KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mada si ndiyo hiyo ya mfano wa kipumbavu uliotoa wewe hapo juu, au mtindio wa ubongo unazidi kushamiri? Ushahidi huo unatafuta kila njia ya kuukimbia lakini huipati!Unarudia yale yale ya F-Grade. Badala ya kujadili mada wewe unanijadili mimi eti ninajihami; kwani hapa ni mashindano? Upumbavu wako huo wa kuja hapa kushindana na watu usiowajua ni mzigo wako tu, hakuna atakayeweza kukusaidia kuubeba; hata ukipiga kelele sana utabaki ni mpumbavu tu.