King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Naunga mkono hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteee saanaa mkuu kwa zawadi nzuuri ya siku yetu hiii wanawake….kisses to you.!Mungu akubariki sanaa uendeleee kuwa mwema hivyo hivyoooo.
Wamehack account ?
Naunga mkono hoja.
Mtu akifuatilia tangu lako la kwanza humu jf mpaka hili la mwisho kuhusu mahusiano na wanawake lazima aone ni kuna shida mahali.Kwa nini?
Mtu akifuatilia tangu lako la kwanza humu jf mpaka hili la mwisho kuhusu mahusiano na wanawake lazima aone ni kuna shida mahali.
Kuna ukweli cute🙏🏽Aliyetangulia kuitawala dunia ndiye mwenye nguvu kimfumo, unyanyasaji unaanza pale ambapo mtawaliwa anaanza kuamka na kudai haki zake.
At all feminism sio kitu kibaya, ila kinatishia utawala wa mwanaume, ndipo mvutano ulipo.
Habari njema ni kuwa mabadiliko kwa binadamu ni lazima, ni bora tuzoee hilo.
Mimi nimekuelewa mkuu.
Hata wanawake wengi ambao ni katili ni zao la ukatili walio fanyiwa na wanaume, au ukatili walioshuhudia mama zao wakifanyiwa na baba zao.
Unakuta mtu anajifanya mwanaume harafu anamfanyia ukatili mke wake, mama wa watoto wake.
Hajui kuwa anaharibu watoto wake mwenyewe.
Mwanaume anayejitambua tu ndio anaweza kukuelewa.
Aliyetangulia kuitawala dunia ndiye mwenye nguvu kimfumo, unyanyasaji unaanza pale ambapo mtawaliwa anaanza kuamka na kudai haki zake.
At all feminism sio kitu kibaya, ila kinatishia utawala wa mwanaume, ndipo mvutano ulipo.
Habari njema ni kuwa mabadiliko kwa binadamu ni lazima, ni bora tuzoee hilo.
Unakuta mwanaume unamnyanyasa mke wako, unamsababishia uchungu mwingi moyoni na kwa sababu umeshamkataza kufanya kazi basi ndio hana pa kwenda anavumilia tu.
Unategemea huo uchungu anaupeleka wapi kama sio kwa watoto wako?
Unategemea atawalea watoto wako kwa upendo wakati amejaa uchungu moyoni?
Ambao hawakumtaja hawana akili??Wanaume wanakuwa waoga kwa sababu ya uhalifu na uovu uliopo nafsini mwao.
Mtu asiye mwovu hawezi kuogopa.
Mungu ndiye kila kitu lazima nimtaje.
Hajawahi kutokea mtu mwenye akili ambaye hakumtaja Mungu kila anapozungumza.
Ni aidha aanze na Mungu au amalize na Mungu
Huwezi ukawa na akili alafu usimtaje Mungu.Ambao hawakumtaja hawana akili??
Jamaa aliekuunganisha na hiyo imani ana ushawishi tukuka.
Mfumo dume unatumika mpaka mwisho wa dunia. Sema wapo wanaotumia mfumo dume vibaya kufanya uovu na uhalifu.Turudi kwenye mada.
Wanaume wa sasa tumeshindwa kuutumia mfumo dume kuendana na mazingira na mabadiliko badala yake tumeuharibu mpaka wanawake wanarise na kuwa wakubwa zaidi ya wanaume.
Imagine mwanaume anamuogopa mwanamke aliemzidi kipato, sababu kubwa ni kua mwanaume anamnyanyasa sana mwanamke asie na kipato, sasa huyu mwenye pesa hawezi mnyanyasa kwa uhuru, hivyo wanawaogopa mno.
Kwa kujificha huko vijiweni wanawaita malaya, ooh gari kahongwa, ooh kapata upendeleo ila deep down wanawake wanahustle sana nowdays.