Uchumi wa mwanamke unapoimarika waweza hatarisha ndoa?

Ulioa shetani nini?
 
Unaweza kushangaa huyo bibi anacheza Kaole Sanaa Group tu hapo ili wote mkae mguu sawa.

Kwa takwimu zisizo rasmi wanawake wengi sana wanalea familia zao kwa sasa, wanaime wengi wamepigika sio poa....
 
Kiufupi mwanamke akiwa na kipato hawezi kuvumilia upuuzi
Kwa sababu upuuzi huvumiliwa na wale tu wasio na option
Ni kweli kabisa na hii ni kwa wanawake wote,

Mwanamke akiwa na kipato imara, anapata uhuru wa kuchagua. Si kwamba hawezi kuvumilia upuuzi, bali hana sababu ya kuvumilia upuuzi kwa sababu ya utegemezi wa kifedha. Mara nyingi kinachowafanya watu wavumilie mazingira mabaya si upendo, bali kukosa option ya kuondoka.
 
Sasa kama wewe ni waziri na mimi ni wakili na ninakuhudumia kwa kila kitu, pesa zako unapeleka wapi? Unless zinarudi kwenye miradi ya familia it's OK otherwise hiyo ndoa ivunjike tu shubamiit.
 
Mume wangu hana hasara hiyo.
Nimeolewa na mwanaume na si mvulana........
Mwanaume anayetimiza majukumu yake ya kiume na mimi niko kutimiza majukumu yangu kama mke katika ndoa.
Yah na namuombea Kwa mungu azidi kufanikiwa siku akiyumba ndo atajua rangi halisi za mtu anayekaa Naye ndani

Yani unakopa Kwa ajili ya mtu unaingia madeni Ili biashara ya mtu isimame inaingiza mara 2 kuliko kipato chako hata kutoa msaada kuboost madeni ambayo unajua yalikopwa Kwa ajili yako hutaki roho gani hii

Kwako hii ndo tafsiri ya uanaume au??

That's why nikasisitiza wanaume watafute mke anayekupenda na anayekuhurumia ambaye anaweza kusimama na ww hata kipindi kigumu na wanawake wa hivi wapo wengi tu na ndo tafsiri halisi ya ndoa
 
Unaweza kushangaa huyo bibi anacheza Kaole Sanaa Group tu hapo ili wote mkae mguu sawa.

Kwa takwimu zisizo rasmi wanawake wengi sana wanalea familia zao kwa sasa, wanaime wengi wamepigika sio poa....
Hii nayo inawezekana Maana wanawake wakiwa na wanawake wenzao kila mmoja anatamba mwenzake ionekane anahudumiwa vizuri
 
Yani unakopa Kwa ajili ya mtu unaingia madeni Ili biashara ya mtu isimame inaingiza mara 2 kuliko kipato chako hata kutoa msaada kuboost madeni ambayo unajua yalikopwa Kwa ajili yako hutaki roho gani hii
Hii ndio Hali halisi ya Mwanamke kama ulikuwa hujui, akiwa Hana kitu ni Mpole, mwenye heshima na upendo, alishatoka pointi ambayo anaona huhitaji Msaada wa mtu hata ongea yake Tu inatia kinyaa
 
Sasa kama wewe ni waziri na mimi ni wakili na ninakuhudumia kwa kila kitu, pesa zako unapeleka wapi? Unless zinarudi kwenye miradi ya familia it's OK otherwise hiyo ndoa ivunjike tu shubamiit.
Kama ulijichanganya kwamba ukioa Msomi mwenye kazi nzuri atakusaidia kwenye maisha hapa ndipo watu wanakimbia nyumba zao kwa stress
 
Kama jamaa alitumia baadhi ya assets kama dhamana kwenye hiyo mikopo, aruhusu ziuzwe alipe madeni na aondokana na huyo mwanamke amwachie watoto.
 
Hii nayo inawezekana Maana wanawake wakiwa na wanawake wenzao kila mmoja anatamba mwenzake ionekane anahudumiwa vizuri
Mkuu,
Unaweza usiamini ila nachokuambia ni kweli, wanaume wengi sana hawatimizi majukumu yao. Wamama sasa ni mwendo wa kuamka alfajiri kurudi usiku wakitafuta pesa, Me wengi hatutimizi wajibu wetu na hii inasababishwa na fursa, wote tunapambania fursa hizo hizo so mwanamke anaweza kupata fursa ambayo Me alikuwa anaipambania na mwishowe huyo Ke ndio akawa na nguvu kiuchumi.

Angalia tu, kwa takwimu zisizo rasmi, ni wanawake wangapi wakanaa home kusubiri kuletewa saivi?
 
kwa akili yako kuna mwanamke anaye muhurumia mwanaume????
mimi msela wangu ananijua vizuri mnoo kiasi kwamba hana neno
 
Wapo lakini si wengi labda wake wa mabosi kama akina Mwijaku
 
Hakika Hakika
 
Sidhani kama umeeleza vizuri hii.

Tunavumilia kwa sababu ya ubinadamu na tabia zetu sio kwa sababu ya kukosa option
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…