Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Uchumi unaanguka, Rais Samia aambiwe ukweli

Hivi huyo Mama yenu ni zuzu kiasi kwamba kutumia common sense kuona uhalisia wa maisha ya Sasa Hana ? Kiasi kwamba washauri ndo wapewe lawama zote kana kwamba yeye ni Mama ndio

Mara kadhaa Nisha wahi sema hapa JF huyu mama tusitake afanye vitu ambavyo kwa uhalisia uwezo hana ni sawa na mzigo wa tani 100 utake bajaji ndo ibebe uliona wapi ?

Rais wa Zambia kasha sema Kuna watu wanasema kwamba kiongozi ni mzuri lakini washauri wake ndo wabaya mwisho akafanya hitimisho kwa kusema wanasahau kwamba watu wanao mzunguka huyo kiongozi ndio uhalisia wake huyu kiongozi.

Njia kuu ya kunusuru taifa hili ni moja tu Samia 2025 ndo iwe mwisho akapumzike kwao Zanzibar maana tayali historia itamkumbuka Kama raisi wa Kwanza mwanamke Tanzania na East Africa.
Punguza CHUKI.
 
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.

Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.

Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000
Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.

Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.

Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani.

Rais ashauliwe kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.

Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?

Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?

Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.

Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.

Hakika huu mchongo tumepigwa watanzania
Mbagala na Tandika wakazi halisi wanakula mlo mmoja tu kwa siku
 
Kipindi cha awamu ya tano uchumi uliimarika na kuwa uchumi jumuishi.vitu vingi vilihimilika mfano gunia la mchele liliuzwa 50000lakini kwa sasa 120000,1kg yasembe ilikuwa 700-1000 lakini kwa sasa 1800-2000
Samahani wapi gunia la mchele liliuzwa 50,000??
 
Waliposema wanaifungua nchi.

Walikua wana maanisha kwamba walanguzi warejee katika nafasi zao .

Kila aliyekua na nafasi ya kutuibia anafanya hivyo.

Kufunguliwa kwa nchi haikumaanisha kwa kila raia kunufaika.

Ni kwa wachache tu. Tuelewe hivyo.
 
Kipindi cha awamu ya tano uchumi uliimarika na kuwa uchumi jumuishi.vitu vingi vilihimilika mfano gunia la mchele liliuzwa 50000lakini kwa sasa 120000,1kg yasembe ilikuwa 700-1000 lakini kwa sasa 1800-2000
Ongeza uzalishaji ili bei za vyakula zishuke.
 
Kipindi cha awamu ya tano kulikuwa na korona lakini serikali ya kipindi hicho alichukua hatua kudhibiti mfumuko wa bei tofauti na sasa ambapo kila kitu kinajiendea tu
Kwanza masoko nje ya nchi yalikuwa yamefungwa na hakukuwa na mwingiliano wa watu kama ilivyo leo.
 
Inasikitisha sana.Unapojaribu kuzungumza na kuongea ukweli unaonekana mbaya, Leo umeme unakatika hovyo kila kona ya nchi imerudi kwenye mgao, maji yamekuwa mtihani,gharama za bidhaa mbalimbali zimepanda na wote tunashuhudia haya wakati huo semina,tafrija,ziara zisizo na mwisho na matumizi mabaya ya kodi za wananchi yakishuhudiwa lakini cha kushangaza bado tu kuna walamba asali wachache hawayaoni haya, bado tu watakuja na ngonjera za sifa na mapambio.
 
"Tuna Rais mjinga (elimu ndogo na uwezo mdogo wa akili) kuwezo kudeal na maswala nyeti ya taifa.
 
Kwa watu wenye akili tunaona umeandika pumba tupu. Ulitaka mkulima auze mazao yake kwa bei ya hasara huku akiwa ametumia gharama kubwa kulima? Mchele huo unaona ghali ukiingia Zambia unakuwa bei mara 2 zaidi. Hayo mahindi wakenya wanayanunua kwa bei zaidi ya hiyo uliyotaja. Kama ulikuwa unataka mteremko ungeenda kujilimia mazao yako kwa matumizi ya nyumbani. Halafu sijawahi ona serikali isiyolalamikiwa... Mungu mwenyewe aliwapa waisrael Mana toka mbinguni na bado alilalamikiwa ije kuwa Samia? Namshauri Mama Samia abaki kwenye agenda zake za kuleta maendeleo na ampuuze huyu mleta uzi.
Mkuu umenikosha Sana. Mimi nagombana na watu Kila siku wanaosema eti huyu mama nchi imemshinda. Nawauliza kipi kimekwama? Maana mwanzoni kabisa walisema mama atarudisha ada mashuleni. Wakapigwa chenga la mwili na badalayake ada ya kidato Cha tano na sita ikafutwa. Wakaanza ooo Bora angefuta ada vyuo vya Kati . Nikawauliza huyu Mungu wenu wa chato mbona hakufuta ada ya vyuo vya Kati? Shukuruni hata hiki kidogo basi. Wami juzi imefunguliwa walikuwa wanasema kaitelekeza miradi ya magufuli. Hapa lushoto lami zinamwagwa tu na barabara za pembezoni zinachongwa. Lakini miaka 5 ya magufuli sikuona kitu Kama hiki. Madarasa , maabara pesa inaiingia mashuleni zinajengwa na wazawa local fundis pesa inabaki kwenye mzunguko. Mimi nilikuwa nimalze Mdogo angu alikuwa amalize mkopo wa chuo 2027 Ila kwa huruma ya mama mwakani anamlza mkopo. Ila kingine watanzania hatufuailii kinachoendelea sehemu nyingine za dunia. Ulaya maisha maguma , America mpaka maandamano kwa sababu ya mfumuko wa Bei.. kwahiyo kwangu Mimi mama anaenda vizuri tu.
 
Ni kweli watanzania wengi hawajatoka nje ya mipaka kwasababu ya kuvimbiwa amani na maisha yenye unafuu. Serikali ya Tanzania kuna mambo mengi sana ambayo imefanya mazuri. Kuna nchi sasa hivi zina wakati mgumu sana kiuchumi na maisha ya wananchi magumu kupindukia. Watu walishawahi kuona kundi lolote la watanzania wakikamatwa sehemu kama wahamiaji haramu?
 
Mlima kilimanjaro unateketea sisi tunapaisha Ndege na karatasi ya sensa.

Mtungi wa gesi mdogo 24, 000 mazuzu yanakushangilia tu.

Gunia la Mahindi leo linauzwa 100,000. Maharage 200,000 yaani ni mfumuko wa bei juu ya mfumuko wa bei.

Maji yamekuwa adimu Sana utafikiri unatafuta gold kwenye mgodi wa Nyamongo.

Umeme leo umekuwa anasa mjini dsm ukiongeza na joto limefika 33c hapo hakuna feni Wala AC ni mwendo wa kuungua ndani kwa ndani.

Rais ashauliwe kama hataki aambiwe ukweli aachane na mambo ya anasa afanye mambo ya msingi tu.

Tumeshindwa kuomba msaada wa kuzima moto mlima kilimanjaro?

Msitu wa amazon ulipoungua hatukujifunza?

Hii nchi now awamu ya sita kipaumbele chake ni vijisherehe na kusafiri tu sio kutoa Huduma za msingi kwa watanzania.

Serikali ya kifisadi kuliko zote toka tupate uhuru mnachota tu pesa na walala hoi na kuzipeleka kwenye mambo ya kipumbavu.

Hakika huu mchongo tumepigwa Watanzania.
Hatimaye umezinduka
 
Huyo ni chawa wa kujitegemea. Alifurushwa cheti feki ana uchungu
Kwenye Comment zako zote Unajenga hoja vizuri na kwa kutumia data lkn tatizo una ushabiki fln hv ambao unashindwa kuuficha na ndipo unaharibu kila kitu. Umesahau kwamba hao maraisi watano unaosemea wanatoka chama kimoja na kila anaetoka huusika kwenye process ya kuchagua anaeingia. Hizo Ilani zao vp? Zinatekelezwa na ni endelevu?
 
Back
Top Bottom