Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

Hahahaha...kuna mtu hapo juu anataka tumpe miundo mbinu yote ss tukusanye kodi ili siku akipandisha gharama turudi humu kulialia...
Wale wote waliosherekea bakhresa kuzamisha billion 225,

Wajiandae na msiba wa vifurushi,


JAMAA keshaanza tayari,
Lazima atafute namna ya kurudisha ile pesa yake.
 
ilikuwa lazima wajitoe , wa kurusha matangazo atoe bonas ya 500m ...just bonus nahisi azam aliamua kumfukuza voda mapema na voda kaona isiwe tabu , make ilikuwa lazima wapande dau utatoaje milion 80 alafu aongezewe bonus ya 500m
Vodacom has never been a competitor to Azam hadi Azam amfukuze, Nature ya business yao ni tofauti kabisa. They can co exist kwenye udhamini wa mpira bila shida yoyote maana sio washindani...vodacom, Azam, sportpesa & SBL they can co exist maana sio washindani wa kibiashara.

Vodacom kajitoa kwakua as a company ana make loss now, then why kuendelea kua na mradi kwenye portfolio yako unao dry ht ile faida kidogo unayopata?
 
ilikuwa lazima wajitoe , wa kurusha matangazo atoe bonas ya 500m ...just bonus nahisi azam aliamua kumfukuza voda mapema na voda kaona isiwe tabu , make ilikuwa lazima wapande dau utatoaje milion 80 alafu aongezewe bonus ya 500m
Umeongea point
 
Wale wote waliosherekea bakhresa kuzamisha billion 225,

Wajiandae na msiba wa vifurushi,


JAMAA keshaanza tayari,
Lazima atafute namna ya kurudisha ile pesa yake.
Mbona kuna watu walikuwa wanasema jamaa anapiga hela kumbe kupiga hela hadi apandishe vifurushi
 
Hiki ulichoandika kuna watz hawakijui, tunaraia wagumu mno
 
Bia na Bakhressa wapi na wapi?..

Ngoma inaweza kuwa ngumu..kuna fununu tbl walitaka kuingia ila Azam akaleta uzio..
mbona serengeti wanadhamini Taifa Stars na hakuna huo uzio.Azam wapo kibiashara hawana hizo mambo mkuu.
 
Hii ni biashara ni ushindani... ni akili kubwa tu inaweza kung'amua
 
Vodacom wangepiga biti kuhusu nani aliyetuma kimemo cha kusogeza mbale muda wa mchezo wa Simba na YAnga!
 
Mkuu nahisi wewe umewaza kiphd zaidi wala naunga mkono hoja yako ila naipinga kwa mjia moja ama myingine, azam nahisi anaitamani sana hii ligi yetu iwee juu zaidi ndo maana mm azam kutoa zile bonus kwa washindi ulitegemea mdhamini mkuu akae kinyonge? kama mfuko wake hauruhusu ndo maana kaamua kujiweka pembeni
 
Jjiulize tu swali moja, nani aliyeipandisha ligi yetu na kukua hapa ilipofika kama sio Azam mwenyewe?
 

vodacom wamepata hasra nadhan 14B mwaka huu alone
 
Reactions: Lee
mbona serengeti wanadhamini Taifa Stars na hakuna huo uzio.Azam wapo kibiashara hawana hizo mambo mkuu.
Mechi za Taifa stars zinaonyeshwaga na Azam?..yaani Tff ana mkataba wa kudumu na Azam wa kuonyesha games na other contents za Taifa Stars??..


Ulishawahi kuona matangazo ya bia au kamari kwenye channel mama za Azam?
 

sasa mkuu mtu kashaweka bil 257, ina maaana ligi imepanda! anaekuja anatakiwa kuweka juu ya hapo sio chini tena, vodacom anatoa mil 80 ela ambayo hata wewe unaipata! tunatamani wengine waje pia kuwekeza watu wapate mishahara mizito
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…