Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.

Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.

Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.

Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.

Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani..

Rais ashauliwe Kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.

Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?

Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?

Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.

Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.

Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
 
Attachments

  • Ty-1mhBB.jpeg
    Ty-1mhBB.jpeg
    19.6 KB · Views: 3

now nchi inaendeshwa kishikaji zaidi
 
Kwenye Comment zako zote Unajenga hoja vizuri na kwa kutumia data lkn tatizo una ushabiki fln hv ambao unashindwa kuuficha na ndipo unaharibu kila kitu. Umesahau kwamba hao maraisi watano unaosemea wanatoka chama kimoja na kila anaetoka huusika kwenye process ya kuchagua anaeingia. Hizo Ilani zao vp? Zinatekelezwa na ni endelevu?
Sawa lakini kuna nafuu awamu hii..

Serikali inaanza kujenga Bwawa la kidunda mwezi huu,Mchina kapatikana bil.345..

Serikali inaendelea na ujenzi wa Bwawa la farkwa Dodoma ,zaidi ya bil.320.

Mabwawa mengine ya kati yako yanendelea na ujenzi maeneo mbalimbali achilia mbali miradi ya Mwendazake..

Kiufupi Nina Imani kidogo na awamu ya 6 kwa sababu wanajua kutafuta pesa ila shida yao hawajui kujibana,hapa kwenye kujibana wangejitahidi Ili kuokoa pesa..

Hakuna sababu za kuficha ushabiki na mimi huwa napongeza panapostahili na kukosoa wanapozingua..

Mwisho huyo anayesema uchumi haukui nadhani hana Takwimu uchumi wetu uko na growth rate ya 5.4% 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221018-111449.png
    Screenshot_20221018-111449.png
    120.4 KB · Views: 1
Hali ni mbaya duniani kote. Hata Norway na Uswiz kwenye maisha mazuri na bora watu wanalalamika. Mnamuonea tu mama bure
Ni kama vile hatuwezi kuunga taarifa za mataifa mengine na uhalisia wa nchi yetu, yaani tumefumba macho na tunaendelea kulalama tu mchana na usiku.
 
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.

Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.

Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.

Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.

Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani..

Rais ashauliwe Kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.

Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?

Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?

Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.

Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.

Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
Huyu mama wa kizenj,sasa hv anachofanya ni kurembua macho tu kama kala kungu!!,nchi imeishatekwa,"state capture"by catel,Hawa ndio wanaamua kila kitu,wamemuambia mama,yeye asiwe na wasi wasi,watamrudisha 2025!!yeye ajitangaze tu,kwenye sensa,mikutano,kila tukio hata kwenye mpira,ni PR kampeni inaendelea,Kinana,Kikwete na kundi lao,ndio wanaendesha nchi kwa remote,
 
Hongera sana kwake mama Samia kwa kuchagua watu sahihi kumuendeshea nchi.
 
Kwa sasa Tanzania haiwezi kupambana na mazingira, hari ni mbaya duniani kote. Inachotakiwa serikali ni kugeuza matatizo yote haya kuwa fursa au ajira kwa vijana, ili vijana wapate angalau vipato kuzilea familia. Kama delta binafsi itaendelea kulala kama sasa hivi ilivyolala, basi vijana hawatapata vibarua na mwisho utakua mbaya sana. Mama anajitaidi, lakini hari bado ngumu na jamii kubwa ya watu hawana kipato. Vijijini nako mazao hayamei kama ilivyokua desturi, vipato vinashuka tu.
 
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.

Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.

Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.

Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.

Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani..

Rais ashauliwe Kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.

Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?

Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?

Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.

Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.

Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
Sasahv hali bdo ni nzuri sana,subl tufike mwezi wa kwanza na kuendelea.
 
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.

Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.

Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.

Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.

Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani.

Rais ashauliwe kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.

Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?

Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?

Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.

Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.

Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
Huu ndiyo unaitwa ujinga wa KIHALAIKI
 
kwani.. uliwahi kusimama?
 
Jitu linaongelea shida ya umeme na maji as if halijii kwamba kuna hali ya Ukame kwa sasa..

Ulitaka haya mabwawa yatoe wapi maji? Mate yako?👇
Kuna mda mnalazimisha watu kutukana ..kaaa.

Hii nchi ikiendelea kutawaliwa hivi, basi hatuna chetu mda si mrefu.

Kwa kipindi cha uongozi wa Bi-Tozo uliopita amefaidi sana miuondombinu ya kiutawala iliyokuwepo..sasa kashapanga yake..ambayo kila mtu anataka kula kwa urefu wa kamba yake.

Hakuna ushirikiano kabisa huko serikalini. Mito imeachwa tu na shughuli za binadam zinaendelea humo na serikali haichukuchukua tahadhari, yaani imelala as if utabiri wa hari ya hewa unawahusu wapinga tozo tu..hata wewe inakuhusu.

Suala la Chakula watu wanapiga kelele hadi wanakaribia kukata tamaa..serikali inajifanya haioni. Ikifika mda napo mtasingizia mvua afu kenya wataanza kuleta unga na mchele..Akili za serikali yetu ni kula bata tu.
 
Uchumi ulishaanguka miaka yote miwili ya mama.huyu alitakiwa aongoze kamati ya harusi na siyo nchi.mambo ya nchi hayawezi
Uchumi wa Tanzania ulishawahi kukua lini hata ukaleta unafuu kwenye maisha ya watu wa kawaida?
Watz tumewazoea kila anapotawala mwislamu baaasi atadharauliwa mpaka na wapuuzi kabisa
 
Hoja alizoleta ni za kipumbavu, Ila hili la wewe kuweka tena dini ni upumbavu. Hivi kwa nn wafia dini ni wajinga mliopitiliza? Pelekeni Watoto shule muondoe huu ujinga

Ukiacha maradhi, ujinga na umaskini, tatizo lingine ni hili la wafia dini
 
Back
Top Bottom