Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tumfahamu kwanza aliye adui yako,kabla hatujakuambia adui yao.Hivi adui hasa wa chadema ni Magufuli, Polepole na Bashiru au ccm?
Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani
Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa mshahara baada ya Uchumi wa nchi kuporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7%
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi viongozi wa Tanzania wakiwemo Rais wa zamani pamoja na Mawaziri kadhaa mmojawapo akiwa Mwigulu Nchemba hawakuamini uwepo wa corona wala athari zake .
Na hapo hamjapigwa lockdown, mngepigwa lockdown si ingekuwa balaa zaidi.
Sasa hivi tutaanza kuaminiwa sisi wasema ukweli kuwa uchumi ulisha poromoka lkn hao kina Madelu walikuwa wanajifanya kukomalia uongo wa jiwe.Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani
Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa mshahara baada ya Uchumi wa nchi kuporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7%
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi viongozi wa Tanzania wakiwemo Rais wa zamani pamoja na Mawaziri kadhaa mmojawapo akiwa Mwigulu Nchemba hawakuamini uwepo wa corona wala athari zake .
Anafurahia kuumbuliwa kwa waramba miguu wa jiwe .Kwa hiyo umefurahia au unahuzunika?
Waramba miguu wameumbuliwa na hotuba ya mama SamiaKwa hiyo?
Tatizo siyo kushuka kwa uchumi, hapa tatizo ni kwanini walikuwa hawataki kukili kuwa uchumi unadorora kisa korona ?Mbona ilkua inajulikana nchi nyingine zipo negative Tanzania imestahimili angalau
Kwani kulikuwa na korona?Na hapo hamjapigwa lockdown, mngepigwa lockdown si ingekuwa balaa zaidi.
Kushuka kwa uchumi sio mpaka uambiwe angalia mfukoni mwako,sasa na 2018 ni sawa? Bia kuambiwa utajua tu