Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Mikopo ni tatizoJuzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Labda huko mbele. Kwetu huku ni ishara kubwa ya hali ya uchumi.Sasa thamani ya Pesa na Uchumi mbona haviendani mkuu??
Ni Hali ya uchumi tuu,sio Tanzania na Kenya pekee Bali Nchi nyingi sana hapa AfrikaJuzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Ruto na Gachagua wamezidi kuongea sana. Wanaongea kama cherahani lakini vitendo hamna.Ruto ana hali ngumu sana
Haina uhusiano wowote, Zimbabwe pesa yake ina thamani kuliko yetu, vp uchumi wao unaweza kutukaribia sisi?Labda huko mbele. Kwetu huku ni ishara kubwa ya hali ya uchumi.
Hela ya Zimbabwe inca thamani kuliko yetu?Haina uhusiano wowote, Zimbabwe pesa yake ina thamani kuliko yetu, vp uchumi wao unaweza kutukaribia sisi?
Unajua kuwa SADC na East Africa ni nchi 2 tu zinauzidi uchumi wa Tanzania? Nazo ni South Africa na Kenya?
Unajua katika nchi zote za SADC Shilingi ya Tanzania ndio pesa isiyo na Thamani kuliko Zote?
Thamani ya pesa ni Ishu tofauti na uchumi wa nchi yaan katika ukuaji au ushukaji wa uchumi.
Kipindi cha covid. Hapo ndipo nchi nyingi zilizama shimoni. Leo watu wanagawana tu mipesa hadi wanateteresha uchumi.Na hapo mshukuru Mungu aliyetuwezesha kupambana kuiokoa shilingi.
Ilikuwa ikianguka sawa na jiwe linalotoka angani.
Tusingepambana kipindi kile sasa hivi exchange rate ingekuwa imefika Tsh 4,500 kwa Dollar moja.
πππHela ya Zimbabwe inca thamani kuliko yetu?
1 ZIM$ sawa na 6 TZSHela ya Zimbabwe inca thamani kuliko yetu?
Unapo kopa sana,ujuwe pia kuna gharama zake pia.Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Na huyu wa kwetu vipi? Tumuweke kwenye kundi la kuongea au kunyamaza?Ruto na Gachagua wamezidi kuongea sana. Wanaongea kama cherahani lakini vitendo hamna.
Walizani kuendesha nchi ni rahisi kama kuendesha baiskeli ya miguu mitatu.
Waachane na siasa za majukwaani, wajifungie ofisini na kufanya kazi ya kutatua matatizo ya wananchi.
Kwa sasa Ruto ni kama 'teenage president'. Yuko after media popularity badala ya kushughulika na issues...
Kuna haja ya kubana masuala ya dolariNa hapo mshukuru Mungu aliyetuwezesha kupambana kuiokoa shilingi.
Ilikuwa ikianguka sawa na jiwe linalotoka angani.
Tusingepambana kipindi kile sasa hivi exchange rate ingekuwa imefika Tsh 4,500 kwa Dollar moja.
Angola wametuzidi uchumi. Zambia na Zimbabwe pesa zao takataka, hadi Zambia wakatoa sifuri. Kwa nchi kubwa huwezi husianisha uchumi wao na thamani ya fedha. Kama China wanashusha makusudi ili wauze zaidi. Lakini kwetu sisi hohehahe huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumi.Haina uhusiano wowote, Zimbabwe pesa yake ina thamani kuliko yetu, vp uchumi wao unaweza kutukaribia sisi?
Unajua kuwa SADC na East Africa ni nchi 2 tu zinauzidi uchumi wa Tanzania? Nazo ni South Africa na Kenya?
Unajua katika nchi zote za SADC Shilingi ya Tanzania ndio pesa isiyo na Thamani kuliko Zote?
Thamani ya pesa ni Ishu tofauti na uchumi wa nchi yaan katika ukuaji au ushukaji wa uchumi.
Unaijua pesa ya Rwanda??? Au umekaririshwa Kenya na SA tu!!!Haina uhusiano wowote, Zimbabwe pesa yake ina thamani kuliko yetu, vp uchumi wao unaweza kutukaribia sisi?