Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,093
Milembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usipoangalia kwa makini waweza kudhani Polisi wanashirikiana na vibaka
ni kweli mtoa taarifa wetu anadokeza kwamba baadhi ya kundi la wezi hao hutokea kikundi cha Milembe cha Keko machungwa , polisi wanafahamu kikundi hiki na wanakiogopaMilembe
Ni aibu sana kwa jeshi la Polisi kuwa na askari wanaowaogopa vibaka duni kama hawa wa keko , RPC wa Temeke ajiuzuluTatizo polisi wa maeneo yale wanaogop hilo kundi ni kubwa sana wakikamata au kujeruhi mwenzao hao polisi wenyewe kwenye kota zao wataonabcha mtema kuni au polisi yeyote akija pita anga zao wanamaliza wale wameshakubuhu polisi hawawaambii kitu.
Hao hao vibaka maeneo ya kota kule hawagusi walishaambiw kabisa fanyeni hukoooo hapa kama mnataka kukaa siku haribuni.
Basi wanalindana kwa style hiyo
Ungesema Chadema wanakusanyika angalau polisi wangejua pakuanzia lakini vibaka hawadhuru kura." Nitasema Kweli daima fitna kwangu mwiko "
Zikiwa zimesalia dk 30 mpira kumalizika vijana wezi , vibaka na majambazi kutoka Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , Keko torori , keko machungwa na baadhi kutoka Chang'ombe husogea karibu na uwanja wa Taifa , wengi hujikusanya kwenye njia panda ya Taifa kwenye maghorofa ya jeshi karibu kabisa na ofisi za Takukuru Wilaya ya Temeke , wakiwa na visu , bisibisi na mapanga , hii haijalishi kama itakuwa jioni ama usiku ( japo kwa usiku hali huwa mbaya zaidi )
Eneo hili limezungukwa na maghorofa ya Jwtz pande zote , na kwa kiasi kuna maghorofa ya NHC , hatua chache kutoka hapo ni Shule ya msingi Mgulani na kambi kubwa ya Jeshi la polisi inayoanzia Kilwa road , eneo hili pia linapakana na chuo kikuu cha DUCE na kambi kubwa sana ya JKT ambako ndio kuna shule ya Sekondari ya Jitegemee , hili si eneo la vibaka wajinga wa kutoka keko kutamba , lakini kwa sasa hali ni kinyume chake , vibaka wanatamba bila wasiwasi wowote ule .
Baada ya mechi kumalizika mtu yeyote mwenye kitu chochote cha thamani iwe pochi , simu , saa au hata cheni akifika eneo hili huporwa , mara kadhaa magari huvunjwa vioo na watu huporwa mali zao huku waporaji wakikimbia kuelekea Keko machungwa kwa kupita katikati ya maghorofa ya jeshi huku wanajeshi na familia zao wakiangalia kwa macho bila kutoa msaada wowote , waporaji na vibaka hawa wakishapora na kujeruhi hupita pia katikati ya Bar ya Inferno na kukimbilia bondeni kupitia Gesti ya Lyimo na kwenda kujificha uwanja wa mpira wa Keko Juu ambao ni mali ya ccm na ambao uko karibu na kota za polisi za Mchomba line , haya yanatendwa huku vyombo vyote vya dola vikiangalia kwa macho bila kuchukua hatua zozote , tena kwa miaka mingi , njia zote wanazopita vibaka hawa polisi wanazifahamu vizuri lakini hawachukui hatua zozote , Askari au mwanajeshi anayeweza kupinga hoja yangu hii ajitokeze hadharani , yanayotendwa na vibaka hawa mbele ya maeneo ya jeshi ni aibu kwa Polisi Mkoa wa Temeke ambao wengi wanajazana Uwanjani wa Taifa ili kutafuta rushwa ya kujikimu na kuwaacha raia wakiumia bila sababu mitaani .
Natoa wito kwa wote wanaoenda Uwanja wa Taifa kwenye mechi ya Simba na Yanga na kufikiria kurudi kwa kupitia njia hii basi WAJILINDE WENYEWE , tena wajihami kwa silaha nzito wakiweza , lakini kama wakitegemea ulinzi wa jeshi la polisi wasije wakalia na kusaga meno.
Uchunguzi wetu huu ni endelevu na utaendelea tena kwa kuangalia usalama wa washabiki wa soka wanaopitia Mandela road , wanaoelekea Mtoni kupitia Uhasibu na wale wanaoelekea Temeke kupitia Wailes .
Naomba kuwasilisha
kabisa !Ungesema Chadema wanakusanyika angalau polisi wangejua pakuanzia lakini vibaka hawadhuru kura.
Simu yenyewe unayotumia ni Wakala wa Shetani pia.Hata hivyo mpira ni uwakala wa shetani acha shetani akishirikiana na serikali ya kishetani waendeleze hujuma kwa hawa wanadamu wasiojua mpira Mungu kaukataa
Ni aibu sana kwa jeshi la Polisi kuwa na askari wanaowaogopa vibaka duni kama hawa wa keko , RPC wa Temeke ajiuzulu
DuuuHata hivyo mpira ni uwakala wa shetani acha shetani akishirikiana na serikali ya kishetani waendeleze hujuma kwa hawa wanadamu wasiojua mpira Mungu kaukataa
Nakubaliana na wewe kuwa mpira unaweza kuwa ni uwakala wa shetani endapo:Hata hivyo mpira ni uwakala wa shetani acha shetani akishirikiana na serikali ya kishetani waendeleze hujuma kwa hawa wanadamu wasiojua mpira Mungu kaukataa
Maeneo hayo nikawaida sana na kila siku polisi wanaambiwa,mpaka siku afe mtu ndiyo hatua zitachukuliwa" Nitasema Kweli daima fitna kwangu mwiko "
Zikiwa zimesalia dk 30 mpira kumalizika vijana wezi , vibaka na majambazi kutoka Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , Keko torori , keko machungwa na baadhi kutoka Chang'ombe husogea karibu na uwanja wa Taifa , wengi hujikusanya kwenye njia panda ya Taifa kwenye maghorofa ya jeshi karibu kabisa na ofisi za Takukuru Wilaya ya Temeke , wakiwa na visu , bisibisi na mapanga , hii haijalishi kama itakuwa jioni ama usiku ( japo kwa usiku hali huwa mbaya zaidi )
Eneo hili limezungukwa na maghorofa ya Jwtz pande zote , na kwa kiasi kuna maghorofa ya NHC , hatua chache kutoka hapo ni Shule ya msingi Mgulani na kambi kubwa ya Jeshi la polisi inayoanzia Kilwa road , eneo hili pia linapakana na chuo kikuu cha DUCE na kambi kubwa sana ya JKT ambako ndio kuna shule ya Sekondari ya Jitegemee , hili si eneo la vibaka wajinga wa kutoka keko kutamba , lakini kwa sasa hali ni kinyume chake , vibaka wanatamba bila wasiwasi wowote ule .
Baada ya mechi kumalizika mtu yeyote mwenye kitu chochote cha thamani iwe pochi , simu , saa au hata cheni akifika eneo hili huporwa , mara kadhaa magari huvunjwa vioo na watu huporwa mali zao huku waporaji wakikimbia kuelekea Keko machungwa kwa kupita katikati ya maghorofa ya jeshi huku wanajeshi na familia zao wakiangalia kwa macho bila kutoa msaada wowote , waporaji na vibaka hawa wakishapora na kujeruhi hupita pia katikati ya Bar ya Inferno na kukimbilia bondeni kupitia Gesti ya Lyimo na kwenda kujificha uwanja wa mpira wa Keko Juu ambao ni mali ya ccm na ambao uko karibu na kota za polisi za Mchomba line , haya yanatendwa huku vyombo vyote vya dola vikiangalia kwa macho bila kuchukua hatua zozote , tena kwa miaka mingi , njia zote wanazopita vibaka hawa polisi wanazifahamu vizuri lakini hawachukui hatua zozote , Askari au mwanajeshi anayeweza kupinga hoja yangu hii ajitokeze hadharani , yanayotendwa na vibaka hawa mbele ya maeneo ya jeshi ni aibu kwa Polisi Mkoa wa Temeke ambao wengi wanajazana Uwanjani wa Taifa ili kutafuta rushwa ya kujikimu na kuwaacha raia wakiumia bila sababu mitaani .
Natoa wito kwa wote wanaoenda Uwanja wa Taifa kwenye mechi ya Simba na Yanga na kufikiria kurudi kwa kupitia njia hii basi WAJILINDE WENYEWE , tena wajihami kwa silaha nzito wakiweza , lakini kama wakitegemea ulinzi wa jeshi la polisi wasije wakalia na kusaga meno.
Uchunguzi wetu huu ni endelevu na utaendelea tena kwa kuangalia usalama wa washabiki wa soka wanaopitia Mandela road , wanaoelekea Mtoni kupitia Uhasibu na wale wanaoelekea Temeke kupitia Wailes .
Naomba kuwasilisha
Ni vema mtu huyo atakayekufa awe polisiMaeneo hayo nikawaida sana na kila siku polisi wanaambiwa,mpaka siku afe mtu ndiyo hatua zitachukuliwa
Hilo eneo watu wanapata tabu sana hasa kwa mechi zinazoisha kukiwa na gizaNi vema mtu huyo atakayekufa awe polisi
Ni aibu kubwa sana kwa polisiHilo eneo watu wanapata tabu sana hasa kwa mechi zinazoisha kukiwa na giza
Pale panafahamika ilitakiwa hata kuweka taaNi aibu kubwa sana kwa polisi
Polisi wa Tanzania uwaambie wakamate viongozi wa chadema au labda wamteke MO , haitachukua dk hata 5