Uchomaji wa Vitenge Uliofanywa na BAWACHA Umeingiza Laana safari ya kisiasa ya Samia na kuwatishia CCM

Kumbuka maneno haya TWINING UMEKWISHA....

Just kumbuka
jambo muhimu na la maana zaidi ni kuacha ushirikina tu katika kutafuta uongozi, mengine ni porojo na utumwa tu πŸ’
 
jambo muhimu na la maana zaidi ni kuacha ushirikina tu katika kutafuta uongozi, mengine ni porojo na utumwa tu πŸ’
Umewahi kujiuliza sababu za kuukimbiza Mwenge kwa kigezo cha uhuru hadi leo?

Mchango wa Mwengr katika uhuru wetu ni upi?
 
Na hawa wanaotapanya keki ya Taifa wao wanakaa kwenye nini?Mbona nchi zilizoendelea wanachoma nikawaida hakuna maajabu
 
Umenikumbusha, unajua adhabu aipatayo mwanamke mchawi kulingana na mapokeo?
Ni kuchomwa moto akiwa hai. Kijana Chaula kuna jambo amelifanya ambalo tafsiri ya kiroho ni nzito sana kuiandika hapa hadharani.
Na ndio imedhibitishwa na yaliyo tokea baada ya hukumu yake.
Kwanza wasamaria wema Wakarusa na kumchangia faini akatoka gerezani.
Sasa jiulize kwa nini kijana mdogo kama yule asiye na impact yeyote kwa nchi atekwe na kupotezwa?
Nani kampoteza (au kumuua) kama sio dola maana haionyeshi kuhangaika kumtafuta!
Laana ya uchawi wenu kwa vile mko kwenye nafasi hamuwezi kuchomwa basi zinachomwa picha zenu, vitenge na wanaume watakuja kuchoma t shirt na kofia zenu ili wapate hisia kama zile wapatazo waliokuwa wanawachoma wachawi.
Si mtubu tuu maana nafasi ya kutubu mnayo, au kiburi kimewakamata vilivyo?
 
Nauona mwisho mchungu sana kwake.
 
huenda kawa msukule HQ dah 🀭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…