Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Uchumi wa Tanzania ulishawahi kukua lini hata ukaleta unafuu kwenye maisha ya watu wa kawaida?
Watz tumewazoea kila anapotawala mwislamu baaasi atadharauliwa mpaka na wapuuzi kabisa
Kipindi cha awamu ya tano uchumi uliimarika na kuwa uchumi jumuishi.vitu vingi vilihimilika mfano gunia la mchele liliuzwa 50000lakini kwa sasa 120000,1kg yasembe ilikuwa 700-1000 lakini kwa sasa 1800-2000
 
Hoja alizoleta ni za kipumbavu, Ila hili la wewe kuweka tena dini ni upumbavu. Hivi kwa nn wafia dini ni wajinga mliopitiliza? Pelekeni Watoto shule muondoe huu ujinga

Ukiacha maradhi, ujinga na umaskini, tatizo lingine ni hili la wafia dini
mm siyo mfia dini... naweza kukwambia sishiriki shaughuli za dini za upande wowote ule.
 
Kipindi cha awamu ya tano uchumi uliimarika na kuwa uchumi jumuishi.vitu vingi vilihimilika mfano gunia la mchele liliuzwa 50000lakini kwa sasa 120000,1kg yasembe ilikuwa 700-1000 lakini kwa sasa 1800-2000
kipindi cha awamu ya tano kulikuwa na vita? mafuta yalipanda bei? kulikuwa na ukame? unataka raisi afanye ninini sasa kama wakulima hawajavuna kwasababu ya ukame?
 
mm siyo mfia dini... naweza kukwambia sishiriki shaughuli za dini za upande wowote ule.
Sasa mambo ya uislamu yameingiaje hapo? Huyu anampinga raisi sababu ya ujinga waliomezeshwa huko ufipa. Wewe unasema sababu ni uislamu
 
kipindi cha awamu ya tano kulikuwa na vita? mafuta yalipanda bei? kulikuwa na ukame? unataka raisi afanye ninini sasa kama wakulima hawajavuna kwasababu ya ukame?
Kipindi cha awamu ya tano kulikuwa na korona lakini serikali ya kipindi hicho alichukua hatua kudhibiti mfumuko wa bei tofauti na sasa ambapo kila kitu kinajiendea tu
 
Sasa with those matatizo ndio kwamba uchumi unaangukia?

Lini uchumi haukuanguka and so matatizo yaliisha?

Acha upuuzi Jenga hoja yako Kwa namna inayofaa sio kupinga unga vipisi vya ujinga ujinga..

Uchumi ungeanguka makampuni makubwa yangepata faida? Banks zingeoata faida? Si ungesikia bad loans na vilio vya Biashara kufungwa?

Sema serikali ipunguze matumizi yasiyo na msingi badala ya kuunga unga upuuzi hapa 👇
Hali yako ya maisha ikoje ndugu huko ndugu baada ya hayo makampuni kupata faida?!
 
Tetesi.kongamano la sensa limetumia pesa za umma billioni7 na kongamano la nishati ya kupikia billion 4 jumla bilion11 ambazo zingetumika kutatua changamoto ya umeme dar
Ni tetesi Duh! WaTZ bhn mnatuonea wivu kweli sisi watawala hamjui kama hatulali tunawafikiria nyie
 
Sasa with those matatizo ndio kwamba uchumi unaangukia?

Lini uchumi haukuanguka and so matatizo yaliisha?

Acha upuuzi Jenga hoja yako Kwa namna inayofaa sio kupinga unga vipisi vya ujinga ujinga..

Uchumi ungeanguka makampuni makubwa yangepata faida? Banks zingeoata faida? Si ungesikia bad loans na vilio vya Biashara kufungwa?

Sema serikali ipunguze matumizi yasiyo na msingi badala ya kuunga unga upuuzi hapa [emoji116]

Hizo rubbish tweets ndo ushuzi gani unatupostia mtoto wa kike wewe? Bumbavu kabsaa
 
Hali yako ya maisha ikoje ndugu huko ndugu baada ya hayo makampuni kupata faida?!
Makampuni hususani banks hazipati faida kutoka Mbinguni bali kutokana na shughuli zetu ndio maana utakuta Watu wamejaa banks..

Kama wewe shughuli zako hazina uhusiano na banks utajua mwenyewe..
 
Kuna mda mnalazimisha watu kutukana ..kaaa.

Hii nchi ikiendelea kutawaliwa hivi, basi hatuna chetu mda si mrefu.

Kwa kipindi cha uongozi wa Bi-Tozo uliopita amefaidi sana miuondombinu ya kiutawala iliyokuwepo..sasa kashapanga yake..ambayo kila mtu anataka kula kwa urefu wa kamba yake.

Hakuna ushirikiano kabisa huko serikalini. Mito imeachwa tu na shughuli za binadam zinaendelea humo na serikali haichukuchukua tahadhari, yaani imelala as if utabiri wa hari ya hewa unawahusu wapinga tozo tu..hata wewe inakuhusu.

Suala la Chakula watu wanapiga kelele hadi wanakaribia kukata tamaa..serikali inajifanya haioni. Ikifika mda napo mtasingizia mvua afu kenya wataanza kuleta unga na mchele..Akili za serikali yetu ni kula bata tu.
Weka ushahidi au nenda na wewe kalime kwenye vyanzo vya maji Ili tuamini Serikali imelala vinginevyo chuki zako Wal hazitakusaidia na kubadili chochote kwenye maisha yako..

Weka mfano kutoka kwako Ili tujue serikali ilivyolala badala ya kuongea maneno ya kipumbavu ya jumla jumla.
 
Kwa watu wenye akili tunaona umeandika pumba tupu. Ulitaka mkulima auze mazao yake kwa bei ya hasara huku akiwa ametumia gharama kubwa kulima? Mchele huo unaona ghali ukiingia Zambia unakuwa bei mara 2 zaidi. Hayo mahindi wakenya wanayanunua kwa bei zaidi ya hiyo uliyotaja. Kama ulikuwa unataka mteremko ungeenda kujilimia mazao yako kwa matumizi ya nyumbani. Halafu sijawahi ona serikali isiyolalamikiwa... Mungu mwenyewe aliwapa waisrael Mana toka mbinguni na bado alilalamikiwa ije kuwa Samia? Namshauri Mama Samia abaki kwenye agenda zake za kuleta maendeleo na ampuuze huyu mleta uzi.
 
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.

Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.

Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.

Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.

Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani.

Rais ashauliwe kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.

Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?

Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?

Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.

Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.

Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
CCM MBELE KWA MBELE
 
Back
Top Bottom