Uchumi wa mwanamke unapoimarika waweza hatarisha ndoa?

Unaweza kushangaa huyo bibi anacheza Kaole Sanaa Group tu hapo ili wote mkae mguu sawa.

Kwa takwimu zisizo rasmi wanawake wengi sana wanalea familia zao kwa sasa, wanaime wengi wamepigika sio poa....
Uwiiiii hii ni ukweli,, kuna siku nilikutana shemu anafanya jambo moja hivi ndio niliamini. alishawahi kuniambia ili ndoa yake iwe na amani na furaha yeye atimize majukumu yake kama mwanaume,, yeye mama hela zake ataamua kutoa au la! akijisikia! niishie hapa nisije kusutwa maana shoga angu yupo humu.
Kiufupi mwanaume yoyote yule asitegemee hela au kipato cha mwanamke maana sisi akili zetu tunazijuwa wenyewe na hatukawii kuchoka.
 
Unachosema ni kweli, mwanaume asimame kwenye nafasi yake na mwanamke asimame kwake.

Ila wanaume wengi tumefulia tu, tuna life la kawaida sana tu. Bila backup wengi hatuendi amini naķwambia. Kwenye forum wengi tunajitutumua ila kwa ground things are different.
 
Kama ulijichanganya kwamba ukioa Msomi mwenye kazi nzuri atakusaidia kwenye maisha hapa ndipo watu wanakimbia nyumba zao kwa stress
Ukioa mwanamke anawekeza kwenye mji wake, sio nje ya mji wake. Haijalishi ni msomi, mwenye kazi au hana kazi. Kazi ya mume na mke ni kutengeneza empire yao sio mmoja amsaidie mwingine maisha.
 
Yes! paragraph ya pili uko sahihi kabisa.

wanakuwa ungrateful na kuanza kufanya kama ni wajibu sasa wa mke.
Na ndio maana sisi wanawake tukiwapunguzia mzigo nyie mnabweteka kabisa na kuanza kuhonga ovyo huko nje.
na si kwamba hela hatutoi au hatuwahurumii ni kwamba tunatoa kimkakati.
Kama hapa kenge wangu kuna kitu kilikuwa kinamsumbua yaani kwa fundi kaenda sana nikaamuwa ku bless nikampatia kitu kipya kabisa tena anachopenda hakuamini.
Sasa hiyo huruma niliyompa yaani kuiona hela yangu nimetoa sio leo wala kesho labda aumwe tena awe hoi taabani.
kiufupi sisi huruma tunafanya na tunazihesabu 😂 😆 😂
 
Kwaiyo hamtaki kutusaidia ili tusibakiwe na pesa ya kuwaonga watoto 2000 acheni wivu😂
 
Unachosema ni kweli, mwanaume asimame kwenye nafasi yake na mwanamke asimame kwake.

Ila wanaume wengi tumefulia tu, tuna life la kawaida sana tu. Bila backup wengi hatuendi amini naķwambia. Kwenye forum wengi tunajitutumua ila kwa ground things are different.
Tatizo mnajitutumuwa kimya kimya poleni
Mi wangu nilijua anafanya kitu analipia kidogo kidogo pale anapolipia wakaniambia Mr huwa analeta hela kwa ajili ya kitu fulani!!! nikamuuliza akajibu ndio!!! nikamwambia kwa nini husemi nikusaidie akanijibu kifupi tu!!! unataka unidharau??? mimi mwanaume sitegemei hela ya mwanamke.
 
Uwiiiii hii ni ukweli,, kuna siku nilikutana shemu anafanya jambo moja hivi ndio niliamini. alishawahi kuniambia ili ndoa yake iwe na amani na furaha yeye atimize majukumu yake kama mwanaume,, yeye mama hela zake ataamua kutoa au la! akijisikia! niishie hapa nisije kusutwa maana shoga angu yupo humu.
Kiufupi mwanaume yoyote yule asitegemee hela au kipato cha mwanamke maana sisi akili zetu tunazijuwa wenyewe na hatukawii kuchoka.
Hii ndio sababu ndoa nyingi zinagugumia chini kwa chini kwa maumivu
 
Kama mke ni mwajiliwa hapo sawa, kumkontroo kiuchumi ni kazi.

Lakini mke unampa mtaji, halafu unamwacha ajichunge kama mbuzi wa kiangazi!!!

Yeye asimamie tu ila biashara iwe ya familia.
 
Back
Top Bottom