Uzi bora kabisa huu kwa wanaume mimi mwenyewe ishanitokea hii huko nyuma kuna dili la pesa nilipiga kwa kampuni niliyokuwa nafanya kazi kwa muhindi ile pesa nikafanya kosa nikamfungulia biashala kubwa sana ya vipodozi wife maeneo ya kinondoni dah ishu job ikawa kubwa kesi mahakamani nikapigwa segelea miezi 6 kuja kutoka namkuta wife yupo na mtu mwingine na mimba juu
Uliyempata bwege mtunzeni ndo maana inafika unamwita majina ya hajabu nipo nawake wawili dini inaluhusu kwaiyo ukitaka nafasi ya kuwa mke watatu nafasi yako ipoHii iende kwa wote mnaoni andikia magazeti na kuni quote.
mtazamo wangu huwezi kunibadilisha kila mtu aishi na afanye anayoweza yeye mwenyewe.
kama mwanaume unataka mkeo alipe bill sijui bla bla sawa.
Mwanamke ukijiona kiranja na kuweza kuhudumia familia ni wewe.
Na kuna kina sie tumepata wanaume wanaojua wajibu wao sawa tunaendelea na maisha yetu.
mi napenda pesa, napenda kuhudumiwa sasa hakuna anayeweza kunibadilisha mtazamo wangu sana sana mtajaa vifua bureeèee!!!!!
Mume wangu kumuita kenge unataka nimuitaje???? wewe inakuuma nn??? niandike jina lake au?!?!!
Siku zote mwanaume anaeongea sana huwa hana lolote yaani mwanaume akiwa hajajipata huwa na kelele nyingi sana.
Sasa mimi huwezi kunirekebisha sana sana kama huna kazi za kufanya endelea kuumizwa na comment zangu siku ukijipata wala hata huziona.
Kenge ninae natamba naeUliyempata bwege mtunzeni ndo maana inafika unamwita majina ya hajabu nipo nawake wawili dini inaluhusu kwaiyo ukitaka nafasi ya kuwa mke watatu nafasi yako ipo
Unajua nini? Kuna kujua wajibu na kuwa bwege! Itoshe kusema kwamba huyo mume wako ni bwege mpaka unamuaibisha huku kwa kumuita kenge japo hatumjui ila kuna character unaionesha kwa maandishi yako!Hii iende kwa wote mnaoni andikia magazeti na kuni quote.
mtazamo wangu huwezi kunibadilisha kila mtu aishi na afanye anayoweza yeye mwenyewe.
kama mwanaume unataka mkeo alipe bill sijui bla bla sawa.
Mwanamke ukijiona kiranja na kuweza kuhudumia familia ni wewe.
Na kuna kina sie tumepata wanaume wanaojua wajibu wao sawa tunaendelea na maisha yetu.
mi napenda pesa, napenda kuhudumiwa sasa hakuna anayeweza kunibadilisha mtazamo wangu sana sana mtajaa vifua bureeèee!!!!!
Mume wangu kumuita kenge unataka nimuitaje???? wewe inakuuma nn??? niandike jina lake au?!?!!
Siku zote mwanaume anaeongea sana huwa hana lolote yaani mwanaume akiwa hajajipata huwa na kelele nyingi sana.
Sasa mimi huwezi kunirekebisha sana sana kama huna kazi za kufanya endelea kuumizwa na comment zangu siku ukijipata wala hata huziona.
Unajua nini? Kuna kujua wajibu na kuwa bwege! Itoshe kusema kwamba huyo mume wako ni bwege mpaka unamuaibisha huku kwa kumuita kenge japo hatumjui ila kuna character unaionesha kwa maandishi yako!
Unajua nini? Kuna kujua wajibu na kuwa bwege! Itoshe kusema kwamba huyo mume wako ni bwege mpaka unamuaibisha huku kwa kumuita kenge japo hatumjui ila kuna character unaionesha kwa maandishi yako!
Huwezi kubadilisha kitu! Mbona kuna wanawake wanawajibika kwenye familia zao. Na hawana habari na pesa za waume wao?Ndio huo ndio ubinafsi wa mwanamke sasa na huwezi kubadilisha kitu.
Huwezi kubadilisha kitu! Mbona kuna wanawake wanawajibika kwenye familia zao. Na hawana habari na pesa za waume wao?
Ukitaka tuanze kuvimbiana humu ndani utakuja kuacha ndala! Saa zingine piga kimya usimkadirie mtu usiyemjua....baki kwenye mada kuu.Kenge aitwe mwingine ukereke wewe?!.
Sasa mimi huwezi kunirekebisha sana sana kama huna kazi za kufanya endelea kuumizwa na comment zangu siku ukijipata wala hata huziona.
Ukitaka tuanze kuvimbiana humu ndani utakuja kuacha ndala! Saa zingine piga kimya usimkadirie mtu usiyemjua....baki kwenye mada kuu.
Shangazi lisilo na akiliNikupe tu taarifa ambayo hujui.
Huwa napokea yoyote anavyokuja
Mi sina akili!. 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆Shangazi lisilo na akili
Hii haiwezi kuwa ndoa.Tusimuhukumu dada. makubaliano ya mwanzo kabisa ilikuwa yapi?
Biashara ni ya mke au familia????
mikakati ya kusimamia na kuendeleza anayo Nani???
Faida itumike vipi?? akiba iwekwe vp? waliyapanga haya toka mwanzo??
Au mwanaume baada ya kunyonywa boro lake likuwa halija lala vizuri akaweka mpango kazi mapenzi yakiwa mbele