Uchumi: Hakikisha kila ukiingiza 20,000 tumia 400 tu

labda shots za jobo!
Mtaani tunaita Pa Omar Jobe. Ukiambiwa nipe Streka hatari la Simba basi ujue Jobo hiyo😁😁😁😁😔Radha ya Chokoleti.
 

Attachments

  • Screenshot_20260610_195729_Chrome.jpg
    79.7 KB · Views: 9
Hizo hela unapeleka wapi?
 
Labda useme nitumie 60% nisave 40%.
 
Kwahiyo leo mimi nilitakiwa kutumia buku 2 tuu!
20000 tumia 400
100000 = 2000!
Dah, nimefuja hela nyingi sana. Nimetumia 40000 ikabaki 60000!
 
Kuna siku nilifika Dsm usiku, nikasema ngoja niende Night club moja kusogeza masaa hadi asubuhi.
Ilivyofika mida ya saa 10 usingizi mzito ukanishika, ile naanza kusinzia baunsa akaanza kutimua watu wote tuliokuwa tumeanza kulala, ikabidi nikifanye sizinzii ili mambo yasiharibike zaidi.
Kwenye night club baunsa akikuotea, Hilo Kofi utalo pewa hahaaaaa🤣, umenikumbusha maisha ya zamani mkuu anyway tunatoka mbali sana
Si
 
Ukiona 400 haikutoshi tengeneza pesa zaid. Usiposave huwezi kufa ila sahau kuhusu utajiri
bado hata kama nikiingiza 2m hapo nitumie 4k. Mada yako ipo sawa lakin kwa hizo hesabu tegemea kuwa tajiri wa pesa na maskini wa afya kuanzia ya akili hadi mwili. Hapo sio kujinyima usave bali nikujiminya usave.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…