongea vyema sana,

KWA MANTIKI HIYO SASA,
NAULIZA JE HUU SI WAKATI MUAFAKA KWA YERICKO KUOMBA RADHI KWA JAMII FORUM,MODS NA MEMBERS WOTE?PAMOJA NA FAMILIA YA JULIUS KAMBARAGE AKIWEMO NA MAMA MARIA NYERERE KWA KUMSABABISHIA MAUDHI NA MAUMIVU YA KUHISI LABDA MAREHEM MWALIM NYERERE ALIACHA MTOTO WA NJE YA NDOA HADI ANAFARIKI BILA KUMFAHAMISHA??

HAUJAFIKA WAKATI SASA KWA YERICKO KUOMBA RADHI KWA TABIA YAKE HII OVU NA YENYE KINYAA??
 
Last edited by a moderator:
Hakuna waislam walijielekeza kutoa Fatwa na atangazo la kutomtambua Osama.Osama ana millions of muslim followers wanaoswali misikitini,Tena misikiti hilihile ya orthdox Islam.

Utakaa san aili uweze tushawishi kuwa ni uzushi.

Wewe Nicholas Mrombo na Kiongozi wa Chadema,

Tupatie sababu tano tu(5)....zinazokufanza umtukane Kiongozi mwenzio wa Chadema Muheshimiwa Al Akhiy Zitto Zubeir Kabwe mitandaoni/Jf.

Kama kuna matatizo ndani ya Chama cha ukanda Chadema,kwanini msimalizane tu kwenye vikao vyenu!?

Au labda wewe ndo una chuki binafsi na Zitto!?

Kwanini unamtuhumu Zitto kwamba hawapendi Wachaga,unamwita Mchawi na pia hapendi Ukristo...ushahidi wako uko wapi!?

Pia unamwita Zitto ni Psychopath na kebehi na matusi mengine mengi mno. Hivi kwanini nyinyi Viongozi wetu wa Chadema mnakua hivi ndugu zetu!? Mnatutia unyonge sisi wafuasi wenu,kwanini msimalize tu chuki zenu za kidini kwenye kamati za hicho Chama chetu cha kidini!?

Pia kwanini unamtuhumu Zitto yakuwa ana chuki binafsi na Mbowe!?

Tafadhali Kiongozi wa Chadema Nicholas,Mchaga wa Rombo nasubiri majibu na wala usikimbie. Hii ni haki yangu ya kikatiba kutoka kwako wewe Kiongozi wa Chama chetu cha kidini Chadema.

Niwie radhi,kama kuna lolote unakhis nimesema labda kwa kutokujua au nimekukera tafadhali nijulishe ewe Kiongozi wa Chadema.

Ahsanta saana.

Cc;Ritz
 
Oooohoo hehee pole sana!

Mimi ni sehemu ya Watanzania wachache walizalisha ajira na kuajiri Watanzania wenzao hapa nchini,

Mimi nisehemu ya walipakodi wa kati naelekea kuwa mlipakodi mkubwa wa TRA nchini Tanzania,

Nimeishi na kusoma Ulaya na Mashariki ya Mbali lakini sikupiga box huko, niliamua kurudi Tanzania kuwasaidia Watanzania wenzangu na kukuza uchumi wa nchi yangu takatifu!

Huenda sio kosa lako/lenu lakini nikusihi ingia gugu tu umtafute Yericko Nyerere na utaona WASIFU wangu ndugu!

Ukibahatika kuniona kwa macho yako ya nyama utanidharau mara mbili ya hapa, lakini katika himaya yangu ninawafanyakazi wazee kama wewe na wananiheshimu nami nawaheshimu!

Yericko,

Niwie radhi nakhis labda umekereka kiduchu.

Nakujuza tu kiduchu...mimi wala si Mzee kama ulivyonita!ahaha!!

Lakini nimependa maana Uzee ni compliment au siyo wewe mlipa kodi zaidi ya watu woote hapo Tanganyika!?ahaha!!

Nafurahi kama ni kweli unatoa ajira kwa hao wauza biashara ndogondogo maskini!!...labda wauza karanga na juice ya miwa pale Old Post Samora Avenue!?

Tafuta Shule kijana ukaongeze/ukapate maarifa!
 
Hakuna waislam walijielekeza kutoa Fatwa na atangazo la kutomtambua Osama.Osama ana millions of muslim followers wanaoswali misikitini,Tena misikiti hilihile ya orthdox Islam.

Utakaa san aili uweze tushawishi kuwa ni uzushi.

........Wagalatia ni mabingwa wa uzushi !..........mnathubutu hata kuzusha kuwa mungu alimtoa mwanawe wa pekee ili afe kifo cha mateso msalabani eti ili nyie muokoke !

'Je !, nikwambieni ni nani wanawashukia Mashetani ?
Wanawashukia kila mzushi mkubwa, na mwingi wa dhambi.
Q: Ash: 221-222.
 
Andrew Nyerere,

Salaam. Tunashukuru mno kwa ustaarabu na hikma ulotumia,kwa kuja hapa Jamvini na kutujuza yayo.

Tafadhali usisumbuke tena,sisi soote hapa jamvini tumeshapata ukweli woote. Pia hapa jamvini pana vijana wasiokua na hishma kwa wakubwa zao,kwahiyo nakunasih hivi ili usije ukawapa nafasi/fursa ya kukutusi na kukukebehi nawewe.

Poleni saana kwa yoote yaliyokukuteni na kusababishwa na huyu kijana Yericko kutumia jina la Marehemu Mzazi wenu bila ya idhini/ridhaa yenu Wanafamilia.

Pia natanguliza pole zetu nyingi mno kwa Mama Maria,khasa katika kipindi hiki choote alichosababishiwia huzuni nyingi kwa kufikiri yakuwa Marehemu Mzee Nyerere a.k.a "Baba Wa Taifa" alikua na mtoto mwingine wa nje ya ndoa,pale alipojitokeza huyu Yericko.

Poleni saana nyoote.

Ahsanta.

Cc;Ritz,The Big Show

Al Habiby gombesugu,

Nakusoma na miwani 3D.
 
Last edited by a moderator:
Cry baby-fight to the last drop of blood-unawaumiza vichwa mods kwa ku report trivial matters-pole sana(courtesy of Barubaru
son

Unanichanganya kias,avatar yako ni ya kike,then unajitambulisha kwa status ya son.,

Mimi naona nikuweke kwenye daraja hilo la avatar yako,

Ni kwamba kama unatafuta bwana,pole sana...

Mimi nimeoa na nina familia kama yericko,ningeweza kukufanya uwe mke wa pili kama dini yangi inavyoruhusu lakin uchumi wangu sio imara kwa sasa,

So,samahan sana tafuta bwana mwingine,tupo wengi na tumejaa hapa jukwaani,

cc@gombesugu Ritz...
 
Last edited by a moderator:
Unapewa chakula eti unauliza jiko lililokiivisha lii wapi?

Chukua chakula cha uzima na haki hicho hapo chini!

Baada ya kifo cha Sayyid Sultan mwaka 1856 usultani wa Oman uligawiwa kati ya wanawe. Sayyid Majid bin Said Al-Busaid (1834/5–1870) akawa Sultani wa kwanza wa Zanzibar na kakaye Sayyid Thuwaini bin Said al-Said akawa Sultani wa Oman akitawala nchi bila maeneo ya Afrika ya Mashariki.

Usultani mpya ulikuwa nchi yenye nguvu kati ya Rasi Delgado (mpakanani na koloni ya Kireno ya Msumbiji) hadi Mogadishu. Athira yake ilienea kupitia njia za misafara ya wabeba pembe za ndovu (a.k.a Kinana wa ccm) na watumwa hadi mto Kongo.

Wafanyabiashara kama Tippu Tip waliokuwa raia wa Usultani wakapita Tabora na Ujiji kwenda ziwa Tanganyika na kuingia ndani ya Kongo.

Wapagazi wao walibeba bidhaa kutoka Zanzibar zilizobadilishwa kwa pembe za ndovu hasa. Watumwa walikamatwa au kununuliwa wakabeba pembe hadi pwani.

Yericko,

Wewe unaleta historia ya shule ya msingi.

Mimi nakuwekea niliyosimuliwa na bibi yangu mkuu historia niliyoishinayo.
Soma hii hapa chini:

''Hayo yalikuwa ya shule. Nikirudi nyumbani kisa nilichokuwa nikikipenda sana kilikuwa kile cha bibi wa baba yangu, Bibi Safi Mukumbo Masiya. Bibi Safi aliletwa Tanganyika kutoka Congo kama mtumwa akiwa na umri mdogo sana. Wakati mimi nikisoma shule ya msingi yeye alikuwa yungali hai. Mimi nilikuwa ndiyo kilembwe chake kipenzi. Kamwe hakupata kuniita kwa jina langu alipata kunieleza hivyo kwa kuniheshimu. Mara kwa mara alikuwa akiniita ‘papa' akimaanisha ‘baba' nami nilizoeya kumwita ‘mama.' Aliniambia mimi na yeyote aliyetaka kusikia kwamba mimi nilifanana sana na baba yake ambaye alimwacha Congo. Aliwahi kunisimulia namna watekaji wa watumwa wa Kiarabu walivyomkamata siku moja asubuhi njema katika kijiji chao kilichoitwa Lwama Kabambale.''

Nina mengi sana.
Historia sisi tumeishinayo ndani ya nyumba zetu.
 
Mohamed Said
Ninaamini kwa usomi wako na utu uzima wako, haufurahishwi na mwenendo wa mnakasha. Sasa imekuwa ni vijembe, ngonjera, na salaam kama zile za "mchana mwema" enzi za RTD!!!

Please, control your boys!
 
Last edited by a moderator:
Wewe Nicholas Mrombo na Kiongozi wa Chadema,

Tupatie sababu tano tu(5)....zinazokufanza umtukane Kiongozi mwenzio wa Chadema Muheshimiwa Al Akhiy Zitto Zubeir Kabwe mitandaoni/Jf.

Kama kuna matatizo ndani ya Chama cha ukanda Chadema,kwanini msimalizane tu kwenye vikao vyenu!?

Au labda wewe ndo una chuki binafsi na Zitto!?

Kwanini unamtuhumu Zitto kwamba hawapendi Wachaga,unamwita Mchawi na pia hapendi Ukristo...ushahidi wako uko wapi!?

Pia unamwita Zitto ni Psychopath na kebehi na matusi mengine mengi mno. Hivi kwanini nyinyi Viongozi wetu wa Chadema mnakua hivi ndugu zetu!? Mnatutia unyonge sisi wafuasi wenu,kwanini msimalize tu chuki zenu za kidini kwenye kamati za hicho Chama chetu cha kidini!?

Pia kwanini unamtuhumu Zitto yakuwa ana chuki binafsi na Mbowe!?

Tafadhali Kiongozi wa Chadema Nicholas,Mchaga wa Rombo nasubiri majibu na wala usikimbie. Hii ni haki yangu ya kikatiba kutoka kwako wewe Kiongozi wa Chama chetu cha kidini Chadema.

Niwie radhi,kama kuna lolote unakhis nimesema labda kwa kutokujua au nimekukera tafadhali nijulishe ewe Kiongozi wa Chadema.

Ahsanta saana.

Cc;Ritz
Al Habiby gombesugu,

Nakusoma nakusoma, hizo bayana zako kuhusu huyo jamaa wa Chadema huwa nacheka sana wakati wa uchaguzi Chadema wanavyoangaika kuomba kura za Waislam amabao kila siku wanawatukana hebu msome hapa chini.
Leo CCM ni chama cha kiislam na kikabila..waislam wapo huru bila hata aibu kupiga vita ukristu na uchanga n akaskazini ndani ya CCM,serikali na kila mahali.Kwa vile wanajua chama na serikalini yao.
Hapa anatufaamisha kuwa Chadema ni chama cha Wakirsto na wachaga kutokana na maneno yake hapo juuu, ndiyo maana Waislam ambao wapo Chadema ni maadui wao wakubwa kama vile Zitto Kabwa. msome hapa chini na porojo zake na Chadema yake.
CCM huwa wanaamini watabarikiwa kwa kulitaja neno CHADEMA....wengi wao wanaamini kuwa neno CDM linatenda kwa baraka za Mungu, wengine wana dhani ni nyota nzuri kwa hiyo hujitahidi kulisema ili waliibe..
Hapa chini anamponda Zitto sababu ya Uislam wake, ha ha haa.
Bado Zitto, Ludovic nae kazidi ufala...akose uzalendo na akili hata kidogo...hajaona kuwa CCM ni currupt na bankrupt hata kulipa madeni ya masalia yanayojitahidi cheleweshe wasitoke....sasa alikuwa anang`aka nini kuwa tume ilibabaisha ktk report...CDM hawakuihitaji....
Hapa anawatukana CCM.
Hiyo atmosphere ilianza onekana...CCM wajinga kweli.Wananajisi timu ili watanzania wengine wasiisaidie?
hapa chini viongozi wao wanapeleka njaa zao kwa Muislam mwenye akili za Madrassa, teh teh teh.
DSC_9468.JPG

Angalia hapa chini anasaini hundi kwa dharau kwa mkono wa kushoto huku Dr Slaa anaangalia kiasi gani cha pesa, ha haa haaa haaa, njaaa mbaya.

DSC_9455.JPG
 
Last edited by a moderator:
........Wagalatia ni mabingwa wa uzushi !..........mnathubutu hata kuzusha kuwa mungu alimtoa mwanawe wa pekee ili afe kifo cha mateso msalabani eti ili nyie muokoke !

'Je !, nikwambieni ni nani wanawashukia Mashetani ?
Wanawashukia kila mzushi mkubwa, na mwingi wa dhambi.
Q: Ash: 221-222.
Ally Kombo,
Nakuomba usiende huko. Kama mnakasha umekuchosha chukua break.
 
Kaka Jasusi,

Umemuona Ally Kombo, tu? ha haa haa, simama kwenye haki. watu wakiwajibu wanaotukana dini yetu mnakuwa wakali mnataka watu wakae kimya?
Ritz,
Sijamwona mtu mwingine akimkemea Ally Kombo. Wale wengine wote huwa wanakemewa ipasavyo ndiyo sababu nakaa kimya.
 
Al Habiby gombesugu,

Nakusoma nakusoma, hizo bayana zako kuhusu huyo jamaa wa Chadema huwa nacheka sana wakati wa uchaguzi Chadema wanavyoangaika kuomba kura za Waislam amabao kila siku wanawatukana hebu msome hapa chini.

Hapa anatufaamisha kuwa Chadema ni chama cha Wakirsto na wachaga kutokana na maneno yake hapo juuu, ndiyo maana Waislam ambao wapo Chadema ni maadui wao wakubwa kama vile Zitto Kabwa. msome hapa chini na porojo zake na Chadema yake.

Hapa chini anamponda Zitto sababu ya Uislam wake, ha ha haa.

Hapa anawatukana CCM.

hapa chini viongozi wao wanapeleka njaa zao kwa Muislam mwenye akili za Madrassa, teh teh teh.
DSC_9468.JPG

Angalia hapa chini anasaini hundi kwa dharau kwa mkono wa kushoto huku Dr Slaa anaangalia kiasi gani cha pesa, ha haa haaa haaa, njaaa mbaya.

DSC_9455.JPG
-Kwanza mimi si kiongozi wa CDM.
-Pili kwanini usingejibu hizo posting huko zilipo.
 
son

Unanichanganya kias,avatar yako ni ya kike,then unajitambulisha kwa status ya son.,

Mimi naona nikuweke kwenye daraja hilo la avatar yako,

Ni kwamba kama unatafuta bwana,pole sana...

Mimi nimeoa na nina familia kama yericko,ningeweza kukufanya uwe mke wa pili kama dini yangi inavyoruhusu lakin uchumi wangu sio imara kwa sasa,

So,samahan sana tafuta bwana mwingine,tupo wengi na tumejaa hapa jukwaani,

cc@gombesugu Ritz...

Teh teh teh! Huu mpini hatari, mie wapenda tu mshuko wa nywele walahi mimi taabani...asantaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa naongea na Joseph Butiku sasa hivi,na Mama Maria. Nimewauliza kuhusu huyu Yericko Nyerere. Hawamfahamu. Butiku amesema,watu wanajipa majina wanavyopenda; Adam Marwa ana mtoto wake mmoja tu,anaitwa Lumumba. Mimi[Butiku],mtoto wangu anaitwa Kaunda. Magige Nyerere ana mtoto anaitwa Moringe. Halafu Mama Maria akasema,Rose Nyerere ana mtoto anaitwa Luis Rwagasore,Mfalem wa Rwanda.
Kwa hiyo Butiku amesema huyu kijana kama angekuwa na namba ya simu,ningeweza kumtafuta,ili aweze kujieleza. Kwa hiyo nimempa Butiku namba ya simu ya Yericko Nyerere.
Andrew Nyerere, hapa tunajadili uongo, uzandiki, fitina na uchochezi wa Mohamed Saidi! wewe kama mtu mzima ulitakiwa uje na hoja za kisomi za kukubali au kukataa uchochezi wa Mohamed Said! cha ajabu wewe unatupotezea muda wetu kumjadili Yericko Nyerere kama mtu binafsi! kama hulidhiki kuwa Yericko ni mtoto wa marehem Julias Nyerere mbona ni jambo dogo sana, wapelekee swala hilo wataalam wafanye uchunguzi wa DNA, sasa wewe unahangaika na akina Butiku! wapi na wapi! Wewe mwenyewe unajuaje kama ni "biological child" wa Nyerere? Nakushauri jadiri hoja zilizopo na sio nani ni mtoto wa nani!
 
Mohamed Said

Nikweli umesimuliwa lakini nani ajuae undani wa mtazamo wa wasimulizi wako?

Haya hii hapa chini wewe ulisimuliwaje?

Mkataba wa Zanzibar-Helgoland kati ya Ujerumani na Uingereza ulileta patano la kuwa Zanzibar itakuwa chini ya Uingereza. Tangu 1890 waziri mkuu wa Sultani alikuwa Mwingereza aliyeopkea amri zake kutoka London. Tangu 1913 nafasi ilichukuliwa na afisa mkazi mkuu.
 
Back
Top Bottom