Nature huhitaji Ke kupigwa mipwipwi tu, kuzaa na kulea watoto akimshauri Me, shida kuna marioo wasiojielewa nakati hata maumbile ya mwili hudhihirisha Ke ni mpokeaji tu si mtoaji.
Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
Ukiwaangalia sura zao kama wanatia huruma hivi,jichanganye ndio utajua hujui...Uzi bora kabisa huu kwa wanaume mimi mwenyewe ishanitokea hii huko nyuma kuna dili la pesa nilipiga kwa kampuni niliyokuwa nafanya kazi kwa muhindi ile pesa nikafanya kosa nikamfungulia biashala kubwa sana ya vipodozi wife maeneo ya kinondoni dah ishu job ikawa kubwa kesi mahakamani nikapigwa segelea miezi 6 kuja kutoka namkuta wife yupo na mtu mwingine na mimba juu
Hiyo sio Ndoa bali ni Uwanja wa vita ya kuoneshana makali😀Yaani hawa wavulana wasipoelewa nature kwa mwanamke ikoje watateseka sana.
Mfano kuna minister mmoja kaolewa na wakili huwezi amini Jana tunaangalia yanga day mara paap kapiga simu!!!!!
Eeenh fulani unajua kama sabuni zimeisha???? halafu usisahau kupitia vitu si unajua watoto wanaenda shule lazima wale??!!!!! jamaa alikubali bila shida mama akaulizwa uko wapi akajibu alipo plus akaomba na hela atumiwe anunue wine jamaa akatuma 50.
Alikata simu tukamuuliza bibi wewe vp??? na uwaziri huo bili uliyotumia hapa kubwa inazidi hata ulivyoomba?????
Tukajibiwa nyie si mnalea hao wanaume!!!!,,, cheo changu hakihusiani na ndoa yangu mimi kupata cheo sio sababu ya kuacha kuhudumiwa natoa hela nikijisikia.
Ninachosema ni “mara nyingi”, sio “kila mara”. Ni kweli kuna watu huvumilia kwa sababu ya upendo, ubinadamu na tabia zao. Lakini pia kuna watu wanaovumilia mazingira mabaya kwa sababu hawana option ya kuondoka hasa pale ambapo utegemezi wa kifedha unahusika.Sidhani kama umeeleza vizuri hii.
Tunavumilia kwa sababu ya ubinadamu na tabia zetu sio kwa sababu ya kukosa option
Na hiyo ndio raha ya ndoaHiyo sio Ndoa bali ni Uwanja wa vita ya kuoneshana makali😀
Ni noma sana ndo maana nikisikia tukio la mtu kuchinja mke wake sishangai kabisa maana usipo kuwa na roho ngumu ya kusamee dah unaweza fanya mauajiUkiwaangalia sura zao kama wanatia huruma hivi,jichanganye ndio utajua hujui...
Nina uhakika wewe hujaoa na kama umeoa basi mkeo ni mshika dini sana, ila kwa hawa wengine lazima ulie machozi tu chake chake,chako chake...Kwa mtazamo wangu, uchumi wa mke kukua haupaswi kuwa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa; kinyume chake, unatakiwa kuwa fursa ya familia kupiga hatua zaidi. Tatizo linaanza pale pesa zinapoanza kumpa mmoja mamlaka ya kumdhalilisha au kumdharau mwenzake.
Ndoa si mashindano ya nani anaingiza zaidi. Kama mke anapata zaidi, ni baraka kwa familia; kama mume anapata zaidi, ni baraka pia. Cha msingi ni kujenga mfumo wa kifamilia unaowafanya wote wawili waone mafanikio ya mmoja kuwa ni mafanikio ya familia nzima.
Hiyo kauli ya "mnawadekeza hao Wanaume" haitoki kwenye kinywa cha mtu mwenye Ndoa yenye raha!Na hiyo ndio raha ya ndoa
Penzi kitovu cha uzembe - Ngoswe 😁Tusimuhukumu dada. makubaliano ya mwanzo kabisa ilikuwa yapi?
Biashara ni ya mke au familia????
mikakati ya kusimamia na kuendeleza anayo Nani???
Faida itumike vipi?? akiba iwekwe vp? waliyapanga haya toka mwanzo??
Au mwanaume baada ya kunyonywa boro lake likuwa halija lala vizuri akaweka mpango kazi mapenzi yakiwa mbele
Hiyo kauli ya "mnawadekeza hao Wanaume" haitoki kwenye kinywa cha mtu mwenye Ndoa yenye raha!
Hujaelewa kabisa nilichoandika, soma tena.Unayosema yote hayo ni sawa.
Lakini ukiingia kwenye ndoa na ukaleta hayo mambo ndoa utabaki kuishangaa na kutoa milio.
na mwanamke ni mwepesi sana kuchoka huo usawa kwenye kuhudumia familia labda huko ulaya huku bongo utaishia kutukana ndoa
Exactly ndo maana familia nyingi za kiafrika hata kama mwanaume umesimamisha biashara au miradi au kampuni, ukifa wewe mwanaume na miradi yako inakufa kwa sababu ya ubinafsi wa wanawake lakini kama wote mpo kwa ajili ya kujenga familia basi mtatengeneza generational wealth....ndo maana wenzetu ngozi nyeupe na waarabu wanabaki na generational wealth vizazi na vizazi maana surplus inayopatikana wana invest kwenye miradi ya familia sio miradi ya upande mmoja.Sasa kama wewe ni waziri na mimi ni wakili na ninakuhudumia kwa kila kitu, pesa zako unapeleka wapi? Unless zinarudi kwenye miradi ya familia it's OK otherwise hiyo ndoa ivunjike tu shubamiit.
serikali iingilie katiNina uhakika wewe hujaoa na kama umeoa basi mkeo ni mshika dini sana, ila kwa hawa wengine lazima ulie machozi tu chake chake,chako chake...