Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Umeongea ukweli Huwa natumia sana hili swala la kula magengeni,
Mkuu sijakupata hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea ukweli Huwa natumia sana hili swala la kula magengeni,
Ukisha zoea sana kula hotelin ni mbaya sana.Kuna jamaa yangu anaweza kuwapa hela wapike dagaa na nguna usiku na mchana harafu yy anarudi usiku mbovu kesha kula masontojo huko ila familia yake imekula dagaa.Wife wake akaniambia tabia ya mshikaji kwa kweli nilimsema kwa hasira sana mpaka ikawa ugomvi ila ilisaidia jamaa mpaka sasa kaacha kabisa kula hotelin bila sabab ya umbal na hone
Inasikitisha ila nimecheka sana aisee😂😂.Wengine Wana tabia za ajabu huwezi kuamini:-
-Anaweka saini kwenye unga ili akirudi na saini imefutika balaa huzuka.
-Anatiboa sufuria katikati ili maji ya ugali yakiwekwa yasivuke kipimo.Yakizidi yatavuja tu na kusumbua uwakaji wa moto.
-Kukatakata nyama na kuhesabu vipande.Vitaliwa kwa idadi anayotaka na muda autakao.
-Mlo mmoja wa wasiwasi usio kamili ndani ya masaa 24.
-Uvunjwaji wa hayo yaliyopo juu ni kipigo kwa mkiukaji hadi avunjike,kuvimba na/au kuvuja damu.
😂😂😂😂😂
Believe it or don't!Inasikitisha ila nimecheka sana aisee😂😂.
Hivi haya yapo kweli?
Huyu anayefanya hivi ni baba? 😂🤣🤣Anakatakata nyama peke yake huku kaikanyaga chini kwa dole gumba la mguu.Kipande kwa kipande!
Naam.Tena anakuwa kafuga na sharubu za kutosha tu.Huyu anayefanya hivi ni baba? 😂🤣🤣
Anateseka sana kwa huo uchoyoBelieve it or don't!
Daah!Naam.Tena anakuwa kafuga na sharubu za kutosha tu.
Jichanganye ifutike saini ya bwana mkubwa.Na ukumbuke,ana smart simu yake maalumu kwa kupiga picha hiyo saini iwe kumbukumbu itumike inapotakiwa kufananishia ya awali/asubuhi anavyoondoka.Daah!
Uchoyo pro max, anateseka, hadi saini kwenye unga🤣
😂😂😂.Jichanganye ifutike saini ya bwana mkubwa.Na ukumbuke,ana smart simu yake maalumu kwa kupiga picha hiyo saini iwe kumbukumbu itumike inapotakiwa kufananishia ya awali/asubuhi anavyoondoka.
Kuta nne za chumbani kwenu zingetoa siri.😂😂😂.
Haya maisha nyie acheni tu.
Huyo ingekua mimi ningetafuta chakula changu na wanangu halafu yeye nampikia.vizuriii akirudi namtengea masifuria ya chakula chake mezani afakamie mwenyewe hadi avimbiwe.😂