Wordsasa mkuu mtu kashaweka bil 257, ina maaana ligi imepanda! anaekuja anatakiwa kuweka juu ya hapo sio chini tena, vodacom anatoa mil 80 ela ambayo hata wewe unaipata! tunatamani wengine waje pia kuwekeza watu wapate mishahara mizito
Hali mbayani mpaka faida ipatikane sasa
Voda wamejitahidi kuboresha kidogo hadhi ya ligi...
Ndio wapewe 10yrs subscription right?Jjiulize tu swali moja, nani aliyeipandisha ligi yetu na kukua hapa ilipofika kama sio Azam mwenyewe?
Wale wote waliosherekea bakhresa kuzamisha billion 225,
Wajiandae na msiba wa vifurushi,
JAMAA keshaanza tayari,
Lazima atafute namna ya kurudisha ile pesa yake.
Kama ni kweli alizuia TBL basi kuna tatizo kubwa sana mbele, lakini mbona timu za ulaya jezi zao zina kampuni za betting na hata za pombe?Bia na Bakhressa wapi na wapi?..
Ngoma inaweza kuwa ngumu..kuna fununu tbl walitaka kuingia ila Azam akaleta uzio..
Huyo hajui, hakuna cha lumpsum wala nini, kikawaida hela huwa inalipwa kabla ya msimu (kiasi flani, na baada ya muda flani wanaongeza zingine)Una uhakika wamelipa hela yote ya miaka kumi mara moja? Nina mashaka na hilo maana kuna sehemu niliona watalipa kiasi fulani kila mwaka na kila mwaka watakuwa wakiongeza pesa wanayolipa ili mradi baada ya miaka kumi watakuwa wametimiza $100m. Pia kulipa lumpsum haimake business sense kwa Azam wala kwa TFF.
Bakhresa ana biashara nyingi, Voda wana biashara moja tu ya mawasiliano hivyo kuna tofauti!Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.
Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Voda wanajiamaliza wenyewe kwa huduma za kihuni yaani kila siku watu wanachama na vodacom kuhamia mitandao mingineKampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.
Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Ulaya hakuna mambo ya dini na itikadi mkuu..ni pesa tu.kama ni kweli alizuia tbl basi kuna tatizo kubwa sana mbele, lakini mbona timu za ulaya jezi zao zina kampuni za betting na hata za pombe?
Ndio tabia ya binadam ukifanya kitu huwa wanadhani kila mtu anawezaWatu si wanalalamika kuwa Bakhresa anapiga mpunga mrefu kwenye ligi yetu mimi naona bora aache tuone hao wengine maana watu wanadhani biashara ni masikhara
Wamemkimbia Bhakhresa.... [emoji1787]Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.
Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Korona hiyoKampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara.
Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni atakayoyaweka kwenye Mpira?
Ving'amuzi na Vifurushi ndio vinarudisha helaMbona kuna watu walikuwa wanasema jamaa anapiga hela kumbe kupiga hela hadi apandishe vifurushi
True Kama sio azam kwa kweli Luigi yetu ungekuwa kituko kabisaJjiulize tu swali moja, nani aliyeipandisha ligi yetu na kukua hapa ilipofika kama sio Azam mwenyewe?
WATANZANIA WALIO WENGI NI WATU WA MANENO MENGI NA MATENDO KISODAWatu si wanalalamika kuwa Bakhresa anapiga mpunga mrefu kwenye ligi yetu mimi naona bora aache tuone hao wengine maana watu wanadhani biashara ni masikhara
Ndiyo nasema mbona Azam tv huonesha mechi za hao jamaa, sasa atazuiaje TBL kuweka bango lake uwanjani?Ulaya hakuna mambo ya dini na itikadi mkuu..ni pesa tu.