Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #17,761
The Big Show,
Yaani tangia nimezaliwa sijawahi kukutana na mtu wa ajabu kama huyu kijana.
Hana tahayuri hata kiduchu wala kujua zilzala ilomkumba toka kwa Andrew Nyerere,yakuwa sasa yamlazim kuchutuma na kujistiri!
Yeye ndo kwanza kauchuna uso wake kama mbuzi,na kuendeleza makhanatha hapa!ahaha!!
Unajua tatizo nafikiri pia ni nchi/Taifa kukosa ajira,kwa hiyo vijana wengi kama Yericko maskini wakishapata laptop inakua kama ndo trendy fulani hivi...wanaanza kuleta makhanatha na kutuvunjia shughuli zetu mitandaoni.
Haina neno lakini,khatma yake inakurubia. Hivi karibuni itamlazim kufundisha huo utumbo wake hao wenzie!
Ahsanta.
Cc;Ritz
Oooohoo hehee pole sana!
Mimi ni sehemu ya Watanzania wachache walizalisha ajira na kuajiri Watanzania wenzao hapa nchini,
Mimi nisehemu ya walipakodi wa kati naelekea kuwa mlipakodi mkubwa wa TRA nchini Tanzania,
Nimeishi na kusoma Ulaya na Mashariki ya Mbali lakini sikupiga box huko, niliamua kurudi Tanzania kuwasaidia Watanzania wenzangu na kukuza uchumi wa nchi yangu takatifu!
Huenda sio kosa lako/lenu lakini nikusihi ingia gugu tu umtafute Yericko Nyerere na utaona WASIFU wangu ndugu!
Ukibahatika kuniona kwa macho yako ya nyama utanidharau mara mbili ya hapa, lakini katika himaya yangu ninawafanyakazi wazee kama wewe na wananiheshimu nami nawaheshimu!