Uchunguzi wangu unaonesha wanaume tunaongoza kuwafanyia ukatili, kuwaumiza na kuwasaliti wanawake

Uchunguzi wangu unaonesha wanaume tunaongoza kuwafanyia ukatili, kuwaumiza na kuwasaliti wanawake

Nimesoma heading tu ila naweza kuchangia, kimsingi ni kweli wanaume wanawanawake wengi wala hilo halipingiki ila nimefanya research nimegundua haya ya kuwa na wanawake wengi yanatokana na sababu kuu mbili

1- ya kwanza kabisa ni Tamaa ya wanawake hilo wanaume wenzangu hamwezi kupinga yani sisi tuna tamaa, ukiweza kuishinda tamaa unaweza ukawa na mwanamke mmoja na maisha yakaendelea wala hakuna shida.

2-Namna mwanamke anabehave, aisee hakuna kiumbe ngumu kumwelewa kama mwanamke yan aisee yupo compicated sana so huwa haijulikani lini mwanamke ataanza kubehave weird, especially hawa wanao sema wanaume wote ni wale wale watakuvictimize wewe unknowingly kwa makosa alofanya X wake aisee hatari sana. Sasa basi kwavile mungu aliwaumba wanaume solution driven basi huwa anakuwaga na mwanamke mwingine standby pembeni ili kama ukizingua anaswitch tu right away, solution found equation solved, na ndio mana breakup nyingi sana wanawake ndio wanaonekana victims na ndio huwa wanaumia sana sababu huwa hawana breakup plans. Mfano, Yan mwanaume yuko hivi, mnaachana saizi yan like right now lets say wewe ni Janeth, wakati mnaongea hizo habari ye kichwani huwa ana load solution yako yan tayari ashaona Mariam ndio solution yake ukikata simu tu anamrukia hewan Mariam wanayajenga, ndio mana mwanaume breakup huwa hailalamikii sana kulinganisha na mwanamke sababu ni vitu wamevizoea na wanawekaga na plans zake kabisa.

I know this gonna hurt alot of people lakini better bitter truth than a sweet lie. Ni kweli wanawake wanatongozwa na wanaume wengi ila atleast women behave, an average guy has atleast three women on standby incase drama starts, ukimshinda wewe ataenda kwa wakwanza, wakwanza wakishindwana ataenda kwa wapili, wapili wakishindwana ataenda kwa watatu, by the time anafika kwa watatu tayari ana watatu wengine on standby, and the loop continues until he gets what he thinks is the best for him, LET THAT SINK IN.
 
Aliyetangulia kuitawala dunia ndiye mwenye nguvu kimfumo, unyanyasaji unaanza pale ambapo mtawaliwa anaanza kuamka na kudai haki zake.

At all feminism sio kitu kibaya, ila kinatishia utawala wa mwanaume, ndipo mvutano ulipo.

Habari njema ni kuwa mabadiliko kwa binadamu ni lazima, ni bora tuzoee hilo.
 
Kuna ukweli cute🙏🏽
 
Mimi nimekuelewa mkuu.
Hata wanawake wengi ambao ni katili ni zao la ukatili walio fanyiwa na wanaume, au ukatili walioshuhudia mama zao wakifanyiwa na baba zao.
Unakuta mtu anajifanya mwanaume harafu anamfanyia ukatili mke wake, mama wa watoto wake.
Hajui kuwa anaharibu watoto wake mwenyewe.
Mwanaume anayejitambua tu ndio anaweza kukuelewa.
 
Uhalali wa mtu kufanya uovu ndio ushetani wenyewe huo
 
Aliyetangulia kuitawala dunia ndiye mwenye nguvu kimfumo, unyanyasaji unaanza pale ambapo mtawaliwa anaanza kuamka na kudai haki zake.

At all feminism sio kitu kibaya, ila kinatishia utawala wa mwanaume, ndipo mvutano ulipo.

Habari njema ni kuwa mabadiliko kwa binadamu ni lazima, ni bora tuzoee hilo.

Wapo Feminists ambao hutumia ufeminist kutaka kufanya dhulma kwa Wanàume.
Hapo ndipo tunapopishana
 
Unakuta mwanaume unamnyanyasa mke wako, unamsababishia uchungu mwingi moyoni na kwa sababu umeshamkataza kufanya kazi basi ndio hana pa kwenda anavumilia tu.
Unategemea huo uchungu anaupeleka wapi kama sio kwa watoto wako?
Unategemea atawalea watoto wako kwa upendo wakati amejaa uchungu moyoni?
 
Mtu anamkataza mkewe asifanye kazi alafu muda huohuo kila siku anamtishia atamfukuza na hata wakiachana anasema hakuchuma Mali. Kuna utapeli na dhulma kubwa kama hiyo?
 
Wanaume wanakuwa waoga kwa sababu ya uhalifu na uovu uliopo nafsini mwao.
Mtu asiye mwovu hawezi kuogopa.

Mungu ndiye kila kitu lazima nimtaje.
Hajawahi kutokea mtu mwenye akili ambaye hakumtaja Mungu kila anapozungumza.
Ni aidha aanze na Mungu au amalize na Mungu
Ambao hawakumtaja hawana akili??
Jamaa aliekuunganisha na hiyo imani ana ushawishi tukuka.

Turudi kwenye mada.
Wanaume wa sasa tumeshindwa kuutumia mfumo dume kuendana na mazingira na mabadiliko badala yake tumeuharibu mpaka wanawake wanarise na kuwa wakubwa zaidi ya wanaume.

Imagine mwanaume anamuogopa mwanamke aliemzidi kipato, sababu kubwa ni kua mwanaume anamnyanyasa sana mwanamke asie na kipato, sasa huyu mwenye pesa hawezi mnyanyasa kwa uhuru, hivyo wanawaogopa mno.

Kwa kujificha huko vijiweni wanawaita malaya, ooh gari kahongwa, ooh kapata upendeleo ila deep down wanawake wanahustle sana nowdays.
 
Mkuu una pwenti kubwa sana na ndo hivyo tuko on point of no return, hamna kurudi.

UOVU NA UENDELEE azawaiz biblia itakuwa inasema uongo.

ZILE NYAKATI ZA TAABU ZILIZOTABIRIWA NA ZISHAMIRI ili neno litimie.

Eeh ubinafsi
tamaa ya fedha,
majivuno,
kujiona,
kumtukana Mungu,
kutotii wazazi,
kutokuwa na shukrani,
uovu,
kutokuwa na upendo moyoni,
kutokuwa na huruma,
uchongezi,
ulafi,
ukali,
kuchukia chochote kilicho chema,
uhaini,
ukaidi,
kujaa kiburi,
kupenda anasa kuliko kumpenda Mungu....

Wooote na muendelee kwaaana imeandikwa:

"Msikubali kudanganywa na mtu yeyote kwa namna yoyote ile, Maana siku hiyo haitakuja mpaka kwanza ule uasi utokee na yule Mwovu aonekane, ambaye mwisho wake ni kuangamizwa kabisa.
(2 Wathesalonike 2:3 BHN)

Jamani mwisho hauji mpaka uasi utokee kwahiyo mliochagua fungu hilo tunawaoomba mpambe moto Ili Mwokozi wetu arudi!

Yes it was written:

"Let the evildoer still do evil, and the filthy still be filthy, and the righteous still do right, and the holy still be holy.”
(Revelation 22:11‭ ESV)
 
Chapisho la utafiti wako lipo wapi ndugu mwandishi tukapakue. Naona unatafuta kusepa na kijiji cha mbususu. Utazipata, wanapenda ngonjela kama hizi.
 
Ambao hawakumtaja hawana akili??
Jamaa aliekuunganisha na hiyo imani ana ushawishi tukuka.
Huwezi ukawa na akili alafu usimtaje Mungu.
Turudi kwenye mada.
Wanaume wa sasa tumeshindwa kuutumia mfumo dume kuendana na mazingira na mabadiliko badala yake tumeuharibu mpaka wanawake wanarise na kuwa wakubwa zaidi ya wanaume.
Mfumo dume unatumika mpaka mwisho wa dunia. Sema wapo wanaotumia mfumo dume vibaya kufanya uovu na uhalifu.
Mfano sio mfumo dume kufanya usaliti au kuoa wanawake wengi bila ridhaa yao. Huo ni unyanyasaji na ukatili.
Mwanamke hata awe Rais hana uwezo wa ku-rise na kuwa mkubwa kuliko Mwanaume. Sema ile kudai Haki ndio wengi hutafsiri vibaya.
Hata Waafrika na Watu weusi walivyokuwa wanadai haki zao ilikuwa vivihivi.
Imagine mwanaume anamuogopa mwanamke aliemzidi kipato, sababu kubwa ni kua mwanaume anamnyanyasa sana mwanamke asie na kipato, sasa huyu mwenye pesa hawezi mnyanyasa kwa uhuru, hivyo wanawaogopa mno.

Kwa wanaume wengi katika jamii yetu kutenda haki au mwanamke kutaka haki wanaona ni unyanyasaji, kukaliwa, na kumwona Mwanamke Mjuaji. Jambo ambalo sio sahihi
Kwa kujificha huko vijiweni wanawaita malaya, ooh gari kahongwa, ooh kapata upendeleo ila deep down wanawake wanahustle sana nowdays.

Wanawake wana Hustle tangu Kale sema Lipo kundi la wanaume liliweka mfumo wa kumkandamiza Mwanamke asifanye kazi za uzalishaji ili waweze kumtawala mwanamke kidhulma.

Fikiria ili upate mke unatakiwa umnunue(utoe mahari) hivi kwa akili ya kawaida huoni tuu hapo kuna ukatili na unyanyasaji mkubwa katika jambo hilo
 
Back
Top Bottom