Uchumi wa Frame Tanzania

Ni shida! Hospitali ya Mirembe kule Dodoma na wenyewe wamejenga fremu mbaya. Badala wawekeze katika kuboresha hosipitali yao ambayo ni ya taifa kwa masuala ya akili, wanajenga fremu kama za wapigaji wa CCM. Stupid.
 
Nimejikuta nacheka mwenyewe, hilo mimi nililoona miaka ya 2012 maeneo ya mbezi , frame kibao hadi leo na hazijaonekana kuwa na watu ,tatizo ni watu kupata mikopo na hawajui wafanye nini, kumbuka wanaojenga sana frame wengi ni wafanyakazi hawana mawazo ya kibiashara na hawana experience na biashara, ndio maana maisha yanakuwa magumu sana kwa wafanyakazi
 
Viwanda ni sera ya nchi kama serekali imeshindwa kuwa na sera mathubuti kwenye viwanda binafsi siwez walaumu watu binafsi wanao-fungua frem
 
Halafu utashangaa hicho ni chanzo cha mapato cha watu wachache humo JW,ukienda utakuta hata mtririko wa kuyaacknowledge na matumizi ya hayo mapato haupo ama unajulikana kwa wachache.
 
Hahahahah alafu washenzi kwer wakishaona lami wanajua kunakazi hawajui ugumu tunaopitia kupata iyo Kodi unapigwa na jua kutoka asbh mpk usiku alafu una ata chuma yakueleweka duh
[emoji2][emoji2] na wenye frame Sasa wanapenda kudai Kodi bila kujali wafanya biashara au lah, wao Yao iingie tu
 
Viwanda ni sera ya nchi kama serekali imeshindwa kuwa na sera mathubuti kwenye viwanda binafsi siwez walaumu watu binafsi wanao-fungua frem
Siwalaumu ila zitakosa soko heri wawe wabunifu wa kitu kingine maana bongo watu huiagana na bidhaa kujaa sokoni na demand inashuka. Heri kujenga vi apartments simple lazima vipate wateja maana pakulaza mbavu ni muhimu kuliko hyo frame na ukichangia waweza fanyia biashara online vile vile
 
Ni shida! Hospitali ya Mirembe kule Dodoma na wenyewe wamejenga fremu mbaya. Badala wawekeze katika kuboresha hosipitali yao ambayo ni ya taifa kwa masuala ya akili, wanajenga fremu kama za wapigaji wa CCM. Stupid.
[emoji2][emoji2][emoji2] Hadi mirembe hospital nao wamejenga frame?
[emoji2][emoji2] Sasa hospital si iboreshe huduma zake frame za Nini jamani
 
Assume ndo wewe kwa sahiv ungefanya biashara ipi
 
Ila zile Fremu za pale Lugalo kwa kweli watu wapo agaunst Jeshi, na aletoa lilewazo aoromoshe veo vake vote. Hizo habari za Fremu zilipaswa kuishia kwenye kuta za Makongo Sekindari, lakuni
Wanannchi tuungane tupinge ule ufedhuli unaofanyika pale lugalo... Tupaze sauti .......
 
Wavunje tu zile frame ni aibu, ila taifa letu sijui tuna shida gani every corner frame heri hata zenji Wana uchumi wa blue huku Tanganyika ni uchumi wa frame
Mkuu hebu anzisha uzi kuhusu frem za pale lugalo... Zivunjwa mara moja.. Na ule uoto wa asili urejeshwe... Ni aibu ya karne..

RAis tunaomba ingilias kati... Kambi za jeshi zimegeuzwa mabaaa na makumbi ya starehe...
 
[emoji2][emoji2][emoji2] Hadi mirembe hospital nao wamejenga frame?
[emoji2][emoji2] Sasa hospital si iboreshe huduma zake frame za Nini jamani
We acha tu. Wangepafanya pawe na hadhi ya hospitali ya taifa, wamekimbilia kujenga fremu. Fremu zenyewe mpaka uzifikie sasa, unapanda ngazi kama za kwenda jehanam. Kuwa Mtz kazi jamani.
 
We acha tu. Wangepafanya pawe na hadhi ya hospitali ya taifa, wamekimbilia kujenga fremu. Fremu zenyewe mpaka uzifikie sasa, unapanda ngazi kama za kwenda jehanam. Kuwa Mtz kazi jamani.
[emoji2][emoji2][emoji2] watanzania hatutaki kuchosha bongo zetu na huyo aliyebuni Hilo wazo analipwa hela nyingi tu Tena kujenga frame sehemu iliyo mbaya. Hakika tumerogwa Sasa hyo mirembe ijitoe Sasa kwenye huduma za hospital imehamie biashara
 
Tuna uvivu sana. Unakuta mtu yupo kwenye biashara miaka 30+ eti leo na yeye anajenga fremu akodishie watu. Aibu!
 
[emoji2][emoji2] na wenye frame Sasa wanapenda kudai Kodi bila kujali wafanya biashara au lah, wao Yao iingie tu
Hivi ushirikiano ungekuapo apo awali situngegoma wapangaji ili haki zetu zilindwe sasa walivyokua waoga ukipewa notice mtu hajui kuisimamia haki yake sasa cjajua pale lugalo maana hawanaga masiala mwendo wa Sheria tu😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…