Uchumi wa Frame Tanzania

.....wenzao wa magereza huwa wanajenga hata kakiwanda uchwara ka kuprocess ngozi na kutengeneza viatu au kuchakata mbao kutengeneza furnitures, mleta mada yuko sahihi, kwa Sasa ndo dili sijui kila mkoa na wilaya ukitebelea ni mafremu tu, imekuwa nchi ya wachuuzi.......
 
.... kwakweli ni fedhea Kwa taasisi serious na nyeti kama jeshi, kila mtu akiuza sijui nani atanunua Sasa......
 
Watanzania huwa wanalipenda sana Jeshi lao kwa kila hali na kusimama nalo kika wakati.
Ila zile Fremu za pale Lugalo kwa kweli watu wapo agaunst Jeshi, na aletoa lilewazo aoromoshe veo vake vote. Hizo habari za Fremu zilipaswa kuishia kwenye kuta za Makongo Sekindari, lakuni siyo pale.
Katika hili JW wamezingua sana. Wabomoe zile fremu mara moja
 
Kwa zile fremu pale Lugalo, Pale Jeshini patakua gulioni. Lugalo inashindana na Mwenge kwa fremu. Ukitaka kunyoa, ukitaka full body massage, ukitaka viepe, ukitaka kuziba pancha, ukitaka unachotaka vitakuwa vinapatikana Lugalo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
.....kila mtaa mkuu na huko kwenu nilikuwa naona hadi gangilonga iliyokuwa ushuani nayo ni fremu plus vikontena, mwangata kihodombi, frelimo, mwembetogwa, isoka, mikmbizi kote ni maduka tu mitaani.......
 
Kwa zile fremu pale Lugalo, Pale Jeshini patakua gulioni. Lugalo inashindana na Mwenge kwa fremu. Ukitaka kunyoa, ukitaka full body massage, ukitaka viepe, ukitaka kuziba pancha, ukitaka unachotaka vitakuwa vinapatikana Lugalo
[emoji2][emoji2][emoji4] ndio manake aisee
 
Itakuwa ushauri wa Military Finance and economics.

Nyie mnachukulia poa lakini hapo utakuta ni Kachero mmoja mwenye PhD yake.
[emoji2][emoji2] huyo kachero ufikiri wake utakuwa mdogo ndio mana tushauri waache kupasua matofali kwenye uhuru day. Hizo frame si ndio zitakarobisha hata majasusi wajifanye wauza bidhaa.
 
Bora magereza wanavozalisha vinaonekana, Sasa hizi frame zinadhihirisha kuwa uchumi wetu ni WA uchuzi wa bidhaa za kichina, ni heri wangekuwa wanaanzisha hata viwanda vingetoa ajira sio hivi frame ni nyingi kuliko wateja. Ningekuwa na mamlaka ningeagiza zivunje hivi ni nchi Gani Haina mpangilio Kila corner ni frame tu
 
[emoji2][emoji2]jeshi letu limenisikitisha mno hafu frame zenyewe zimejengwa bila ubora na kilichoniumiza ni kufyeka ile miti Kwa wingi pale. Ujue frame ilikuwa biashara za wadangaji Sasa Hadi jeshi letu limeiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…