HOJA Uchunguzi ufanyike kwa Mabasi yanayodai kutoa huduma za VIP; Nauli haziendani na ubora wa huduma

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mara nyingi, ninapotokuwa na safari ya dharura, hutumia usafiri wa basi.

Katika safari hizo, nimefuatilia kwa karibu huduma zinazotolewa na mabasi mengi yanayojitangaza kuwa ya VIP, na kubaini mapungufu makubwa. Kama si upigaji wa makusudi, basi kuna tatizo kubwa la viwango vya huduma. Ukweli ni kwamba mabasi mengi yanayotoza nauli za VIP hayatoi huduma zinazostahili hadhi hiyo.

Nimesafiri kwa mabasi mbalimbali kuelekea Arusha, Dodoma na Mwanza. Mara nyingi, huduma pekee zinazotolewa ni chupa ya maji na soda. Baadhi ya mabasi hujivunia kuwa na choo, lakini abiria huambiwa kitumike kwa haja ndogo pekee.

Vilevile, mengi hudai kuwa yana huduma ya Wi-Fi, lakini internet huwa ya kusuasua kiasi kwamba katika safari ndefu, mfano wa Dar es Salaam–Mwanza, inaweza kufanya kazi kwa wastani wa takribani asilimia 20 tu ya muda wote wa safari. Wengine huweka king'amuzi cha Azam na kukitaja kama sehemu kuu ya huduma za VIP. Lakini unapanda basi siti zimebanana nayo unaambiwa ni VIP

Kwa mtazamo wangu, mabasi mengi yanayodai kutoa huduma za VIP yanapaswa kutambulika kama mabasi ya kawaida, kwa sababu huduma nyingi wanazozitaja kama za kipekee ni huduma za msingi zinazotarajiwa kuwepo katika mabasi ya masafa marefu duniani leo. Endapo mgeni kutoka mataifa kama Uingereza au Hispania angeambiwa hizo ndizo huduma za VIP, bila shaka angeshangazwa.

Nimeutafsiri mwenendo huu katika sura mbili
Kwanza, inawezekana wahusika wamegundua kuwa neno VIP limekuwa njia rahisi ya kuongeza nauli bila kuongeza ubora wa huduma. Kutokana na uelewa mdogo wa watumiaji, wengi wetu tumekuwa tukilipia jina la VIP badala ya ubora halisi wa huduma.

Pili, huenda baadhi ya waendeshaji hawafahamu viwango vinavyopaswa kutambulisha huduma za VIP, au kuna wasimamizi wachache wanaopunguza huduma kwa maslahi yao binafsi. Nakumbuka siku moja nilipokuwa natoka Mwanza, kulikuwa na ratiba ya kupata kifungua kinywa, lakini tukapitishwa bila kusimama kwa maelezo kuwa basi lilikuwa limechelewa na lilihitaji kuwahi kufika Dar es Salaam. Hali hiyo iliwanyima abiria huduma ambayo walikuwa tayari wameilipia kupitia nauli.

Wito wangu ni upi?
Kwa kuwa Serikali imezipa mamlaka kama LATRA na wizara husika jukumu la kusimamia sekta ya usafiri kwa niaba ya wananchi, ni wakati sasa wa kuzifanyia ukaguzi huduma zinazotolewa na makampuni yanayodai kuwa na mabasi ya VIP. Ukaguzi huo usitegemee taarifa za kampuni pekee, bali uzingatie pia maoni ya abiria ambao ndiyo walaji wa huduma hizo.

Aidha, ni muhimu mamlaka zikaweka wazi vigezo vinavyotambulisha basi la VIP. Vigezo hivyo vibandikwe katika ofisi zote za tiketi za kampuni husika, ndani ya mabasi yenyewe, na pia vichapishwe mara kwa mara kwenye majukwaa rasmi ya LATRA na taasisi nyingine husika. Hatua hiyo itasaidia kuondoa mianya ya upotoshaji na upigaji, huku ikijenga utamaduni wa uwazi, uwajibikaji na ushindani wa kutoa huduma bora kwa abiria.
 
Hilo la choo kuwa limited matumizi kwa ajili ya haja ndogo ni kero kuu na ni aina ya utapeli,huwezi kumdanganya abiria juu ya huduma..watu wanaingia gharama za VIP wengine wakiwa na changamoto za tumbo la kuhara ili wapate kuwa wanajisitiri,gari likianza safari, maelezo ya matumizi ya choo yanabadilika.
Isamilo Bus:Mwanza-Moshi mimi nilikunya kibabe na nikawachana makavu juu ya uongo wao na ilikuwa usiku hawataki kusimama ovyo..ningefanyaje?!!Nilishusha tena Mzigo wa haja wanabahati tu ulikubali kuflashika,ila nikahisi jambo hueda ni ubishoo wa wahudumu wa mabadi hayo ,hawapendi kusafisha vyoo vyenye harufu ya ma.vi yetu sisi abiria,wakati tumeshalipia gharama za huduma.
Ni wizi tu kama wa CCM huu na asili ya tabia hizi ni CCM...wameharibu kabisa Nchi hii.ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba ya kila mmoja!!!
 
Binafsi kusafiri ni 1 ya hobby yangu, ila nimegundua tz hatuna VIP buses,wizi mtupu...
nimewahi kusafiri nje ya chi aisee hata hapo South Africa tu...lusaka,Jorbeg... (SA) pamoja na yote wale watu ndo wana buses za VIP....

Njoo bongo ss🙌🙌nilikata tiket, elf 60 aloo, Kimbinyiko
Moshi- mbeya, sina hamu
Wizi mtupu basi ndani baya, seat huwezi kurudisha nyuma ht unyooshe mgongo....
🚌 za bongo seat ndogo warefu tunateseka, huwa inanilazimu nikate seat mapema ili angalau nikae seat no 2or4...at least nje ya hapo ni ngumu
 
Khaa..!
 
Pole sana tolu.
 
Kwa nyakati tofauti nimekuwa nikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mara nyingi, ninapotokuwa na safari ya dharura, hutumia usafiri wa basi.

Katika safari hizo, nimefuatilia kwa karibu huduma zinazotolewa na mabasi mengi yanayojitangaza kuwa ya VIP, na kubaini mapungufu makubwa. Kama si upigaji wa makusudi, basi kuna tatizo kubwa la viwango vya huduma. Ukweli ni kwamba mabasi mengi yanayotoza nauli za VIP hayatoi huduma zinazostahili hadhi hiyo.

Nimesafiri kwa mabasi mbalimbali kuelekea Arusha, Dodoma na Mwanza. Mara nyingi, huduma pekee zinazotolewa ni chupa ya maji na soda. Baadhi ya mabasi hujivunia kuwa na choo, lakini abiria huambiwa kitumike kwa haja ndogo pekee.

Vilevile, mengi hudai kuwa yana huduma ya Wi-Fi, lakini internet huwa ya kusuasua kiasi kwamba katika safari ndefu, mfano wa Dar es Salaam–Mwanza, inaweza kufanya kazi kwa wastani wa takribani asilimia 20 tu ya muda wote wa safari. Wengine huweka king'amuzi cha Azam na kukitaja kama sehemu kuu ya huduma za VIP. Lakini unapanda basi siti zimebanana nayo unaambiwa ni VIP

Kwa mtazamo wangu, mabasi mengi yanayodai kutoa huduma za VIP yanapaswa kutambulika kama mabasi ya kawaida, kwa sababu huduma nyingi wanazozitaja kama za kipekee ni huduma za msingi zinazotarajiwa kuwepo katika mabasi ya masafa marefu duniani leo. Endapo mgeni kutoka mataifa kama Uingereza au Hispania angeambiwa hizo ndizo huduma za VIP, bila shaka angeshangazwa.

Nimeutafsiri mwenendo huu katika sura mbili
Kwanza, inawezekana wahusika wamegundua kuwa neno VIP limekuwa njia rahisi ya kuongeza nauli bila kuongeza ubora wa huduma. Kutokana na uelewa mdogo wa watumiaji, wengi wetu tumekuwa tukilipia jina la VIP badala ya ubora halisi wa huduma.

Pili, huenda baadhi ya waendeshaji hawafahamu viwango vinavyopaswa kutambulisha huduma za VIP, au kuna wasimamizi wachache wanaopunguza huduma kwa maslahi yao binafsi. Nakumbuka siku moja nilipokuwa natoka Mwanza, kulikuwa na ratiba ya kupata kifungua kinywa, lakini tukapitishwa bila kusimama kwa maelezo kuwa basi lilikuwa limechelewa na lilihitaji kuwahi kufika Dar es Salaam. Hali hiyo iliwanyima abiria huduma ambayo walikuwa tayari wameilipia kupitia nauli.

Wito wangu ni upi?
Kwa kuwa Serikali imezipa mamlaka kama LATRA na wizara husika jukumu la kusimamia sekta ya usafiri kwa niaba ya wananchi, ni wakati sasa wa kuzifanyia ukaguzi huduma zinazotolewa na makampuni yanayodai kuwa na mabasi ya VIP. Ukaguzi huo usitegemee taarifa za kampuni pekee, bali uzingatie pia maoni ya abiria ambao ndiyo walaji wa huduma hizo.

Aidha, ni muhimu mamlaka zikaweka wazi vigezo vinavyotambulisha basi la VIP. Vigezo hivyo vibandikwe katika ofisi zote za tiketi za kampuni husika, ndani ya mabasi yenyewe, na pia vichapishwe mara kwa mara kwenye majukwaa rasmi ya LATRA na taasisi nyingine husika. Hatua hiyo itasaidia kuondoa mianya ya upotoshaji na upigaji, huku ikijenga utamaduni wa uwazi, uwajibikaji na ushindani wa kutoa huduma bora kwa abiria.
Acha watu wapige helaz nchi imeinama hii
 
Bongo kuna vinyoko mkuu usiumize kichwa na wale jamaa
 
Kwa abiria ambao ni wageni wa safari endeleeni kudanganyika na kile kinachoitwa VIP.
Kwa sisi wengine tunaosafiri mara kwa mara tunatafuta gari inayoweza kutufikisha mwisho wa safari kwa salama na amani.
 
Hilo la choo kuwa limited matumizi kwa ajili ya haja ndogo ni kero kuu na ni aina ya utapeli,huwezi kumdanganya abiria juu ya huduma..watu wanaingia gharama za VIP wengine wakiwa na changamoto za tumbo la kuhara ili wapate kuwa wanajisitiri,gari likianza safari, maelezo ya matumizi ya choo yanabadilika.
Isamilo Bus:Mwanza-Moshi mimi nilikunya kibabe na nikawachana makavu juu ya uongo wao na ilikuwa usiku hawataki kusimama ovyo..ningefanyaje?!!Nilishusha tena Mzigo wa haja wanabahati tu ulikubali kuflashika,ila nikahisi jambo hueda ni ubishoo wa wahudumu wa mabadi hayo ,hawapendi kusafisha vyoo vyenye harufu ya ma.vi yetu sisi abiria,wakati tumeshalipia gharama za huduma.
Ni wizi tu kama wa CCM huu na asili ya tabia hizi ni CCM...wameharibu kabisa Nchi hii.ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba ya kila mmoja!!!
😂😂😂jamaa uliamua kufanya maamuzi magumu
 
Back
Top Bottom