John John Msakuzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 296
- 103
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, ameeleza kuwa hali ya uchumi ya mkoa imeendelea kuimarika ambapo Pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 3.5 mwaka 2024, sawa na ongezeko la asilimia 40%.
Aidha, pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka kutoka shilingi 1,096,559 mwaka 2020 hadi shilingi 1,530,577 mwaka 2024, ikiwa ni ongezeko la asilimia 40%