Uchumi wa Kenya na Tanzania umepatwa na nini?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
 
Mikopo ni tatizo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Ni Hali ya uchumi tuu,sio Tanzania na Kenya pekee Bali Nchi nyingi sana hapa Afrika
 
Na hapo mshukuru Mungu aliyetuwezesha kupambana kuiokoa shilingi.
Ilikuwa ikianguka sawa na jiwe linalotoka angani.
Tusingepambana kipindi kile sasa hivi exchange rate ingekuwa imefika Tsh 4,500 kwa Dollar moja.
 
Ruto ana hali ngumu sana
Ruto na Gachagua wamezidi kuongea sana. Wanaongea kama cherahani lakini vitendo hamna.
Walizani kuendesha nchi ni rahisi kama kuendesha baiskeli ya miguu mitatu.
Waachane na siasa za majukwaani, wajifungie ofisini na kufanya kazi ya kutatua matatizo ya wananchi.
Kwa sasa Ruto ni kama 'teenage president'. Yuko after media popularity badala ya kushughulika na issues...
 
Labda huko mbele. Kwetu huku ni ishara kubwa ya hali ya uchumi.
Haina uhusiano wowote, Zimbabwe pesa yake ina thamani kuliko yetu, vp uchumi wao unaweza kutukaribia sisi?
Unajua kuwa SADC na East Africa ni nchi 2 tu zinauzidi uchumi wa Tanzania? Nazo ni South Africa na Kenya?

Unajua katika nchi zote za SADC Shilingi ya Tanzania ndio pesa isiyo na Thamani kuliko Zote?

Thamani ya pesa ni Ishu tofauti na uchumi wa nchi yaan katika ukuaji au ushukaji wa uchumi.
 
Hela ya Zimbabwe inca thamani kuliko yetu?
 
Na hapo mshukuru Mungu aliyetuwezesha kupambana kuiokoa shilingi.
Ilikuwa ikianguka sawa na jiwe linalotoka angani.
Tusingepambana kipindi kile sasa hivi exchange rate ingekuwa imefika Tsh 4,500 kwa Dollar moja.
Kipindi cha covid. Hapo ndipo nchi nyingi zilizama shimoni. Leo watu wanagawana tu mipesa hadi wanateteresha uchumi.
 
Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Unapo kopa sana,ujuwe pia kuna gharama zake pia.
Hayo ndio matokeo ya mikopo bila ufanisi wa matumizi yake.
 
Ruto na Gachagua wamezidi kuongea sana. Wanaongea kama cherahani lakini vitendo hamna.
Walizani kuendesha nchi ni rahisi kama kuendesha baiskeli ya miguu mitatu.
Waachane na siasa za majukwaani, wajifungie ofisini na kufanya kazi ya kutatua matatizo ya wananchi.
Kwa sasa Ruto ni kama 'teenage president'. Yuko after media popularity badala ya kushughulika na issues...
Na huyu wa kwetu vipi? Tumuweke kwenye kundi la kuongea au kunyamaza?

Miaka mitano nyuma tshs to usd ilikuwa haijapanda
 
Na hapo mshukuru Mungu aliyetuwezesha kupambana kuiokoa shilingi.
Ilikuwa ikianguka sawa na jiwe linalotoka angani.
Tusingepambana kipindi kile sasa hivi exchange rate ingekuwa imefika Tsh 4,500 kwa Dollar moja.
Kuna haja ya kubana masuala ya dolari
 
Haina uhusiano wowote, Zimbabwe pesa yake ina thamani kuliko yetu, vp uchumi wao unaweza kutukaribia sisi?
Unajua kuwa SADC na East Africa ni nchi 2 tu zinauzidi uchumi wa Tanzania? Nazo ni South Africa na Kenya?

Unajua katika nchi zote za SADC Shilingi ya Tanzania ndio pesa isiyo na Thamani kuliko Zote?

Thamani ya pesa ni Ishu tofauti na uchumi wa nchi yaan katika ukuaji au ushukaji wa uchumi.
Angola wametuzidi uchumi. Zambia na Zimbabwe pesa zao takataka, hadi Zambia wakatoa sifuri. Kwa nchi kubwa huwezi husianisha uchumi wao na thamani ya fedha. Kama China wanashusha makusudi ili wauze zaidi. Lakini kwetu sisi hohehahe huwezi tenganisha thamani ya pesa na uchumi.
 
Haina uhusiano wowote, Zimbabwe pesa yake ina thamani kuliko yetu, vp uchumi wao unaweza kutukaribia sisi?
Unajua kuwa SADC na East Africa ni nchi 2 tu zinauzidi uchumi wa Tanzania? Nazo ni South Africa na Kenya?

Unajua katika nchi zote za SADC Shilingi ya Tanzania ndio pesa isiyo na Thamani kuliko Zote?

Thamani ya pesa ni Ishu tofauti na uchumi wa nchi yaan katika ukuaji au ushukaji wa uchumi.
Unaijua pesa ya Rwanda??? Au umekaririshwa Kenya na SA tu!!!
 
Hizi nchi nyingi za kiafrika zina utawala wa hovyo sana, ufisadi na rushwa ni kansa mbaya sana kwenye maendeleo ya kiuchumi ya nchi. Imagine ubadhirifu ulioibuliwa na CAG, pesa nyingi ambazo zingeenda kwenye miradi na maendeleo ya wananchi zinapotea na mtu yupo tayari ku-inflate invoice akagawane na mzungu bila kujali athari anazosababisha kwenye nchi yake.
 
Back
Top Bottom