technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.
Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.
Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000. Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.
Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.
Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani.
Rais ashauliwe kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.
Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?
Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?
Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.
Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.
Hakika huu mchongo tumepigwa Watanzania.