Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future


Duuh! Noma Sana .

Pole Mkuu
 
Watanzania suala la unafiki lipo kwenye damu, yaani Kuna watu wanaonesha kupinga Uzinzi hapa alafu ukiwakuta kwenye thread ya Bwana rickboy wanatiririka hakuna mfano 🙌

Hongera Bwana Taikon kuwakumbusha vijana 👏👏


😂😂😂😂
Kila Jambo linawakati wake Mkuu
 
Oya wazee wachaputa nao wanahesabika kama wazinzi au wanafanya uzinzi..inawachafua kwa namna yoyote kiroho majibu tafadhali
Hapa kazi ipo, huo siyo uzinzi Wala ufungamani na roho ya mtu mwingine ila nayo Ina mashariti yake Kuna sehemu hutaki kutumia kama chooni yaani sehemu chafuchafu, siku za kufunga maana unakuwa umefunga kujinyima na Raha yoyote, wakati upo kwenye maombi ya muhimu kwaajili ya jambo linalohitaji majibu ya haraka.
 
Oya wazee wachaputa nao wanahesabika kama wazinzi au wanafanya uzinzi..inawachafua kwa namna yoyote kiroho majibu tafadhali

Chaputa inapunguza uwepo wa MUNGU mkuu.
Yaani unaweza ukawa unaomba alafu Shetani Kwa uhuni akakuletea kumbukumbu ya ukiwa unapiga nyeti ukiwa katikati ya maombi mwisho unasema; Noo! Noo! Father, shindwa! 😀😀
 
Hiyo haiwezi kuisha bila msaada wa Mungu mkuu wangu narudia tena ni ngumu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha nimeipenda hii
 
Nenda kaombewe kama ni mkatoliki tafuta wakrismatiki wakuombee hata ajira utapata na utubu
 
Sasa mbona matajir wengi wanakula sana 071 je hiyo ikoje? Na je wanawake Wote wanamikosi au Kuna wenye Baraka??

Mbona mnauliza maswali ambayo keshayajibu!! Apo kwenye thread kasema utapoteza nguvu ya kiroho(means connection yako na mungu wako) labda kama utakua unategemea ushirikina na pia hata kwenye ushirikina pia kuna mashart yake unaweza ambiwa usilale na mwanamke ndani ya mwezi mpaka jambo lako likae sawa au ukambiwa kalale na mwanamke bikra ama mzee and etc... so kama mafanikio yako yanategemea KUPIGA GOTI NA KUMWOMBA MUNGU bas ogopa uzinzi ila kama unategemea ushirikina and etc bas fwata masharti utafanikiwa.

Binafsi naamini ivo pia maana hata hao WAZINZI&MALAYA hua maisha yao yanahusiana sana (Direct) na BAR/LODGE/POMBE/TATTOO and etc hasa vilevi na maranyingi wafanya bishara wanao husiana na hawa watu pia hawa watu wenyewe matatizo yao huyapeleka kwenye maeneo ya ushirikina ili kuwa solved na kuapata wateja zaidi na huko pia ni ulimwemgu mwingine na unamashart yake ya kuishi uko kwaiyo ukiwa mtu wa IBADA alafu ukajimix na hivi vitu pia hao wazinzi na uzinzi obviosly lazima mambo yako yatafail kos umetoka kwenye ulimwengu wako wa asili.

Mfano MALAYA kaenda kwa mganga kupata madawa ya kupata wateja wengi na wanogewe wakiwa kwake nawe ni mtu wa maombi unaamini katika mungu kuvuna zaidi mafanikio yako then ukaenda kwa uyo MAYALA alie zindikwa na mganga so yule MALAYA atakuvisha maagano yake ya uko kwa waganda na kwakua ushasaliti ulimwengu wako wa asili na umevamia ulimwengu wa watu wengine ile security ya kiroho inaweza kukutoka maana umevunja mashart yake pia so itakubidi na wewe uingie kwenye huo ulimwengu mwingine mojakwamoja ili upate mafanikio.

Unaruhusiwa kunisahihisha kama nimekosea.

#TUPEANEELIMU.
 
Kuish na mke/mme na hata kuzaa huo ni uzinzi kwa mujibu wa maandko,je wote wenye keshi wame funga ndoa? Halafu Ibrahim,Isaka na mitume kibao mbna hatukuona ndoa zao zikifungwa?
Hii ni tread nyingine sasa mkuu
 

[emoji16][emoji16][emoji16]sasa iyo pia sio bahati bado unavutwa kwenye uzinzi vile vile.
 
UKWELI MTUPU.

Any Adultery & Fonication destroys someone's spiritual life

Na ni kweli na hakika kuwa inaondoa Baraka zote za kiafya, kiakili na kiuchumi

Ukilala na Mwanamke Malaya, Ukifanya Punyeto na kuangalia Pornography tayari unaingia mahali pabaya sana na umeshakuwa adui wa Mungu muumba wako.
 
Does rhis only apply to africans? Mbona wazungu wanazini sana na uasherati kuoitiliza na bado wao ndio wenye mihela hapa duniani? Mwengine juzi juzi tuu hapa kawa mfalme pamoja na roho mbaya ya mama yake lakini wapi, jamaa kaula.
It happens even among white people.

Fuatilia makala mbalimbali na mahojiano kama ya 700 Clubs, na channel zingine zinazoelezea maisha ya kiroho ya hao Wazungu, Wahindi n.k

Someone's skin color doesn't avoid this, we are all same being.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…