Uchumi wa mwanamke unapoimarika waweza hatarisha ndoa?

Daah Sasa mkamalizanaje? Hukumchukua mkeo?ilikuwa na watoto nae hapo kabla?
 
Daah Sasa mkamalizanaje? Hukumchukua mkeo?ilikuwa na watoto nae hapo kabla?
 
Yaliwahi kunikuta, nilipomaliza college kuna demu aliwahi kunichukulia poa kwa short term benefit, mpaka leo anajuta
 
Uliyempata bwege mtunzeni ndo maana inafika unamwita majina ya hajabu nipo nawake wawili dini inaluhusu kwaiyo ukitaka nafasi ya kuwa mke watatu nafasi yako ipo
 
Unajua nini? Kuna kujua wajibu na kuwa bwege! Itoshe kusema kwamba huyo mume wako ni bwege mpaka unamuaibisha huku kwa kumuita kenge japo hatumjui ila kuna character unaionesha kwa maandishi yako!
 
Kenge aitwe mwingine ukereke wewe?!.
Sasa mimi huwezi kunirekebisha sana sana kama huna kazi za kufanya endelea kuumizwa na comment zangu siku ukijipata wala hata huziona.
 
Kenge aitwe mwingine ukereke wewe?!.
Sasa mimi huwezi kunirekebisha sana sana kama huna kazi za kufanya endelea kuumizwa na comment zangu siku ukijipata wala hata huziona.
Ukitaka tuanze kuvimbiana humu ndani utakuja kuacha ndala! Saa zingine piga kimya usimkadirie mtu usiyemjua....baki kwenye mada kuu.
 
Kwa comments za huyu wa kujiita Le dada. Ni kiashiria tosha ni kwanamna gani ndoa nyingi ziko matatani.
 
Shangazi lisilo na akili
Mi sina akili!. πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜†
Unadhani wewe mjinga mmoja ukiniita sina akili pesa hazitaingia bank??????
Hiyo kauli yako bado hujanikera!!!!
Nitafutie maneno mapya na tusi jipya harafu uje hapa.
 
Hii haiwezi kuwa ndoa.
Hawa hawawezi kuwa watu wa imani.

Ndoa takatifu haina ubinafsi wa namna hiyo.
Mkisha unganishwa na Mungu hakuna hela ya mume wala ya mke.
BIla shuruti mnajikuta mnashare kila kitu.
TOFAUTI NA HAPO HAYO NI MAIGIZO SIO NDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…