Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana safari ya kisiasa ya Samia na kuwatishia CCM

Kumbuka maneno haya TWINING UMEKWISHA....

Just kumbuka
jambo muhimu na la maana zaidi ni kuacha ushirikina tu katika kutafuta uongozi, mengine ni porojo na utumwa tu 🐒
 
Umewahi kujiuliza sababu za kuukimbiza Mwenge kwa kigezo cha uhuru hadi leo?

Mchango wa Mwengr katika uhuru wetu ni upi?
 
Wadadisi wengi wa masuala ya kiimani wanaelezea namna ambavyo HATIMA ya kila safari ya maisha kwa kiumbe binadamu. Maandiko Matakatifu yanaelekeza kuwa moto ni hitimisho pia adhabu kwa kila anayekiuka kwa makusudi au bahati mbaya maagizo ya Mola.

Hapa duniani tunaelewa namna moto unavyoteketeza na kuharibu kitu chochote unachokipitia. Tumeona nyumba zinapoungua na bila juhudi za kudhibiti moto usiendee huleta madhara makubwa na hatima yake ni jengo kuteketea lote bila huruma.

Wananchi wengi wanaojitwalia sheria mkononi dhidi ya vibaka, huwa wanahitimisha shughuli yao kwa kumchoma moto mwivi ili kuhakikisha hawi hai tena.

Lakini moto pia, ni ubatizo wa kubadilisha hali moja kwenda nyingine. Dhahabu husafishwa kwa moto ili kuifanya bidhaa mpya yenye thamani. Ukilinganisha mfano huu ni wazi Samia ameonesha kwa vitendo HATAKI kukosolewa kwa sababu amewashughulikia wakosoaji wake kwa kuwapoteza, kuwafungulia kesi ama kuwaua kama ilivyofanyika kwa marehemu Ally Kibao na wengine.

Kitendo cha BAWACHA kuamua kuchoma moto vitenge walibyozawadia na Samia alipohutubia Baraza kuu la Wanawake wa CHADEMA ni dalili mbaya sana kwake. BAWACHA walifafanua sababu za kuteketeza vitenge hivyo na kuwataka wanawake nchi nzima kuchoma vitenge vyenye taswira ya Samia.

Tumeona namna Samia alivyomshughulikia kijana Shadrack Chaula aliyechora picha yake na kuamua kuichoma. Alieleza sababu za kuchoma picha hiyo lakini Samia kupitia jeshi la polisi walimkamata na akaamuru afungwe ambapo wananchi walichanga fedha ya kumlipia faini. Kitendo cha wanasheria wa Chaula kusajili rufani ya adhabu aliyopewa Chaula, kijana alikwapuliwa na maafisa waliojitambulisha ni polisi na mpaka leo hajapatikana. Lengo la passage hii ni kuonesha laana inayogubikwa na moto. Tangu picha ichomwe na Chaula tumeona mambo mengi yamebadilika kwenye safari ya kisiasa ya Samia ikiwemo kuporomoka kwa umaarufu na kukubalika kwake kwenye jamii.

Tunaona humu, machawa na waungaji mkono wa utawala huu dhalimu wakigeuka vituko kwa kuanzisha mada zisizo na kichwa wala miguu huku.

BAWACHA wametia dosari kubwa kwenye safari ya kisiasa ya Samia. Kukubalika kwake ndani ya CCM kumeporomoka kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba chawa wake Lucas Mwashambwa badala ya kububujikwa machozi ya furaha, sasa amekuwa akiomboleza na kusaga meno.
Na hawa wanaotapanya keki ya Taifa wao wanakaa kwenye nini?Mbona nchi zilizoendelea wanachoma nikawaida hakuna maajabu
 
washirikina bana 🤣

mnashiriki uganga na ramli chonganishi wenyewe,

mnatoana kafara wenyewe,

mnachukuana misukule wenyewe..

mnafanya matambiko na uchawi wa waziwazi kwa kuchoma vitenge hadharini wenyewe, karene hii ya utandawazi sayansi na techologia dah 🐒

Laana ya kufuru imeanza kuwazonga mmeanza mayowe ya kushtukiza 🤣
Umenikumbusha, unajua adhabu aipatayo mwanamke mchawi kulingana na mapokeo?
Ni kuchomwa moto akiwa hai. Kijana Chaula kuna jambo amelifanya ambalo tafsiri ya kiroho ni nzito sana kuiandika hapa hadharani.
Na ndio imedhibitishwa na yaliyo tokea baada ya hukumu yake.
Kwanza wasamaria wema Wakarusa na kumchangia faini akatoka gerezani.
Sasa jiulize kwa nini kijana mdogo kama yule asiye na impact yeyote kwa nchi atekwe na kupotezwa?
Nani kampoteza (au kumuua) kama sio dola maana haionyeshi kuhangaika kumtafuta!
Laana ya uchawi wenu kwa vile mko kwenye nafasi hamuwezi kuchomwa basi zinachomwa picha zenu, vitenge na wanaume watakuja kuchoma t shirt na kofia zenu ili wapate hisia kama zile wapatazo waliokuwa wanawachoma wachawi.
Si mtubu tuu maana nafasi ya kutubu mnayo, au kiburi kimewakamata vilivyo?
 
Nauona mwisho mchungu sana kwake.
 
huenda kawa msukule HQ dah 🤭
 
Back
Top Bottom