Uchumi wa Kenya na Tanzania umepatwa na nini?

Marais,Tanzania Magufuri,Kenya Ruto.
 
Kama unajua ni tata hapa unabwabwaja nini? Lengo la uzi huu ni nini kama unajua mambo ya currency kuwa ni tata? Umeutatua utata huo?

Ndio maana nimesema umeandika UPUPU, kichwa box unataka kujadili vitu CHUMA.
Ni suala tata lakini linaongozwa na kanuni. Kwa nchi masikini huwezi tenganisha thamani ya pesa yake na uchumi wake.
 
Uchumi wa nchi na maisha ya watu je vinaendana????Acha kujifariji wewe.
 
Uchumi wa Tanzania unajua.kwa Kasi Sana east and.Central tumebakisha Kenya pekee,hivyo tuchape Kazi,jana nilikuwa mitaa ya kaliakoo,nilichokiona watu wanapiga Kazi kama vichaa.
 
Duh!! Mzee nenda kaangalie Angola.
 
Sijui unakookota data. TZ imeachwa mbali na Angola kwa GDP. Angola ni ya pili kwa uchumi mkubwa kwenye SADC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hujui ANGOLA tunawazidi karibu kila kitu, walichotuzidi ANGOLA
UNEMPLOYMENT RATE
GOVERNMENT DEBT 60%+
INFLATION RATE 29%
NUMBER OF PEOPLR LIVING BELOW POVERTY LINE. 36.6%

Mnapenda sana kujipondea, ukute hata Angola penyewe hujawahi hata kufika ukajionea hali halisi.
 
Tatizo sisi Watanzania tunapenda rekodi za kwenye makaratasi na maisha ya Dar es Salaam lakini uhalisia kwa wananchi ni tofauti sana na kile tunachokisoma kwenye makaratasi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…