Uchumi wa Frame Tanzania

Jes
jeshi letu limenisikitisha mno hafu frame zenyewe zimejengwa bila ubora na kilichoniumiza ni kufyeka ile miti Kwa wingi pale. Ujue frame ilikuwa biashara za wadangaji Sasa Hadi jeshi letu limeig

[emoji2][emoji2]jeshi letu limenisikitisha mno hafu frame zenyewe zimejengwa bila ubora na kilichoniumiza ni kufyeka ile miti Kwa wingi pale. Ujue frame ilikuwa biashara za wadangaji Sasa Hadi jeshi letu limeiga
Huko tuendapo wanajeshi wataanza kunyoa viduku
 
Wavunje tu zile frame ni aibu, ila taifa letu sijui tuna shida gani every corner frame heri hata zenji Wana uchumi wa blue huku Tanganyika ni uchumi wa frame
Na hapo lugalo lazima kna mtu ataweka frame ya grocery auze mtungi

Ova
 
Uko sahih swala hili Dr Matola PhD ameshalikemea hili
 
Hawajaliona hilo
 
.....[emoji4][emoji4]kwa hiyo wameona bora fedhea kuliko lawama, Mungu tupa kule weka frem.....
Kuna muwekezaji wamempa lile eneo kahaidi atajenga msikiti mzuri pamoja na fremu za biashara,sasa kaanza na fremu kwanza ili apate pesa ndio awajengee msikiti baadae,
Yani unavunja kwanza nyumba ya ibada alafu unajenga kwanza fremu za biashara nyumba ya utajenga baadae.moja kati ya mkataba wa Chief Mangungo ndio huo,na kuna tetesi nasikia baada ya miaka 20 ndio anawaachia eneo lao.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Uingereza kuna maduka mengi,ukiona hivo mzunguko wa hela umeongezeka.Acha wajenge frem tyu.
 
Unauwezo mdogo sana wa kufikiri....always invest ktu ambacho ni asset frame ztaingiza pesa kilaa mwez ila sio nyumba ya kuishi ww na family yako...
 
Uko sahih swala hili Dr Matola PhD ameshalikemea hili
Katika kitu nimekataa Nyumbani kwangu ni kuweka flemu, kwanza napenda shape ya nyumba yangu ionekane kama ilivyo na iko mtaani kabisa tena mtaa mkubwa kabisa, lakini habari ya fremu kwangu marufuku.

Wife ndio ana plot yake binafsi somewhere huko ndio Kajenga maflemu yake kawapangisha watu apate kodi, ila Nyumbani sitaki kabisa kusikia habari ya fremu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…