nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
- Thread starter
-
- #101
Sio kusave tu, hatimae kuwekeza ili kufikia financial freedomNaona unataka watu waishi kama mashetani mkuu.
Halafu hiyo pesa unayoihifadhi baadaye ndo ije kutibu maradhi unayoyatengeneza wakati unasave?
Hapana katika ile tena tumia 4 tu nyingine wekezaKama mwamba alivyopendekeza,ila Sio Kwa kiwango hicho!at least kateni,save teni.
Nidhamu ya pesa mkuu ndo siri kubwa ya utajiriNoma sana aisee
4una Maana buku4kama mwashambwa anayolopwa?Hapana katika ile tena tumia 4 tu nyingine wekeza
Kama huezi baki na utaratibu wako wa mapato na matumiziMtakufa mtaacha hela hizo huku mkitafuta utajiri kwa njia za kujinyonga hizo..
Matajiri,wangekuwa wengi Duniani Kwa mfumo huo!Kama huezi baki na utaratibu wako wa mapato na matumizi
Ndio maana maskin wengi wanaoweza kufuata huo utaratibu wapo mbali, earn more spend less save then invest consistentlyMatajiri,wangekuwa wengi Duniani Kwa mfumo huo!
duh wewe utakuwa fisadi kiwembe.mimi huwa naingiza laki 3 kwa mwezi lakini natumia laki 7 kwa mwezi. je, mimi ni nani ?
Haya mambo ni mageni, yani unafanyaje fanyaje hadi inakuwa hiyo?Haijakosewa iyo mkuu
Tengeneza pesa zaid ukiona 400 haikutoshiHaya mambo ni mageni, yani unafanyaje fanyaje hadi inakuwa hiyo?
Hapo umeeleweka!Tengeneza pesa zaid ukiona 400 haikutoshi
Mdangaji mkuumimi huwa naingiza laki 3 kwa mwezi lakini natumia laki 7 kwa mwezi. je, mimi ni nani ?
Ukiona 400 haikutoshi tengeneza pesa zaid. Usiposave huwezi kufa ila sahau kuhusu utajiriHiyo hesabu mbona haingii fresh bro. 20k kwa 0.4k hapo sasa utanunua yai moja. Badn ni yale tu ya kujiuliza kwamba "nisiposave ntakufa?"
Kwenye night club baunsa akikuotea, Hilo Kofi utalo pewa hahaaaaa🤣, umenikumbusha maisha ya zamani mkuu anyway tunatoka mbali sanamkuu hapo ni mwendo wa kujichanganya kwenye hosteli za wanafunzi wa Vyuo vikuu
changamoto ni ule muda madogo wamefunga vyuo hapo inabid kulala kwenye night clubs
Hahaha eti kofiKwenye night club baunsa akikuotea, Hilo Kofi utalo pewa hahaaaaa🤣, umenikumbusha maisha ya zamani mkuu anyway tunatoka mbali sana
Maji unapiga ya bombamihogo 2 bila ya maji daily
Kwa lugha nyepesi ili nitumie elfu mbili kwa siku napaswa niwe naingiza laki kwa siku?Hapana jitahidi uingize pesa zaidi ya hiyo