Uchumi wa Kenya na Tanzania umepatwa na nini?

Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Marais,Tanzania Magufuri,Kenya Ruto.
 
Kama unajua ni tata hapa unabwabwaja nini? Lengo la uzi huu ni nini kama unajua mambo ya currency kuwa ni tata? Umeutatua utata huo?

Ndio maana nimesema umeandika UPUPU, kichwa box unataka kujadili vitu CHUMA.
Ni suala tata lakini linaongozwa na kanuni. Kwa nchi masikini huwezi tenganisha thamani ya pesa yake na uchumi wake.
 
Haina uhusiano wowote, Zimbabwe pesa yake ina thamani kuliko yetu, vp uchumi wao unaweza kutukaribia sisi?
Unajua kuwa SADC na East Africa ni nchi 2 tu zinauzidi uchumi wa Tanzania? Nazo ni South Africa na Kenya?

Unajua katika nchi zote za SADC Shilingi ya Tanzania ndio pesa isiyo na Thamani kuliko Zote?

Thamani ya pesa ni Ishu tofauti na uchumi wa nchi yaan katika ukuaji au ushukaji wa uchumi.
Uchumi wa nchi na maisha ya watu je vinaendana????Acha kujifariji wewe.
 
Juzi nililipa kwa dola. Dola ilikuw Tsh 2324. Shilingi ilikuwa imepanda sana. Nikasema safi. Leo nashangaa Dola ni 2345. Sidhani kama shilingi yetu imewahi kushuka namna hii. Pia mbona Ksh nayo inaporomoka kwa kasi sana? Leo Ksh ni 17.53 Tsh! Ksh haijawa chini hivi kwa muda mrefu sana. Tena nasikia hata pesa za kulipana mishahara huko Kenya ni tatizo. Nini kinaendelea kwenye uchumi wa nchi hizi mbili.
Uchumi wa Tanzania unajua.kwa Kasi Sana east and.Central tumebakisha Kenya pekee,hivyo tuchape Kazi,jana nilikuwa mitaa ya kaliakoo,nilichokiona watu wanapiga Kazi kama vichaa.
 
Haina uhusiano wowote, Zimbabwe pesa yake ina thamani kuliko yetu, vp uchumi wao unaweza kutukaribia sisi?
Unajua kuwa SADC na East Africa ni nchi 2 tu zinauzidi uchumi wa Tanzania? Nazo ni South Africa na Kenya?

Unajua katika nchi zote za SADC Shilingi ya Tanzania ndio pesa isiyo na Thamani kuliko Zote?

Thamani ya pesa ni Ishu tofauti na uchumi wa nchi yaan katika ukuaji au ushukaji wa uchumi.
Duh!! Mzee nenda kaangalie Angola.
 
Sijui unakookota data. TZ imeachwa mbali na Angola kwa GDP. Angola ni ya pili kwa uchumi mkubwa kwenye SADC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hujui ANGOLA tunawazidi karibu kila kitu, walichotuzidi ANGOLA
UNEMPLOYMENT RATE
GOVERNMENT DEBT 60%+
INFLATION RATE 29%
NUMBER OF PEOPLR LIVING BELOW POVERTY LINE. 36.6%

Mnapenda sana kujipondea, ukute hata Angola penyewe hujawahi hata kufika ukajionea hali halisi.
 
Tatizo sisi Watanzania tunapenda rekodi za kwenye makaratasi na maisha ya Dar es Salaam lakini uhalisia kwa wananchi ni tofauti sana na kile tunachokisoma kwenye makaratasi yetu.
 
Angola ipi mkuu? Hii yenye umasikini wa kutupwa au kuna nyingine mpya?. Hii yenye Madeni lukuki hadi wanakimbazana au unaongea kitu hujui?
Angola uchumi wake huu hapa
Screenshot_20230412-114434.png
 
Back
Top Bottom