BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Tulia tutagiwe wote mfilisti mkubwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia tutagiwe wote mfilisti mkubwa wewe
mkuu unataka kusema kwa uchumi wa mtu mojamoja Tanzania ina afadhali kuliko Bangladesh?Ukubwa wa uchumi maana yake nini?
Unaelewa kuwa nchi inaweza kuwa na uchumi mkubwa halafu bado ikawa masikini?
Yani nchi ina mamilioni ya masikini, ukijumlisha viuchumi vyao vyote vya dola moja moja ma nusu mpaka mbili kwa siku unapata uchumi mkubwa sana, lakini nchi nzima kiuchumi imejaa masikini tu. Ndiyo Bangladesh hiyo.
Yani hapo kinachofanya uchumi kuwa mkubwa ni wingi wa masikini tu wanaonunua unga robo kila siku.
Bangladesh ina masikini waliopita mstari, kwa viwango vya serikali yao wenyewe, ambao ni karibu nusu ya idadi ya Watanzania wote.
Sasa huo ni uchumi wa kujivunia?
Unajua kwamba kwa makadirio ya mwaka 2021, GDP per capita figure zilikuwa hivi.
Bangladesh $ 2,458
Seychelles $14,653
Unajua Seychelles iko Afrika?
Unaelewa GDP per capita ni nini?
Unaelewa kwamba unaweza kuwa na uchumi mkubwa kwa kuzaliana watu wengi tu, huku wote mkiwa mnaishi kwenye umasikini mbaya sana? Halafu mtu anaweza kuwa na uchumi mdogo unaomfanya awe tajiri sana?
Unaweza kutofautisha ukubwa wa uchumi na ufanisi wa uchumi japo kwa ngazi ya awali tu kwa kutumia GDP per capita figures kuona on average watu wana kipato gani?
Sijajikita sana kulinganisha Bangladesh na Tanzania. Nimejikita kwenye heading ya kulinganisha Bangladesh na taifa lolote Afrika, na kuonesha uchumi mkubwa si lazima uwe uchumi mzuri, nchi inaweza kuwa na uchumi mkubwa kutokana na kuwa na watu masikini wengi.mkuu unataka kusema kwa uchumi wa mtu mojamoja Tanzania ina afadhali kuliko Bangladesh?
mbona hata tukiangalia hizo GDP per capita figures za tanzania na Bangladesh bado zinaonesha sisi ni maskini kuliko hao Bangladesh, sijaelewa hapo.
Wabongo lete mada ya ngono,wapo ma professor. Huko kwingine,usiwambieMnashangaa nini wakati mada kama hizi hata watanzania hawawezi kuchangia na hiyo tu ni taswira tosha kwamba nchi ina watu wa namna gani.
Sasa nchi yenye watu kama hawa watawezaje kushindanishwa na Bangladesh ambayo watu wake hawakimbizi mwenge.
Kwa sababu ni kwa kufuatilia vitu vinavyotujaza frustration tu ndivyo tunaweza kuondoa frustration.Kwanini mnafuatilia vitu vinavyowajaza frustration..
!?
Sawa.Kwa sababu ni kwa kufuatilia vitu vinavyotujaza frustration tu ndivyo tunaweza kuondoa frustration.
Matatizo yakiwapo, hayamaliziki kwa sababu huyafuatilii.
Nyumba yako ikiwa inawaka moto, moto hauwezi kujizima wenyewe kwa sababu wewe huufuatilii.
Inakubidi ufuatilie matatizo, uyaelewe, ili uweze kuuyamaliza.
Huko bangladesh kuna dini ganiTatizo ni hizi dini kuu mbili. Uislam na ukristo. Dini hizi ni wakala wa utumwa na umaskini. Kama waafrika ikitokea tukaacha na hizo imani, tutapiga hatua kubwa kimaendeleo maana akili zetu zote zimefungiwa hapo.
Ushamba ni mwingi bongo watu hawatake risk ya kufungua viwanda wao wanataka kwenda china kupiga picha basi wanaona wamepiga sana.Tatizo biashara huku hatutaki na pia tunawapiga vita wafanyabiashara wetu na pia jamii haziamini kwenye kufanya na kumiliki biashara ya kutatua matatizo yetu sie twapenda sana hiki kiatu kimetoka ujerumani basi ndio kizuri hatutaki tutengeneze cha kwetu hakuna uchumi imara wa kuimport kila kitu lazima to encourage na kuwezesha uwanzishwaji wa SME na MME ndio tutakuwa kiuchumi pia tupunguze kodi kwenye vifaa vya ujasiria mali na uzalishaji yaani vile vya kuweza kujiajiri sio pump ya kumwagilia shamba bei juu mashine za kukata na kukunjia chuma bei juu hatutaweza kunyanyua watu wetu kiuchumi na tunatakiwa taasisi zetu za biashara na binafsi zifanye biashara nje ya mipaka zilete foreign currency.
Ni kweliAlietuloga kwa kweli hana huruma. South Africa, Nigeria Egypt wote wamezidiwa na Bangladesh
Afrika tuna matatizo gani. Nchi 54 wote tumefeli. Hata hizo za kaskazini (Arab countries) wamefeli. Uchumi wa Morocco, Egypt, Algeria, Tunisia, Libya hauendani na uhalisia. Wote tumefeli vibaya mno.
Hakuna nchi yenye matumaini Africa. Nchi za Asia nyingi Zika juu Sana. Nyingi zitakuwa developed countries miaka michache ijayo
Je, ni kweli tunaibiwa rasilimali au tumefeli tu. Tatizo nini?