Kuna baadhi ya maneno mwanaume haifai kutumia .Ukoloni tu mxieeew
Mshukuru Mungu wako uliepushiwa kitu kikubwa mnoLeo pitapita yangu picha zilizopo kwenye digital camera kabla kuja smartphone kupiga picha nikaona picha ya mchumba wangu ambaye tulipendana sana.
Ulianza kubadilishwa na wazazi baada kujua mimi ni mla kitimoto na bia mbili za baridi.
Jibu nililo mpa "yani dini yangu yenyewe imenishinda kwenda kanisani jumapili niweze ya kwenu"
Mwisho tukaja kuachana na kupoteana kabisa.Hongera una watoto sasa sijui ni sheikh yupi!
Leo pitapita yangu picha zilizopo kwenye digital camera kabla kuja smartphone kupiga picha nikaona picha ya mchumba wangu ambaye tulipendana sana.
Ulianza kubadilishwa na wazazi baada kujua mimi ni mla kitimoto na bia mbili za baridi.
Jibu nililo mpa "yani dini yangu yenyewe imenishinda kwenda kanisani jumapili niweze ya kwenu"
Mwisho tukaja kuachana na kupoteana kabisa.Hongera una watoto sasa sijui ni sheikh yupi!
Kuhusu dini naunga mkono watu waowane wa imani moja, lakini kuhusu Kabila hapana, kuna faida nyingi za kuchanganya Kabila kuliko hasara.Ushauri wangu kwa vijana
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olew na mtu wa kabila lako.
Daima utajanishukuru
Narudia
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olewa na mtu wa kabila lako.
Utakuja nishukuru
Mkuu narudia tenaKuhusu dini naunga mkono watu waowane wa imani moja, lakini kuhusu Kabila hapana, kuna faida nyingi za kuchanganya Kabila kuliko hasara.
Hata ukisema uowe Kabila moja bado kuna koo huwezi kwenda kuowa zina matatizo.
Tubachokijua..
Ulishindwa hata kujiita jina la mwamedi ili umpige mimba utembee
Omba heri kwenye ndoaUshauri wangu kwa vijana
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olew na mtu wa kabila lako.
Daima utajanishukuru
Narudia
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olewa na mtu wa kabila lako.
Utakuja nishukuru
Tukubaliane tu kuna makabila bila kuyataja hayastarabika, watu wanapoowana kwa kuchanganya makabila inampa faida mmoja wapo kuadapt ustaarabu na kizazi chake kitastaarabika pia.Mkuu narudia tena
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olewa na mtu wa kabila lako
Utakuja nishukuru. Leo sina muda wa kuandika sana ila kama unapata mtu wa kabila lako oa au olewa itakuepusha na ugomvi wa vyakula. Ugomvi wa tamaduni za kabila jingine. We mzaramo unaolewa na mmasai. Hapo kuna kana kamgogoro ka tamaduni pia misosi na mambo mengine. Si lazmishi mtu aoe au aolewe na kabila lake ila itakusaidia mbeleni amin
Malumbano hayakosi kuja ila kama una namna ya kuyapunguza mapema na uyapunguzeOmba heri kwenye ndoa
Mengine by the way
Binadamu tumeumbiwa ubinafsi. Kilamtu anaangalia kwake kwanza. Usiangalie kuchanganya wajinga na wenye akili maana we mwenyewe ukishajua mtu ni mjinga huwezi muoa au kuolewa nae.Tukubaliane tu kuna makabila bila kuyataja hayastarabika, watu wanapoowana kwa kuchanganya makabila inampa faida mmoja wapo kuadapt ustaarabu na kizazi chake kitastaarabika pia.
Wajinga Wawili wakiowana ni tatizo, na hili ndio tatizo linawakabiri Waarabu, wako wenyewe wana makabila yao kuna mabedui hawezi kuolewa na Kabila lingine, Sasa ikitokea uko Fulani ni wajinga basi ni kizazi chote.
Nioneshe Mwarabu gani uliyesoma naye alikuwa Kipanga darasani?
Hii ya kuhusu kabila ina sides mbili. Usihitimishe kwa kusema oa/ olewa na mtu wa kabila lako.Mkuu narudia tena
Oa au olewa na mtu wa dini yako
Oa au olewa na mtu wa kabila lako
Utakuja nishukuru. Leo sina muda wa kuandika sana ila kama unapata mtu wa kabila lako oa au olewa itakuepusha na ugomvi wa vyakula. Ugomvi wa tamaduni za kabila jingine. We mzaramo unaolewa na mmasai. Hapo kuna kana kamgogoro ka tamaduni pia misosi na mambo mengine. Si lazmishi mtu aoe au aolewe na kabila lake ila itakusaidia mbeleni amin
Neno lako si sheria ndio maana makabila mengine mabinamu wanaowana kuweka strong bond kwenye ndoa.Binadamu tumeumbiwa ubinafsi. Kilamtu anaangalia kwake kwanza. Usiangalie kuchanganya wajinga na wenye akili maana we mwenyewe ukishajua mtu ni mjinga huwezi muoa au kuolewa nae.
Binadamu wote tunaangalia nyumban kwanza hayo mengine ni baadae.
Neno langu si sheria
Mkuu nakumbuka enzi zangu niliwahi kuwa na ukaribu na mtoto wa watu tena walikuwa wa ile iman ya kaptula ndefu ila nilikuja jinasua huko na nikapata somo la oa dini yako oa labila lako kupunguza mizozo ndani ya familia. Baada ya hapo nimekuwa nikishaur sana vijana kuhusu haya mamboSema hamkupendana
Dini sio tatizo mkiridhiana
Kweli mkuuNeno lako si sheria ndio maana makabila mengine mabinamu wanaowana kuweka strong bond kwenye ndoa.