raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Majamaa wanataka kujitegemea wao kifedha kama majamaa wa misri wao wameanza na frem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....wenzao wa magereza huwa wanajenga hata kakiwanda uchwara ka kuprocess ngozi na kutengeneza viatu au kuchakata mbao kutengeneza furnitures, mleta mada yuko sahihi, kwa Sasa ndo dili sijui kila mkoa na wilaya ukitebelea ni mafremu tu, imekuwa nchi ya wachuuzi.......Nchi hii watanzania wanapenda kuigana pia fremu ni ujinga na kipimo duni, mie kilichonichosha zaidi Hadi jwtz Lugala walikata ile miti mingi wakajenga frem hii ni aibu hivi jeshi kweli ubunifu umeishia kujenga frem tu wakati Kwa wenzetu majeshi huongoza ubunifu na hizo frem wanazojenga vipi ma jasusi wa nchi jirani wakikodi Kwa masilahi ya uchunguzi.
In short nchi hii watu wanatumia asilimia Moja ya ubongo kufikiria
.... kwakweli ni fedhea Kwa taasisi serious na nyeti kama jeshi, kila mtu akiuza sijui nani atanunua Sasa......Kali kuliko Yote ni kitendo cha JW kuachana na project za kutunza mazingira na wao wa kubebwa na muhemuko ya Uchumi wa Fremu , wamepafyeka pale Lygalo kama mtu aliyetoka kusafisha sehemu zake za siri, pamebaki pameachama tu pakisubiri wapangaji wakapange ili waendeleze Uchuni wa Fremu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa zile fremu pale Lugalo, Pale Jeshini patakua gulioni. Lugalo inashindana na Mwenge kwa fremu. Ukitaka kunyoa, ukitaka full body massage, ukitaka viepe, ukitaka kuziba pancha, ukitaka unachotaka vitakuwa vinapatikana Lugalo
JWTZ wamezingua sana aisee......wenzao wa magereza huwa wanajenga hata kakiwanda uchwara ka kuprocess ngozi na kutengeneza viatu au kuchakata mbao kutengeneza furnitures, mleta mada yuko sahihi, kwa Sasa ndo dili sijui kila mkoa na wilaya ukitebelea ni mafremu tu, imekuwa nchi ya wachuuzi.......
.....kila mtaa mkuu na huko kwenu nilikuwa naona hadi gangilonga iliyokuwa ushuani nayo ni fremu plus vikontena, mwangata kihodombi, frelimo, mwembetogwa, isoka, mikmbizi kote ni maduka tu mitaani.......Nimejikuta nacheka tu nimepita mtaa fulani hivi mazingira ya eneo lile ni tulivu sana nyumba nyingi zina fensi ila kuna mtu alinunua eneo kubwa mwaka jana kapiga frem zaidi ya 15 tangu mwaka jana mpaka leo ni frame mbili tu ndio zinawapangaji sijui boss aliwaza nini ukiangalia eneo lenyewe haieleweki wateja wanatoka wapi maeneo yapo kimya
Naungo hoja mkono ule ni udhalilishaji kwa jeshi letu tukufu.Hadi lugalo wamefyeka ile miti na kujenga frame hivi walifanya kwanza tafiti namwomba Rais awaambie wavunje ule uchafu ni aibu Kwa jeshi kuwa na frame chafu za kijanjaa hivo ni aibu
[emoji2][emoji2][emoji4] ndio manake aiseeKwa zile fremu pale Lugalo, Pale Jeshini patakua gulioni. Lugalo inashindana na Mwenge kwa fremu. Ukitaka kunyoa, ukitaka full body massage, ukitaka viepe, ukitaka kuziba pancha, ukitaka unachotaka vitakuwa vinapatikana Lugalo
[emoji2][emoji2] huyo kachero ufikiri wake utakuwa mdogo ndio mana tushauri waache kupasua matofali kwenye uhuru day. Hizo frame si ndio zitakarobisha hata majasusi wajifanye wauza bidhaa.Itakuwa ushauri wa Military Finance and economics.
Nyie mnachukulia poa lakini hapo utakuta ni Kachero mmoja mwenye PhD yake.
Kuna frame pale mtu anauza vijoraLugalo jeshini na wenyewe Wana frame ni mwendo wa Tanzania ya frame
Bora magereza wanavozalisha vinaonekana, Sasa hizi frame zinadhihirisha kuwa uchumi wetu ni WA uchuzi wa bidhaa za kichina, ni heri wangekuwa wanaanzisha hata viwanda vingetoa ajira sio hivi frame ni nyingi kuliko wateja. Ningekuwa na mamlaka ningeagiza zivunje hivi ni nchi Gani Haina mpangilio Kila corner ni frame tu.....wenzao wa magereza huwa wanajenga hata kakiwanda uchwara ka kuprocess ngozi na kutengeneza viatu au kuchakata mbao kutengeneza furnitures, mleta mada yuko sahihi, kwa Sasa ndo dili sijui kila mkoa na wilaya ukitebelea ni mafremu tu, imekuwa nchi ya wachuuzi.......
[emoji2][emoji2]jeshi letu limenisikitisha mno hafu frame zenyewe zimejengwa bila ubora na kilichoniumiza ni kufyeka ile miti Kwa wingi pale. Ujue frame ilikuwa biashara za wadangaji Sasa Hadi jeshi letu limeigaWatanzania huwa wanalipenda sana Jeshi lao kwa kila hali na kusimama nalo kika wakati.
Ila zile Fremu za pale Lugalo kwa kweli watu wapo agaunst Jeshi, na aletoa lilewazo aoromoshe veo vake vote. Hizo habari za Fremu zilipaswa kuishia kwenye kuta za Makongo Sekindari, lakuni siyo pale.
Katika hili JW wamezingua sana. Wabomoe zile fremu mara moja